Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 66 na 67
Gonga94 Β· Stories

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 66 na 67

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈

Mwandiishi; LISSA

Na kesho yake mapema sana mimi.niliamkia kazini , na nilipofika tu job,nikaongea na uyo afande mnige, ni mshikaji wangu tu uyu baba ,na huwa ananiitaga boss, mana nimempita cheo , ila huwa namuheshimu sana , basi mi sikumueleza sana uyu mzee ile deep, nilimwanbia tu kuwa nimepata binti, nagitaji anisaidie kuwa mshenga wangu mana nataka kuoa sasa, nakupembuka uyu afande alicheka sana ,akanmbia weee kijana ndo anataka kuoa now ,unasema kweli, ushachoka kuangaika na wanawake sasa, nikasema afande mnige asa ayo ya nn, ebu kuwa mshenga wangu kwanza na balua inatakiwa kwenda leo, na sitaki kuchelewa kuoa, afande mnige aknmbia ilo lishapota mm siwez kukukatilia ww mkuu, ila tu nimecheka mana nimeona sasa umekomaa kiakili mpaka unataka kuoa, basi sawa haina shidaaa , nakuandalia iyo balua na utanipa location nipeleke, nikasema sawa mzee wangu na asante sana

Na baada ya apo sasa ndo nikampigia zena tukasalimiana, akanmbia ameshamueleza mjomba wake na shangazi yake juu ya suala langu la kupeleka posa ,na wapo kiwalani, so naruhusiwa kupeleka balua sas, nikamuomba zena anielekeze vizuri mtaaa ambao shangazi yake na mjomba wake wanakaa, zena akanielekeza vizuri, na mm wala sikufanya ajizi, nilivyoamaliza kuongea na zena tu, nikampigia afende mnige nikamuuelekeza ,akanmbia sawa, na nikamtumia na pesa ,mana kwenye barua nilimwambia aweke laki 5 na yeye usumbufu nimampa laki 1, basi bwan mida ya mchan, yule mzee alinipelekea barua kwa kina zena, na alinambia amefika na amepokelew vizuri, na barua imepokelewa ,ila sasa et shangazi na mjomba wake na zena wao walitaka mda wamfanyie sherehe mtoto wao, na sio nimuoe ndani ya week ila afande mnige aliwakatalia ,aliwaambia ndoa ni jambo la haraka, ni vyema kwanza nimuoe kisha sherehe zitafata uko mbele , basi bwana baada ya barua sasa, nikaanza pilika pilika na zena za kujiandaa na ndoa,

Sitaki kuwambia kwa mda wote zena alikuwa ni mwanamke mwenye furaha mnoo, yani alikuwa na rahaa kweli kweli, sio yey tu ata mm nilikuwa na rahaa, ila kila nikikumbuka mm nimeoa na siku zena akijua kuwa tayali nimeshaoa, na yeye namuingiza katika matala badi kitawaka , basi ikawa nikikumbuka hivyo, najikuta mood inakata kabisaa, basi bwana, tukafanya shopping ya ndoa , kama kununua nguo na kila kitu na balua yangu ilijibiwa ndani ya skku 2, nikasema siku ya 5 nataka kuoa, apo mm nipo kwa zena sijaludi kwangu, namwambia jalia nipo job ndo nlala uku na kazi zimenibana sana, yani mm na zena ni kama vile tulishaoana ,mana mm mda mwingi na kuwa kwake, so nilitaka iwe halali tu sasa, ili niwe na uwezo wa kummiliki kabisa zena,

Basi bwana mungu akajalia na siku ya 5, nikaenda kufunga ndoa na zena, ndoa yangu ilikuwa ni mm na ibraa, na uyo mshenga wangu yani afande mnige, ndo nilienda nao, na nashukuru bwana nilifanikiwa kumuoa zena, siwafichi nilikuwa na furahaa mno, nilikuwa na amani sanaa, yani amani ilijaaa mnoo, basi baada ya ndoa ,mi nikabeba mke wangu na tukaludi kwa zena, tulipofika ndani, niliona kama zena ana maswali hivi, akanuuliza kwani mbona imekuwa hivi kama imekuwa hark harka inakuwaje, mbona katika hii ndoa sijamuona ata mzazi wako mmoja ,na ata ndugu zako sijawaona , na wakati unanaielezaga kuwa ndugi zako wengine wapo dar, au uwa sielewi, mbona kama umeniona kisiri siri na kwa kunificha millan , mh kazi imeanza ,nikasema no kwa nn nikuoe kwa siri mwanamke nnayekupenda, hapana mke wangu ila nimefanaya hivyo sababau ya kazi yangu

Zena akasema kazi yako kivipi, nikasema kwanza kuhusu wazazi, ni hivi zena unajua mama na baba wameshakuwa watu wazima ,sasa kuwapandisha boti na kuanza kuangaika na mizigo kuja huku inakuwa sio swa, ila maam kanipa baraka zote, na baba wala hana shida ameridhia pia, ila tu wamemnambia baada ya mda nikupeleke nyumbani wakakauone, si inajua wazee awa inabidi sisi ndo tuwafate sana,na sio wao kuja,zena akanmbia sawaa nimeeelewa na ndugu zako.wa apa dar je kwa nn wameshindwa kuhudhulia , nikasema sasa mm kazi yangu haitaki show off mama, mi nipo katika kitengo muhimu sana kazini, so haiitaji msongamano wa watu nasipendi kuchanganika na watu, ila ndugu zangu wote wanaelewa kuwa kwa sasa nimeoa na nna jiko na jiko lenyewe ndo wwe zena wangu, nakupendaa sana, zena akatabasamu kisha akanmbia nakupenda zaidi mume wangu, nyieee hii siku zena alipendeza sna ,yani full pikooo, mtoto kapambwa kapambika kweli , nilitamani tupate uhuru zaidi ila watoto sasa, inakuaje unazini

Basi nilipata faragha nae kidogo sana, mana hii siku aka kadogo kalikuwa kanasumbua ,ila wala sikuwa na presha mana uyu mmni mke wangu wa ndoa , so ntaspend nae sana tu, basi bwana hii siku mm nililala apa kwa zena ,na asubuh sana niliamkia kazini ,na nikawa busy sana na kazi zangu , nikiwa busy kazini, dalali wa pugu akanipigia akanmbia nyumba imepatikana sasa na ni nzuri sana, na mwenye nyumba ana taka kodi kuanzia miezi 4, nikasema sawa nitumie picha ha nyumna , kweli dalalai akanitumia picha, woow ilikkuwa ni nyumba nzuri mnoo, yani sana tu, na nikapapendaa mnoo yani mnooo , basi nikamwambia dalalai napataka na jioni naenda kuilipia , yule dalali akanmbia sawa, aseeee ni kweli mimi jioni nilivyotoka job tu nikaenda pugu kuiona iyo nymbaa, yaaaa niliipitisha ilikuwa ni nzuri sana, nikaona apa zena kutamfaaaa ,alafu hii nyimbo ni ipo sehemu iliyotulia sana, nikaona apa panamfaa zena kabisaa, basi mwanaume nikalipia pale kabisaa, na nikamwambia mama mwenye nyumba kuwa kesho na mapema naamia na familia yangu na akanikabizi na funguo kabisaa,

Basi apo nikaludi kwa zena mida ya kama.saa 4 usiku ndo nafika pale ,nikamkuta zena ananisubiri na watoto walishalala, akanikalibisha vizuri mnoo, basi baada ya salama na kupat chakura, nilikueleza kuwa kesho tunaamia pugu sasa, na uko ndo yatakuwa makazi yetu mapya mke wangu,zena akanmbia mm nilizani tunaenda kuishi kwako viwege, kwa nn pugu tena, mh nikasema mke wangu viwege pale mm nimepangisha , na sitamani tukaidhi pale mana pale wanawake niliozaa nao wanapafahamu, naogopa watakuwa wanakuja kukufanyia fujo na kukufanya uumie mke wangu, na ndo mana nimetafuta ukoo ,ili tuendeshe maisha yetu kwa amani, zena akanambia ahaaa sawa mume wang , asante sana kunijali na kunifikilia nakupenda sana, nikasema nakupenda pia mke wangu, kiukweli nilishajiapiza ntatumia gharama yoyote kumficha zena kuwa mm nimeoa, niliapa ntafanya asijue kabisa, yote ni sababau nampemda sana na namuhitaji mnooo , sio sababu kwamba tumezaa, no.ni sababau mm.nampenda sana zena, yani nilikuwa najikuta kila siku nampendaaa sana uyu dada, nazidi kuongeza upendo kwake, azeee zena ana sifa za uwanamke mnoo, ukiacha uzuri wake,

Basi kweli kesho yake bwana ,tukaaamia pugu, uko pugu nilinunua baazi ya vitu ambavyo zena hakuna navyo, na baazi nilimbadilishia ili kuendana na ile nyumba, na maisha sasa yakaaanza pugu nikiwa na zena, siwafichi mi uku pugu nilikaaaa week 2 na zena, apo jalia sijaongea nae kabisa, mana nikifika kwa zena simu nazima ama naweka kindege, so hakuna usumbufu wowote wa simu napata, siwafichi, mi nampenda zena ,na penda kuwa nae mda wote ,nakuwa na rahaa na amani mnoo, na apo zena kamimba kake aka kanchomoka, na katumbo kanakuja ni kama cha miezi 3 kasoro hivi, nyieeeee mi nilishau kama nna mke anaitwa jalia ,akiri na moyo wote vilikuwa kwa zena ,so sikuwa namkumbuka jalia kabisaa, yani nilikuwa naona zena ndo familia yangu, na ndo mke wangu, na awa akina ummy na arshaina ndo wanangu, yani mpaka ibraa alikuwa anambia nakosea nibalnce niende na kwa jalia ila hapana sikuwa nataka nilikuwa naenda zangu kwa zena, na ata zena alikuwa annaipenda mno na kunifurahia sana tu, naweza kusema nyumba yetu ilikuwa na amani na upendo mkubwa mnooo ,yani upendo kweli kweli, basi bwana siku iyo nakumbuka nilikuwa kazini mida ya asubuh hivi naona simu ya brooi, nikapokea ile simu, kaka akanambia dogo kwa nn huludi kwa mkeo, nilishajua anamuongelea jalia mh, na yupo serious mana.kaka.hakutaka ata kuanza ma.salamu

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈

Maoni

You're not logged in


Tangazo - SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
Wimbo wenye ubunifu imechanga kiarabu kiswahili na amapiano wimbo wa kushukuru kwa maisha na upendo Sasa sikiliza na ku download hapa gonga94.com
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 66 na 67

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈

Mwandiishi; LISSA

Na kesho yake mapema sana mimi.niliamkia kazini , na nilipofika tu job,nikaongea na uyo afande mnige, ni mshikaji wangu tu uyu baba ,na huwa ananiitaga boss, mana nimempita cheo , ila huwa namuheshimu sana , basi mi sikumueleza sana uyu mzee ile deep, nilimwanbia tu kuwa nimepata binti, nagitaji anisaidie kuwa mshenga wangu mana nataka kuoa sasa, nakupembuka uyu afande alicheka sana ,akanmbia weee kijana ndo anataka kuoa now ,unasema kweli, ushachoka kuangaika na wanawake sasa, nikasema afande mnige asa ayo ya nn, ebu kuwa mshenga wangu kwanza na balua inatakiwa kwenda leo, na sitaki kuchelewa kuoa, afande...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/afande-millan-sehemu-ya-66-na-67

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending <br>

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi afande-millan-sehemu-ya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 36 na 37
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 36 na 37
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 40
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 40
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 44 na 45
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 44 na 45
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 28 na 29
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 28 na 29
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 62 na 63
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 62 na 63
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 43
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 43
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 54 na 55
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 54 na 55
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 60 & 61
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 60 & 61
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 31 na 32
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 31 na 32
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 39
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 39
*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52*
*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52*
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 33
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 33
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 38
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 38
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 53
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 53
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 24 na 25
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 14 na 15
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 14 na 15
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 59
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 59
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 21 na 22
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 23
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 11 na 12
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 13
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 13
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 66 na 67

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 66 na 67

534
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 68

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 68

323
MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) 17 to 18 final

MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) 17 to 18 final

278
SHAMIRA 87 MPK. 91      (SEASON FOUR)

SHAMIRA 87 MPK. 91 (SEASON FOUR)

263
SHAMIRA 94 Hadi 96

SHAMIRA 94 Hadi 96

187
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 7

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 7

177
SHAMIRA 92 kwa 93

SHAMIRA 92 kwa 93

177
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 6

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 6

171
NAKUPENDA BILA  13 - 25

NAKUPENDA BILA 13 - 25

168
NAKUPENDA BILA MIPAKA 26 - 35

NAKUPENDA BILA MIPAKA 26 - 35

128

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.79K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.5K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.85K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.34K
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

2.96K
MY WANGU❀️ sehemu ya 108

MY WANGU❀️ sehemu ya 108

2.93K
MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

2.76K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.74K
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

2.68K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.6K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 68 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 68
@majario LIVE

IMETOKAAAAA SEASON YA MWISHOOO SEASON 4 Nikasema ahaa kaka nipo busy sana na nabanwa na kazi, na kuna mda nalala kazini, kka akanmbia au sio unanidanganya na mm mdogo wangu, we...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 66 na 67 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 66 na 67
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Mwandiishi; LISSA Na kesho yake mapema sana mimi.niliamkia kazini , na nilipofika tu job,nikaongea na uyo afande mnige, ni mshikaji wangu tu uyu baba ,na huwa ananiitaga boss, mana nimempita...

SHAMIRA 94 Hadi 96 Post Mpya
SHAMIRA 94 Hadi 96
@majario LIVE

SHAMIRA Sehemu ya 94 Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Nikasema hapana mimi sijawah.akasema basi mimi niliwahi kuza mwenzio ila kwa bahati mbaya nilikosa il uchungu niliuona aswaa. Unauma sana shoga...

MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) 17 to 18 final Post Mpya
MY HOT PILOT* (rubani wanguπŸ”₯) 17 to 18 final
@majario LIVE

* * MTUNZI: SMILE SHINE EP 17. Mikononi mwake nilikuwa sarama, siku ya ndoa, ilifika na vicram tulimualika na familia yake, kama wao walivyofanya, ila hii ndoa nilijua kupendeza jamani, nilipaka na Hina yangu...

SHAMIRA 92 kwa 93 Post Mpya
SHAMIRA 92 kwa 93
@majario LIVE

SHAMIRA Mwandishi; lissa wa huru media Sehemu ya 92 Basi bwana siku zikapita kidogo nikawa nipo apa naendelea na kazi zangu ili iki kitoto hapana . Kina tabia mbaya jamani mh...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 26 - 35 Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 26 - 35
@majario LIVE

:26 Nikacheka na kusema β€œMuanko ana muda sasa, hacheki na yeyote, yaani tabasamu lake tangu nifike pale sijaliona dada hivi unanielewa.” Alinitazama akisema β€œeenh chaupole wangu nipe nipe.” Nilimtazama na kusema β€œwewe tena...

NILIKUTANA NA MAREHEMU MKE WANGU AKIWA KWENYE GARI LA TAJIRI MKUBWA  ​Episode 1 Post Mpya
NILIKUTANA NA MAREHEMU MKE WANGU AKIWA KWENYE GARI LA TAJIRI MKUBWA ​Episode 1
@majario LIVE

​Mvua ya rasha rasha ilikuwa ikidondoka jijini Dar es Salaam, ikichanganyika na moshi wa magari na kelele za wapita njia. Nilikuwa nimesimama kando ya barabara ya Ali Hassan Mwinyi, nikisubiri...

BILLIONS OF LOVEπŸ’“πŸ’“   SEHEMU YA "6"πŸ’“πŸ˜½ Post Mpya
BILLIONS OF LOVEπŸ’“πŸ’“ SEHEMU YA "6"πŸ’“πŸ˜½
@majario LIVE

"BY BABIE LOVE" Basi bwana kakabaki ka laki na nusu nikasema hatakama kesho sipiki lazima tu niende road nikatafute chakuniinguzia pesa Mnakuja nn πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ vitoto vya mskini sisi akili ni...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 7 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 7
@majario LIVE

πŸ“ Mwandishi:lissa mwalla Reyhan kwel ananifanyia mm hiv?niliumia sana huku nikimuangalia ivan anaonfoka zake.reyhan akasema imeisha hio huwez nifanyia mm umalaya ww,unanijua unaskia?sasa uneshakua malaya kweli washkaj malizaneni nae m najikataa.aliongea huku...

NAKUPENDA BILA  13 - 25 Post Mpya
NAKUPENDA BILA 13 - 25
@majario LIVE

MIPAKA:13 β€œKeti tafadhali.” Nilimtazama, yeye hapo hata hajainua uso wake. Nilimeza mate nikaketi hapo moyoni najisemesha β€œwenye hela wana ringa jamani kwani si anitazame hata.” Nilipoketi aliniinua uso wake na kunikabidhi karatasi akisema...

SHAMIRA 87 MPK. 91      (SEASON FOUR) Post Mpya
SHAMIRA 87 MPK. 91 (SEASON FOUR)
@majario LIVE

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ SHAMIRA Sehemu ya 87 Mwandishi; lissa wa huru media Siku iyo sasa nimeenda kazini. Ile nimefika tu asubuh love akainiita mh nikaogopa nikahisi au nimeharibu sehemu.mana kufika na kufika nimeitwa.nijaenda kisha ...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 6 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 6
@majario LIVE

πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“πŸ“ Mwandishi:lissa mwalla Sasa hapo ndio nimekwisha sasa,uwiii,niliogopa nikamsukuma ivan,akasema nani huyo?nikasema ni ticha,akasema ticha wako ndio anakufata mpaka huku?mm nikatoa tu macho,ivan akasema subir hapa,nikasema sawa,akanyanyuka akavaa nguo akatoka mm name...

SHAMIRA 82 MPK  86   Post Mpya
SHAMIRA 82 MPK 86
@majario LIVE

(SEASON FOUR) (HURU MEDIA) πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ SHAMIRA Sehemu ya 82 Mwandishi; lissa wa huru media Basi shoga yenu maisha yakaanza dodoma sasa. Nikawa nipo na kiakiba changu ndo kinanisapoti naendesha maisha mdogo mdogo. Apo...

ISABELA NA WATOTO WA BOSSLADY 1 ---- 5 Post Mpya
ISABELA NA WATOTO WA BOSSLADY 1 ---- 5
@majario LIVE

SEHEMU YA KWANZA Ni majira ya jioni ikiwa ni muda mfupi tokea ametoka bafuni kuoga kwa ajiri ya kujiandaa aweze kurudi nyumbani mara baada muda wa kazi kuisha, Isabela akiwa...

SHAMIRA 79  MPK. 81.    (SEASON 4) Post Mpya
SHAMIRA 79 MPK. 81. (SEASON 4)
@majario LIVE

(HURU MEDIA wababe wa hili Game) πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ SHAMIRA Sehemu ya 79 Mwandishi; lissa wa huru media Nimawa nagoma kutoka .uku nalia nikawa nasema mama usinizalilishe plsss .yule mama akasema nisikuzalilishe nini...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest