Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 19
Gonga94 Β· Stories

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 19

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Basi mpaka sa moja inaenda na Nusu Veda hajaja, Moyo juu juu itakuwa tu kaenda huko kwenye ma club, moyo lipu lipu muda wote kama nimemezaa kaa la moto hajabu sasa hata namba yake sina, makubwa ..

Nikatoka mpaka kwa mama, ile nyumba ipo hivii kuna vyumba vya nyuma na nyumba kubwa Ni nyumba nzuri tu ila sio ya kifahari ni nzurii alijitahidi sana kujenga tena nilivyojua ni nyumba yake aah nilimpa salute mie nilijua mluga luga tu wa mtaani huko ...

Sasa veda yeye anakaa nyumba ya uwani huku ila hakuna wapangaji wapo wao tu tena sikuwakuta hata wale mapacha ile siku ..
Basii nikaenda kwa mama nikamuomba namba ya Veda mwenyewe alishangaa kweli et sina namba ya Veda yaani angejua haya mapenzi yameota ota tu asinge hata hangaisha kichwa kutufikiria ..

Akanipa nikarudi ndani nikampigia hapo nahasiraa hatari, simu haikuita sana ikapokelewa "uko wapii??" Niliuliza kama kuna ugomvi

"Veroo!!!?" Mwenyewe alishangaa kuona simu yangu

"UKO WAPIII??" Hata sikutaka kumjibu nikakaza sauti zaidi ya mwanzo

"Nakuja...."

"Upo wapiii....ushaenda kwa hao wanawake zenu wenye makalio makubwa hao wavaa uchi si ndio, Yaani mie s....." kabla hata sijamaliza kuongea naona mlango unafunguliwa anaingia yeye mweeh yakanishuka nikakata simu kimya kimyaa nikaitupia huko nikageukia pengine mana nilikuwa nimelala kitandani ...

"Sikia Vero....usije hata siku moja ukanifananisha na D mimi sawa, Sie ni watu wawili ambao hatuwezi kuwa sawa hata iweje ..." akachukua taulo akatoka baada ya muda akaja kaoga kumbe alibeba na nguo akaenda kuvaa huko huko mmh mbona kazi ninayo hapa, nikawa namkata jicho la chini chini, alikuwa kavaa penzi juu wazi nyiee nikajikuta natamani hata anikumbatie tu mmh ila kauzu hatariii anajifanya hanioni et

"Unakula sa hivi au baadae" nikamuuliza nimenunaaa hee!!

"Sasa hivi" Akanijibu huku anaendelea kupaka mafuta

"Kuna sehem unaenda" nilimuuliza baada ya kuona yuupo bize kujipaka mafuta wakati usiku muda wa kulala na mafuta wapi nawapi jamani ..

Hata hakunijibu, nikatenga zangu chakula yaani kama mke mwemaaa ukiniona mmh, yameni kuta Vero mieee ..

Wakati wa kula mwenzangu nampiga mjicho wa chini chini, labda hata atauliza hiki chakula nani kapika kimyaa mmh wakati mwenzie nilimaliza ufundi wote kwenye msosi jamani kwa ajili yake duh ..

Nikatamani hadi kuuliza unaonaje chakula sema nikakosa pa kuanzia , Baada ya kula nikasafisha zangu nikaenda kuoga tena najiachia mbele yake kuvua lakini hana hata moja namie yaani kama tu sipo hivii ...


Nimerudi kuoga namkuta amevaa anatoa hee nikamuuliza "unaenda wapi"

"Nakuja??"

"Nimekuuliza unaenda wapii??" Akashusha pumzi halafu akanionesha mkononi kipisi cha midude yake na kibiritu kwahiyo anaenda kuvuta nikavichukua

"Hakuna kuvutia hayo madude yako humu ndani na sheria ya pili hakuna Kutoka usiku kwahiyo lala tuone kama utakufa usipo vuta.." nikalibinya binya lile li kipisi nikatupa kule
Akacheka kidogo yaani anapindisha tu mdomo sijui alicheka au alitabasam afuu hakunijibu kitu akarudi akavua tishet akabaki na pensi akapanda kitandani , Na me nikajisaula mtoto wa kike , nikachukua simu nikamtext Tinner shoga huku mie hata sitazamwi, akanambia embu acha haraka bwana nenda Taratibu halafu we mwanamke embu mtege hapoo, Mmh nikasema hata nimemtega mpaka basi akanambia embu acha utoto hakikisha huu usiku leo hauvuki kabla hujamaliza hilo duku duku shoo ...

Mmmh sasa nitamalizaje mmh, nikaeka simu pembeni nikalala pembeni yake najigusisha gusisha hata halishtuki nina hamu hata hanikumbatie tu lakini wapi, We nikasema huyu asinitanie nikainuka nikakaaa kitandani nimenuna hadi nalia
Akashtuka akanitazama halafu akinuka nae akakaa "Vero.....vipi upo sawa, Unaumwa.??"

"Ndioo.." nikajilegeza , akaanza kuhamanika

"Ngoja nikamwite mamaa, sijui jinsi ya kukusadia."
Anataka kutoka mbio nikamvuta nimejinunisha kweli

"Mtoto anatakaa..." nikaongea kwa sauti ya puani kabisa yaani nimelegeza sautii yakumchanganya akili

β€œMtoto… anataka nini Vero?” akauliza kwa sauti ya chini

Nikavuta pumzi, nikajifuta macho kwa nyuma ya mkono kama mtoto yaani nimelegea nimevuta midomo, halafu nikamwangalia Jicho la hubaa

"Anakutaka wewe, sa we umenuna tu si bora utufukuze" nikajibu kwa sauti ya kulalamika, nikigeuza uso pembeni, ndo nazidi kuvuta mdomo

Akacheka kidogo yaani nikasikia kabisa sauti yake anacheka ooh ka moyo kaka pata hadi ahueni ..

"Acha masihara hali uliyo nayo haitaki utani sawa, utakuja kupata tatizo mie nitajua utani ohoo shauri yako" et akajigeza akalala khaa, Huyu kaka vipi

"Kwani hujasikia Veda mtoto anataka"

"Anataka ninii, Et babyyy unataka nini mtoto wangu, baba anakupenda sana roho inaniuma mama yako alichotaka kukufanya naumia sana hata sijui nikueleweshe vipi mwanangu" akawa ameinama anaongea na Tumbo langu

"Kwahiyo unataka huyo mtoto anilaani huko, ili we uonekane mzuri mie mbaya sio" akanitazama kidogo amekaza macho

"Vero....aaah hata sijui nikuambie nini lakinii naomba tulale akili yangu haipo sawa kabisa" akataka kulala nikamkumbatia, Taratibu baada ya sec ndio nae akanikumbatia nikawa nimejilaza kwenye kifua
''Nahisi kuwa naamani sana nikiwa hapa"

"Muongo wewe..."

"Veda nakupenda sana lakini nilikuwa naogopa utaniumiza mie sitaki kuumia'"

"Kwanini usinipe nafasi, kwanini una muhukumu mtu unajua umeniumiza kiasi gani Vero kwa hizo act zako!!"

"Basi nisamehe Ba mpenzi wanguu!!!"

Akanikumbatia vizuri mweeeh akanambia "Nimekusamehe muda sana nimefurahi sana kuwa una mtoto wangu Vero" waoooh nikajilaza vizuri, akanibusu kwenye paji la uso daah sikuamini kama msala umeisha

"Anataka nini mtoto" akaniuliza huku ananitazama na mie nilikuwa namtazama kwa ukaribu sasa Veda wangu aloo bonge la mkaka yaani So mwaaaah, waooooh Mungu sante yale macho yake nilijikuta na sisimkaa na lile swali alivyoniuliza huku ananiangalia wadudu mbio mbioo

"Tangu umuweke hajawahi kukuona tena kwahiyo tumpe pumzi!!" Alicheka huyoo hata hakuuliza swali lingine bwana akanipa mdenda huoo nyiee kaka msweeety hatari

ITAENDELEA.....

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Mimi sikuachi fully stories
Mimi sikuachi fully stories
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 19


Basi mpaka sa moja inaenda na Nusu Veda hajaja, Moyo juu juu itakuwa tu kaenda huko kwenye ma club, moyo lipu lipu muda wote kama nimemezaa kaa la moto hajabu sasa hata namba yake sina, makubwa ..

Nikatoka mpaka kwa mama, ile nyumba ipo hivii kuna vyumba vya nyuma na nyumba kubwa Ni nyumba nzuri tu ila sio ya kifahari ni nzurii alijitahidi sana kujenga tena nilivyojua ni nyumba yake aah nilimpa salute mie nilijua mluga luga tu wa mtaani huko ...

Sasa veda yeye anakaa nyumba ya uwani huku ila hakuna wapangaji wapo wao tu tena sikuwakuta hata wale mapacha ile...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/from-bangi-to-baby-sehemu-ya-19

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi from-bangi-to-baby-sehemu-ya
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜  SEHEMU YA 16
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 16
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 15
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 15
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 17
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 17
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 1
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 1
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜   SEHEMU YA 18
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 18
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 4
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 4
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 3
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 3
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜  SEHEMU YA 13
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 13
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 2
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 2
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜  SEHEMU YA 11
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 11
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 12
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 12
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 7
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 7
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜  SEHEMU YA 10
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 10
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 6
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 6
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 8
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 8
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 5
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 5
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜   SEHEMU YA 9
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 9
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 14
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 14
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

840
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12

527
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 17

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 17

478
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 13

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 13

465
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 14 na 15

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 14 na 15

443
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜   SEHEMU YA 18

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 18

359
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 19

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 19

263
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10

248
SHAMIRA sehemu ya 34&35

SHAMIRA sehemu ya 34&35

178
BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 3

BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 3

93

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.45K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.21K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.75K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.2K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.6K
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

2.49K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.44K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.44K
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

2.41K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.39K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 19 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 19
@majario LIVE

Basi mpaka sa moja inaenda na Nusu Veda hajaja, Moyo juu juu itakuwa tu kaenda huko kwenye ma club, moyo lipu lipu muda wote kama nimemezaa kaa la moto hajabu...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 14 na 15 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 14 na 15
@majario LIVE

Basi nilipomaliza kuongea na ibraaa nikakata simu, nikaendelea kudrive kuelekea nyumbani kwangu sasa, na nilipofika nikampigia j kawa na furaha sana , anafurahia kwenda shule kesho, nikasema muache afurahi...

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜   SEHEMU YA 18 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 18
@majario LIVE

Mama akanambia kuwa Veda alikuwa na huyo mke wake walifunga ndoa kabisaa kanisani, wakati huo Veda alikuwa anafanya kazi kwenye kampuni ya mturuki alikuwa kama dereva anamuendesha ile kampuni ilifirisiwa...

BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 3 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 3
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 Endelea Asubuh Hiyo Mariana aliwahi kazini kama kawaida yakee na kuanza kusikia kile kilichotokea jana maana kila mmoja alizungumzia lakee β€œ Mariana unaitwa na madam Camilla...

Such a lovely throwback ! This pic of Raj Kapoor, Randhir Kapoor and Rishi Kapoor celebrating Holi together is pure nostalgia Post Mpya
Such a lovely throwback ! This pic of Raj Kapoor, Randhir Kapoor and Rishi Kapoor celebrating Holi together is pure nostalgia
@majario LIVE

. You can literally feel the fun and madness of a proper Bollywood Holi. All three covered in colours, smiling, enjoying the moment like one big happy family. Raj Kapoor, the...

Hongera umepata kazi ya kulinda bwawa la samaki usiku huko mkoani Iringa karibu na bonde la mlima Kitonga. Mshahara ni shilingi milioni moja kwa usiku mmoja Post Mpya
Hongera umepata kazi ya kulinda bwawa la samaki usiku huko mkoani Iringa karibu na bonde la mlima Kitonga. Mshahara ni shilingi milioni moja kwa usiku mmoja
@majario LIVE

. Kazi inaanza saa 4 kamili usiku hadi saa 12 alfajiri. Hakuna muda wa majaribio. Ukifika kazini unaanza kazi. Hivyo sikiliza masharti haya kwa makini ili uweze kufika asubuhi. Sharti...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 13 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 13
@majario LIVE

Basi nikaingia ndani, dohh nilipashangaa, yani uyu dada hakuwa na chochote cha maana cha ndani zaidi ya godoro tu, amabalo nalo wala halikuwa linalizisha kabisa,mabegi ya nguo, na ndoo za...

Zayed Khan has always been a total family man at heart. He’s married to his high school sweetheart, Malaika Parekh Post Mpya
Zayed Khan has always been a total family man at heart. He’s married to his high school sweetheart, Malaika Parekh
@majario LIVE

. They met as teenagers at Kodaikanal International School, became close friends, and eventually fell in love. After years of being together, they got married on November 20, 2005. It’s...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*
@majario LIVE

SONGA NAYO. Ila nyie mapenzi konyo Walahi, Yaani ukimuona mtu unayempenda lazima tu Ka moyo kashtuke na kapate amani Fulani hivi Kitendo cha kumuona Enzo nilifurahi lakini pia nilijikaza tu na kumuuliza...

This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! You’ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibe… Kajol looking all fiery and expressive… Juhi Chawla Post Mpya
This pic from Ishq is pure 90s madness and I love it ! You’ve got Ajay Devgn with his serious, intense vibe… Kajol looking all fiery and expressive… Juhi Chawla
@majario LIVE

with that cute bubbly energy… and Aamir Khan being his mischievous, romantic self. What a combo yaar! Ishq was not just a love story, it was full on drama, comedy,...

 Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani Post Mpya
Ili kombora la Iran lifike Israel, linatakiwa kuvuka vikwazo vifuatavyo njiani
@majario LIVE

* Meli za kijeshi za Marekani zilizopo Ghuba ya Uajemi * Rada za Israel zilizopo Azerbaijan * Rada za Israel zilizopo Turkmenistan * Mifumo ya ulinzi wa anga ya vituo vya Marekani nchini...

SHAMIRA sehemu ya 34&35 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 34&35
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nikajiiinua taratibu tukaingia bafuni. Mwanaume akanikumbatia uku tunaoga. Aseee uyu baba ananipenda ila hataki upumbavu ata kidogo na mkono wake mwepesi kupiga .na yote sababu...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nikaona zena kamnyanyua yule mtoto kisha akambeba ,ni amefanana nae sana ,nikajua ni wa kwake tu yani ni lazima utu mtoto atakuwa ni mwanae, kisha akanigeukia...

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 17 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 17
@majario LIVE

Ikabidi nikae tu kwenye piki piki maana sura alivyokuwa kaikaza mmh asije kunipiga, Kimyaa kikatawala sasa mie nilijua tunaenda kwa Tinner na moyoni nilikuwa nimempangia hayo maneno Tinner eeh mbona...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL   SEHEMU YA 10 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 10
@majario LIVE

πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹ Maeneo ya pale pale chuoni, Salmon alikuwa amepanga nyumba kubwa ya peke yake. Wakati akiwa chuo ndo alikua anaishi hapo, ila siku za weekends kama hana mambo mengi ndo anaenda...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest