BLACK BUTTERFLY ๐ฆ 3
By Babie Love
Tsap 0742133100
Endelea
Asubuh Hiyo Mariana aliwahi kazini kama kawaida yakee na kuanza kusikia kile kilichotokea jana maana kila mmoja alizungumzia lakee
โ Mariana unaitwa na madam Camilla ofisin kwakee..โ alikuwa meneja akimpa taarifa
โ Kwani kashafikaa...!?!โaliuliza Mariana
โ Ndio anakusubirii...โ
Mariana hakupoteza muda alipandisha ngazi na kuelekeaa ofis ya Camilla na alipofika alifungua mlango na kuingia
Camilla alikuwa mezan kwake huku miguu ikiwa juu ya meza yakee akizungukuzungukaa huku peni mdomoni kwakee alikuwa na madaha mno
Mariana alijawa na hofu mno ya kupoteza kazi yakee ndipo Camilla alipomgeuzia laptop yakee ili atazame alichokifanyaa jana .
โ Sikuhizi umeanza kuwa na amri na mimi eeh?!?โ Aliuliza Camilla
โ Hapana Hapana Hapana sio hivyo....โ
Mariana alijitetea
โ Kimya.....โ Camilla alifoka hadi alisimama sasa na kuongea kwa msikitizo
โ Sihitaji mfanyakaz kama wew mwenye kuingilia mamlaka yangu hii biashara yangu kazi ni moja tu na pia nakulipa ila sikuhitaji...โ
Mariana alistuka sana kazi ile inamuhutaji mno hivyo akapiga magoti chini kabisa na ku muomba
โ Madam Sija fanya kubwa mimi Naomba hii kazi ina maana kubwa kwangu nategemewa na hii kazi madam please Nakuomba et ..โ
Camilla alicheka kwa dharau jinsi Mariana alivyopiga magoti chini akimuomba sana
โ Labda nikuulize yule Brayton unamjua ?!? โ
โ Hapana ila niliona anatapata tabu Ndio maana nikampeleka Hospitali madam nakuomba Niko chini ya miguu yako usinifukuzee kazii..โ
โ Toka ofisini kwangu toka...โ
Camilla aliwaka kwelikweli na kufanya Mariana anyanyuke pale chini na kutoka nje ya ofisi ya Camilla huku akijifuta machozi maana kufukuzwa kazi sio jambo la rahisi sana
Aliumia mno huku akilia machozi taratibu alishusha ngazi ndipo alipokumbana na Brayton akiwa nae anakuja alipo
Haraka alijifuta machozi haraka haraka na kujiweka Sawaa ila Brayton alimuona akamuulizaa
โ Unalia nini?!?โ
Mariana hakumtazama usoni zaidi alijibu huku akitabasamuu vizur tyu
โ Hapana kuna kitu kimeniingia jichoni hivyo niko Sawaa tu usijali...โ
โ Basi Sawaa ila nshukuru sana kwa kile ulichokitenda jana asant sana ..โ
โ Usijali ..โ
Mariana baada ya kusema hivyo Ali taka kushuka ila Brayton Alimzuia kwa kumshika mkono ndipo Mariana alipomgeukia na kumtazama usoni .....
Mariana akimtazama Brayton kwa muda kisha akatazama ule mkono aliyokuwa ameshikwaa kisha akamrudia usoni mwake hakuwa na la kusema
Wakiwa kwenye hali Hiyo ndipo alipotokeaa Camilla na kuwakuta kwenye hali ile
โ Brayton nini kinaendelea hapaa?!?โ Aliuliza camilla
Muda huo Mariana alichukua fursa Hiyo akaondokaa zakee na kuwa acha
โ Brayton nini Una fanya na wafanyakazi wangu eeeh ?!?โ Camilla alianzaa kufoka
โ Hapana Camilla hakuna kitu hata wee ulikuwa unaona hapa hakuna cha zaid mpenz wangu eeeh ...โ alisema Brayton huku akijaribu kumshika lakini Camilla alikataa akirudi nyuma na kumnyooshea kidolee
โ Brayton usinifanye mimi mtoto hivi wee mwanaume wa aina gani wew?!? Sikiliza Brayton huu upuuzi itafika muda nitachoka sitaki masihara unasikia wewe....โ
Camilla alifoka haswa kisha akaondoka pale ila Brayton hakumuacha alimfata nyuma nyuma huku akiongea
โ Camilla nisikilize basi Camilla... Camilla...โ
โ Hebu niache wewee eeeh ...โ alifoka Camilla na kufanya baadhi ya wafanyakazi wake kuacha wanachokifanya na kuwatazama wao
Brayton alitazama jinsi wafanyakazi wake wanavyowatazama ila hilo hakujali Bado alisema
โ Camilla Nakupenda sana na siwez fanya unavyodhani wewe yule Ali nisaidia tyu please nielewee...โ
โ Eeeh alikusaidia eeh vipi pale kwenye ngazi mmeshikana mikono kabisa eeh vipi nilikuwa mnasaidiana?!?โ Camilla alidhamilia kabisa kwa ugomvi
โ Hapana sio hivyo Camilla hebu twendee...โ Brayton Ali taka kumshika mkono ili waondokee ila Camilla hakutaka hilo alisogeza mkono wakee pemben kisha akasema
โ Sipend mazoea..โ kisha akatoka nje ya hoteli Hiyo
Brayton kwa kiasi Ali ona Haya kidogo ila alijikazaa na kuondoka pale maana alijua amemkasirisha sana Camilla.
๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น
Mariana alishikwa na huzuni mno kiasi kwamba hakujua atafanya nini maana yeye mama na baba kwa Isabel mdogo wake
โ Dada Mbona unalia ?!?โ Aliuliza isabel baada ya ku ingia ndani
โ Hapana Isabel nipo Sawaa eeh vipi maendeleo ya shule ?!?โ Alijitahidi kuzungumza na mdogo wake huku akitabasamuu lakini moyo unauma mno
โ Shule kuko Sawa ila nakumbushiwa ada kila siku Dada fanya ukalipe Jaman...โ alilalamama isabel
โ Sawaa mdogo wangu nitaenda mapema keshoo ..โ alisema Mariana na kumfanya ndugu yake kufurahi mno
Bila kujua hali Dada ni ngumu mno
๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น
BAADA YA SIKU KADHAA
๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น
Brayton baada ya kuona amemkasilisha mpenzi wake alikwenda supermarket kubwa na kumchukulia zawad nyingi tyu kwaajili ya kuomba msamaha kwake
Brayton siku Hiyo aliiandaa vema kwaajili ya Camilla pekee mpenzi wakee na baada ya kumalizaa alimpigia simu mara nyingi lakini hakupokea simu
Hakuchoka alipiga zaidi na zaidi lakini simu hakupokelewaa ndipo akaona kwanza aendelee na kaz nyingine baadae atampigia akaweka simu mezani .
Kwel akiwa na kazi nyingine ndipo aliposikia simu inaita na alipoenda kutazama ilikuwa ni Camilla Ndio anapiga akapokeaa
โ Kipenz?!?โ
โ Brayton umepiga sana kuna nini?!?โaliuliza Camilla
โ Hakuna kipenz ila naomba uje tafadhal Nina zawad yako please....โ
โ Okay nitapitia hapo maana nilikuwa naenda nyumban ila nitapitia hapo kwanza...โ
โ Asante sana kipenz....โ
Brayton alifurahi ujio wa Camilla maana anampenda sana tena mno
๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น
Mariana baada ya kufukuzwaa kazi alianzaa kutafuta kazi sehem tofaut tofaut bila mafaniko na hali ilizidi kuwa mbaya kwakee
๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น
Camilla aliwasilii kwa Brayton saa 2 usiku hivi na kumkuta Brayton mwenye mwingi wa maandalizii kwaajili yake lakini hata alipoona hakustukaa kabisa
โ Ooho maandalizi ya nini Haya ?!?โ Aliulizaa Camilla
โ aaah mpenz unajua nimekukosea hivyo nilikuwa naomba radhii kwa kile kilichotokea huko nyuma nakuomba nisamehe sana Camilla Nakupenda mno ..โ
Camilla alimtazamaa kwa muda kidogo kisha akasema
โ Unajua Nina kazi nyingi za kufanya isitoshee nawahi nyumban hivyo tutaongea...โ
Brayton Alishanga mno ndipo akasema
โ Camilla Mbona uko hivyo isitoshee nimekumic sana tangu nimerud huna muda na mimi au kwasababu mimi Nakupenda sanaa ah?!?โ
โ Kwani mimi sikupendi?!? โ aliuliza Camilla
โ Sijasema hivyo lkn kipenz tafadhal baki na mimi nimekumiss mno tafadhal...โ alisema Brayton huku akimsogelea na kumshika kiuno chake na kutaka lips zakee ila Camilla alikataa
โ Mmh Brayton ulisema nije nimekuja na Bado unataka nibaki hapa vipi Nina kazi tafadhal..โ
Camilla alisema hayo huku akitaka kuondoka ndipo Brayton akamkumbatia kwa nguvu huku akimwambia
โ please Camilla usiniache hivi Nakupenda mno tafadhal baki hapaa...โ
Camilla alitaka kuondoka ila Brayton tayari alishamtawala mwilini mwake na kumfanya Camilla aanze kutoa ushirikiano .
๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น
Mariana alizidii kutafuta kazi sehem mbali mbali bila mafanikio
Ndipo alikwenda chumbani kwa mdogo ake na kumkuta akijisomeaa taratibu Ali tabasam tu maana alimpenda sana ndugu yakee
โ Umefukuzwa kazii?!?โ Swali hilo kutoka kwa mdogo ake lilimstua mno
โ Hapana Isabel Niko kazini Bado na Kwann nifukuzwee.?! Niko kazini Bado ...โ Mariana aliongea huku akitabasamuu ili kuficha kinachoendeleaa
Ndipo Isabel alipotoa bahasha iliyokuwa na vyeti vyake kwamba anatafuta kazi
Mariana alistuka mno alipokea zile karatasi huku akimuangalia mdogo wakee
โ Kama Bado upo kazini kwanini unatafuta kazi tena Dada?!?โ Aliuliza Isabel
Mariana alishindwa kujibu moja kwa moja maana hakutaka kumchanganya mdogo wakee kimasomo
โ Eeh dada Mbona hujibu?!? โ
โ Hapana mdogo wangu ..โ
โ Hapana nini ?!? Wakati umefukuzwa kazi unanichanganya unajua ..โ Isabel alionyesha dhahili kuchanganyikiwa
Ndipo Mariana akajikaza na kuanzaa kumueleweshaa
โ Niskilize mdogo wangu Sawa nimefukuzwa kazi ila nakuahidi nitamudu hali yako kwa kutafuta kazi na hapa tayar hoteli kadhaa zimenikubali nasubir simu tuu muda wowote ule naanza kazi...โ
Kabla Mariana hajamalizaa kuongea simu iliita kwelii ndipo akamgeukia Isabel na kumwambia
โ Unaona ?!? Simu ya kazi ngoja niisikilizee...โ
Isabel hakujibu zaid aliendelea kufanya kazi zake za shule hakutaka kusema kitu hivyo Mariana alitoka na kwenda Kupokea simu ila Ali shindwa kuongea kutokana na jina la mpigaji ni rafiki yake na sio simu ya kazi kama alivyomuahidi mdogo wake
Hivyo akaizima kisha akajifanya kama ana ongea na simu ya kazi
โ Halo yeah ni mimi Mariana.. okay.. sasa hivi Haya Sawa nakuja nakuja ...โ
Mariana alikuwa ni mtu aliyechanganyikiwa vile ndipo alipomrudia Isabel na kumwambia
โ Simu ya kazi naenda kumsikilizaa nitarudi mapema ..โ
Kabla Isabel haja jibu chochote Mariana alichukua mkoba wakee na kutoka nje ili Isabel ajue tyu ni kweli simu ya kazi ila hakuna kilichokuwa kinaendeleaa kwakwel Mariana aliumia kwelikweli.
๐น๐น๐น๐น๐น๐น๐น
Brayton baada ya kumalizaa huba kubwa yeye Camilla alitoka chumbani na kwenda moja kwa moja jikoni kuchukua maji ila hakukuta chupa hata moja kwenye jokofu
Na hii kutokana Aliishi mwenyew bachela Ndio maana hali inakuwa vile ndipo aliporudi chumbani ili kumfahamisha Camilla
โ itabidii nitoke mara kipenz..โ alisema Brayton huku akivaa T-shirt
โ Kwanini ?!? โAliulizaa Camilla akiwa kitandani Bado
โ Hakuna maji kipenz nitawah kurudi usijal..โ
Brayton alimkiss Camilla kisha akachukua funguo za gari na kutoka nje kisha akachukua gari moja wapo na kutoka nje .
Brayton ni Doctor mkubwa tyu na hapo jijini anamiliki Hospitali kubwa sana aliyoachiwa na baba yakee kabla hajafariki na ugonjwa wa kansa ya damu .
Aliishii kawaida sana na wala hakutaka kujiona wa juu sana kuliko wenzakee na hakupendea kabisa kukaa Hospitali yeye alijikita kwenye biashara zake binafsi zinazokuingizia pesa za kila siku na kubaatika kummiliki mdada matata sana Camilla
Ndipo alipofunga break nje ya duka kubwa na kuingia na kuchukua moja ya mahitaji yakee kisha akarudi ndani ya gari ili kurudi nyumban.
Wakati huo huo nao Mariana alikuwa barabaran akijaribu kutembea tembea ili kupoteza muda arudi nyumban
Brayton Akiwa anaendesha gari ndipo alipomuona mtu akikatiza barabara bila kutazamaa ndipo alijitahidi kufunga break ili asimguse maana alimpigia honi bila mafanikio
Kwel alikuwa ni Mariana hii kutokana na mawazo aliyokuwa nayo akajikuta Akivamia barabara bila kujua na kujikutaa anataka kugongwa ili kujitetea zaid aliangukia jiwe na kumfanya damu nying zianzee kutoka kichwani kwake
Brayton alishuka haraka kwenye gari baada ya kuona kuna mtu alitaka kumgonga ila kaangukia pemben ndipo alipomkuta Mariana akitokwa na damu nyingi kichwani
โ Mariana...!!!!!!โ Brayton alistuka mno maana damu zilikuwa zinaruka ruka
Mariana nae kwa kiwewe alisimama na kutaka kuondoka huku akisema nakujiziba jeraha lakee kwa mkono
โHakuna shida kaka Niko Sawa nitaondokaa..โ
โ Hapana Hapana huwezi kuondoka hivi... umeumia et..โ alisema Brayton huku akimtaka aingie ndani ya gari
โ Hapana Niko Sawaa.....usi....โMariana hakuweza kumalizaa kuongea alijikuta akihisi kizunguzungu sana hadi mbele hakuona kabisa ndipo alipoangukia mikononi kwa Brayton
Brayton hakufanya makosa tayari alimchukua na kumuingiza kwenye gari haraka ili kumpelekaa Hospitali haraka..
Itaendeleaaa
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni