Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

SHAMIRA 102 kwa 104
Gonga94 ยท Stories

SHAMIRA 102 kwa 104

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
99. MPK 104 (NARUDIA KUSEMA HURU MEDIA WABABE๐Ÿ˜‚)
๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€
๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€
SHAMIRA
Sehemu ya 102
Wassap; 0742443214
Mwandishi; lissa wa huru media
Basi walivyomaliza kula love hakuniuliza kitu ata akamchukua mwanae akaendoka nae. Mh nikamtumia sms daniel. Nikamwambia gift kamsimulia aunt yake kuhusu ya jana .akanambia achana nao bwana .sister akikuuliza kataaa tu. Nikamjibu sawa .kisha nikaendelea kuwa busy na kazi zangu
Mchana sasa shoga yangu kaludi kimechafuka kwanza sijuh alikunywa juice akajimwagia jamani mh. Nimamuuliza wewe mbona umechfuka.akanambia si uyo joy kanimwagia juice shule. Nikajua watoto kwemye kucheza wanakuwa wanamambo mengi nikamvua nguo zake. Kisha nikaend kumuogesha .nikampeleka dining nimapakulia chakura .akawa anakula alipomaliza kikanyanyuka nikmwambia ludi apa utoe vyombo.akanitikisia mabega kuwa hataki. Nikasema ooh kwanini hutaki. Akasrma baba yangu kasema nisitoe.nikasema njoo utoe kakataa kikaenda sebleni kikawasha video akaweka cartoon.nikatoka nje kwenye bustani nikaraguta kibakora changu kizuri kabisa. Nilivyofika ndani nikakaikamata mikono yake.nikamtandika .akaws analia nikasema wewe hii mikono yako haiwezi kufanya kitu eeh si ndio nakuuiza wewe akawawa analia nikamtoa na bakora mpaka diningi akatoa sahani yake.akaenda kuweka jikoni
Nikamwambia sasa wewe si una mdomo wa kulopoka lopoka nataka nikusike unamjibu mtu jeuri na kuchapa wewe. Na ole wako uwe mjinga mjinga nakutandika pumbavu wewe .kikawa kinalia kikanambia da shamira nisamehe.kumbe kinajua kuomba msamaha nyoo. Nikamwambia aya nimekisamehe nikikutuma kitu unaenda haraka sawa .akasrma sawa
Jioni sasa nikampeleka chooni nimuogeshe akanmbia nataka kupuu kwanza. Nikamwabia aya jisaidie nikamuacha nikawa namngoja nje. Kimemaliza ananambia nichambishe. Nikamuelejeza jinsi ya kuchamba ata hakiwezi nimamwanbia weke mkono uko mie nikawa namwagia maji.alivyomaliza ndo nikamuogesha .nikamsaidia kimvesha chupi nguo zengine nikamwambia avae mwenyewe hajua ata kuvaaa jamnai aya malezi ya daniel hapana kwa kweli
๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€
SHAMIRA
Sehemu ya 103&104
Wassap; 0742443214
Mwandishi; lissa wa huru media

Alivyomaliza nikaenda nae dining nikampakulia chakura akala vizuri. Et kimeninunia khaaa. Aliposhiba akanawa akawa anaondoka nikamwambia wewe hii sahanai yako vp alaka kikaludi kutoa chezea mimi wewe kikapelea jikoni. Nikamwambia sahizi usiku hakuna kuangalia cartoon haraka nenda chumbani ukalale. Akasema mi nataka kuangalia sasa.nikasema utaangalia kesho au unagoma
Akatikisa kichwa kuashilia hapana. Akaenda zake kulala .na mie nijaingia chumbani kwangu.

Baada ya mda nikasikia mlango wangi wa chumbani ungongea nikajua ni love nikamwambia ingia basi akaingia .nikamsalimia vizuri akaintikia akawa ananingalia mpka nikawa naona aibu.akaniuliza ni kweli wewe na kaka dan mna mahusiano. Nikasema hapana hatuna. Akase.a kwaiyo hauna gift kaongopa sio.nikasema ni jana tu ilitokea bahati mbaya.akanambia sikia shamira wewe ni mdogo wangu .ngoja nikwambia kaka dan bado hajamove on kwa aliyekuwa mkewe mpaka kesho. Anaanzisha mahusiano na wa wanawake anawachezea chezea wanaachana sababu bado anampenda aliyekuwa mkewe na bado wanatembea japo uyo mwanamke kaolewa. kwaiyo kama mnapeana sawa peaneni na jikumbuke wewe ni mwanamke na ujiheshimu na ujithamini. Na wla sipingi wewe kuwa wifi yangu.no ila nimekutonya mapema namjua kaka dani miaka minne sasa ashakuwa na mahusiano na wanawake wengi wengii lakini hakuna cha maana. Na lingine kuwa makini katika mambo yeni si unaona mtotto kawakuta eeeh sio sawa hiiii. Nikasrma sawa love haitajiludia
Nikaona kanyanyuka kaondoka zake chumbani kwake nikabaki na aibu zangu ata sijielewi mh ni kweli sikuwa naona dalili ya uyu mwanaime kuwa ananipenda sana no ile kawaida tu .na dada yake alivyonipa aya maneno kanichanganya sana basi tu. Basi bwana ikapita weeek nipo na mtoto.nilimnyoosha akinijibu jeuro tu namchapa vizuri.nikimpa kitu anasrma asante.mwanzo hakuwa anasema kabisa.na akimaliza kula milimwambia unashukuru. Basi nikaona anayooka tu. Anakula akimaliza atatoa sahani yake .anakija kunambia asante dada kwa chakura.ata kama nikiwa chumbani.kalibadilika sana mwanagu usiku akishakula tu anaenda kulala mwenyewe.mpka love akawa anashangaa mana kila akiludi anamkuta kashalala. Na subuh anamuona ana tofauti mtoto. Na nilimkataza tabia yake ya kulopoka lopoka na umbea umbea nilimwambia nampiga nikisikia anasimulia simulia vitu visivyomuhusu. Kikapungiza kidogo.ila nilikuwa nampa nafasi mida ya jioni nacheza nae mpira.yani nilikuwa nampa haki zake zote kama mtoto. mana mtoto ukimpenda sana nayo inakuwa shida unamuharibu bila kujijua

Kwa mda wote uo ambao danieli alikuwa uko hakuwahi kunipigia ata ssiku moja. Ila asubub kabla dada yake ajaenda kazini anampigia video call anaongea na mwanae . Nikawa naona ao ndo wenye umihimu kwao bwana. Basi nilipambana na mtoto jamani akanyooka vizuri mpaka rahaa. Anakunya ka achamba mwenyewe. Mimi namsimamaia tu . anavaa mwenyewe .kasoro akienda shule tu ndo namvalisha. Ila akiwa nyumbani mwemyewe ana vaa nguo zake

Anashukuru ukimpa kitu mpka rahaam na mdomo nikaona kama.kapunguza kidogo mana ata shangazi yake hakuwahi kumwambia kuwa nimemchapa . Basi bwana week mbili zikapita na siku iyo sasa daniel akaludi.ilikuwa mida kama ya mchana .akamkuta mwanae wakakumbatiana.nami nikamsalimia akaniitika vizuri tu. kisha hakuwa na mda na mie tena akambeba mwanae wakaingia chumbani kwao .uko wakazamia jamani yani wakawa busy .wamaongea tu .heee baada ya mda nikaona daniel katoka kakasilika mno . Yani macho yamemtoka akanambia kwaiyo ww mpumbavu ndo ilikuwa kazi yako kunichapia mwamnangu eeh. We mwanamke mbona una roho mbaya sana. Mbona unamchukia sana mtoto wangu eeeh

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Mimi sikuachi fully stories
Mimi sikuachi fully stories
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

SHAMIRA 102 kwa 104

99. MPK 104 (NARUDIA KUSEMA HURU MEDIA WABABE๐Ÿ˜‚)
๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€
๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€
SHAMIRA
Sehemu ya 102
Wassap; 0742443214
Mwandishi; lissa wa huru media
Basi walivyomaliza kula love hakuniuliza kitu ata akamchukua mwanae akaendoka nae. Mh nikamtumia sms daniel. Nikamwambia gift kamsimulia aunt yake kuhusu ya jana .akanambia achana nao bwana .sister akikuuliza kataaa tu. Nikamjibu sawa .kisha nikaendelea kuwa busy na kazi zangu
Mchana sasa shoga yangu kaludi kimechafuka kwanza sijuh alikunywa juice akajimwagia jamani mh. Nimamuuliza wewe mbona umechfuka.akanambia si uyo joy kanimwagia juice shule. Nikajua watoto kwemye kucheza wanakuwa wanamambo mengi nikamvua nguo zake. Kisha nikaend kumuogesha .nikampeleka...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/shamira-102-kwa-104

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending <br>

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi shamira
SHAMIRA sehemu ya 40&41
SHAMIRA sehemu ya 40&41
SHAMIRA 82 MPK  86
SHAMIRA 82 MPK 86
SHAMIRA sehemu ya 38&39
SHAMIRA sehemu ya 38&39
SHAMIRA  ๐Ÿ€ sehemu ya 32&33
SHAMIRA ๐Ÿ€ sehemu ya 32&33
SHAMIRA 1 mpk 7.
SHAMIRA 1 mpk 7.
SHAMIRA sehemu ya 34&35
SHAMIRA sehemu ya 34&35
SHAMIRA sehemu ya 27&28
SHAMIRA sehemu ya 27&28
SHAMIRA 94 Hadi 96
SHAMIRA 94 Hadi 96
SHAMIRA 87 MPK. 91      (SEASON FOUR)
SHAMIRA 87 MPK. 91 (SEASON FOUR)
SHAMIRA 71  MPK. 78. ( MWISHO S3)
SHAMIRA 71 MPK. 78. ( MWISHO S3)
SHAMIRA Sehemu ya 25&26
SHAMIRA Sehemu ya 25&26
SHAMIRA 99 na 101
SHAMIRA 99 na 101
SHAMIRA sehemu ya 36&37
SHAMIRA sehemu ya 36&37
SHAMIRA sehemu ya 29&30
SHAMIRA sehemu ya 29&30
SHAMIRA 21,22,23,24
SHAMIRA 21,22,23,24
SHAMIRA 8   MPK  12
SHAMIRA 8 MPK 12
SHAMIRA sehemu ya 15&16
SHAMIRA sehemu ya 15&16
SHAMIRA 17,18,19,20
SHAMIRA 17,18,19,20
SHAMIRA 44 kwa 45
SHAMIRA 44 kwa 45
SHAMIRA sehemu ya 13&14
SHAMIRA sehemu ya 13&14
SHAMIRA sehemu ya 30&31
SHAMIRA sehemu ya 30&31
SHAMIRA Sehemu ya 65&66
SHAMIRA Sehemu ya 65&66
 SHAMIRA Sehemu ya 54&55
SHAMIRA Sehemu ya 54&55
SHAMIRA Sehemu ya 48
SHAMIRA Sehemu ya 48
SHAMIRA 79  MPK. 81.    (SEASON 4)
SHAMIRA 79 MPK. 81. (SEASON 4)
SHAMIRA 52 to 53
SHAMIRA 52 to 53
SHAMIRA 92 kwa 93
SHAMIRA 92 kwa 93
SHAMIRA Sehemu ya 47
SHAMIRA Sehemu ya 47
SHAMIRA 62 63 na 64
SHAMIRA 62 63 na 64
SHAMIRA Sehemu ya 60&61
SHAMIRA Sehemu ya 60&61
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 68

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 68

1.14K
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 66 na 67

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 66 na 67

995
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 69

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 69

404
MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) 17 to 18 final

MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) 17 to 18 final

378
SHAMIRA 94 Hadi 96

SHAMIRA 94 Hadi 96

301
SHAMIRA 99 na 101

SHAMIRA 99 na 101

286
SHAMIRA 92 kwa 93

SHAMIRA 92 kwa 93

231
SHAMIRA 102 kwa 104

SHAMIRA 102 kwa 104

207
SHAMIRA Sehemu ya 97&98

SHAMIRA Sehemu ya 97&98

206
NAKUPENDA BILA MIPAKA 26 - 35

NAKUPENDA BILA MIPAKA 26 - 35

181

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.79K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.51K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.85K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.34K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

2.97K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

2.94K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

2.77K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.74K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

2.68K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.61K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 69 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 69
@majario LIVE

๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ Nikasema sawa kama umemfahamu zena sasa, nimemuoa sasa na yeye ni mke wangu pia, jalia akaniangalia sana kisha akasema sawa mimi nimeshajua kuwa umemuoa uyo zena, yeye anajua kuhusu mm,...

SHAMIRA 102 kwa 104 Post Mpya
SHAMIRA 102 kwa 104
@majario LIVE

99. MPK 104 (NARUDIA KUSEMA HURU MEDIA WABABE๐Ÿ˜‚) ๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€ ๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€ SHAMIRA Sehemu ya 102 Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi walivyomaliza kula love hakuniuliza kitu ata...

JOGOO WA KIENYEJI 9 na 10 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI 9 na 10
@majario LIVE

๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“ sehemu ya 9 Mwandishi:lissa mwalla Alikua ni Ivan, sikuamin mana sura yake haikubadilika japo alikua amekua, tulitizaman huku mm nikiwa sijui nimsalimie au nimshangililie lkn huyu anajua siri yangu mm nikichofanyiwa kipindi...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 8 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 8
@majario LIVE

Mwandishi:lissa mwalla Babaaa! Niliita kwa mstuko, baba akasema tayla wee taaaay... Kabla hajamaliza niligeuka nyuma na kuanza kuondoka, kumbe DA frida alikua anatembea na babangu siku zote hizi? Baba kampangia anaishi...

BILLIONS OF LOVE๐Ÿ’“๐Ÿ’“   SEHEMU YA "7_8"๐Ÿ’“๐Ÿ˜ฝ Post Mpya
BILLIONS OF LOVE๐Ÿ’“๐Ÿ’“ SEHEMU YA "7_8"๐Ÿ’“๐Ÿ˜ฝ
@majario LIVE

"BY BABIE LOVE" Huyu kashaliwa huyu tena usiku kuchaaaa Mama Samson sasa kwa aibu akanipita bila hata kunisalimia Mara zee mapumba hili hapa linatoka likiwa alinafunga xipi yake vzr loooh ๐Ÿคฎ...

SHAMIRA 99 na 101 Post Mpya
SHAMIRA 99 na 101
@majario LIVE

Sehemu ya 99 Mwandishi; lissa wa huru media Mh shoga yenu nikawa ata sijielewi elewi .mala simu yangu ikaingia sms.nikavuata simu .nakuta sms nimetumiwa imeandikwa .asante kwa penzi tamu shamira siajajutia...

Shirikisho la Soka Afrika (CAF) wa kuwavua Senegal ubingwa wa AFCON 2025 na kuwapa Morocco, Post Mpya
Shirikisho la Soka Afrika (CAF) wa kuwavua Senegal ubingwa wa AFCON 2025 na kuwapa Morocco,
@majario LIVE

Kufuatia uamuzi wa Kamati ya Rufaa ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) wa kuwavua Senegal ubingwa wa AFCON 2025 na kuwapa Morocco, mshambuliaji wa Senegal, Sadio Manรฉ, ameonyesha kusikitishwa na...

SHAMIRA Sehemu ya 97&98 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 97&98
@majario LIVE

๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€ Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi nikafika ndani kwake akanmbia kaa kitandani. Mie nikakaa uku sielewi nae akakaa kitandani .kisha akaniangali kwa macho makavu mpka nilishangaa nimemfanya nini...

NAKUPENDA BILA MIPAKA  36 - 45 Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 36 - 45
@majario LIVE

:36 Sijapenda kabisa, binti alisema wanapika kwao, ina maana wewe huli kabisa huko nje kwasababu una uwezo au ni kwasababu gani. Kumbuka na wewe hapa umeajiriwa kwaajili yangu, kwanini haujali hisia...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 68 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 68
@majario LIVE

IMETOKAAAAA SEASON YA MWISHOOO SEASON 4 Nikasema ahaa kaka nipo busy sana na nabanwa na kazi, na kuna mda nalala kazini, kka akanmbia au sio unanidanganya na mm mdogo wangu, we...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 66 na 67 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 66 na 67
@majario LIVE

๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ Mwandiishi; LISSA Na kesho yake mapema sana mimi.niliamkia kazini , na nilipofika tu job,nikaongea na uyo afande mnige, ni mshikaji wangu tu uyu baba ,na huwa ananiitaga boss, mana nimempita...

SHAMIRA 94 Hadi 96 Post Mpya
SHAMIRA 94 Hadi 96
@majario LIVE

SHAMIRA Sehemu ya 94 Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Nikasema hapana mimi sijawah.akasema basi mimi niliwahi kuza mwenzio ila kwa bahati mbaya nilikosa il uchungu niliuona aswaa. Unauma sana shoga...

MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) 17 to 18 final Post Mpya
MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) 17 to 18 final
@majario LIVE

* * MTUNZI: SMILE SHINE EP 17. Mikononi mwake nilikuwa sarama, siku ya ndoa, ilifika na vicram tulimualika na familia yake, kama wao walivyofanya, ila hii ndoa nilijua kupendeza jamani, nilipaka na Hina yangu...

SHAMIRA 92 kwa 93 Post Mpya
SHAMIRA 92 kwa 93
@majario LIVE

SHAMIRA Mwandishi; lissa wa huru media Sehemu ya 92 Basi bwana siku zikapita kidogo nikawa nipo apa naendelea na kazi zangu ili iki kitoto hapana . Kina tabia mbaya jamani mh...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 26 - 35 Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 26 - 35
@majario LIVE

:26 Nikacheka na kusema โ€œMuanko ana muda sasa, hacheki na yeyote, yaani tabasamu lake tangu nifike pale sijaliona dada hivi unanielewa.โ€ Alinitazama akisema โ€œeenh chaupole wangu nipe nipe.โ€ Nilimtazama na kusema โ€œwewe tena...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest