AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *19&20*
Huo Ndio ukawa mwanzo Mpya wa upendo kati yangu Mimi na madam groly, Yaani mimba tu na kukaa nae Ndani ya miezi miwili tu tayali madam groly aliona utofauti wangu.
Kwa upande wangu Kama mnakumbuka, nilipendwa kuishi kwa madam groly kwaajili ya kumkela na kumsumbua lakini nimeibiwa kumuelewa na kumpenda zaidi.
Kuna watu duniani wa naweza wakakuchukia kutokana na mitazamo Yao tu wanayoijenga. kwenye fikra zao juu yako pasi na kukufahamu undani wako na Ndio iko kilichotokea kwa madam groly.
Kwa upendo ambao tuliutengeneza sisi Kama familia Walahi, Mimi na Enzo tulishindwa kabisa kurudi NYUMBANI kwetu, tukajikuta kule Kwa Enzo tukipangisha na tukabaki kwa mama mkwe
NYUMBANI Kwa mama mkwe nilijiachia utazani NYUMBANI kwetu, nilidekezwa utazani Mimi Ndio
Mtoto wao wa mwisho mule Ndani.
Kwa upande
Suzy Ndio kabisa, alinipenda
kuliko maelezo, Suzy alihakikisha kila ananifanyia Ka massage Yaani wooool, kuna muda nilikuwa naona Kama namiliki dunia vile kutoka na mapenzi mazito ninayooneshwa na hil
familia
Kwa upande wa urafiki wangu Mimi na Suzy,
waoooooh Sijui niwaambie nini lakini urafiki wetu ulikuwa so mwaaaaah, Suzy alikuwa naakuja kunitembelea kila weekend na madam groly Wala hakuwa na shida nae, na ikitokea
weekend imepita na Pili ajaja lazima madam amuulizie au baba Enzo Maana wamependa vibe lake na upendo mkubwa aliokuwa nac
Nyieeeh siku azigandi Bwana, siku zilikimbia na miezi ikaendelea kuyoyoma na hatimaye mimba yangu ikatimiza miezi 7, Kiukweli nilichoka mapema sana, nilikuwa nikitembea kwa kujivuta sana, muda mwingi Nilihisi Uvivu wa hali ya juu.
Ikiwa nikiwa ni siku ya jumamosi, siku hiyo. NYUMBANI Ilikuwa na wageni kwani Suzy alikuwa akitolewa mahari na mzungu wake ambaye walikutana Uko chuoni si unajua Tena mambo ya wasomi
Nyumba ilikuwa bize sana siku hiyo, Yaani kila
mtu alikuwa anatokea kina yake, huyu anaingia uku, huyu anatokea uku lla Kwa upande wangu sasa, nilikuwa Kama mwadawa nyamigulu Yaani kimekaa tu Nipo Nipo na sina Masada wowote ule.
Sherehe ya Mahari ilienda salama kabis ana mahari ikalipwa yote uku ikiambatanishwa na zawadi kedekede.
Wenye Pesa sio wenzetu Bwana, baada ya
mahari kutolewa, ikapita mwezi mmoja tu na week zake Kama MBILI shughuli zingine. zikashika nafasi Yaani kitchen part, Sijui send off na mambo mengine mzungu alikuwa hot
anataka babe wake.
"lla Wifi nitawamisi sana"
Alizungumza Suzy kwa huzuni.
Wakati huo Mimi na yeye tulikuwa saloon kwani ilikuwa ni siku ya harusi.
'ATA sisi tutakumisi sana Tena sana, lakini
lazima ukaanzw maisha yako kipenzi na uzuri
hapo Kenya sio mbali sana tunauwezo wa kuja kukuta kukutembelea na wakati mwingine wewe kututembelea
Niliendelea kuzungumza na WiFi yangu uku mambo ya make up yakiendelea.
Ndoa ya Suzy yenye we ilifanyika saa 8 MCHANA na saa 10 kila Kitu kila wa kimekamilika na Suzy akawa Mke wa mtu halali kabisa.
Ikiwa ni muda wa kupiga Picha za ukumbusho, shoga yenu nikaanza kumtania nick shemeji yangu na nusu.
"Bado wewe sasa sio kila siku unapiga Picha za wenzio
Nick akaniangalia kisha kwa SAUTI ya chini akaninong'oneza.
"Nirahishie kwa binti wa uswazi Basi Ila nick jamani, uwa anapenda sana kumuita Pili kwa Jina lo la binti wa uswazi.
Ikiwa ni Majila ya saa 4 usiku tukiwa ukumbini, gafla tu nikaanza kuhisi mambo ndivyo sivyo, Yaani kiuno kilianza Sijui kukaza Sijui Ndio kuuma jamani
"Mama huu ni uchungu"
Nilizungumza kimoyomoyo uku nikiwa na wasiwasi wa hali ya juu.
Niliweza kujua Kuwa ni uchungu kwa Kuwa mama zena alikuwa ameshanifundisha na kunielekeza mambo mengi sana
Nilijaribu kujikaza kusubili sherehe hilshe
lakini Ishunikawa pambe.
"Enzo nipeleke nje nikapogwe na upepo" Nilimwambia Enzo,
Enzo Angu Wala hakuwa na shida, akanishika mkono na kunitoa nje, tulipofika tu nje nikamwambia.
tusije kuharibu sherehe ya suzy
"Muite mama zena kimya kimya tuwal hospital siko Sawa, hakikisha uwapi wengine taarifa
Enzo Wala hakupoteza muda haraka akaingia Ndani na aliporudi akarudi na mama zena.
Lakini pia tukapiga simu kwa mlinzi wa NYUMBANI na kumuomba atuletee vitu vyangu ambayo niliviandaa kwa kujifungua.
Nyleeeh uchungu Una Una Walahi, lakini Mungu ni Mwema sana, yaani nilivyofika hospital Ndani ya dakika 45 tu nikajifungua.
"Hongera sana ni Mtoto wa kike"
Alizungumza ness uku akinikabizi Mtoto wangu
Niwachekeshe sasa, muda wote huo wakati
najifungua. Enzo alikuwepo na alishuhudia kila kitu, lakini Mtoto alivyotoka tu mume wangu. akazimia Maana ameona mambo mazito
Majila ya saa 7 siku baada ya Enzo kuamia, Ndio tukapigia familia simu na kuiambia Kuwa tayali mgeni Mpya wa familia amewasili
Familia yangu ni noma, ilifika mapema snaa ikiwa na zawadi kibao Sijui ata walitoa wapi ukizingatia ilikuwa usiku.
Sasa hapa nitaondoka kwa amani baada ya kumuona shangazi
Alizungumza Suzy akiwa amemshika Mtoto wangu.
Kuna muda nilikuwa aliamini kabisa Kama naitwa mama.
Upande wa Enzo alikuwa na hekaheka jamani akutulia ata kidogo.
Kwakuwa nilijifungua salama na Mtoto wangu alikuwa Sawa kabisa, siku iliyofuata. tukaruhusiwa na kwenda NYUMBANI
Maisha ya mama ya kaama sasa, kulala kidogo
kuangaika sana na nisiwe muongo Mtoto wangu ni mlizi sana, nashukuru Mungu familia yangu. Ilikuwa kinisaidia sana.
Mtoto wangu alikuwa akipendwa sana, Yaani kila kitu Ndani ya Nyumba ni charity, charity.
Ooooooh sikuwaambia, binti yangu anaitwa CHARITY
Yote yanawezekana kupitia Mungu na Rehema zake, usichoke na usikate tamaa pambania unachokiltaji lakini pia hakikisha Kama chenyewe pia kinakuitaji
Mpaka nilipofikia sina la ziada kwako shabiki yangu, zaidi nikushukuru kwa Kuwa na Mimi Kuanzia mwanzo mpaka mwisho Mungu
akubariki sana nakupenda.
MWISHO
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi

Maoni