*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*
SONGA NAYO.
Ila nyie mapenzi konyo Walahi, Yaani ukimuona mtu unayempenda lazima tu Ka moyo kashtuke na kapate amani Fulani hivi
Kitendo cha kumuona Enzo nilifurahi lakini pia nilijikaza tu na kumuuliza kwa hasira.
"Umekuja kufanya nini Enzo?" Enzo akatabasamu na kuja kunikumbatia.
"Kwani ujanimisi jamani
"Acha ujinga wako Ebu niachie, we Suzy mchukue kaka yako na mwende sitaki kuwaona"
Nilizungumza mdomoni tu lakini moyoni nilikuwa nasikia raha hatari.
Enzo akaniachia kisha akamgeukia Suzy na kumwambia.
"Sikia kanichukulie BEGI langu la nguo kwenye gari Mimi Ndio nimeshaamia kwa Wifi yako"
"Nini wewe?"
Nilimuuliza Enzo kwa mshtuko wa hali ya juu. Kwa mwendo haraka Suzy akatoka nje na kuniacha Mimi na Enzo
"Enzo Hapana aaaah uwezi kuishi hapa na Mimi, me sitaki matatizo mwenzio
Nilizungumza
"ISHANI, Yaani Kamal matatizo Yaani Ndio
kwanza unayaapokes Ndio yanaanza, Kuanzia Leo nitakuwa nikiishia hapa, Kuanzia Leo nitaishi maisha ya kawaida kabisa na sio Mtoto wa Tajin, Kuanzia muda huu nitakuwa
mchumba wako mtifu na ata ukitaka niwe
houseboy wako, am ready mama"
Nilibaki nikimshangaa tu Enzo anavyojielezea.
"Enzo acha Bwana, sikiliza, hapa ni NYUMBANI kwangu na maamuzi ni ya kwangu, nimeshasema uwezi kuishi hapa"
"Kwa mchumba wangu ni kwangu"
Alizungumza Enzo kisha akajitupia kitandani.
Nilimuangalia Enzo na kutabasamu kisha nikazungumza kimoyomoyo..
"Kumbe napendwa eeeeh"
Muda huo huo Suzy akiwa na mabegi mawili ya nguo za Enzo
"Hivi wewe uko serious?"
Nilimuuliza Enzo kwa herufi kubwa Maana amenishangaza Walahi, yuko serious anataka
kuishi na Mimi.
"Sikiliza me nalala nimechoka sana, Suma atakuja kuchukua gari ilo kurudisha NYUMBANI, pangapanga nguo kabatini"
Mimi na Suzy tukabaki tukishangaa tu, Yaani tulikuwa tunshangaa Enzo na mambe anayoyafanya.
Ndani ya nusu Saa tu kweli Suma akaja
kuchukua gari ya Enzo na kuondoka nayo
"WiFi me naenda mbaki salama"
Alizungumza Suzy kisha akaondoka zake nilibaki nikimshangaa tu Enzo wangu na kujichekea Mwenyewe Kama Chizi aliyekutana
na jalala jipya.
Aaaah ba mtu ameshasena anataka kukaa
Mimi Nani nikatae? Kwa utulivu kabisa nikaanza kutoa nguo kwenye mabegi na kupanga kwenye kabati langu la ngue.
Sikuishia hapo, nikachukua moja ya t-shirt ya ba
mpenzi nikavaa na kuendelea na kazi zangu.
Baada ya muda nikatoka nje na kukutana na pili, ni wazi Kuwa pili alikuwa ananisubili sana
Maana alivyoniona tu akanishika mkono na
kunisogeza pembeni kidogo.
"Wewe Mbona mimemuona Enzo akingia Ndani
kwako na si kumuona akitoka ?"
Nikamuangalia pili na kutabasamu kisha
nikajibu.
"Amelala"
"Nini wewe? Yaani Enzo amelala Ndani kwako? Usiniambie mmerudiana ?"
Kwa aibu nikaangalia chini na kujibu.
"Amesema ananipenda na ataishi na Mimi hapa
Pili akacheka sana na kuzungumza
"Mwalimu wako wa mapenzi alikuloga tangu
ukiwa tumboni Walahi, we ishani wewe, Walahi unanishangaza, Kwahiyo, Walahi naishiwa Maneno Mtoto wa mama pili Mimi
"Lakini bado nampenda
Pili akaniangalia weeeh, mwisho akaniuliza.
"Umepika nini kwani Maana njaa inaniuma
hatari
Nikaingia Ndani na kutoka na chakula na
kumpatia shoga yangu wa kufa na kuzikana.
Yaani alipokuwa pili Nipo, nilipo Mimi pili yupo.
Siku ziliendelea kusonga uku mahusiano yangu
na Enzo yakizidi kunawili, Walahi upendo kweli bado upo lakini ni mpaka ukikutaria na mtu.
sahihi kwenye maisha yako na Nafikili Mirni Mtu sahihi kwenye maisha yangu ni Enzo tu
Ikiwa ni siku ya weekend, siku hiyo Enzo Angu
akaenda kazini hivyo tulikuwa tu NYUMBANI
wote
Siku hiyo nilikuwa Karna princess, Enzo alifanya kazi zote, nikipikiwa mwenzenu, niliogeshwa na
kila kitu.
"Ila Enzo unanidekeza sana ujue"
Nilimwambia Enzo wakati akinilisha
"Nisipokudekeza wewe nimdekeze Nani Mimi?
wewe
Kama mzuwanda wangu tu
Eeeh Yaani kwenye uwepo wangu jua Kuwa
nitakudekeza, nitakulea, nitakufanya Uwe
Furaha wakati wote
"Nakupenda mume wangu"
Nilimwambia.
na
Muda huo kwanza tukaganda tukiangallana tu, na Ndani ya dakika chache tu zoezi likabadilika chakula kikawekwa pembeni tukaingia
kwenye mipinduko ya kiutu uzima.
Nyieeeeeh mainishauri kwa huyu kaka Maana
nahisi namwagaga mpaka ubongo, Yaani sina
akili timamu mbele yake, my zangu
nawakumbusha likija suala la huyu Kijana please msinishauri kabisa mtanichanganya.
Maisha yangu na Enzo yakawa ni maisha ya
Furaha sana, maumivu na vilio viliniepuka
kabisa
Waswahili usema penzi paja namimi nawaunga mkono, ishani Mimi ni muislam pure lakini nikaanza kwenda kanisani kwajili ya Kijana
wangu Enzo.
Ikiwa ni siku nyingine Tena, wapendanao sisi,
tukafunga safari na kwenda sokoni pamoja, sio kwamba ndio Mara ya kwanza hapana, hii Imekuwa Kama desturi kwetu mpaka sokoni
walitukalili.
Nikiwa bize nachagua kuku ili niweze kuchinjiwa,
gafla nikashtuka baada ya kuitwa Jina kwa haraka nikageuka ili kujua Maana ilikuwa ni SAUTI ya kike na nikajikuta nikikutana uso kwa
uso na mama Yangu Mdogo
Najua mama yangu Mdogo mnamkumbuka na
Karma mmemsahau huyu ndiye ambaye alikuwa
akiniuza kipindi naishi Nyumbani kwake.
"Unajua nilikuwa nahisi Kama nakufananisha kumbe ni kweli Mwanangu jamani"
Alizungumza ma Mdogo na kutaka
kunikumbatia
Kiukweli huyu mama namchukia sana na alipotaka kunikumbatia tu nikamkataa.
"Excuse me"
Nilizungumza na kutaka kutoka eneo llo lakini ma Mdogo akaniwal na kunishika mkono
ISHANI Mwanangu nimekutafuta sana Binti
yangu
Nikamuangalia na kuangalia mkono wake
alipokuwa amenishika na kwa dharau ya hali ya
juu nikamwambia
"Wewe Ebu achia mkono wangu kwanza
Ma Mdogo akaniachia na kuniambia.
"Nina mengi ya kuzungumza wewe Binti yangu, unaweza kuja NYUMBANI? Au niambie. unakaa wapi me nitakuja"
Muda huo huo Enzo akarudi kwani allenda
kununua vitu vingine upande wa pil
Enzo
Ma Mdogo alimuita Enzo kwa bashasha sana akionesha Kuwa bado anamkumbuka vizuri
sana
Enzo akaishia kumshangaa tu ma Mdogo kisha
akashika mkono wangu na kuzungumza.
"Tunaweza kuondoka sasa Mke wangu"
Ma Mdogo akashtuka sana na kuuliza kwa
mshangao wa hali ya juu..
"Mike"
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni