Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 48.
Gonga94 ยท Stories

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 48.

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
48 MWISHOOO
๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ


Mwandishi; lissa wa huru media

Kesho yake mapema sana . Posa ya baraka ililetwa kwetu. Baba akaipokea nimksema mahari. Apo sasa ilibidi nimpigie adrian kua mimi naolewa.akanmbia aha sawa bwana sina jinsi mana ata mimi kwa suala la dini nisingekuoa. Bola tu umeolewa. Na mimi.sasa hivi ntatafuta mkristo mwenzangu. Nikasema sawa nakutakia maisha mema. Basi iyo siku ambayo kesho naolewa. Nilipigiwa simu na maua. Nilichambwa sitaki kuwaambia. Yani nilichambwa kweli kweli. Et unamloga kaka yangu maraya wewe. Sikutaki na wala sikutambui kama wifi yangu.mbwa ww. Mshenzi. Nilibako kimya tu . Mana kila tusi nilipewa mie. Sikumjibu ata tusi moja.na nilimuelezea mama. Kuwa maua kanitukana mama akanmbia usimjibu wala usimsimulie baraka.

Basi kweli mimi wala sikumsimulia baraka. Kesho asibuh saaa 4. Baraka kaja kuoa. Na marafiki zake naona wanajeshi wenzie.na ndugu walikuepo japo maneno yakikuwepo kweli kweli. Ila baraka hakujali. Akapiga goti akanioa.nyie ndoa hizi anapanga mungu. Basi hii siku niliona baraka ana rahaa sana .yani jino mpaka mwisho. Tunaandaliwa chkura maharusi. Ananambia mi sitaki chakura twenzetu. Kwani we una hamu na ubwabwa.nikabaki nacheka tu ila baraka. Basi kweli hatukula sisi. Mwanaume akanichukua . Tukiwa kwenye gari akawa ananipeleka kwake sasa. Mbezi. Mh nikamwambia mume wangu nisamehe ila mbezi sitamani kuisho apo. Akasema unamuogopa maua nikasema hapana sitaki tu. Akasema nenepa nakuelewa mke wangu. Ila akanipeleka mpaka kwake mbezi. Aseee ile maua kuniona akaninyali nakwmabia akanibinulia mdomo kabisaaaa.nikaona wifi nnae mie.

Basi mume wangu . Akanikalibisha nyumbani na wifi yangu mdogo mariam ndo akanikalibisha vizuri. Nikaa kwenye sofa sebleni. Kisha sasa baraka akamuita dada yake maua. Basi maua kaja kanuna sana. Baraka akamwambia maua kama.nilivyokwambia kaka yako nimeoa na uyu ndo wifi yako. Unamtaka ndo wifi yako . Hujamtaka ndo wifi yako. Unanielewa maua. Akasema ndio kaka. Baraka akasema sitaki kujielezea sana kwako maua .lakini elewa siwezi kujali furaha yako mda wote. Kuna mda na mimi kaka yako lazime niwe na furaha maua. Ni sawa ulimpenda bahati sana. Ila naomba ukubali kuwa ugonjwa wa kaka yako ni uyu shakira. Maua uyu mimi ndo furaha yangu. Usinikasilikie kabisa kaka yako si unajua ni jinsi gani mimi nakupenda wewe . Maua akasema ndio. Kisha akamwqmbia basi mpende na umuheshimu wifi yako tutaishi vizuri sana. Unaelewa. Maua akasema sawa.

Mimi nikasema maua najua tushakuwa na migogoro sana .naomba tuyamalize na unisamehe na tuelewane tu. Maua akasema sawa wifi na piah kama kuna sehemu nimekukosea.nisamehe tu. Nikasema sawa wifi yangu..Basi baada ya apo. Tukaenda kupata chakura na maua ndo aliandaa chakura ila bado wala sikumuona kama kalidhia basi tu. Basi tukala tulipomaliza sasa. Nikaenda kulipa mahari ya watu chumbani. Aseeeee hii siku tukapeana penzi tamu mno.yani tulisex kwa hisia mno . Aseeeee uyu baba ananipenda yani mda wote ananingalia ana tabasamu. Aseeee baraka kwangu alikwama nyinyi. Yani tumemaliza mambo yetu usiku sana. Kila mtu hoi .ila bado kanikumbatia tu. Mpala namwambia niache nikaoge jamani. Akanmbia tulia tu mke wangu nikukumbatie acha tu shakira. Doooh nikatulia tuli. Akanikumbatia tu. Uku ananichezea chezea. At hamu ya kutomba hana kwa jinsi kanifakamia. Kabaki ananichezea chezea tu

Kesho yake nashangaaa anannambia .mama tunaenda kigoma.ndo tunaenda kushi uko. Naenda kuongeza coz kwa miaka 2 tena.siwez kukaaa mbali na wewe mke wangu. Apa tutamuacha dada maua.mm na wewe tunaenda kuishi uko kwanza. Nimasema jamani kigoma tena mimi niache niishi apa nikae na wifi. Akacheka sana akasema adrian awe ananisaidia au sio.nikasema nimeachana nae jamani.akasema mm na wewe tunaenda kuishi uko. Tumeelewana mke wangu. Nikasema tu sawa.

Aseeee na kweli kesho yake basi la kwanza la kigoma .tulikuwa ndani. Na kama masihara .rasmi maisha yangu yakawa kigoma na mume. Uko napo alinipangia nyumba. Yeye anakuwa anaenda kambini Anakaa uko ata mwezi .wala hatuonani. Ila mbishi anatoroka anakuja kuniona.kiukweli sijuh niwaelezeaje juu ya upendo wa huyu mwanaume. Yani ananipenda mnooo. Mpaka najua nadeka sasa. Nikinuna kwake ni adhabu yani hatokuwa sawa kabisa mpaka tucheke. Ila ni mkari .yani ana misimamo yake kweli kweli. Na mimi mdomo nilipunguza mana namjua atakuja kunidunda uyu. Ila ata mimi nampenda sana baraka. Alafu sasa ni mpole mwanaume wangu. Ila upumbavu hataki. Kwanza mm akaishanisema .najinunisha apo ntabembelezwa kama sijakosea. Yani anachanganikiwa yeye sasa. Ananipenda mno.utamsikia basi mke wangu nyamaza usinune .nisamehe mimi. Namwambia nipe pesa ndo nicheke. Basi atacheka apo. Ananambia aya nakupa mke wangu . Na atanipa kibunda cha kutoshaa.

Nikawa naishi uku kigoma.nabaki kiwasiloina tu na wazazi. Nikimwambia nienda kuwaona wazazi hataki .ananmbia ntafamaya uhuni nikifika dar. Nabaki kutulia tu. Ukapita mwaka nipo kule na mimba nikabeba. Nikaanza kulea mimba uku yeye akimaliza coz yake. Apo sasa sijuh ndo kukaa mbali. Ata maua akawa ananisalimia. Et anaiita kichuna cha kaka. Nabaki kucheka tu.ila mariamu ndo nilikuwa naelewana nae sana. Ata likizo akifunga shule anakuja kigoma likizo.

Basi baada ya miezi 9 .nikajifungua mtoto wa kiume.aseee baraka akafurahi kweli kweli. Akamuita jamadini. Et jina la marehemu baba yake. Nyie kwani nilipumzika sana akanibebesha nyengine. Apa ndo nipo na mimba nyengine na mwanangu ana miaka 2. Na uku kigoma kashamaliza coz. Ila ndo kapngiwa uku. So ndo tunaishi uku..nimetulia sana shoga yenu. Mwanaume ana wivu kama nini. Basi najitilizia zangu kimya. Hajawahi kinipiga tena.na alishanambia hanipigi tenaaa. Na kweli kuna mda namkwaza sanaaa. Ananingalia tu anasikitika anaondoka apo ujue kamaind kweli kweli. Ila ananipenda sasa ndo nnacholingia.nikisema tu napewa utanambia nini sasa. Alafu sasa katulia sana.mikiki yake yote naimaliza mwenyewe. Kwanza namuweza. Naenda anavyotaka yeye .anaanzaje kuchepuka..uwiiiii nisijimalize mungu anisimamie awe hivi hivi mume wangu. Kwa leo naishia apa .asanteni sana.nazani mtakua mmejifunza mengi

MWISHO

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 48.

48 MWISHOOO
๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ


Mwandishi; lissa wa huru media

Kesho yake mapema sana . Posa ya baraka ililetwa kwetu. Baba akaipokea nimksema mahari. Apo sasa ilibidi nimpigie adrian kua mimi naolewa.akanmbia aha sawa bwana sina jinsi mana ata mimi kwa suala la dini nisingekuoa. Bola tu umeolewa. Na mimi.sasa hivi ntatafuta mkristo mwenzangu. Nikasema sawa nakutakia maisha mema. Basi iyo siku ambayo kesho naolewa. Nilipigiwa simu na maua. Nilichambwa sitaki kuwaambia. Yani nilichambwa kweli kweli. Et unamloga kaka yangu maraya wewe. Sikutaki na wala sikutambui kama wifi yangu.mbwa ww. Mshenzi. Nilibako kimya tu . Mana kila tusi nilipewa mie. Sikumjibu ata tusi moja.na...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/sasa-nakupenda-sehemu-ya-48

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi sasa-nakupenda-sehemu-ya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23  na 25.
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 23 na 25.
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39  na 40
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39 na 40
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 31 na 32.
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 31 na 32.
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 19   na 20.
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 19 na 20.
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26  na 27.
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26 na 27.
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38  na 39.
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38 na 39.
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma.
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma.
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22.
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 43  na 44.
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 43 na 44.
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 9
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 9
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 7 na 8.
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 7 na 8.
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 10.
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 10.
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 41  na 42.
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 41 na 42.
SASA NAKUPENDA Sehemu ya  45.
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 45.
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 46  na 47.
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 46 na 47.
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 53

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 53

1.04K
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 54 na 55

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 54 na 55

966
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 43  na 44.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 43 na 44.

175
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 41  na 42.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 41 na 42.

149
SASA NAKUPENDA Sehemu ya  45.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 45.

142
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 48.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 48.

121
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 46  na 47.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 46 na 47.

103

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.7K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.44K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.82K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.31K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

2.91K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

2.86K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.7K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

2.7K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

2.64K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.58K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 48. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 48.
@majario LIVE

48 MWISHOOO ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ Mwandishi; lissa wa huru media Kesho yake mapema sana . Posa ya baraka ililetwa kwetu. Baba akaipokea nimksema mahari. Apo sasa ilibidi nimpigie adrian kua mimi naolewa.akanmbia aha sawa...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 46  na 47. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 46 na 47.
@majario LIVE

46 MPAKA 47 ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ Mwandishi; lissa wa huru media Yani nilibaki kimya namuangalia tu ata la kusema sina na wazazi wanatuangalia. Akanmbia shakira. Tusijitese mama angu. Tuanglie mioyo yetu.mimi naelewa shakira unanipenda...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya  45. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 45.
@majario LIVE

๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ Mwandishi; lissa wa huru media Na baada ya mda sasa ndo baraka akaingia. Kapoa kweli kweli na tangia zamani ana sura ya upole ndo akazidi nakwambia. Nna hasira nae...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 43  na 44. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 43 na 44.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Aseeee kwanza apa kwenye paji nilishonwa nyuzi 6.ni ngumi iyo .yani mkono wa mwanaume tu. Msenge alijua kuniweka alama. Basi nasehemu zengine nilipata mikwaruzo. Nilivimba...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 41  na 42. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 41 na 42.
@majario LIVE

41 MPAKA 42 ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ Mwandishi; lissa wa huru media Basi sasa kuanzia apo. Ndo ukawa mchezo wa baraka kuja kunichukua kinguvu. Yani akinitaka hana maelezo wala ombi. Asubuh nikiamka tu namkuta getini...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 54 na 55 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 54 na 55
@majario LIVE

Daah yani asubuh ile sa 10 ndo nikamwambia basi mke wangu pumzika na mtoto.sasa, zena akanambia sawa mpenzi, na wewe upumzike sasa, nikasema sawa nakupenda sana zena , wewe...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 53 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 53
@majario LIVE

Basi mtoto akiwa anaendelea kunishika shika, daah simu inaitaa, alafu nacheki zena ndo anagonga call ,ahaa nikanyanyuka chapu, nikavuta simu, nikamwambia jalia samahani naomba kuongea na simu, ni simu...

#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda Post Mpya
#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda
@majario LIVE

Estaste, Kinondoni baada ya HR Mkuu Mzee Shilatu na msimamizi Steven Diallo kuning'oa kutoka Ebony FM, Iringa. Nikapokelewa na Tom Chilala, Wiltrudies Mutembei @wiltrudiesmutembei kisha wakanikabidhi kwa "Semaji"...

*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *Sehemu ya 51 na 52* Post Mpya
*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *Sehemu ya 51 na 52*
@majario LIVE

Daaaah nilishangaaaa sana kwamba aya mambo yamekujaje kujaje, na mbona sielewi, nikasema mama sijaelewa yani kwamba umesema? , mama akanmbia nilishaongea sana na wewe millan, juu ya suala la wewe...

SHAMIRA Sehemu ya 48 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 48
@majario LIVE

Wassap;0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Akasema mimi pia nimekula njoga nikaoge basi chapi chapu. nikaseโ€‹ma sawa. Kweli mwanaume akaenda kuoga nikabaki nimetulia tu na baada ya mda akatoka akanifata...

Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station. Post Mpya
Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station.
@majario LIVE

Binafsi nilikuwa napenda sana vipindi vitatu pale RFA , 1 - Sindano 3 za moto, asubuhi na Fredwaa...!! 2 - Sitosahau na Sky Woker 3 - Showtime bongo moja ya show za...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39  na 40 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39 na 40
@majario LIVE

39 MPAKA 40 ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ Mwandishi; lissa wa huru media Nilitukana kweli kweli kwemye gari umo. Ila barka hakunijibu alikuwa busy na kuendesha gari. Akawa ananipeleka mlandizi ukoo. Nikasema wewe mjinga unaenfa...

BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha! Post Mpya
BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha!
@majario LIVE

Nikikupenda mimi inatosha, acha kuwa na presha, acha kuhangaika na ndugu zangu, kama wakikupenda ni ziada tu lakini haibadilishi chochote! Nani alikudanganya kuwa wanapaswa kukupenda! Mimi mwenyewe sina uhakika kama...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 50 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 50
@majario LIVE

๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ Basi bwana penzi likanoga mpaka mwezi ukakata, apo zena alikuwa na wasi wasi kuwa ntamuacha ,ila mi wala sikuwa na ayo mawazo kichwani kwangu ata kidogo, kila siku namuona...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 50 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 50
@majario LIVE

๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ Basi bwana penzi likanoga mpaka mwezi ukakata, apo zena alikuwa na wasi wasi kuwa ntamuacha ,ila mi wala sikuwa na ayo mawazo kichwani kwangu ata kidogo, kila siku namuona...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest