Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 13
Gonga94 · Stories

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 13

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


Basi nikaingia ndani, dohh nilipashangaa, yani uyu dada hakuwa na chochote cha maana cha ndani zaidi ya godoro tu, amabalo nalo wala halikuwa linalizisha kabisa,mabegi ya nguo, na ndoo za maji na vyombo basi ,yani naona ndo alikuwa anaaanza maisha, ila mm wala sikuonesha kushangaa kabisa , nikapita kisha nikaaka kwenye godoro, bado nikiwa nimembeba ummy, basi nikamwmabia ummy nimekuletea kila kitu ulichokuwa unanambia ,akanmbia ahaaa adi mdori baba, nimasema ndio mpaka mdori, basi nikavuta ule mfuko, nikamtolea vitu vyake vyote nilivyomletea ,ahaaa alifurahi sana, yani alifurahi kweli kweli , akaluka luka mpaka mama ake akawa anamwambia utaumia bwana ,furaha gani hizo, basi akabeba begi lake akanmbia baba naenda shule lini si nimeshapata begi, nikamwambia usijali utaenda mwanagu, basi akachukua biskuti zake akatoka nazo njeeee uku anaitwa marafiki zake, et njooni niwageee kaniletea baba yangu, doooh nikaona apa kazi ipo,

Mule ndani tukabaki wawili sasa, mi nikamuuliza kwani uku chekechea mtoto ada sh ngapi ata umpeleke awe anashinda uko, zena akaningalia sana akaniukiza hivi aya yote unayoyafanya ni kwa sababau gani, nikasema ni kwa sababu tu nimetoke kumpenda ummy kama mtoto wangu basi, na namuona kama mwanangu ,akanmabia una huwakika hakuna lengine umelitamani, nikasema no zena ayo ni yako, akaniangalia sana aknmbia sawa asante kwa yote, nikasema wala usijali, mi nikachukua laki 1 nikampa, na akaipokea , nikamwmabia natamani ummy aende shule basi, umpeleke ata hizi za kawaida tu awe ana shinda uko, akanmbia sawa asante atafurahi sana, mana apa asubuh uwa anapooza sana ,wenzake wote wanaenda shule, nikamuuliza kwani wewe kwa sasa unafanya biashara gani,,akanmbia bado sijapata kazi ya maana nipo namsaidiaga mama falani hivi mama ntilie apo mbele, leo hajafungua ndo mana umenikuta nipo off ,ila siku nyengine usiludie kuja bila kusema mana hautakuta mtu, nikamuuliza sasa ukienda uko mtoto anabaki na nani, akanmbia ahaa mtoto namuachiaga shey akiwepo ,kama hayupo kuna mdada anakaa chumba cha mbele namuachiaga piah, nikasema sawa , basi ntakutafutia cha kufanya, akanmbia haina aja , mbona kwa ummu ushafanya inatosha, niikamuangalia kisha nikatabasamu, nikaona kainama et, nikaona yes ,et mtoto,anaona aibu ngojaaaaa tuonee

Basi mi nikamuaga, akanmbi mh ngoja nimuite ummy umuage atakuja kulia akiludi alafu asikukute ikawa kesi kubwa ,nikasema sawa kweli akatoka kumuita mwanae, ndo nikapata nafasi ya kukingalia chumba chake vizur, uyu binti walaa hana kitu ila niligundua ni msafi sana , yani ni msafi mnoo uyu dada, mashallah nilipenda kwa kweli sio siri, basi baada ya mda ummy akaja na mama yake, akaja mwenyewe kanikalia miguuni et ananilisha biskuti imejaaa mate, ntafanyaje na nataka demu, nikala fresh, nikamwambia sasa mama mi naondoka ,ila ntakuja siku nyengine, nimempa mama pesa kesho anakupeleka shule sawa, ahaa ummy akanmbia ayaaaa ,akaanza kusaka viatu vyake, ananambia tunaondoka wote baba, khaaaaaa mama ake akamwmabia we baba anaenda kwa polisi, unatka ukakamatwe, analudi kesho mngoje, kumbe anaogopa polisi ,asa sindo nipo apa, nikamwmabia nakuja kesho mwanangu sawa, akanmbia sawa uje kweli baba, nikasema sawa aya mimi naenda nikatoa na elfu 5 nikampa akafurahi mwenyewe, alafu sasa kana adabu anasema asante kwa kila kitu, tena asante baba, basi mama ake akambeba wakanisindikiza mpaka nilipopark gari yangu, nikaawaaga nikaondoka zangu, nilifurahi mana niliona sasa kuna matuamaini ya kumkamata uyu demu, nikiwa naelekea home nijampigia simu ibraa, nikaanza kumuelezea kwamna mtoto kanikalibish vizuri, na mpaka tumechekaaa, ibra akanmbia mi sinilikupanga apo mchawii wewe umpenda mwanae, uyoo siku mwenyewe anakwambia baba njooo nikupe zawadi leo, unaenda anakupa game, ahaaaa nilicheka kisenge ,ibraaaa bwana mambo yake, ibraa akanmbia mi uyo nampa mwez we endelea kushoboka na mwanae ana kubless, nikasema powa mwananagu hakuna noma
🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Mimi sikuachi fully stories
Mimi sikuachi fully stories
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 13



Basi nikaingia ndani, dohh nilipashangaa, yani uyu dada hakuwa na chochote cha maana cha ndani zaidi ya godoro tu, amabalo nalo wala halikuwa linalizisha kabisa,mabegi ya nguo, na ndoo za maji na vyombo basi ,yani naona ndo alikuwa anaaanza maisha, ila mm wala sikuonesha kushangaa kabisa , nikapita kisha nikaaka kwenye godoro, bado nikiwa nimembeba ummy, basi nikamwmabia ummy nimekuletea kila kitu ulichokuwa unanambia ,akanmbia ahaaa adi mdori baba, nimasema ndio mpaka mdori, basi nikavuta ule mfuko, nikamtolea vitu vyake vyote nilivyomletea ,ahaaa alifurahi sana, yani alifurahi kweli kweli , akaluka luka mpaka mama ake akawa anamwambia utaumia bwana ,furaha...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/afande-millan-sehemu-ya-13

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi afande-millan-sehemu-ya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10

546
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

492
FROM BANGI TO BABY 💞💘  SEHEMU YA 16

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 16

456
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17

371
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12

361
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10

220
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 13

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 13

209
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.

187
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.

141
SHAMIRA sehemu ya 34&35

SHAMIRA sehemu ya 34&35

133

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.43K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.2K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.75K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.2K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.6K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.46K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.44K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.43K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.38K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.38K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
Hongera umepata kazi ya kulinda bwawa la samaki usiku huko mkoani Iringa karibu na bonde la mlima Kitonga. Mshahara ni shilingi milioni moja kwa usiku mmoja Post Mpya
Hongera umepata kazi ya kulinda bwawa la samaki usiku huko mkoani Iringa karibu na bonde la mlima Kitonga. Mshahara ni shilingi milioni moja kwa usiku mmoja
@majario LIVE

. Kazi inaanza saa 4 kamili usiku hadi saa 12 alfajiri. Hakuna muda wa majaribio. Ukifika kazini unaanza kazi. Hivyo sikiliza masharti haya kwa makini ili uweze kufika asubuhi. Sharti...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 13 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 13
@majario LIVE

Basi nikaingia ndani, dohh nilipashangaa, yani uyu dada hakuwa na chochote cha maana cha ndani zaidi ya godoro tu, amabalo nalo wala halikuwa linalizisha kabisa,mabegi ya nguo, na ndoo za...

Zayed Khan has always been a total family man at heart. He’s married to his high school sweetheart, Malaika Parekh Post Mpya
Zayed Khan has always been a total family man at heart. He’s married to his high school sweetheart, Malaika Parekh
@majario LIVE

. They met as teenagers at Kodaikanal International School, became close friends, and eventually fell in love. After years of being together, they got married on November 20, 2005. It’s...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*
@majario LIVE

SONGA NAYO. Ila nyie mapenzi konyo Walahi, Yaani ukimuona mtu unayempenda lazima tu Ka moyo kashtuke na kapate amani Fulani hivi Kitendo cha kumuona Enzo nilifurahi lakini pia nilijikaza tu na kumuuliza...

This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! You’ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibe… Kajol looking all fiery and expressive… Juhi Chawla Post Mpya
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! You’ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibe… Kajol looking all fiery and expressive… Juhi Chawla
@majario LIVE

with that cute bubbly energy… and Aamir Khan being his mischievous, romantic self. What a combo yaar! Ishq was not just a love story, it was full on drama, comedy,...

 Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani Post Mpya
Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani
@majario LIVE

* Meli za kijeshi za Marekani zilizopo Ghuba ya Uajemi * Rada za Israel zilizopo Azerbaijan * Rada za Israel zilizopo Turkmenistan * Mifumo ya ulinzi wa anga ya vituo vya Marekani nchini...

SHAMIRA sehemu ya 34&35 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 34&35
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nikajiiinua taratibu tukaingia bafuni. Mwanaume akanikumbatia uku tunaoga. Aseee uyu baba ananipenda ila hataki upumbavu ata kidogo na mkono wake mwepesi kupiga .na yote sababu...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nikaona zena kamnyanyua yule mtoto kisha akambeba ,ni amefanana nae sana ,nikajua ni wa kwake tu yani ni lazima utu mtoto atakuwa ni mwanae, kisha akanigeukia...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 17
@majario LIVE

Ikabidi nikae tu kwenye piki piki maana sura alivyokuwa kaikaza mmh asije kunipiga, Kimyaa kikatawala sasa mie nilijua tunaenda kwa Tinner na moyoni nilikuwa nimempangia hayo maneno Tinner eeh mbona...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10
@majario LIVE

🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Maeneo ya pale pale chuoni, Salmon alikuwa amepanga nyumba kubwa ya peke yake. Wakati akiwa chuo ndo alikua anaishi hapo, ila siku za weekends kama hana mambo mengi ndo anaenda...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kuanzia apo nikawa sasa kidogo naelewana na baraka. Tena mimi ndo napenda sana kuongea nae. Yani sanaaa. Napenda kucheka nae sana. Na kun jinsi...

FROM BANGI TO BABY 💞💘  SEHEMU YA 16 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 16
@majario LIVE

Usiku wangu ulikuwa mzito sana, maneno ya D kusema kuwa Veda anatembea na wanawake wengi, niliyaamini kabisaaa Bila shakaa kwa maana Yeye tu hana mwonekano mzuri ametuna tuna hovyo anakuwa...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10
@majario LIVE

Daaah nikaona mtoto kachomoa leo mana sio powa , ana vipengele sana uyu demu , ila unyama, hatachomoa kila siku, ni suala la muda tu, mana sijawahi kumtaka mwanamke ,...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media BASI nikapanda kitandani kwangu. Nikijutia sana nilichokifanya mana mh . Nilikuwa nasababisha ugomvi mkubwa wa wazazi mungu wangu. Yani mama yangu alikuwa anaachwa leo...

SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.??? Post Mpya
SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.???
@majario LIVE

Hatimae jana tambo za Dabi zilipata majibu kwa timu za Simba na Yanga kutoka suluhu ya bila kufungana(0-0). Kwa maana hiyo timu zote ziliambulia pointi moja moja. Mchezo wa jana pamoja...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest