Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 69
Gonga94 ยท Stories

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 69

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ


Nikasema sawa kama umemfahamu zena sasa, nimemuoa sasa na yeye ni mke wangu pia, jalia akaniangalia sana kisha akasema sawa mimi nimeshajua kuwa umemuoa uyo zena, yeye anajua kuhusu mm, anajua kama kuna mwanamke anaitwa jalia umemuoa pia, nikasema hajui na sitaki ajue, nampenda sana zena, jalia akanambia kwaiyo mm ni nani kwako, mm ni kivuli chako ebu nambie, nikasema.jalia mi sikuplani kukuoa ww kabisaa sikupanga iwe hivyo ni vile wazazi walinilazimisha nikuoe ww, ni wazazi ndo waloniolea au mm ndo nilikuvunjia goti na kukuoa ww, sikia ni hipo hivyo jalia, kama kufosi kuwa na wewe nishafosi sana but nielewe kuwa mm sikupendi kabisaa, nampenda sana uyo zena, ni mwanamke mwenye mtoto wangu mdogo na ana mimba nawezaje kuwa nae mbali nampenda sana nisamehe jalia kwa hili, na zena haitaji matara kabisa, so siwez mueleza kuhusu wewe kabisaaa


Jalia alichoka mpaka akakaaa chini, akanmbia so mm unihitaji kabisaaa, nikasema jalia nahisi ata ayo matala mm sitayaweza na sitayatendea haki, na jitabase sana na zena sababau ndo nnayempenda we ntakusumbua tu, naomba sana tufikilie cha kufanya , ambacho ni sahihi ili baadae isije kuwa shida kwetu, jalia akanmbia no usiwaze kunipa taraka kabisaa millan, mana ata mm nakupenda sana, nakupenda mnooo mpenzi, nakuhitaji kweli kweli, plssss tuongeee mpenzi , nakupenda sana millan mm nakupenda ,na ndo mana wazazi wako walipokuja kwetu kueleza kuwa wanataka mm niolewe na wewe sikusita kabisaa na wala sikukataa sababu nakupe nda plsss millan, na unanaivutua mnoo

Nikasema sawa kama hutaki nikuache ww utaweza kuvumilia juu ya zena, mana mm sitaki zena ajue chochote kuwa nimeoa, sitaki aumie kabisa, nampenda sana, jalia akanmbia ni sawa kama ni hivgo tu basi ni sawa ,ila millan naomba unipe mda na mm plsss, sawa unampenda zena ila na mm nakupenda, basi katika week na mm naomba nipe.ata siku 2, nakupemda sana plsssss, nikaona kumuacha uyu mwanamke haraka hakara itakuwa jau kwa familia yangu, haitanielewa kwanza, nikaumuuliza we ndo umempigia simu kaka yangu na kumuelezea luwa mm siludi nyumbani, na sipokei simu zako, jalia akasema.nisamehe jamani
Niksema.sijasema uniombe msamaha ,

nimekuuliza ni ww ndo umempigia simu kaka yangu, akanmbia ndio , ni mm ila nisamehe niliona mm simu zangu hupokei kabisa ndo nijamshikilisha ,nikasema.sawa kuanzia leo sitaki kusikia kokote juu ya siri zetu za ndani, yani mm na ww na maisha yetu, sitaki kusikia unamwambia yoyote ,jnananielewa mm sindo mumeo, akanmbia ndio, nikasema.basi kama mm ni mumeo naomba ufate shelia zangu, na kila week ntakuwa nakuja kwako siku 2 ,naomba uwa makini sana jalia, bila y hivyo mimi na wewe hatuataelewana kabisa unanaielewa ww, jalia akanmbia ndio nimekuelewa wal hakuna shida
Basi sasa ndo tukaelewana hivyo, mm nikanyanyuka kupata chakura, kisha nikaludi chumbani kwangu kupumzika , na jalia nae akaenda kuoga kisha akaja kitandani , na akataka penzi, asa si mke wangu namuachaje, mi mwanaume bwan, basi mi nikala mzigo kama kawa, japo show inakuwa sio ya kibabe sana, kama kwa zena ,ila nilisex nae fresh kisha tukapumzika, basi tumelala uku jalia ni kanikumbatia mnooo,

hui usiku mm sikutka kuwasiliana kabisa na zena, mana nilimwambia zena nipo njiani, nikaofia nisije nikampokelea simu, alafu akahisi kama vile sipo safarini mamabo yatakiwa mengi, basi bwna, nikalala na jalia apa , na asubuh akaniandaa frsh kwenda kazini, nilimwambia hii week yote nipo kwako basi jalia alaifurahi mnoo, niliona ata jalia ananipenda sana ila sasa kipengele ni mm moyo umezama.kwebgine kabisaa


Badi hwana nilivyofika kazini mida ya mchana saa 6 ndo nilimpigia zena ,ninamwambia ndi nimefika kigoma, na ntakaa week nikifanya kazi, zena aknmbia ni sawa wala hakuna shida mume wangu nakutakia kazi njema, basi bwana nakumbuka ibraa alinambia yani we mbwa uwe makini sana, nikasema acha tu kaka, sina la kufanya wote wananihitaji, ibraa akanmbia ni kwli kaka nakuelewa sana pole sana, nikasema.asante kaka, basi hwana ikakataka week 1 nipo kwa jalia , na niliona jalia anajithidi sana kunifnya niwe na rahaa nikiwa nae, naweza kusema kwa kiasi flan alifanikiwa mana hiyo weeek ambayo mm nilikaa kwa jalia nilikuwa namkula weeeek nzima , mi ni mwanaume.siwez kulala na mwanamke week nzima na nisifanye nae chochote sio kweli, so kwa iyo weeek amabyo mm nilikuwa nakaa kwa jalia kuna bond pia nilishatengeneza nae.

Basi bwanaa siku ambayo ndo naondoka kwa jalia, nilimwanbia mm kesho naenda kulala kwa zena si nimelala.kwako week nzima, akanmbia ndio.naelwaz nikasema.sasa kule mi.sipendi simu za usiku kabisaa, apo nilipokuwa uku zena alikuwa anapiga sana zimu, na kuna mda naongea na simu mbele ya jalia na jalia aliniruthu kabiaa , ila ulivyofika mda wa kwenda kwa zena nilimwambia kabisaa jalia kuwa mimi.sitki kupigiwa pigiwa kabisaaa asa nyakati za usiku, ukiwa na.shida zako zote nambie mchana ila ntakuwa nafosi kila week niwe nakuja kulala kwako ata siku 2, jalia akanambia ni sawa na ntashukuru sana kama utakuwa unakuja ata kwa hizo week.2 ntafurahi sana,nikasema powa basi mi nikasepa.zangu kazini, na iyo siku nikaludia kwa zena sasa

Basi zena akanipa pole na safari, na watoto.wkanichangamkia sana, sasa basi kuanzia apo.ayo ndo yakawa maisha yetu, kwa zena nakaa week, siku 2 nafafuta sababu najifamya nalala kazini, kumbe naenda kwa jalia, ilikuwa hivyo, na nilikuwa najitahidi sana kumficha zena ukweli kuwa nna mke mwengine, na mama akinipigia simu kuniuliza naendeleaje na mke wangu, namwambia tupo sawa, naona ata jalia alikuwa anafanya kile nnachomwambia ,mana ata kaka hakunipigia tena simu kunipiga mikwala, wala yani bi mkubwa ( jalia )hakukuwa na kesi kabisaa, ilikuwa hivgo, na ata simu jalia hakuwa anapiga kabisa nikiwa kwa zena yani ikawa ,jalia anajua kuwa kuna zena ,ila.zena hakuwa anajua kuwa kuna jalia, basi nikawa napambana na wake zangh hivyo hivyo, kwenye suala la kuhudumaia kwa jalia sikuwa na shida, nilikuwa najitajidi kiukweli kwa kila anachokitaka kumtimizia , na zena akawa anaendelea vizuri mana sasa zena mimba yake ikafikisha miez 7, apo anadeka mno na mtoto yanii arshaina alishamueachishaga ziwa nashukuru arishaina kalikuwa kanaendelea vizuri japo mama yake alifanya haraka sana kumbebea mimba ,ila hatukuwa na jinsi ssa

๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ

Maoni

You're not logged in


Tangazo - MY Wangu season one, season two, season 3, season 4 and season 5 final
MY Wangu season one, season two, season 3, season 4 and season 5 final
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 69

๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ


Nikasema sawa kama umemfahamu zena sasa, nimemuoa sasa na yeye ni mke wangu pia, jalia akaniangalia sana kisha akasema sawa mimi nimeshajua kuwa umemuoa uyo zena, yeye anajua kuhusu mm, anajua kama kuna mwanamke anaitwa jalia umemuoa pia, nikasema hajui na sitaki ajue, nampenda sana zena, jalia akanambia kwaiyo mm ni nani kwako, mm ni kivuli chako ebu nambie, nikasema.jalia mi sikuplani kukuoa ww kabisaa sikupanga iwe hivyo ni vile wazazi walinilazimisha nikuoe ww, ni wazazi ndo waloniolea au mm ndo nilikuvunjia goti na kukuoa ww, sikia ni hipo hivyo jalia, kama kufosi kuwa na wewe nishafosi sana but nielewe...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/afande-millan-sehemu-ya-69

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending <br>

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi afande-millan-sehemu-ya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 36 na 37
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 36 na 37
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 34 na 35
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 34 na 35
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 40
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 40
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 44 na 45
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 44 na 45
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 28 na 29
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 28 na 29
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 50
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 50
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 62 na 63
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 62 na 63
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 43
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 43
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 48 na 49
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 48 na 49
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 54 na 55
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 54 na 55
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 60 & 61
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 60 & 61
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 39
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 39
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 31 na 32
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 31 na 32
*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *Sehemu ya 51 na 52*
*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *Sehemu ya 51 na 52*
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 33
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 33
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 38
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 38
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 53
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 53
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 24 na 25
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 24 na 25
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 59
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 59
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 14 na 15
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 14 na 15
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 19.na 20
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 19.na 20
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 21 na 22
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 21 na 22
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 23
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 23
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 16 na 17
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 16 na 17
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 68
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 68
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 18
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 18
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 9 na 10
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 9 na 10
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 11 na 12
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 11 na 12
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 66 na 67
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 66 na 67
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 13
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 13
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 68

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 68

1.15K
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 66 na 67

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 66 na 67

1K
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 69

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 69

459
MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) 17 to 18 final

MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) 17 to 18 final

378
SHAMIRA 94 Hadi 96

SHAMIRA 94 Hadi 96

306
SHAMIRA 99 na 101

SHAMIRA 99 na 101

295
SHAMIRA 92 kwa 93

SHAMIRA 92 kwa 93

237
SHAMIRA 102 kwa 104

SHAMIRA 102 kwa 104

218
SHAMIRA Sehemu ya 97&98

SHAMIRA Sehemu ya 97&98

214
NAKUPENDA BILA MIPAKA 26 - 35

NAKUPENDA BILA MIPAKA 26 - 35

182

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.79K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.51K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.85K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.34K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

2.97K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

2.94K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

2.77K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.74K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

2.68K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.61K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 69 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 69
@majario LIVE

๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ Nikasema sawa kama umemfahamu zena sasa, nimemuoa sasa na yeye ni mke wangu pia, jalia akaniangalia sana kisha akasema sawa mimi nimeshajua kuwa umemuoa uyo zena, yeye anajua kuhusu mm,...

SHAMIRA 102 kwa 104 Post Mpya
SHAMIRA 102 kwa 104
@majario LIVE

99. MPK 104 (NARUDIA KUSEMA HURU MEDIA WABABE๐Ÿ˜‚) ๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€ ๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€ SHAMIRA Sehemu ya 102 Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi walivyomaliza kula love hakuniuliza kitu ata...

JOGOO WA KIENYEJI 9 na 10 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI 9 na 10
@majario LIVE

๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“ sehemu ya 9 Mwandishi:lissa mwalla Alikua ni Ivan, sikuamin mana sura yake haikubadilika japo alikua amekua, tulitizaman huku mm nikiwa sijui nimsalimie au nimshangililie lkn huyu anajua siri yangu mm nikichofanyiwa kipindi...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 8 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 8
@majario LIVE

Mwandishi:lissa mwalla Babaaa! Niliita kwa mstuko, baba akasema tayla wee taaaay... Kabla hajamaliza niligeuka nyuma na kuanza kuondoka, kumbe DA frida alikua anatembea na babangu siku zote hizi? Baba kampangia anaishi...

BILLIONS OF LOVE๐Ÿ’“๐Ÿ’“   SEHEMU YA "7_8"๐Ÿ’“๐Ÿ˜ฝ Post Mpya
BILLIONS OF LOVE๐Ÿ’“๐Ÿ’“ SEHEMU YA "7_8"๐Ÿ’“๐Ÿ˜ฝ
@majario LIVE

"BY BABIE LOVE" Huyu kashaliwa huyu tena usiku kuchaaaa Mama Samson sasa kwa aibu akanipita bila hata kunisalimia Mara zee mapumba hili hapa linatoka likiwa alinafunga xipi yake vzr loooh ๐Ÿคฎ...

SHAMIRA 99 na 101 Post Mpya
SHAMIRA 99 na 101
@majario LIVE

Sehemu ya 99 Mwandishi; lissa wa huru media Mh shoga yenu nikawa ata sijielewi elewi .mala simu yangu ikaingia sms.nikavuata simu .nakuta sms nimetumiwa imeandikwa .asante kwa penzi tamu shamira siajajutia...

Shirikisho la Soka Afrika (CAF) wa kuwavua Senegal ubingwa wa AFCON 2025 na kuwapa Morocco, Post Mpya
Shirikisho la Soka Afrika (CAF) wa kuwavua Senegal ubingwa wa AFCON 2025 na kuwapa Morocco,
@majario LIVE

Kufuatia uamuzi wa Kamati ya Rufaa ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) wa kuwavua Senegal ubingwa wa AFCON 2025 na kuwapa Morocco, mshambuliaji wa Senegal, Sadio Manรฉ, ameonyesha kusikitishwa na...

SHAMIRA Sehemu ya 97&98 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 97&98
@majario LIVE

๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€ Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi nikafika ndani kwake akanmbia kaa kitandani. Mie nikakaa uku sielewi nae akakaa kitandani .kisha akaniangali kwa macho makavu mpka nilishangaa nimemfanya nini...

NAKUPENDA BILA MIPAKA  36 - 45 Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 36 - 45
@majario LIVE

:36 Sijapenda kabisa, binti alisema wanapika kwao, ina maana wewe huli kabisa huko nje kwasababu una uwezo au ni kwasababu gani. Kumbuka na wewe hapa umeajiriwa kwaajili yangu, kwanini haujali hisia...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 68 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 68
@majario LIVE

IMETOKAAAAA SEASON YA MWISHOOO SEASON 4 Nikasema ahaa kaka nipo busy sana na nabanwa na kazi, na kuna mda nalala kazini, kka akanmbia au sio unanidanganya na mm mdogo wangu, we...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 66 na 67 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 66 na 67
@majario LIVE

๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ Mwandiishi; LISSA Na kesho yake mapema sana mimi.niliamkia kazini , na nilipofika tu job,nikaongea na uyo afande mnige, ni mshikaji wangu tu uyu baba ,na huwa ananiitaga boss, mana nimempita...

SHAMIRA 94 Hadi 96 Post Mpya
SHAMIRA 94 Hadi 96
@majario LIVE

SHAMIRA Sehemu ya 94 Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Nikasema hapana mimi sijawah.akasema basi mimi niliwahi kuza mwenzio ila kwa bahati mbaya nilikosa il uchungu niliuona aswaa. Unauma sana shoga...

MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) 17 to 18 final Post Mpya
MY HOT PILOT* (rubani wangu๐Ÿ”ฅ) 17 to 18 final
@majario LIVE

* * MTUNZI: SMILE SHINE EP 17. Mikononi mwake nilikuwa sarama, siku ya ndoa, ilifika na vicram tulimualika na familia yake, kama wao walivyofanya, ila hii ndoa nilijua kupendeza jamani, nilipaka na Hina yangu...

SHAMIRA 92 kwa 93 Post Mpya
SHAMIRA 92 kwa 93
@majario LIVE

SHAMIRA Mwandishi; lissa wa huru media Sehemu ya 92 Basi bwana siku zikapita kidogo nikawa nipo apa naendelea na kazi zangu ili iki kitoto hapana . Kina tabia mbaya jamani mh...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 26 - 35 Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 26 - 35
@majario LIVE

:26 Nikacheka na kusema โ€œMuanko ana muda sasa, hacheki na yeyote, yaani tabasamu lake tangu nifike pale sijaliona dada hivi unanielewa.โ€ Alinitazama akisema โ€œeenh chaupole wangu nipe nipe.โ€ Nilimtazama na kusema โ€œwewe tena...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest