Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

 *AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*   *15&16*
Gonga94 · Stories

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *15&16*

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


Nikatulia kwanza na kumuangalia madam groly

kisha nikamuuliza.

"Unamaanisha nini unavyosema hauna Furaha na hii siku 7 Sijakuelewa kwakweli nakumbuka ulikuwa ukitsubilia hi siku kwa hamu sana"

Madam groly akacheka sana kisha akasogea mbele yangu akiwa na Sura kauzu sana

kuzungumza.

Ishani, kumbe wewe nawe akili yako ni ukubwa wa KISODA tu, Yaani Mimi nikupokee wewe kwenye familia yangu 7 Sijawai kuisubili hii siku ata siku moja, sikuwal Kuwa na shauku na hii siku ata kidogo

Nikaona sasa huyu mama anataka kunizoea na ananiona Mimi Kama toy lake anaweza skachezea muda na saa yoyote ile, kwa kujamini sana nikasimama na kumjibu.

"Ooooooh is that so ? Kumbe bado unitaki na

utaki Mtoto wako awe na Mimi? Madam groly bado ujachelewa bado kuna lisas limoja tu nenda kanisani halafu hakikisha hii ndoa Inakatishwa ila sio unaniletea mdomo wako

hapa

"Nini wewe? Yaani ishani Ndio unaniongelesha Mimi hivyo? Unasahau Kuwa Mimi ni mama mume wako mtalajiwa

"Ni mama yake wewe sio Mimmi uwezi Kuwa mama yangu ata siku moja Sawa, sasa utachagua ukavunje ndoa sasa hivi ukan kinywa kwa maisha yako yote yaliyobakia hapa duniani, mshenzi mmoja wewe

Kiukweli huyu mama ameshanikaa kooni Vaani angekuwa mate ningemterna tu ili anitoke roho yake mbaya.

Kwa hasira akatoka nje na watu wa kuniandaa

wakarudi Ndani na kuendelea kuniandaa.

Kiukweli sikuwa Sawa Furaha yangu ilipotea yote wakati Mwenyewe nilikuwa nina vibe Kama lote bi harusi Mimi nilichachuka kabla ya huyu mama kuja kuharibu

Hatimaye muda ukawadia nikatolewa saloon na

kupelekwa kanisani, Ila ili awala la kutokuwa na

wazazi linaumiza sana, Imagine, Enzo

anasindikizwa wazazi wake kwenye atale

Mimi nilindikizwa na Pili lakini pia sio Pili

Pekee yake Bali baba mzazi wa Pili pia akasimama Kama baba yangu nyleeeh hil familia lacheni naipenda sana, wamenionesha

upendo wa hali ya juu.

Enzo wangu alikuwa no Furaha sana muda wote

alikuwa kucheka tu, Walahi alikuwa ananipa raha

na kuna Namna Furaha yake ilinipatia Furaha pia na kujikuta nikipotezea Maneno machafu ambayo mama yake alinipatia saloon.

Aaaaah nyie Jambo likipangwa na Mungu

hakuna mwanadamu yeyote Yule ambaye

anaweza akapangua, hatimaye nikawa Mke

halali wa Enzo.

Baada ya Ibada kuisha, nikarnsogelea madam groly na kuanza kumlingishia Pete yangu uku

nikimzomea kila mtu aliamini Kuwa ni utani lakini Mimi na yeye Ndio tulikuwa tunajua ni kitu gani kinaendelea kati yetu

Enzo Nae ni Kama Wivu ulimvaa hivi, akasogea. nilipokuwa namchokoza mama yake na kunikimbatia kwa nyuma

"Hongereni sana wangu, Yaani hongereni mno

Mamaa Enzo Alizungumza baada ya kumuona

Enzo amefika

Karna familia tukapiga Picha MBILI Tatu kisha

Mimi na Enzo na wasimamizi wetu,

tukachukuliwa na kupelekwa hotelini kwaajili ya

kubadilisha nguo na make up nyingine kwaajili

ya kwenda ukumbini sasa.

Tulipoingia tu kwenye chumba cha hotel, shoga

yenu nikafunga mlango vizuri kisha nikarudi na

kumkumbatia Enzo kwa nguvu sana na kwa

mahaba ya hali ya juu nikaanza kutema Cheche.

Enzo Mume wangu, najua Kama nakupenda

sana wewe unanipenda sana tu, lakini katika

hii siku ya Leo nataka ujue Kuwa Mimi naishi

kwaajili yako, nataka ujue Kuwa ishani Mimi siwezi kuishi bila wewe, nataka ujue Kuwa Kama kuna kuzaliwa Mara ya Pili nitataka wewe

uendelee Kuwa mume wangu, nakupenda mno,

nakupenda mume wangu"

Enzo akaninyanyua vizuri kabisa

na

kunipandisha kitandani kisha na yeye akapanda

na kunijibu

"Moja ya ndoto yangu kubwa ilikuwa ni Kuwa na

mwanamke ambaye nitampenda sana, na tangu nilipogundua Kuwa moyo wangu umenasa kwako nikaaidi Kuwa lazima nisimame na wewe

kanisani and am grad i did it, Ishani, madhaifu

yetu yasije kuushinda upendo wetu ata siku

moja

Aghaaaaaaaah nyte huyu kaka anazidi

kunimaliza mwenzenu.

Eeeeh huyu mtu wa make up Mbona aji sasa Nilizungumza baada ya mazungumzo yetu ya Maana kuisha

Enzo akajibu

"Nimemwambia asije utaenda ukumbini ukiwa

natural

"Nini wewe? Yaani Mimi niende ukumbini bila

kupaka make up? Weeeh labda Mimi sio Mimi

nataka kubaluza baba

Enzo akaniangalia aka tabasamu na kunisogelea

Karibu kabisa na Kwa SAUTI ya kukoloma

akajibu.

"Nimemwambia achelewe kuja kidogo, nijonjee

tunda langu la halali Maana ile la mwanzo

lilikuwa haramu

"We jinga nini Ebu Niache, hapa kwenye

nimechoka Sijui ata ukumbini itakuwaje halafu

na wewe Unataka kumipindua 7 Kijana

tubeshimiane

Nilizungumza na kutoka kitandani na kwenda.

kukaa kwenye kochi haikuchukua muda

mrefu mtu wa make up na team yake wakafika

na tukaendelea na process

Kiukweli my zangu harusi ilifana sio michezo,

Yaani ukumbini kila mtu allarnini Kuwa Miami na

mama mkwe yangu ni tunapendana sana na

Ndio Maana tunatambiana na kushindana

kumbe likuwa ni vita baridi, Yaani Mimi na

mama mkwe tulikuwa Kama mtu na Mike

mwenzio siku hiyo.

Kiukweli natamani niwasimulie kila kitu lakini

siwezi Walahi, siku ili Kuwa Ndefu sana na

nilichoka mno mpaka nikalala pasi na kuoga

samsinichambe me sio

Mchafu ni uchovu tu

Mimi

mume wangu tulikaa hotelini week

moja kisha tukarudi NYUMBANI kwetu

"Eeeeeh Mike wangu kipenzi, nambie honeymoon

Unataka nikupeleke nchi gani?"

Enzo aliniuliza muda huo ulikuwa ni usiku na

Ndio kwanza tulikuwa tumetoka kumaliza

mechi.

"Mume wangu, Wala usijiaumbue me sitaki

kwenda kokote pale, lakini nilikuwa nimewaza

Kuwa tukakae kule kwa mama week MBILI tu au

mwezi mzima

Nilijibu kwa mahaba Makubwa sana, Enzo

alibaki alicheka uku akiamini Kuwa nataka kuwa

Karibu

na mama yake kumbe L

Sitaki Kuwa Muongo wakweli, Yaari Mimi

niliandaa shengesha la Maana ambalo nilitaka

kumfanyia mama mikiwe, nilijitolea kumuonesha

mama mkwe uchizi na utalla.

Pasi na kupoteza muda mume wangu.

akachukua simu na kumpigia mama yake na

kumpa Habari hiyo, pasi na shida yoyote madam

Groly ekakubali na alionesha Kuwa na Furaha

kupitia SAUTI yake.

Siku iliyofuata, Mimi mume wangu tukapaki

nguo zetu

tukaenda kwa mama mkwe, kwa

mama mkwe kulikuwa na maandalizi mazuri

sana ya kutupokea

Ila nyie subilini kwnza, hivi kumbe ukipendwa

vizuri Ndio Una nawili kiasi hiki? Nyieeeh me

nilinawili Bwana, Yaani ilifica kipindi nikkipita

kwenye kioo naganda nikijishangaa.

Ikiwa ni majila Ya jioni siku hiyo nilimuacha

mama wa kazi Yaani mama zena apumzike uku

nikiipromise familia nzima Kuwa nitaandaa

chakula cha jioni.

Aaaah mwanamke jiko Bwana aswaah ukiwa na

ndoa ya halali

Nikiwa jikoni naandaa mambo mazuri gafia

madam groly akaja na kusimama pembeni

yangu na kubaki akiniangalla tu

"Umemaliza kunishangaa?"

Nilimuuliza madam groly Maana ameganda tu

ananishangaa Kama amepotea posta.

"Hivi kunguni Mdogo unajiamini nini?"

Madam groly aliniuliza

Nikamuangalia na kutabasamu kisha lova

kujiamini Nikamjibu.

"Kaama Mimi kunguni Mdogo lakini harufi yangu

Kali sana na inakosesha amani kabisa

"Stupid Yaani Sijui umemfanya nini Enzo wangu,

Yaani Enzo asikii Wala aambiwi kuhusu wewe

"Madam groly, hivi unajua Maana ya kupenda na

kupendana 7 Mimi na Enzo tunapendana sana.

Tena sana, najua wewe ni muhenga lakini wacha

nikukumbushe Kuwa mliwai kusema Kuwa,

Ndege wafananao huruka pamoja

Madam groly alikosa ata cha kuniambia skabaki

akniangalia kwa hasira akachukua kitunguu

saumu na kuanza kukukatakata na kisu.

Uwilih kitendo cha Mimi kunusa harufu ya

kitunguu Swaumu,

nilijikuta

nikipata

kichefuchefu cha gafla, nikatoka mbio na

kwenda kwenye public toilet kwaajili ya kutapika

Nilishusha pumzi Ndefu baada ya kumaliza

kutapika

"Aaaaah maralia yameanza kuninyemelea sasa

Nilizungumza uku nikirudi kwenda jikoni, lakini

gafia mama zena akalopoka.

"Maralla wapi wakati ni kijukuu cha madam groly

iko

Weeeh nilishtuka san sio Mimi tu kila mtu

aliyesikia alishtuka, kwa haraka Enzo aka

Je ni kweli Nina Mimba au mama zena

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *15&16*



Nikatulia kwanza na kumuangalia madam groly

kisha nikamuuliza.

"Unamaanisha nini unavyosema hauna Furaha na hii siku 7 Sijakuelewa kwakweli nakumbuka ulikuwa ukitsubilia hi siku kwa hamu sana"

Madam groly akacheka sana kisha akasogea mbele yangu akiwa na Sura kauzu sana

kuzungumza.

Ishani, kumbe wewe nawe akili yako ni ukubwa wa KISODA tu, Yaani Mimi nikupokee wewe kwenye familia yangu 7 Sijawai kuisubili hii siku ata siku moja, sikuwal Kuwa na shauku na hii siku ata kidogo

Nikaona sasa huyu mama anataka kunizoea na ananiona Mimi Kama toy lake anaweza skachezea muda na saa yoyote ile, kwa kujamini sana nikasimama na kumjibu.

"Ooooooh is that so ? Kumbe...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/aaaaaash-boss-enzo-season-two-15-16

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi aaaaaash-boss-enzo-season-two
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* 7 na 8
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* 7 na 8
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU Ya tisa*
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU Ya tisa*
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA TATU*
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA TATU*
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU*
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA TANO*
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA TANO*
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA PILI*
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA PILI*
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA NNE*
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA NNE*
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13*
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13*
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KWANZA*
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KWANZA*
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*    *SEHEMU YA KUMI NA NNE*
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA NNE*
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13*

979
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*    *SEHEMU YA KUMI NA NNE*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA NNE*

836
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21

653
 *AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*   *15&16*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *15&16*

460
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17

261
SHAMIRA sehemu ya 36&37

SHAMIRA sehemu ya 36&37

161
BLACK BUTTERFLY 🦋 4

BLACK BUTTERFLY 🦋 4

92
Honestly, these two are such a vibe together !  Priyanka Chopra and Nick Jonas

Honestly, these two are such a vibe together ! Priyanka Chopra and Nick Jonas

9

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.49K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.25K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.76K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.22K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.61K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.6K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.52K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.5K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.46K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.45K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17* Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*
@majario LIVE

Sikujua kam nililala pale mpaka asubuhi, tena nimelala kana kwamba pale ni nyumbani kwetu jamni nilikuja kushtuka tena baada ya kupigiwa simu, jamni si ndio naamka najikuta nipo kwenye chumba...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nilifika home nna hasira sana, nimechukia mnoo, yote sababu nilikuwa nimemmaind sana yule demu, yani nilimuona ana linga kinoma, nikasema bwana mi namkaushia kama.vp mana wanawake...

 *AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*   *15&16* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *15&16*
@majario LIVE

Nikatulia kwanza na kumuangalia madam groly kisha nikamuuliza. "Unamaanisha nini unavyosema hauna Furaha na hii siku 7 Sijakuelewa kwakweli nakumbuka ulikuwa ukitsubilia hi siku kwa hamu sana" Madam groly akacheka sana kisha akasogea...

SHAMIRA sehemu ya 36&37 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 36&37
@majario LIVE

Wassap:0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi mwanaume akaondoka zake na mimi ndo nikashika simu sasa .nikampigia aisha kumpa mchapo.nikasema shoga nusu niachwe mwenzio.nimeomba msamaha kama chizi.aisha akasema mh tatizo hamadi...

BLACK BUTTERFLY 🦋 4 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY 🦋 4
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 Endelea Brayton akiwa kwenye gari alijaribuu kupiga simu Hospitali ili maandilizi mapema kwaajili ya mgonjwa anae kuja nae muda huu. Hospitali nayo hakufanya makosa tayari waliandaa kitanda...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21
@majario LIVE

Nikamuuliza "we umejuana vipi na D??" "Yule D ni mdogo wake na Boss wangu, ni binamu yake kitu kama hicho, mie sijawahi hata kuwa na mazoea nae kabisaaa ila kuna issue...

Honestly, these two are such a vibe together !  Priyanka Chopra and Nick Jonas Post Mpya
Honestly, these two are such a vibe together ! Priyanka Chopra and Nick Jonas
@majario LIVE

really make you believe in modern-day love stories. Different countries, different cultures, totally different careers — but somehow it all just fits perfectly. What started with a simple conversation...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*    *SEHEMU YA KUMI NA NNE* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA NNE*
@majario LIVE

Muda huo Mwenyewe nilikua Nacheza kwa Furaha zote, lakini kitendo cha kumuona madam groly killharibu kila kitu, niliona kabisa birthday yangu inaenda kuharibika Maana huyu mama hana jema ata kidogo. "NAKUJA Alizungumza...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13*
@majario LIVE

SONGA NAYO Nikageuka na kumuangalia ma Mdogo "Ishani umeolewa Mwanangu?" Nikamuangalia na kumwambia. "Mind your business bi mkubwa Kisha Mimi na Enzo tukaondoka kwani tayall tulishabolt Bajaji na ilikuwa ikitusubilla. Msijiulize Kwanini tunatuma Bajaji wakati Enzo...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 20 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 20
@majario LIVE

Lile joto la midomo yake ilipo gusana niliisi ulimwengu wote umenyamaza nikafumba macho Kulikuwa na joto la ajabu sijawahi kulipata Mkono wake alikuwa anaupitisha taratibu kama anahesabu kila pigo la moyo wangu,...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 19 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 19
@majario LIVE

Basi mpaka sa moja inaenda na Nusu Veda hajaja, Moyo juu juu itakuwa tu kaenda huko kwenye ma club, moyo lipu lipu muda wote kama nimemezaa kaa la moto hajabu...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 14 na 15 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 14 na 15
@majario LIVE

Basi nilipomaliza kuongea na ibraaa nikakata simu, nikaendelea kudrive kuelekea nyumbani kwangu sasa, na nilipofika nikampigia j kawa na furaha sana , anafurahia kwenda shule kesho, nikasema muache afurahi...

FROM BANGI TO BABY 💞💘   SEHEMU YA 18 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 18
@majario LIVE

Mama akanambia kuwa Veda alikuwa na huyo mke wake walifunga ndoa kabisaa kanisani, wakati huo Veda alikuwa anafanya kazi kwenye kampuni ya mturuki alikuwa kama dereva anamuendesha ile kampuni ilifirisiwa...

BLACK BUTTERFLY 🦋 3 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY 🦋 3
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 Endelea Asubuh Hiyo Mariana aliwahi kazini kama kawaida yakee na kuanza kusikia kile kilichotokea jana maana kila mmoja alizungumzia lakee “ Mariana unaitwa na madam Camilla...

Such a lovely throwback ! This pic of Raj Kapoor, Randhir Kapoor and Rishi Kapoor celebrating Holi together is pure nostalgia Post Mpya
Such a lovely throwback ! This pic of Raj Kapoor, Randhir Kapoor and Rishi Kapoor celebrating Holi together is pure nostalgia
@majario LIVE

. You can literally feel the fun and madness of a proper Bollywood Holi. All three covered in colours, smiling, enjoying the moment like one big happy family. Raj Kapoor, the...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest