AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20
Nikasema zena kweli ,na wew unafeel kama vile ambavyo mm nafeel acha masihara basi, akanambia lakini millan ,mi wewe sikujuhi vizur, ndo mana nilikuwa nataka mda kwanza wa kukufahamu ,nisije nikaingia katika mahusiano ambayo mbele nitayajutia na yataniumza, nikasema nooo, sio mimi mama ,kama alikuumiza baba ummy, mi siwez mi ni mwanaume muaminifu mnoo, na nnakupenda sna, nakupemda kweli kweli mchumba, so kuwa na amani kabisaaaa zena ,naomba tuingie kwenye mahusiano, mh zena akanmbia naomba nikuombe kitu ukikubali tutaingia katika ayo mahusiano ila kama utashindwa mi sitaweza, nikamwambia nambie mrembo wangu mi siwezi kushindwa ,mana sitamani kukukosa kabisa zena nakupenda sana ,akanmbia samahani sana millan sijuh utanifikiliaje but mimi sihitaji mwanaume for sex tu, natamani sana mwanaume ntakayempata sasa hivi tuwe na mipango na malengo na mimi na ikiwezekana ndo awe mume wangu, nikasema sawa nipo apa vyote naweza mama na kukuoa wewe lazima....
Zena akanmbia ,millan naomba kwa huu mda kwanza nikujue zaidi, ila tuwe kwenye mahusiano ya kimapenzi , naomba tusifanye sex kwanza, daaah uyu demu mbona kama mtoto, asa kuna mapenzi bila ya sex uyu wa wapi , hivi mm ni mtu mzima wa miaka 38, nianze kuwa na mahusiano ya aina hii si usenge uhuu, aya si mapenzi ya kitoto aya tumeyafanya tukiwa wadogo sana, nikamwambia zena mbona uhuuuu unaotaka wewe ni utoto ,mi ni mwanaume zena , ni mda mrefu nimestop kuwa na mahusiano nikikungojea wewe, leo unanambia unatka mahusiano ya bila ya sex mi nawezaje mama yangu, mahusiano ya hivyo, unawaza vizuri kweli zena, zena we mtu mzima na mpaka una mtooo ni nn usichokijua mama
Zena akanmbia ndo mana nimeanza na samahani sababu najua ni kitu kugumu sana kwa mwanaume ila ndo msimao wangu sasa, nitakupa sex ntakapojilizisha kuwa wewe ni mwanaume mzuri na unanifaa, nikamwambia sikia zena ayo sio mapenzi hizo ni drama, mi siwez kuwa na mapenzi ya aina hiyo shuka kwenye gari yangu nisepe, nikaona uyu demu mwizi uyu, yani tuingie kwenye mahusiano, mi si ntakuwa namuhudumua ,alafu mzigo hanipi mpaka ajilizishe kwamba uyu ananifaa ndo anipe ,nilkaona usengee uhuu, kwanza mi uo mda wa kujilizisha unazani atanikamata salama nilivyo na vipengeke vingi, nikaona uyu kaamua kuninyima utamu tu ,ndo mana vipengeke vinajuwa vingi, zena wala hakuwaa na neno akashuka zake kwemye gari
Na mimi nikawasha ndinga yangu nikasepa zangu kwangu , ila nilivyifika home , nikampigia simu ibraa, tukaongea sana issue za kazi kisha nikampanga sasa kuhusu zena, ibraaa akanambi tatizo una papala sana millan, we tulia msikilize mchumba uyooo, atakupa mwenyewe, we kubali mahusiano na nenda nae mdogo mdogi, ila sasa usimpe pesa sana mpe pesa kawaida kawaida tu, nikasema ahaa michoresho kaka. Mapenzi bila kutombana umii uhuu kak,kweli , yule demu mtoto bwana , ibraa akanmbia we mtoto unamtaka humtaki, nikasema mwanangu mi namtaka si ndo mana nimepambana mwez wa nne unaendea wa5 namfukuzia , ila sasa mambo yake kama mtoto anazingua, yani angekuw mtu mwengine ningempa pesa tunamalizana kikubwa ila kwake imekuwa tofautu sana inananikata sana mwanangu, ibraa kanmbia sikia millan wanawake hawafanani ,we fanya kama alivyokwambia na iko kipindi mpo katika mahusiano kuwa makini sana asikute chochote cha ajabu kwako
Alafu akisha kuwa mwanamke wako.shida inakuwa nn, unaaanza nae taratibu mala umemmbusu ,mala ummemkiss mala umemshika mpaka mnajikuta mshafanya, nikasema aaha asa mi nimeondoka kwa hasira kinoma, ibraa kanmbia apo ndo unaalibu atakuona wewe umeenda kwake for sex na sio mapenzi, tena wewe kuwa nae pamoja ata mwez usimgusie kabisa sex ,uyi si ndege mjanja, atanasa tu katika tundu bovu niamini mimi mwanangu, nikasema sawa kaka mkubwa , basi bwana , mi nikachukua simu mda uo ui nikampigia zena, na akapokea ila kanyongea snaa, nikamwambia zena sory kwa reactios gangu ya leo ,akanmbia ndo hupo hivyo mala.zote millan, ni mtu wa hasira sana , mambo ya kuelekezena we unaleta hasira ,we afande wa. Aina gani ,ebu jalibu sana kujikontrol hasira zako, nikasema.sawa mchumba ntaaanza sasa, na naomba nisamhe zena , mi nimekubali kuwa na ayo mahusiano unayoyataka, nimejifikilia sana na nimegundua ata nikikataa mi kukaa mbali na wewe siwez kabisaaa, kwa sababunumejaa ndani ya moyo wangu
Zena akanmbia mh nishaanza kuogopa mana umereact vibaya sana, nilivyokwambia sitakupa sex nikasema nooo mam nisikilize ni suala la kawaida tu ,unanielewa mpenzi, naomba unielewe na tuanze safari yetu ya mahusiano kati ya mimi na wewe, zena akanmbia sawa nimekupokea kwa mikono miwili millan, nakuoe da sana, nikasema nami nakuoenda sana mama ummy na mimi ndo baba ummy, basi nikamsikia zena anacheka, daaaaaa bwana apo ndo nikaanzisha mahusiano rasmi ya mapenzi kati yangu na zena,....
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni