Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
05 Mar 2026
401 views
VYOTE NDANI GONGA94
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA NANE*
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Siku ziliendelea kwenda uku mimi na Enzo tukiendelea kukaa kwa madam groly, Yaani madam groly hakutaka kabisa nikae mbali na alikuwa akichukua uangalizi mzuri sana juu yangu
Siku moja nikiwa chumbani kwangu nimetulia, nikasikia mlango ukigongwa na kwa uchovu nikajibu.
"Pita "
Muda huo akaingia madam groly akiwa na juice ya kuongeza damu, Ila huyu mama ana hekaheka, Yaani hapo Ndio kwanza mimba Ina miezi miwili tu.
Kuna Namna pia nilianza kuogopa kujali kwa madam groly, Yaani imagine, mtu ambaye kila Siku vita ni vita, gafla tu anabadilika na kukujali sana, na siku hiyo nikavunja ukimya na kumwambia madam groly.
"Kiukweli nakuogopa sana"
Madam groly akashtuka sana na kuniuliza.
"Unaniogopa? Yaani unaniogopa kivipi?"
"Ebu tuweke maigizo pembeni madam groly na tuongee ukweli, tangu lini umeanza kunijali ? Yaan tangu lini umekuwa Mwema kwangu? Walahi unaniogopesha Sana sizani Kama Niko sehemu salama Mimi na Mtoto wangu"
Muda huo huo mchozi mzito ukamuanguka madam groly na kwa huzuni na utulivu akaanza kuzungumza.
"Najua na Una haki zote za kunichukia Tena sana tu, ishani naweza kusema Kuwa mjukuu wangu amenibadilisha sana, lakini pia hii miezi ambayo umekaa hapa umenionesha mengi sana, Ishani Nafikili Chuki zangu azikuwa na sababu za muhimu, Walahi nimetokea kuvutiwa na wewe
Sana tu, najua ni kazi kuniamini lakini Huo Ndio ukweli, chukua muda wako kisha fikilia Kama unaweza kunisamehe kwa njia yoyote ile, na ikikupendeza call me mama na sio madam groly
Nyieeeeh huyu mama Yaani Leo hii anataka Mimi nimuite mama, vile ili Jina sijaita muda mrefu daaah, madam groly akanyanyuka na kutaka kuondoka lakini chap nikadaka mkono wake na kumuita.
"Mama......."
Madam groly anageuka na kunikumbatia kwa Furaha sana na akaanza kulia kwa SAUTI.
Majilani itaneni uku Mimi na mama mkwe tumeanza kupendana.
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 6
SONGA NAYO..... nilipokaribia kumfikia nilimsikia akizungumaza "Sawa baba basi wacha sie tufanye maandalizi kidogo..." ...
Tangazo - MY Wangu season one, season two, season 3, season 4 and season 5 final
MY Wangu season one, season two, season 3, season 4 and season 5 final
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA
AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMI NA NANE*
Siku ziliendelea kwenda uku mimi na Enzo tukiendelea kukaa kwa madam groly, Yaani madam groly hakutaka kabisa nikae mbali na alikuwa akichukua uangalizi mzuri sana juu yangu
Siku moja nikiwa chumbani kwangu nimetulia, nikasikia mlango ukigongwa na kwa uchovu nikajibu.
"Pita "
Muda huo akaingia madam groly akiwa na juice ya kuongeza damu, Ila huyu mama ana hekaheka, Yaani hapo Ndio kwanza mimba Ina miezi miwili tu.
Kuna Namna pia nilianza kuogopa kujali kwa madam groly, Yaani imagine, mtu ambaye kila Siku vita ni vita, gafla tu anabadilika na kukujali sana, na siku hiyo nikavunja ukimya na kumwambia madam groly.
"Kiukweli nakuogopa sana"
Madam groly akashtuka...
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/aaaaaash-boss-enzo-season-two-sehemu-ya-kumi-na-nane
Maoni