Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
04 Mar 2026
135 views
VYOTE NDANI GONGA94
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Yani ummy Alishangilia na kwambia aliimba nyimbo zote mpaka mama yake ndo alimnyamazisha, basi nikamwambia ummy aya mama yangu mzuri nimekuletea tv sasa uwe na amani sawa, akasema ndio baba asante , nikamwabia sawa ,apo najifanya nimenuna sijaongea na zena ,ata sijamuaga nikanyanyuka, et najifanya namuaga ummy, ahaa mi naenda mwanangu mzuei nilikuja kukuona wewe tu na kukuletea kitu ukipendacho, nikageuka nataka kutok ndani zena akanishuka mkono, daaaah niaoma yes mtto ananizuia nisiondoke, akanmbia asa mbona unanaikasilikia jamani usiondoke mpaka ule.usiwe wa hivyo tunahitaji kuongea millan, apo anaongea kwa sauti flani hivi, nikamwmwangilia nikamwambia mi nimeshiba unataka kunambia nn wewe, apo ummy ni kapo busy na box la tv , ata haamini kama kwao kuna tv saza
Zena akanmbia mi nakuomba ubaki tutaongea tu, apo najifnya sitaki kubaki ,kumbe uongo mtupu na unafiki, ila nikaona mtoto anaongea na macho kwamba nibaki, basi mwanaume nikakaa ple kwenye godoro na ummy, basi zena akanmbia mie naenda sokoni nije kupima sichelewi kuludi lakini , nikaona sio mbaya nimuongezee pesa, nikatoa elfu 20, nikampa nikamwambia ongezea hii akanmbia sawa, basi akaondoka akainacha mie na ummy, ahaa ummya kanmbia bab washa tv nikasema.sawa basi mi nikaitoa ile tv nikafunga ukutani fresh , kisha sasa nikahitsport na simu yangu nikamuwekea caetoon mana ilikuw ni smart tv ,ahaaa katoto akakafurahia kweli kweli yani alifurahia mnooo
Basi baada ya mda , zena akaludi na akaanza kuandaa chakuraa, basi mie na ummy tukawa busy na tv , ile kumpa.kampani na kumchangamsha mtoto,zena akatoka akapika , baada ya mda akaleta chakura ugali na kuku wa kienyeji kaongwa rosti, ahaaa mtoto anjua kupika kinoma, nilizani ile siku ya kwanza nimekula chakura chake kabahatisha ila niklikubaki kuwa uyu demu anajua kupika bwana, basi tukala kwa pamoja ,kama familia, baada ya chakura sasa ,zen akaomba anisindikize et nilipopark gari, nikajua ndo anataka tukaongee uko, akamwambia mwnae ,et ummy usiktoke ubaki ndani ulinde tv yako isiibiwie sawa mi.namsindikiza baba naludi sada hivi, ummya aksema sawa ,nikamuaga mwanae , kisha sasa tukatoka mpaka nilipopark gari, na tukaingia kabisa ndani ya gari, nikamwambia zena mi nakusikiliza unataka kunieleza nn, zena akanmbia millan naomba usinikasilikie plsssss uanitesa sana, mana ata mimi nakupemda sana shida nakuogopa mweli, sikuamini nahisi kama utaniumiza, mh mtot sindo kaingia king sasa aweeeeeeeee
Yani ummy Alishangilia na kwambia aliimba nyimbo zote mpaka mama yake ndo alimnyamazisha, basi nikamwambia ummy aya mama yangu mzuri nimekuletea tv sasa uwe na amani sawa, akasema ndio baba asante , nikamwabia sawa ,apo najifanya nimenuna sijaongea na zena ,ata sijamuaga nikanyanyuka, et najifanya namuaga ummy, ahaa mi naenda mwanangu mzuei nilikuja kukuona wewe tu na kukuletea kitu ukipendacho, nikageuka nataka kutok ndani zena akanishuka mkono, daaaah niaoma yes mtto ananizuia nisiondoke, akanmbia asa mbona unanaikasilikia jamani usiondoke mpaka ule.usiwe wa hivyo tunahitaji kuongea millan, apo anaongea kwa sauti flani hivi, nikamwmwangilia nikamwambia mi nimeshiba...
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/afande-millan-sehemu-ya-18
Maoni