Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 5
Gonga94 Β· Stories

BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 5

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


By Babie Love
Tsap 0742133100

ENDELEAAA

β€œ Brayton..” Camilla alijikuta akimuita bila kutarajiaa

Brayton alimsogeleaa na kumuonyeshaa zile picha vizur tu kwenye simu yakee huku akimuulizaa

β€œ Unawezaa kuniambia hiki nini?!?”

Camilla alishangaa kwa muda ndipo alipomsogeleaa Brayton huku akisema

β€œ Unajua Brayton ngoja nijielezee kwanzaa usipaniki moja kwa moja matapel ni wengi mjini tafadhali ngoja nikuelekeezee...”

Camilla safar hii aliongeaa huku machozi yakimtokaa sana na kigugumizi mno .

β€œ Nielewee nini Camilla kila kitu kinajielezaa hapa eeh nielewee Nini tena isitoshee basi ukarusha Instagram ili kila mtu akuone kama wewe ni bingwa wa mapenz!?!?” Brayton aliulizaa

Camilla alistuka zaidi aliposikia picha zishafika Instagram hakujua hilo alijua Brayton alitumiwa kama yeye alivyotumiwaa

β€œ Mpenz wangu huyo sio mimi labda akaunti feki Hiyo na akaamua kuedit tyu Brayton tafadhal unanijua vizur siwezi kuwa kama hivyo eeh Nakupenda sana et ..” Camilla alizidi kuomba huku akilia sana

Brayton udhaifu wake ni Camilla anampenda sana hakuna kifano hakutaka kabisa ajisikie vibaya alijikutaa akamkumbatia huku akimwambiaa

β€œ Basi nyamaza kipenz hili swala nitafatilia kwa makini sana usijali ..”
β€œ Asante kipenz Nakupenda sana siwezi fanya huo ujinga..” Camilla alisema huku akiwa kifuani kwa Brayton akijifuta machozi

β€œ Najua na hata kama Una fanya kweli usije nionyesha maana nitaumia sana kukupotezaa camilla please usifanye hivyo eeh ?!?”

Camilla hakujibu kitu zaidi alimkumbatia huku nyuma akitabasamuu maana alishazima mtiti kwa muda mfupi na baada ya hapo Brayton alimuaga kwasababu Alihitajika kazini kwake

β€œ Aaah baki Salama pia jana nilikwambia kuna dharura kwani nilitaka kumgonga mdada mmoja hivi ila Kwa bahat nzur haikuwa hivyo bali alijirusha pemben na kuangukia jiwe hivyo ikabidi nimpelekee Hospitali..”

β€œ Aaah Sawa ila naomba unisameh sana ..” alisema Camilla

β€œ Hakuna shida nitalifanyia kazi hili nijue nani anahusikaa kutufanya tugombanee usijal kipenz..” alisema Brayton kisha akaondoka na kumuacha Camilla ofisin kwake juu ya gorofa hilo la hoteli

Camilla baada ya kuona Brayton kaondoka haraka alichukua simu yakee na kumpigia kelvin na Safari hii kelvin aliwahi Kupokea

β€œ Hello...?!?”
β€œ Uko wapi?!?” Aliulizaa Camilla
β€œ Eeh my love 😍 Mbona Una hasira hivyo !?!?” Kelvin aliulizaa
β€œ UKO WAPI...??! Nijibu kelvin?!?” Camilla alichukizwa haswa
β€œ Niko studio my love ..”
Camilla hakungoja maswali wala majibu haraka alichukua funguo za gari lake kisha akatoka nje ya ofisi yake na kwenda moja kwa moja kwenye lifti ya kushuka chini ili awahi studio kama kelvin alivyomwambia
🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹

Upande wa Mariana hakuchoka kuomba kazi kila sehemu na Safari hii alikwenda hadi kwenye masoko ama maduka ya nguo ili apate kazi hata ya usafi kwake ni afadhali kwani cv ya Chet chake kimeshuka kutokana na kufukuzwa kazi ..

β€œ Hapana dada hapa hatuhitaji mfanyakaz isitoshe tumetoka kuajiri watu juzi tyu...”
β€œ Sawa ila nime tafuta sana tu kote majibu Ndio hayo hayo naomba sana Nina mdogo wangu ananitegemeaa sana mimi mwenyewe kama unanyoniona....nakuomba sana ...!”Mariana alizidi kuomba hapo supermarket

Meneja huyo alimtazama kwa muda kisha akamwambia

β€œ Sawa ila hapa nafasi iliyobaki labda ni usafi kufuta futa sakafuni na maeneo mengine ni kwa mshahara mdogo tyu sio nyingi...”

β€œ Itanitosha meneja asante sana nakushuku sana ..” alishukuru sana tena mno kupata Hiyo kazi hapo supermarket hapo

β€œ Sawaa utapitia hapo ukachukue fomu ujazee kisha atakupaa na maelekezo yote Okay!?!”

β€œ Sawaa Meneja ..”

Meneja alitoka ofisini humo akiwa na tabasamu pana usoni mwakee kwa kupata ile kaziii ..
🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹

Camilla alikwenda moja kwa moja hadi kwenye studio ambayo yupo kelvin akirekodi music wakee

Alishuka kwenye gari akiwa na hasira mno ndipo alipoingiaa kwenye studio Hiyo na kukutana na rafik wa kelvin

β€œ Shemu vipi !?!”
β€œ Wee achana na mimi ..”

Camilla alikuwa mkali kwelikweli ndipo akaingia mpaka wanapo record nyimbo zao na kufungua mlango na kukutana kelvin akiwa ana recoding
Hakujali aliingia huko huko na alipotokaa alitokaa nae huku akiwa akamkunjaa na kumuonyeshaa zile picha

β€œ Ni wewee !?! Hakuna mwingine kelvin ni wewe !?!?”
β€œ Hivi Camilla hatuwezi kuongeaa mpaka tunafhalilishana hivii!?!”
Alisema kelvin
β€œ Tuongee nini!?!? Yani una Piga picha bila kushaur bila chochote unapost unapopakaa si Ndio ?! Umenizoea kiasi hichii si ndioo!?!?”
Alisema Camilla akiwa hana masihara kabisa

β€œ Ni mimi sio mimi kipenz hivi nawezajee kufanya mambo hayo ?!? Halafu isitoshe hata nikipost kuna shida gan wakati mimi na wewe s wapenz ama !?!?”

Camilla alishindwaa kujibuu moja kwa moja ndipo alipomchukua na kuingia moja ya chumba ili kuyazungumzaa

β€œKelvin sijakataa kupost lakini utazamee hii picha sio ya kupost na nani kupiga hii ? Wakati tulikuwa wawili tyu ..”

β€œ Hapo Ndio pa kuuliza ?!? Unajua kipenz sisi ni mastaa usikute kuna mtu kafanya hivi ili ajipatie pesa tu eeh !?”

Camilla maneno hayo kidogo yalimuingiaa kichwani na kusema

β€œ Basi itakuwa ile hoteli Ina camera za ndani Ndio maana akapata hii picha .. ooh Mungu wangu asije kuona baba yaan ... β€œ

Camilla alichanyikiwaa kiasi kwamba aliwazaa kuhusu baba yakee ndipo alipotoka mbio bila kuaga na kurudi kwenye garii haraka .

Kabla hajawasha gari simu yakee iliita na alipotazamaa alikuwa baba yakee

β€œ Ooho Mungu wangu baba tayari kaona Mungu wangu...”

Camilla alisema huku akitazama simu yakee bila Kupokea na ikabidi awashee gari na kwenda kabisa kwa baba yakee atajua huko huko ....
🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹

Camilla alifanikiwaa kufika nyumban kwao kabisaa yeye ana baba mwenye harakat nyingi za mji huo

β€œ Baba...” Camilla alisema huku akimkumbatia baba yakee

β€œ Hello binti yangu kipenz. Uko sawaa ?!?”
alimsalimia binti yakee kipenz

β€œNiko Sawa baba sijui wee ..” Camilla alisema huku akikalia sofa ili kumsikiliza baba yakee

β€œ Ooho nimepiga simu hujapokea shida nini binti yangu ...!?” Baba aliuliza huku akimimina kinywaji kwenye glass mbili kisha moja akampa Camilla na moja akabaki nayo

Camilla Bado alikuwa anajiulizaa vipi kama Baba yakee anajua kilichojirii huko Instagram ndipo akamuuliza

β€œ Baba vipi leo uliingia Instagram?!?”

Yule mzee baada ya kusikia hivyo ndipo akachukua rimonti ya tv kisha akawashaa na kilichokuwa kinaendelea Camilla alibaki mdomo wazi

Kwasababu haikuwa picha kama zake alizotumiwaa bali Baba ake alikuwa na video kabisa inatembeaa

Camilla alistuka mno huku akimtazama Baba yakee ndipo akasema

β€œ Baba please Naomba nijielezee sijafanya makusudii tafadhali baba ..”

Baba yakee hakuwa na haraka alichukua sigara kubwa akaiwasha na kuvuta Pafu moja kisha akasema

β€œNataka huyu ni nani na anataka shingap tulimalizee hili tatizo..”

Camilla alishangaa mno ndipo akasema

β€œ Nashukuru sana Baba nashukuru sana ...”

β€œ Sifanyii kwaajili yakoo Camilla, nafanya kwasababu ya mama yako asidhani kukuacha utapata tabu Hapana pia sipend niwe na stendo sipend nifatiliwe wala kutiliwa shaka dhidi yangu Oky?!?” Baba aliongea kwa makini sana
β€œ Okay daddy..”

β€œ Okay utanipa taarifa..”

β€œ Sawaa daddy...”

β€œBrayton vipi kaona hii?!?” Baba aliuliza

β€œHana tabu nitashughulikia hilo..”

β€œ Okay..”

Camilla hakupotezaa muda alitokaa nyumban kwao na moja kwa moja alimpigia kelvin ila kabla simu haijaita simu ya Brayton iliingiaa akapokeaa na kusema

β€œ Brayton tafadhal nitakupigiaa Nina kazi mara moja ....”

Camilla hakusubirii jibu kutoka kwa Brayton yeye alikata simu na kumpigia Kelvin

β€œ Kelvin nipe matokeo vipi umejua alirekod hilo ?!?” Aliuliza Camilla punde kelvin alivyopokea simu yake
β€œ Ndio kipenz jamaa wa kwenye cctv camera Ndio kafanya hivyo na anataka kiasi kikubwa sana sidhani kama itawezekana mimi naogopa stendo si unajua mimi msanii?!?” Ilisikika sauti ya kelvin akilalamikaa

β€œ Usijali kipenz changu nashughulikia hilo mpe namba zangu anitafute sasa hivi ..”

β€œOkay love ❀️.”

β€œ Unajua Nakupenda eeh Ndio maana nafanya kila kitu ok!!”

β€œ Okay.”

Camilla alikataa simu akiwa na tabasamu huku akiendelea kuendesha garii huku kelvin akiwa amemuingia kabisa akilini mwakee......

Itaendeleaaa

Maoni

You're not logged in


Tangazo - For this week only
For this week only
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 5



By Babie Love
Tsap 0742133100

ENDELEAAA

β€œ Brayton..” Camilla alijikuta akimuita bila kutarajiaa

Brayton alimsogeleaa na kumuonyeshaa zile picha vizur tu kwenye simu yakee huku akimuulizaa

β€œ Unawezaa kuniambia hiki nini?!?”

Camilla alishangaa kwa muda ndipo alipomsogeleaa Brayton huku akisema

β€œ Unajua Brayton ngoja nijielezee kwanzaa usipaniki moja kwa moja matapel ni wengi mjini tafadhali ngoja nikuelekeezee...”

Camilla safar hii aliongeaa huku machozi yakimtokaa sana na kigugumizi mno .

β€œ Nielewee nini Camilla kila kitu kinajielezaa hapa eeh nielewee Nini tena isitoshee basi ukarusha Instagram ili kila mtu akuone kama wewe ni bingwa wa mapenz!?!?” Brayton aliulizaa

Camilla alistuka zaidi aliposikia picha zishafika Instagram hakujua...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/black-butterfly-5

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi black-butterfly
BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 3
BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 3
BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 2
BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 2
BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 1
BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 1
BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 4
BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 4
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*    *SEHEMU YA KUMI NA NNE*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA NNE*

870
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 21

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 21

671
 *AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*   *15&16*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *15&16*

566
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17

357
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18

172
SHAMIRA sehemu ya 36&37

SHAMIRA sehemu ya 36&37

170
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*

134
BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 4

BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 4

100
BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 5

BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 5

36
Honestly, these two are such a vibe together !  Priyanka Chopra and Nick Jonas

Honestly, these two are such a vibe together ! Priyanka Chopra and Nick Jonas

10

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.49K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.25K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.76K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.22K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.61K
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

2.61K
MY WANGU❀️ sehemu ya 108

MY WANGU❀️ sehemu ya 108

2.53K
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

2.51K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.46K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.45K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 5 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 5
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 ENDELEAAA β€œ Brayton..” Camilla alijikuta akimuita bila kutarajiaa Brayton alimsogeleaa na kumuonyeshaa zile picha vizur tu kwenye simu yakee huku akimuulizaa β€œ Unawezaa kuniambia hiki nini?!?” Camilla alishangaa kwa...

Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example Post Mpya
Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example
@majario LIVE

. Dimple became a sensation with Bobby, and the same year she married superstar Rajesh Khanna. She was only 16 when she got married and became a mom at 17...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18
@majario LIVE

Yani ummy Alishangilia na kwambia aliimba nyimbo zote mpaka mama yake ndo alimnyamazisha, basi nikamwambia ummy aya mama yangu mzuri nimekuletea tv sasa uwe na amani sawa, akasema ndio...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17* Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*
@majario LIVE

Sikujua kam nililala pale mpaka asubuhi, tena nimelala kana kwamba pale ni nyumbani kwetu jamni nilikuja kushtuka tena baada ya kupigiwa simu, jamni si ndio naamka najikuta nipo kwenye chumba...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nilifika home nna hasira sana, nimechukia mnoo, yote sababu nilikuwa nimemmaind sana yule demu, yani nilimuona ana linga kinoma, nikasema bwana mi namkaushia kama.vp mana wanawake...

 *AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*   *15&16* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *15&16*
@majario LIVE

Nikatulia kwanza na kumuangalia madam groly kisha nikamuuliza. "Unamaanisha nini unavyosema hauna Furaha na hii siku 7 Sijakuelewa kwakweli nakumbuka ulikuwa ukitsubilia hi siku kwa hamu sana" Madam groly akacheka sana kisha akasogea...

SHAMIRA sehemu ya 36&37 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 36&37
@majario LIVE

Wassap:0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi mwanaume akaondoka zake na mimi ndo nikashika simu sasa .nikampigia aisha kumpa mchapo.nikasema shoga nusu niachwe mwenzio.nimeomba msamaha kama chizi.aisha akasema mh tatizo hamadi...

BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 4 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY πŸ¦‹ 4
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 Endelea Brayton akiwa kwenye gari alijaribuu kupiga simu Hospitali ili maandilizi mapema kwaajili ya mgonjwa anae kuja nae muda huu. Hospitali nayo hakufanya makosa tayari waliandaa kitanda...

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 21 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 21
@majario LIVE

Nikamuuliza "we umejuana vipi na D??" "Yule D ni mdogo wake na Boss wangu, ni binamu yake kitu kama hicho, mie sijawahi hata kuwa na mazoea nae kabisaaa ila kuna issue...

Honestly, these two are such a vibe together !  Priyanka Chopra and Nick Jonas Post Mpya
Honestly, these two are such a vibe together ! Priyanka Chopra and Nick Jonas
@majario LIVE

really make you believe in modern-day love stories. Different countries, different cultures, totally different careers β€” but somehow it all just fits perfectly. What started with a simple conversation...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*    *SEHEMU YA KUMI NA NNE* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA NNE*
@majario LIVE

Muda huo Mwenyewe nilikua Nacheza kwa Furaha zote, lakini kitendo cha kumuona madam groly killharibu kila kitu, niliona kabisa birthday yangu inaenda kuharibika Maana huyu mama hana jema ata kidogo. "NAKUJA Alizungumza...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13*
@majario LIVE

SONGA NAYO Nikageuka na kumuangalia ma Mdogo "Ishani umeolewa Mwanangu?" Nikamuangalia na kumwambia. "Mind your business bi mkubwa Kisha Mimi na Enzo tukaondoka kwani tayall tulishabolt Bajaji na ilikuwa ikitusubilla. Msijiulize Kwanini tunatuma Bajaji wakati Enzo...

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 20 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 20
@majario LIVE

Lile joto la midomo yake ilipo gusana niliisi ulimwengu wote umenyamaza nikafumba macho Kulikuwa na joto la ajabu sijawahi kulipata Mkono wake alikuwa anaupitisha taratibu kama anahesabu kila pigo la moyo wangu,...

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 19 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 19
@majario LIVE

Basi mpaka sa moja inaenda na Nusu Veda hajaja, Moyo juu juu itakuwa tu kaenda huko kwenye ma club, moyo lipu lipu muda wote kama nimemezaa kaa la moto hajabu...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 14 na 15 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 14 na 15
@majario LIVE

Basi nilipomaliza kuongea na ibraaa nikakata simu, nikaendelea kudrive kuelekea nyumbani kwangu sasa, na nilipofika nikampigia j kawa na furaha sana , anafurahia kwenda shule kesho, nikasema muache afurahi...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest