AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 14 na 15
Basi nilipomaliza kuongea na ibraaa nikakata simu, nikaendelea kudrive kuelekea nyumbani kwangu sasa, na nilipofika nikampigia j kawa na furaha sana , anafurahia kwenda shule kesho, nikasema muache afurahi namuona kama mwanangu kabisaaa, zena akaniuliza mh kwani na wewe si una watoto pia, nikasema no mimi bado sina kabisa mtoto ata mmoja, zena akasema mh mbona nakuona mkubwa sasa, nikasema yaaaa ila bado sijaoa, nataka wanangu wote niwazalie ndani ya ndoa, zena akasema mh mbona ww mkubwa na bado hujaoa shida ni nn,nikasema bado sijapata ambae naona ananifaaa si unajua wanawake wa siku hizi mlivyo na mambo mengi, nikamsikia zena anacheka ,akanmbia sawa bwana basi uwe na usiku mwema ,nikamwambia sawa na wewe pia, aknmbia powa kisha akakata simu, niikasema yes uyu demu siku yoyote kutamlamba
Badi bwana ,mi nikavuta simu, nikaagiza chakura mana daaah nilikuwa na njaaa kinoma, na kweli chakura kikaja , nikapiga fresh, kisha sasa kuna mwanangu mwengine ,uyu ni mpemba mwenzangu, anaishi zanzibar ila ni mfanyabishara so huwa anazunguka zunguka sana mikoani uku, akanipigia uo mda kama saa 4 usiku, mi nikapokea akanmbia mwanangu nipo dar masaki hotel, njooo basi tunywe apa kuna wachumba kama wote, eeeeeh mambo yangu tena nikamwambia nakuja chapu apo, kweli mda huo huo, mi nikapiiga maji ,nikavaa fresh nikachukua gari, uyooo nikaenda kuonanana na mwanangu, ahaaaa uko tukanywa sana, na usiku sikuludi kwangu, nikapata demu uko uko nikaingia nae hotel, nikaenda kumlaaa
Asubuh sana ndo nikaludi kwangu, nikafikia kulala mana iyo siku mm nilikuwa off kabisa, basi mida ya saaa 4 asubuh ndo nikaamka ,nashika simu, nakuta zena kanitumia picha za mwanae akiwa kavaaa sale za shule kavaa na begi anaenda shule, aha yani kale katoto kalikuwa na furaha kweli kweli, mpaka nikatabasamu, kisha zena akanmbia asante leo ummy kaanza shule kafurahi sana, nikasema hakuna shida mi sindo baba yake japo mama yake ananikazia sana, mh wala hakunijibu na wakati alisoma kabisa ujumbe wangu, basi bwana kuanzia apo nikazidisha sana shobo na zena, yani snaaa tu apo yeye niliona ananikwepa sana, unakuta usiku namcheki naanza kumchatisha , ila sasa nikianza kutia story zangu za kumtaka yeye apo ndo tunamaliza kuchati yani hanijibu tena, daah nilikuwa na maind ,ila nikawa napoa, apo najifanya nampemda mwanae kinoma, kuna mda namtumia pesa zena namwambia za mtoto hizo, zena anambia asante mungu atakulipa, ila nikiaanzaaaa tu swaga za kumuhitaji,daah mtoto.hanijibu
Na nikawa naongea sana na mtoto wake, yani mda wote mwanae ananiita baba, japo nilikuwa napata mda mchache sana wa kumuona, sababu ya kubanwa na kazi, basi bwana ikawa hivyo mpaka ikakata mwez ,mpka siku iyo nilimwmabia ibraa, bwana uyu demu ana zingua,ibra akanmbia shida nn, nikasema mwanangu mi nimechoka kumfatilia uyu demu kabisa, miezi miwili pesa zangu zinaenda tu, nikianza kumwmabia nampenda ama namtaka ananikaushia ,asa si nn kama.sio wizi uhuu ni nn, uyu demu ananibia uyu nishaona, yani mi namtumia pesa kwa ahili ya mwanae fresh, ila ye hanitaki, mi kiukweli hakuna kitu kinaniuma kama.kumpa pesa demu ambaye sijawahi kumtomba ahaaaa naumia kisenge, ibraa akanmbia we nn ,we kama unamtaka demu mpe pesa, endelea kumuhudumia hivyo hivyo mtakuwa sawa tu, alafu yule zena ni mwanamke mwenye misimamo sana unatakiwa kutambua hilo ,nikasema powa kaka
Basi mwanenu nikaendelea kupasuka mpaka ikakata miezi 3, ahaa aapo nikawa natuma elfu 20, elfu 10, ela za shule tu, weeee nimwage pesa na mzigo sijapewa sio kweli mi siwezi kabisaa, siku iyo nikaona uyu demu asinizoeee au ana mwanaume wake,mi napoteza mda wangu namfatilia ukute ananichuna vyangu tu, siku iyo nikiwa kazini nikamgongea call sasa, nikamwmabi oyaaa mi leo nahitaji sana kuongea na wewe, akanmbia millan shida ni nn au maongezi ya kawaida tu, nikasema yakawaida tu ila natamani tungetoka kidogo, akanmbia hapana mimi sitaweza si unjua nna mtoto mdogo na shey hayupo sitakuwa na mtu wa kumuachia mwanangu, nikasema sawa hakuna shida,basi nitakufata mimi mda ambao ntamaliza kazi zangu, akanmbia sawa nakungoja, kwa iki kipindi mi na zena tulikuwa tunaongea vizur kabisa yani hanijibu vibaya ata, ila ananikazia tu kunipa mzigo wanangu , basi mi nilifanya kazi zangu, na mda wa kutoka ulivyofika, mi nikaelekea kwa zena, nilifika mpaka mtaani kwao, nikapark gari yangu kisha sasa nikaenda mpka nyumbani kwake kabisaa
Kweli nilimkuta na aakanikalibisha vizur kabisaa , basi mwanae akaniwoow pale baba baba kama zote, ahaaa mbona nilijua kuuvaa ubaba kwa yasiyonihusu, alafu ata mm aka katoto nilijikuta nakapenda mi nilizalisha madume wote, yani ao wanangu watano wote wa kiume,sikuw na mtoto wa kike ata mmoja, basi nikajisikia rahaa kweli, basi nikaona zena anaandaa chakula pale, na akatengaa woow, ilikuwa wali nyama, kile chakula kilikuw kinananukia kinomaa, mpaka nikawa nna hamu ya kukila ,na kweli akanikalibisha chakuraa pale.mwanaume wala sikuvunga, alafu mi sinaga uzungu kwenye masuala ya kula kabisaa, Daah msosi ulikuwa mtamu kinoma, nikaona uyu demu atakuwa mtamu kama chakura chake nn, ebu anitunuku basi daaah mtoto anazingua uyu, basi ummy akawa ananilisha kabisaa, katoto kanjua kunipa rahaa aka, basi tulivyomaliza kuka nikashukuru, mana nilishiba na niliinjoy chakura, zena akanmbia usijali asante kwa kula pia, baada ya apo akanmbia naomba ningoje nimuogeshe mtoto kabisa, nikasema.sawa ,kweli zena akenda kumuogesha mwanane, alipoludi akamvalisha mwanae kisha akamwmabia panda kitandani ulale sasa
Nikamuuliza mbona analala mapema, akasema haa ataanza kwenda kwenye vyumba vya watu anapenda sana tv asa sa hzi usiku anaenda kuwasumbua watu, nikasema.ohh sawa basi ummy akainuka kanmbia baba utaninunulia tv na mm, kule wananifukuzaga ,daah nikajisikia vibaya,nikasema sawa ummy nitakununulia tv mwanangu mzuri now lala, kesho nitakuletea akanmbia sawa baba, kisha akajilaza akanza kuvuta usingizi, kiukweli kilitanda kimyaaa mpaka ummy alipolala, na mama yyake alipojilizisha kuwa mwanae kalala ndo akanzsiha mazungumzo, akaniuliza eeh una maongezi gani millan, nikasema zena mi nimekuja apa nnataka kujua mbona ninapokueleza hisia zangu unanaikaushia kabisa,mala zote ninapokueleza kuwa mi nakupenda sana na nakuhitaji. Ww unakuwa hutaki shida ni nn mama, zena akaningalia sana kishaa akasema wala hakuna shida millan ila ni suala la mda ,mimi binafsi naona kwa sasa sihitaji mahusiano ya kimapenzi ila tunaweza kuendelea kuwa marafiki millan, demu jau uyuu daah asa tukiwa. Marafiki ananipaje mzigo rafiki yangu, nikasema zena nisikilize naomba unisikilieze sana, zena mimi.nakupenda very serious ,yani nakupend mnoo zena nakuhitaji sana. Zena mm nataka kukuona kabisa mimi sitaki kukuchezea wewe, nimeonaaa nakupenda sana naomba unielewee mama
Ama baba ummy alikuumiza ebu nammbie, mi siwezi kukufanyie hivyo, mimi ni mwanume wa tofauti sanaa ,na ninakupenda sana ,nakuhitaji sana plsss mama naomba kuwa na ww ,nakupenda sana, sitakuchezea ,ntakutunza na kukujali sana, na nitamlea ummy kama mwanangu wa kumzaa, aseee wanaume tukiwa tunataka kitu huwa tuna swaga kinoma🤣🤣🤣🤣🤣, zena akanmbia najua kama unanipenda millan, naelewa sana .sina utoto wa kutokuelewa ayo, na najua ni kwa kiasi gani unampenda mtoto wangu, ila naomba nielewe kuwaa kwa sasa hautuwezi kuwa pamojaaa, aseeee niliujikuta nimepata hasira yani mda wote nambembeleza ana kitu gani ch ajabu, mi nakamatiaga mademu wa kali awaingii ata mala elfu 10, na hawanilingii kama hivi, demu namfatilia kalibia miez 3,alafu anakuja kunilingia mimi matako uyu, aeee nikavuta funguo yangu ya gari nikatoka ndani kwake kwa hasira mnoo, aseeee mi ni mtu amabye nna hasira za haraka na nawahi kupaniki mnooooo. Basi nikaenda mpaka sehemu nimepaki gari yangu, nikaingia ndani ya gari yangu, nikaanza kudrive kuelekea kwangu nikiwa nimemind kinioma juu ya uyu demu na pozi zake,sipendi sana mwanmke wa kulinga kama yeye ndo ana kuma tu, nilimond umo njianinilkuwa nasonya tuu, kam mwanamke mwenye mimba.
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni