Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 16 na 17
Gonga94 ยท Stories

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 16 na 17

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Mwandiishi; LISSA

Basi nilifika home nna hasira sana, nimechukia mnoo, yote sababu nilikuwa nimemmaind sana yule demu, yani nilimuona ana linga kinoma, nikasema bwana mi namkaushia kama.vp mana wanawake ni wengi na wazuri.kuliko yeye, basi mwanaume nikaenda bafuni nikapiga maji kushusha hasira kwanza, daaah asikwambie hii issue nilimind kinoma yani, yani kanajikuta sana kale kadada, basi kwakua nilishashiba, nilitaka kuchek movie kidogo, ndo nipumzike, na chumbani kwangu nna tv kali kabisa nchi 55, nikaweka movue nikawa naangalia, nikiwa busy na mavue, et naona zena ndo kanitumia sms, kaandika samahani sana millan usinifikilie vibaya naomba unielewe mi kwa sasa nahitaji kuwa mwenyewe tu, na sihitaji mahusiano, mi sikumjibu wala nn, nikamkaushia kimyaaaa kwanza sikutaka shobo nae kabisaaa mimi, ye si kashanikataaa mi nimemuelewa sms za nn sasa kama sio kunitia uchungu mshenzi uyu

Basi bwana ,nikaaangalia movue pale,nayo nikaw naona ata sielewi, kila nikimfikilia zena ,yani demu namfatilia miez mitatu kisha anakuja kunambia hanitaki msenge uyu, now anajitumisha sms za nn sasa, basi nikapanda zangu kitandani nikapumzika tu, asubuh na mapema mi nikaingia zangu job, nilivyofika job sasa, ahaa nikampanga mwanangu ibraa juu ya majibu ya yule demu jana, ibraaa alicheka kinoma akanmbia daaah kwaiyo mjanja vitu vyako vimeenda, nikasema sasa jee mwnagu, ibraa akacheka sana kisha akanmbia ila hukuombwa bwana si ulikuwa unatoa mwenyewe, nikasema au sio na wewe unanaikataa mwanangu ibraa aknmbia nakutania eeh nambie umefikilia nini sasa , nikasema mwanangu mi yule demu basi

Yani basi kabisaaaa namaanisha mwanangu, simtaki tenaaa, sitaki complain nae ,nimeshukuru yule demu kanishinda, ibraa akanmbia sasa yule ndo mwanamke wa kuoa ,nikamwambia mi ntaoa dunia ikiisha alafu sijawahi kufikilia kuoa single mother mimi, mda wowote anaenda kupasha viporo na mwanaume alozaa nae,mi mwanamke kama yule wa nini mi nilitaka kula mzigo nisepa na demu ndo kanikazia badi fresh hakuna noma wala nn,, ibraa kanmbia we si ushazoe unapashanga na wazazi wenzako basi unaona na kwa wenzio hivyo hivyo fala ww, nikasema ndi hivyo, ibraa kacheka sana akanmbia we kiboko yako ni zena kumanina wewe, umechezea chezea wadada wa watu, sasa umegilongwla breki, ela umeliwa na utamu hujapewa, nikamaind wala sijuongea mana mm nna matani sana na ibraa ,nikajua leo kanikamata bwanaa oyaaa kuanzia apo mwanaume nikafunga viooo juu ya zena, sikutaka tena mazoea na zena na nikawa sina mpango nae kabisaa, nikawa busy na kazi zangu sanaaa, kuna mda zena alikuwa ananipigia ila sikuwa napokea na akituma sms anatuma mambo ,mi sikuwa namjibu kabosaaa, yeye si kanikataaa asa sms za nn, mi nikawa busy na wanawake zangu wengine mana kwanza nna mademu kama wote, kulala na nyege kuamua tu

Basi bwana siku iyilo nipo zangu kazini mida ya saa 7 mchana,zena akanipigia, mi sikupokea kabisa simu yake, simu ilipokata zena akanitumia sms akanmbia sio mm ni mtoto ndo anafosi sana kuongea na wewe na analia ,naomba upokeee kwa. Ajili yake, daah nikamkumbuka mwaname bwana ummy, aka katoto kananipenda sana ,yani uyu mtoto ananipenda kweli kweli kuliko wanangu wa kuwazaa, mi watoto wangu hawana usumbufu wa kwamba bbaa nataka kuongea na wewe wakupituliza hapana mala nyingi mm ndo nawapigia mama zao naomba kuongea nao, ile kawaida tu, ila sasa kwa uyu mtoto daah ni shida, apo ni kama week 2 zimepita sijaongea kabisa na zena

Basi mo ndo nikapiga sasa , na kweli namsikia ummya ndo kapomea analia ananmbia baba unakuja lini, daah nikamwambia nimesafiri mwanangu, ndo mana ,ila nitakuja nikiludi ,akanmbia basi baba ukija niletee tv wananifukuza kwao akina ashana, daah tatizo mama yake kunipa mzigo hataki mbona ata kuwaamisha ningewaamisha ,mi demu akinpa mzigo kumpa ata milion 10 sioni shida, ila demu amabaye simjuh , ata elfu 10.kutoa inakuwa mtihani kwrli kweli basi tu๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ, nikamwambia sawa dada ummy, nikija ntakuletea tv mwanagu, akanmbia sawa baba asante nakupenda sana, nikajikuta mpaka nimecheka nikamwambia sawa mwanangu nami nakupemda sana pia, basi kale katoto kakawa kanacheka, et kamefurahi sana, nikamwabia nakupenda sanaโค๏ธ๐Ÿ“Œ ,kisha nikakata simu yangu, zena akanitumia sms, ndo umeninunia ,nikamjibu na mm asa naongea nini. Na wewe na hunitaki, akanmbia kwani maongezi hayapo mpaka tukitakana, nikasema mi siwez sasa kuwa na maomgezi ya kawaida na mtu ambae nampenda sana, na anajua kama nampenda ila anafanya kunikoma ,so bola nikaushe tu , maisha yaenda, akanmbia sawa

Basi bwana mi nikawa busy na mambo yangu sana, apa kati mpaka nilisafiri nielienda morogoeo kikazi nilikaa moro week 2 , uko sasa bado zena alikuwa ananipigia sana, yote niongee na mwanae mimi.na yeye hatukuwa na maonge,i kabisaa, daah ikafikia stage hasira zikapoa tu, kuna mda ata mm nakuwa nakamiss aka katoto nakapigia basi tunongea sana, antanihadithia mambo yote ya shuleni kwao, bado ananambia story za marafiki zake, yani ni katoto kaongeaji sana, apo sijabadilika uko moro ,kila day hotel nilikuwa nalala na mwanamke mwengine, mi mbele ya wanawake hunambii kitu, basi baada ya week 2 nikaludi nyumbani kwangu sasa, na nikapewa off ya week 1 ya kuwa nyumbani tu, basi nililala home kwanza kwa siku 3 kupoza mwili mana daah , mkoani uko kulikuwa na kazi kubwa nilifilimbika kweli kweli mwanaume, japo nilikuwa najipoza na mademu usiku, ila kazi ilikuwa ngumu mnoooo

Vasi bwana siku ya 3, nilimfukilia sana kale katoto ummy ,nikaona isiwe kesi naenda kumnunulia iyo tv, ahaa apo nimejaaa, nimetoka kazi za mkoa tena, nina pesa kinoma, basi mwanaume nikaenda gomz pale stand kuna duka la vitu vya umeme kubwa, nikanunua tv nchi 43, nikanunua na king'amuzi, nikalipia na kila kitu, mwanaume nikaanza safari ya kwa zena, kiukweli jilifanya kwa ajilinya mtoto., vile kila nikiongea nae ,ananmbia baba wenzangu wananifukuza kwao nataka.tv nikaoma nifanye kwa ajilin yake tu, alafu ata sikumwambia zena kama naenda ,basi nikafika mpaka mtaani kwao nikapark ila kabla.sijashuka.nikampigia sasa, nikamwambia zena nipo nyumbani kwako upo ,akanmbia hapana ila ndo nakalibia kuludi nilimpeleka hospital ummy leo hajamka sawa nikamwmabia sawa , ukifika nistue akanmbia sawa hakuna shida, basi kweli baada ya dakika 20 akanmbia tumeshafika nyumbani we njoo tu, na mimi ndo nikashuka na vitu vyangu, basi nikafika mpaka kwa zena, aseeee ummy alivyoona nimebeba tv mboan kalipona, kalinilukia kwa furaha mnoooo, mpaka nikajisikia rahaaaa

๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Enzi zetu
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 16 na 17


Mwandiishi; LISSA

Basi nilifika home nna hasira sana, nimechukia mnoo, yote sababu nilikuwa nimemmaind sana yule demu, yani nilimuona ana linga kinoma, nikasema bwana mi namkaushia kama.vp mana wanawake ni wengi na wazuri.kuliko yeye, basi mwanaume nikaenda bafuni nikapiga maji kushusha hasira kwanza, daaah asikwambie hii issue nilimind kinoma yani, yani kanajikuta sana kale kadada, basi kwakua nilishashiba, nilitaka kuchek movie kidogo, ndo nipumzike, na chumbani kwangu nna tv kali kabisa nchi 55, nikaweka movue nikawa naangalia, nikiwa busy na mavue, et naona zena ndo kanitumia sms, kaandika samahani sana millan usinifikilie vibaya naomba unielewe mi kwa sasa...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/afande-millan-sehemu-ya-16-na-17

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi afande-millan-sehemu-ya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 14 na 15
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 14 na 15
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 9 na 10
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 9 na 10
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 11 na 12
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 11 na 12
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 6 na 7
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 6 na 7
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 13
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 13
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 8
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 8
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 18
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 18
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*    *SEHEMU YA KUMI NA NNE*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA NNE*

855
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 21

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 21

659
 *AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*   *15&16*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *15&16*

501
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 16 na 17

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 16 na 17

299
SHAMIRA sehemu ya 36&37

SHAMIRA sehemu ya 36&37

163
BLACK BUTTERFLY ๐Ÿฆ‹ 4

BLACK BUTTERFLY ๐Ÿฆ‹ 4

99
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*

71
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 18

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 18

54
Honestly, these two are such a vibe together !  Priyanka Chopra and Nick Jonas

Honestly, these two are such a vibe together ! Priyanka Chopra and Nick Jonas

9

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.49K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.25K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.76K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.22K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.61K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

2.6K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

2.53K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

2.5K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.46K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.45K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 18 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 18
@majario LIVE

Yani ummy Alishangilia na kwambia aliimba nyimbo zote mpaka mama yake ndo alimnyamazisha, basi nikamwambia ummy aya mama yangu mzuri nimekuletea tv sasa uwe na amani sawa, akasema ndio...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17* Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*
@majario LIVE

Sikujua kam nililala pale mpaka asubuhi, tena nimelala kana kwamba pale ni nyumbani kwetu jamni nilikuja kushtuka tena baada ya kupigiwa simu, jamni si ndio naamka najikuta nipo kwenye chumba...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 16 na 17 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 16 na 17
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nilifika home nna hasira sana, nimechukia mnoo, yote sababu nilikuwa nimemmaind sana yule demu, yani nilimuona ana linga kinoma, nikasema bwana mi namkaushia kama.vp mana wanawake...

 *AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*   *15&16* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *15&16*
@majario LIVE

Nikatulia kwanza na kumuangalia madam groly kisha nikamuuliza. "Unamaanisha nini unavyosema hauna Furaha na hii siku 7 Sijakuelewa kwakweli nakumbuka ulikuwa ukitsubilia hi siku kwa hamu sana" Madam groly akacheka sana kisha akasogea...

SHAMIRA sehemu ya 36&37 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 36&37
@majario LIVE

Wassap:0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi mwanaume akaondoka zake na mimi ndo nikashika simu sasa .nikampigia aisha kumpa mchapo.nikasema shoga nusu niachwe mwenzio.nimeomba msamaha kama chizi.aisha akasema mh tatizo hamadi...

BLACK BUTTERFLY ๐Ÿฆ‹ 4 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY ๐Ÿฆ‹ 4
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 Endelea Brayton akiwa kwenye gari alijaribuu kupiga simu Hospitali ili maandilizi mapema kwaajili ya mgonjwa anae kuja nae muda huu. Hospitali nayo hakufanya makosa tayari waliandaa kitanda...

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 21 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 21
@majario LIVE

Nikamuuliza "we umejuana vipi na D??" "Yule D ni mdogo wake na Boss wangu, ni binamu yake kitu kama hicho, mie sijawahi hata kuwa na mazoea nae kabisaaa ila kuna issue...

Honestly, these two are such a vibe together !  Priyanka Chopra and Nick Jonas Post Mpya
Honestly, these two are such a vibe together ! Priyanka Chopra and Nick Jonas
@majario LIVE

really make you believe in modern-day love stories. Different countries, different cultures, totally different careers โ€” but somehow it all just fits perfectly. What started with a simple conversation...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*    *SEHEMU YA KUMI NA NNE* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA NNE*
@majario LIVE

Muda huo Mwenyewe nilikua Nacheza kwa Furaha zote, lakini kitendo cha kumuona madam groly killharibu kila kitu, niliona kabisa birthday yangu inaenda kuharibika Maana huyu mama hana jema ata kidogo. "NAKUJA Alizungumza...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13*
@majario LIVE

SONGA NAYO Nikageuka na kumuangalia ma Mdogo "Ishani umeolewa Mwanangu?" Nikamuangalia na kumwambia. "Mind your business bi mkubwa Kisha Mimi na Enzo tukaondoka kwani tayall tulishabolt Bajaji na ilikuwa ikitusubilla. Msijiulize Kwanini tunatuma Bajaji wakati Enzo...

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 20 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 20
@majario LIVE

Lile joto la midomo yake ilipo gusana niliisi ulimwengu wote umenyamaza nikafumba macho Kulikuwa na joto la ajabu sijawahi kulipata Mkono wake alikuwa anaupitisha taratibu kama anahesabu kila pigo la moyo wangu,...

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 19 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 19
@majario LIVE

Basi mpaka sa moja inaenda na Nusu Veda hajaja, Moyo juu juu itakuwa tu kaenda huko kwenye ma club, moyo lipu lipu muda wote kama nimemezaa kaa la moto hajabu...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 14 na 15 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 14 na 15
@majario LIVE

Basi nilipomaliza kuongea na ibraaa nikakata simu, nikaendelea kudrive kuelekea nyumbani kwangu sasa, na nilipofika nikampigia j kawa na furaha sana , anafurahia kwenda shule kesho, nikasema muache afurahi...

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜   SEHEMU YA 18 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 18
@majario LIVE

Mama akanambia kuwa Veda alikuwa na huyo mke wake walifunga ndoa kabisaa kanisani, wakati huo Veda alikuwa anafanya kazi kwenye kampuni ya mturuki alikuwa kama dereva anamuendesha ile kampuni ilifirisiwa...

BLACK BUTTERFLY ๐Ÿฆ‹ 3 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY ๐Ÿฆ‹ 3
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 Endelea Asubuh Hiyo Mariana aliwahi kazini kama kawaida yakee na kuanza kusikia kile kilichotokea jana maana kila mmoja alizungumzia lakee โ€œ Mariana unaitwa na madam Camilla...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest