CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16-20*
*_______________________________________*
.Chapter 19&20
Tuliondoka na mume wangu kuelekea kwake. Aseee ni bonge la nyumbaa ile aliyonipa ikaanzeee kwenye parking kuna magari kam yotee, bustani kumbwa muda huo mimi nachungulia tu kwenye gari hapo naona mapya hayaa jamani maana nilikuwa naona kule ninapokaa ndio napaona pazuri balaa, kumbe kuna kam hay, tuliingia ndani, tukapelekwa chumbani, na nilikuwa na maswali mengi sana kwa Salim kam alivyobadili jina akapewa jina hilo.
"Kwanini ulikuwa kimya muda wote huoo?, unajua nimefikiria mangapi? Na kwanini ulivyorudi hujaniambiaa unajua nimevumulia mangapi etty Ellias?" Nililalamika na nilimuita Ellias kwasababu ndio jina nililolizoea Salim ndio jina langu sio Ellias afu mke wangu tutaongeaa, kuhusu kila kitu mimi nipo tayri kukuelezea hili mke wangu, ila timiza kwanza haja yangu nimekumiss etty" alisema mume wangu, nikamkata hilo jicho hiloo la wee haya dawa yako inachemka, akawa ananitazama kalegeza macho balaa utasema sio mwanaume, nilikuwa namtizam kwa hasiraa kweli yaani akanisogeleaa akaaanza kunipa Juicee
"Wewe, subirii nikaogee tutaendeleaa sawa?" nilisema nikikimbilia bafuni nikafunga mlango maana kwa situation niliomuacha nayoo angenifuata huku huku bafuni, maana hata lile shela niliamua kwenda kulivuliaaa bafuni mule mule, mimi mwenyew nilikuwa nimemmisi sana yaani ila nilitak nikakisafishe akikutee kisafii bhana sioo anakurupukiaa kurupukiaa hatujakutana miezi miwili anajuaje kam mimi ni msafi huku kwa bibi? basi nilienda kuoga, yeye alikuwa ananisubirii tu nikatoka nimevaa kitauloo tuu akuu.
Nikamsogeleaa me mwenyew nikamwambia aendelee pale alipoishiaa huyu ni mume wangu bhana muache ajipakuliee kinachomtosha. bhana, tuliendeleaa kupeana juicee kam kawaida yake anajua udhaifu waangu ulipo akaja kule kule kwenye sikioo lililozoeaa kusikia umbeaa, yaani nakuwaga very sensitive hapa kwenye sikio uwii, nilikuwa napiga kelele tu, nikajikuta nashuka naenda kunyonya pipi, aku lilikuja tu hiloo wazo mee baada ya kuzidiwaa, nikanyonya pipi mpaka nilipotosheka hasaa, akanipandisha kitandani sasa hapo nishakuwa hoii naililia tuu hiyo lollypop yangu, hajuwa mchoyoo mume wangu alinipa kisawa sawa mpka nikawa nachokaa yaani nikichoka anaanza upya kuniandaaa jaman alinikulaa huyu mkaka, kam vile hatokuja kunikula tenaaa jamani wakati ndio kwanza tunaanza
Tulimaliza tukaendaa bafuni ila hata hukooo, hatukuachana salama na ya kwenye maji inavyonogaa jamani mniachee tuu mimi, nienjoy sana tulikuwa tumechoka tukaamua kulala kwanza ila nilishtuka saa tisa usikua nikamuamsha etty ananiuliza unataka yanki huyu mwanaume mjinga kweli anapenda papampa huyuu ovyoo nimemuamsha tuongeee wakati mimi anijibu maswali alisema nitimize ahadi yake, haya nijibu maswali yangu, weee mwanaume, sitaki jua lichomoze sijapata majibu yangu" nilimwambia mume wangu aliinuka akakaaa akanambia
"Mke wangu, sikufanya kusudi ujue hili swala la kubadili dini lilileta shida sana, nilijua itakuwa rahisi sana wazazi wangu kuelewa, lakini ilikuwa ngumu sana kwao kuelewa, walikataa na wakachukua hadi simu yangu na kuvunja line wakanipa line nyingine ili tuu, nisiwasiliane na wewe, nimeteseka kama wewe pia mke wangu yaani wamekuja kukubali baada ya kuona hakuna ninachokiweza kukimudu bila wewe mke wangu, ikabidi wakubali kwasababu nilitaka hadi kujiua kwa ajili yako mke wangu, lakin hili waliona litawagharimu sana kwenye maisha yao kwasababu mimi ndio mtoto wao wa pekee ikabidi wakubali hili, ila walivyokuonaa na kusikia sifa zako walikupenda" nilijikuta hadi namuonea huruma mume wangu jamni maan kapitia magumu zaidi yangu nilimkumbatiaa, heee yeye kukumbatiwa tu akataka tena jamni nikampa tuu jamank ndio mume wangu, mhhh maan nimeambiwa mume akitaka uko jikoni unaacha kupika unaenda kumpa hhhhhaa
Siku zilipita na tayari nilikuwa, mjamzito na kwa upane wa dada Mariam alikuwa tayari anaujauzito tayari na yeye, ila yeye yake ilikuwa kubwa kanizidi kam miezi miwili hivii, na wazazi wake mume wangu walirudi Marekani kuendelea na biashara zao hukoo ila mama mkwe alisema nikikaribia kujifunguaa, atakuja kukaa na mimi nikabaki na mimi,
Ila jamni nina gubu mimi mpaka mume wangu anachoka ila ntafanyaje na akiuliza anaambiwa avumilie ni mimba tu inanisumbua, plus na kazini siendi mume wangu wangu nikijifungua atanifungulia biashara hataki tena mke wake aende maofisini tena, kuna vijana wengil wa hovyoo huyu ana wivu na yeye mhhaa
karibuni sana, mlikuwa na mimi mtunzi wenu, Simulizi za Baby smile, ubarikiwe sana dear kwa saport yako Mungu akuzidishie pale ulipotoa, karibu tena kipenzi changu nawapenda mno vipenzi vyangu
GLORY BE TO GOD
THE END.
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi

Maoni