VYOTE NDANI GONGA94
Wanangu hakuna jambo la muhimu kwenye malezi ya mtoto kama uwepo na sauti ya Baba
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
.
Tofauti ni kubwa kati ya mtoto anayekuzwa na wazazi wote na yule anayelelewa na Mama pekee.
Sauti ya Baba hujenga nidhamu, mwelekeo na mipaka ya maisha.
Haimaanishi Mama hana mamlaka lakini kuna nyakati malezi yanahitaji msimamo, ukakamavu na uongozi wa Baba.
Maisha ni magumu na watoto lazima waandaliwe mapema kuyakabili.
Watoto wengi wanakuwa Mashoga, Wadangaji, Watumia Madawa kwa sababu tu walipokuwa wadogo walikosa sauti ya Baba!
Hata kama umegombana na mama lakini hakikisha ugomvi wenu haupelekei kuwatupa au kumsusia mama malezi.
Kuza familia yako ukishindwa Dunia itakusaidia βπΏ
Steve Champion
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
NILIKUTANA NA MAREHEMU MKE WANGU AKIWA KWENYE GARI LA TAJIRI MKUBWA βEpisode 1
βMvua ya rasha rasha ilikuwa ikidondoka jijini Dar es Salaam, ikichanganyika na moshi wa magari na kelele za wapita nji...
Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station.
Binafsi nilikuwa napenda sana vipindi vitatu pale RFA , 1 - Sindano 3 za moto, asubuhi na Fredwaa...!! 2 - Sitosahau na...
mke wangu kaniambia mtoto sio wangu nifanyaje ndugu zangu
Mimi naitwa Baba Derick, Leo asubuhi mapema sana, kama kawaida yangu niliamka kwenda kutafuta riziki. Kabla sijaondoka n...
Taarifa hii haijathibitishwa lakini watu wanaulizana itakuaje kama kweli ubalozi wa huyu bwana utakuwa umeguswa? SIO KULIPULIWA UGUSWE TU!
Wataalamu wanahofia kuwa Kim Jong Un anaweza kutumia tukio hilo kama kisingizio cha kupanua uungaji mkono wake kwa Tehr...
Sad π’ : Mtayarishaji mkongwe wa filamu Bollywood M.M Baig, baba wa aliyekuwa msanii mtoto maarufu wa zamani Baby Guddu,
na aliyeshiriki katika kutayarisha filamu kama Razia Sultan pamoja na kuongoza filamu ya Chhoti Bahu, alikutwa akiwa ame...
Kwa karne nyingi, dunia iliitazama Milki ya OTTOMAN EMPIRE kama ngome kuu ya Uislamu. Kutoka milima ya Anatolia
hadi milango ya Ulaya, kutoka Baghdad mpaka Cairo, bendera ya Uislamu ilipeperushwa juu ya majumba, masoko, na misikiti...
Toss amrithi A.K A, Aingia kwenye pezi jipya na Nadia Nakai
Msanii maarufu βTossβ, anayefahamika kama hit maker wa Umlandu, kwa sasa anaripotiwa kuingia kwenye uhusiano mzito wa k...
Cristiano Ronaldo anafikiria kuondoka kwenye Ligi Kuu ya Saudi msimu ujao. Ronaldo kwa mujibu wa ripoti yuko tayari kulipa kifungu cha euro milioni 50
zilizo kwenye mkataba wake na kuondoka Saudi kutokana na kile anachoona kama upendeleo kwa Al-Hilal. Ronaldo anasemekan...
Ibrahim Konate alikosekana kwenye michezo baadhi ya Liverpool baada ya kifo cha baba yake..
Kwenye ushindi wa magoli 4-1 wa Liverpool dhidi ya New Castle United Ibrahim Konate alirejea kikosini .. Sio kurejea tu...
Tangazo - Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA
Wanangu hakuna jambo la muhimu kwenye malezi ya mtoto kama uwepo na sauti ya Baba
.
Tofauti ni kubwa kati ya mtoto anayekuzwa na wazazi wote na yule anayelelewa na Mama pekee.
Sauti ya Baba hujenga nidhamu, mwelekeo na mipaka ya maisha.
Haimaanishi Mama hana mamlaka lakini kuna nyakati malezi yanahitaji msimamo, ukakamavu na uongozi wa Baba.
Maisha ni magumu na watoto lazima waandaliwe mapema kuyakabili.
Watoto wengi wanakuwa Mashoga, Wadangaji, Watumia Madawa kwa sababu tu walipokuwa wadogo walikosa sauti ya Baba!
Hata kama umegombana na mama lakini hakikisha ugomvi wenu haupelekei kuwatupa au kumsusia mama malezi.
Kuza familia yako ukishindwa Dunia itakusaidia βπΏ
Steve Champion
π Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/wanangu-hakuna-jambo-la-muhimu-kwenye-malezi-ya-mtoto-kama-uwepo-na-sauti-ya-baba
#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending <br>
Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi wanangu-hakuna-jambo-la-muhimu-kwenye-malezi-ya-mtoto-kama-uwepo-na-sauti-ya-baba
Maoni