Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž 70 Hadi 72
Gonga94 ยท Stories

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž 70 Hadi 72

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Sehemu ya 70

Siwafichi umaraya sikuwa nimeacha ila.nilipunguza sana, yani sanaaaaaaa , yani nachepuka sawa ,ila kwa kutokezea sana, nilitulia na awa wake zangu wawili, ata ibraa alinambia nimechange sana , nimepunguza baazi ya tabia, ata kutumia pesa vibaya niliacha, ata kulewa sikuwa nakunywa kabisa, mana zena alikuwa hapendi kabisa ninywe, na siku nikinywa pombe, nikuludi kwa zeja nimekunywaa, aseee zena ana mind tena ataninunia kabisaa, anambiaga ye hapendi kuongea na walevi, so kuna vitu nikawa naviepuka kabisaaa , ili tu nisimkwaze mwnamke wangu, ila bado.nilikuwa nahudumia wanagu vizuri mnoo, japo mama ahmed alikuwa na mdomo sana ,ila alipunguza nilimwmabia ukiniletea mdomo.namsusa mtoto uyuoo simuhudumii ,wee akapunguza kabisaaa

Basi bwana siku iyo, sasa mama ahmed kanipigia simu nipo kazini, nikaona kumekucha mana namjua uyu mwanamke ni ana mdomo sana ,nikapokea simu nikasema nn wewe mi nipo kazini si nimetoka kukutumia pesa juzi tu, mama ahmed akasema we nn , si nimekupigia nikupe hongera halooo ,majilani cha umaraya kaoa, kwaiyo ww ukaona ukituamibia sie kuwa umeoa mpemba mwenzio utaumwa ama, nikajua basi ameenda kule kwangu cha umbeya uyu kisha kakutana na jalia, nikasema unazungumzia nn sikueleiw, akasema bwana eeeh mi leo nimetoka kwako , heeee nashangaaa nakuta new brand ananmbia mkeo , aseeeee kutuchezea kote sie wabongo umeenda kuoa mpemba mwenzako kweli ww nyoko, nikasema.aya we kwangu ulienda kufanya nn na pesa nishakupa

Akasema ahaaa nilikuja sababau nilikumiss tu nije kukuona ila basi si umeoa sawa baba, nikasema.yaa nimeoa na ndo ukome sasa kuja kuja nyumbani kwangu, yule wa sasa hivi sio mwanamke tu, yule ni mke naomba uwe na adabu unapokuja nyumbani kwangu, nina mke sasa, na sio kuja , mm na wew ni tunapigiaana simu masula ya kwenda nyumbani kwangu ukome,sijuh unanaielewa ww, akasema bwana ww kujishaua tu wala.sina shida na wewe mie kimpango wako, kisha akakata sumu, yani katika.wanawake ambao najutia kuzaa nao, badi ni uyu mwanamke ahaaaa anannipelekesha sana mshenzi uyu, yani ana mdomo kama nn, basi mi nikampotezea ila nikampigia simu jalia na nikamuuliza kuhusu suala la mama ahmed, akanambia ni kweli.mama.ahmed alienda pale na kamwambia maneno ya kejelo sna ila yeye kampotezea ,nikamambia achana nae uyo mwanamke ni chiz ila.nimezaa nae so kuwa nae makini na uwe busy na mambo yako na akija tena mfukuze ,jalia akasema.sawa mume wangu mwnamke wa vile hawezi.akanishuhulisha mimi , nikasema powa mke wangu

๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž
Sehemu ya 71 na 72

Basi ikakata miezi 2, apo sasa mimba ya zena ikatimiza miez 9 , ikawa namsikilizia sasa kwa ajili ya kujifungua, kwakua alichoka.sana ,mimi.nikamtafutia dada wa kazi sasa, mana alichoka mnoo, na mm nakuwa nipo busy na kazi, na kuna mda anakuwa anashindwa ata kuhudumia awa wanae wengine kutokana na hali yake, nikaona nimsaidie sasa mke wangu ili apumzike kidogo ndo nikamtafutia dada wa kazi, basi bwana ,siku iyo usiku mida kama ya saa 9 nakumbuka ndo zena alianza kuumwaz ila akanmbia hado uchungu hujachanganya nimngojeee nisiwah kumpeleka hospital, nikasema.sawa basi hatukulala, ni ana lalamika tu anaumwa kiuno nimkande mala nimfanyie iki hivyo, nikimwambia twende hospital ananmbia bado uchungu haujachanganya huu, basi na mm namskiliza mpkaa kumekucha kabisa asubuh saa 12 ,akanmbia sasa nipeleke hospital ushanichanganya mwanao anataka kuja

Na kweli mm nilifanya hivyo, nikampeleka hospital nzuri ya private na iko uku uku pugu, hakukaa sana maskini mpaka saa 3 asubuh akaniletea tena mama , yani alijifungua tena mtoto wa kike, aseeeee furahaaa ilikuwa kubwa sana kwangu, nilifurahi sana, nilikuwa na amani mnoo, sikuwa na watoto wa kike kabisa kabisaaa, so zena akaniongezea bwna, so nikawa na arshaina ambae kana mwaka na nusu, na uyu mdogo wake, nilifurahi sanaa, nilipoitwa kumuona mke wangu nilimwambia asante kwa hii zawadi mke wangu, nakupenda sanaa, akanmbia asante na wewe mume wangu kwa kuniongezea familia, basi.nikakabeba mwanangu pale mh kafamana.sana na arshaina, ila tulimkomaza arshaina bwana mwaka mmoja na nusu nae ashakuwa dada mh

Basi zena wala hakuwa na shida na tulikaaa hospital mpaka jioni tu sie tukaruhusiwa, asee nilikuwa na rahaaa sana nilitamani nimpigie.simu mama yangu mzazi jisha nimueleze furaha yangu ila naanzia wapi, tena apo.ata zena akitaka kuongea na mama namlusha lusha tu, si najua mama kwanza hajui.kama.mm nimeoa mwaamke mwengine tofauti na jalia, na mwanamke mwenyewe ni zena ambae alishamkataa kabisa na alishanambia yeye anamtaka jalia tu, so ata suala la matala.mama yangu hakuwa analitaka kabisaaaa yani, basi bwana aka katoto kangu ka pili nikampa jina la shadya, na mdogo mdogo zena akaanza ulezi sasa, aka kalikuwa kamepoa sana wala sio msumbufu kama arshaina ata, ila sasa arshaina ndo msumbufu bado , si kadogo, basu achaaa anamsumbia sana mama yake, anakuwa anapmabana nao hivyo hivyo tu, na bado kuna ummy ambae kwa mda uo alikuwa anatimiza miaka 6 ambae nae bado akili hazisomi vizuri kabisaaa,

Kiukweli kwa uhuu mda mimi nilimwambia jalia kuwa kwa sasa aniache kwanza niwe na zena mana ametoka kujifungua jalia akanmbia ni sawa naelewa, mh nilichokuwa nampendea nalia ni muelewa sana , yani hana shida kabisaaaaaa , ninapomueleza kitu wala hana shida ni habishi wala hakakatai.ananambia tu sawa ,nikawa naona kabisa kuwa kama hana shida na ni muelewa acha tu niwe nae na zena wala hawezi kujua. Siku iyo bwna nakumbuka ilikuwa mida ya kama.saa 4 usiku,nipo kwa zena na tena tulikuwa chumbani tunaangaika na watoto, mimi nacheza na mdogo uyu kisha yeye alikuwa anamvalisha arshaina ,ummy alikuwa kashalala, basi bwana nikiwa busy na kubembeleza mwanangu naona simu yangu inaita kisha jina ni mama.ahmed mh, nilishangaa uyu sa hizi anataka nini na pesa nimetika kumtumia kama jana yake.kwa ajili ya mtoto, nilitaka nisipokee ile simu kabisaa mana namjua mama.ahmed ataalibu mada , mi sikutaka kabisa kupokea ile simu yake, ila sasa mke wangu zena akanikata jicho kisha akaniuliza kwa nn huipokei ihii simu, nikasema mke wangu si unamjua mama ahmed ataanza fujo tu, achana nae , zena akanmbia hapana mpokelee kama mtoto anumwa je, au bado unatembea nae, nikasema hapana kabisa mke wangu sitembei nae ,zena akavuta ile simu kisha akaipokea akweka loud

Akanisogezea simu niongee sasa mana mm nilishika mtoto , nikasema.hallow, mama ahmed akasema we baba vp, nikasema powa mama ahmed mbona simu za usiku unanitisha , akasema loooh yani wewe unajishaua siku hzi tangu umuoe uyo mpemba wako mie hnanaiona mavi au sio, doooh moyo wangu ukafanya paaah, mana mama ahmed kasharopoka issue za mpemba, mi nikapotezea nikasema bwana ebu sema shida yako unataka nn, akasema wala sina cha kusema nimeona nikusalimie tu handsome boy wa kipemba japo hunitaki , na mwanao anataka kuongea na wewe, nikasema sawa hakuna shida nipe simu niongee nae, akanmbia ahaa basi utaongea nae kesho, kisha akanikatia simu, nyieeee uyu demu ni jau ,nikaona zena kama anajiuliza hivi

Kisha akaniuliza umeoa mpemba mbona sijaelewa hito kauli , mama ahmed alikuwa anamaanisha nn kukwambia hivyo, nikasema sikia zena unajua uyu mama ahemd ni kama ananitaka na si unaona mke wangu kapiga simu huu mda wa saa 4 usiku , anachokipngea wala hakielweki, na uko nyuma alikuwa ananisumbua sana ndo mm nikamwambia bwana usinizingue mi nishaoa, sas naona kajiongeza labda kahisi nimeoa mpemba mwenzangu, zena akaningalia sana akanmbia naomba uwe muadilifu kwnagu millan naomba utulie plssss sitaki presha kabisa mume wangu ,naomba uwe muaminifu kwangu na mimi.niwe muminifu kwako tuangalie watoto wetu, mana watoto bado ni wadogo.san wanatuhitaji.mnoo, nikasema.ni kweli. Mke wangu kila kiltu kitakaa saww , na mm unanihisi tu vibaya mke.wangu ila.mm now.nimebadilka kabisa,wala sina tabia zile, kabisaa, zena akanmbia sawa kama umebadilika ata mm nakuombea sana mume wangu uzidi kubadilika mume wangu, ila ata apa ulipofikoa nashukuru sana , umekuwa baba mzuri kwa wanagu na mume bola kwangu, nikasema asante mke wangu , kisha nikawa nabembeleza mwanagu, ila mama ahmesd aliniitibua mnoo apoo

Basi tukabembeleza watoto.wetu na tukapumzika, na asubuh sana niliamka kwa ajili ya kuwahi kazini sasa na mke wangu zena akaniandaa maskini kwa ajili ya kazini ,japo watoto wanamsumbua mnoo ila wla hakusahau majukumu yake kama.mke kwangu ata siku moja, ananifanyia yote ,labda siku mm mwenyewe nimwambie pumzika mke wangu, nitafanya mm, basi hwana nilivyoingia kazini, cha kwanza nilimpigia mama ahmedi , ila hii siku wala hakunipokelea simu zangu kabisa, ila nilimtumia sms za kumkomesha kwamba ni marufuku kunipigia simu usiku saa nne bila ya hivyo mtamkomesha. Ila.wala hakunijibu pia na mm nikakausha tu

Badi maisha yakawa yanaemda na baada ya aka kachanga kufikisha miezi 2 mi nikaludia zamu kama kawa, na kwa jalia nikawa naenda japo kwa siku chache, namdanganya zena nna shift za usiku kazini, ama nasafiri naenda kwa jalia , kuna mda namdnganya nadafiri ata week nakuwa kwa jalia, ahaaa apo jalia alikuwa anajituma sana kwa ajili yangu , na ananipa mapenzi kweli kweli, so nikaw ata na yeye simpotezei sana na suala la pesa namzingatia mnoo si ni mke wangu sasa, unazani nafanyaje ,nakumbuka siku iyo ilikuwa ni week end nilikuwa nyumbani tu kwa zena, ila.ummy akawa anataka nimtoe out et anataka akale kuku za njee , ummy bwanaz na zena akaasema ata baba mm nimemiss kitoka out na wewe so pleassss tutoe baba. nikasema.okey bwana familia.sindo mmetaka aya mnambie mnataka.twende wapi.na tikale nn , zena akasema twende fun city kigamboni , mana kule kuna michezo ya watoto na watoto wakainjoy nikasema.sawa mama mtu jiandae tunaenda ,basi ummy alifurahi mnoo akanmbia asante baba nakupenda sana, nikasema asante kushukuru mwanangu ,basi kweli.wakajiandaa na nikawapeleka kigamboni funcity bwana, basi dooh ummy alifurahi kweli.kweli.mana kulikuwa na michezo ya watoto.mingi mnoooooโค๏ธ๐Ÿ“Œ

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Mimi sikuachi fully stories
Mimi sikuachi fully stories
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž 70 Hadi 72


Sehemu ya 70

Siwafichi umaraya sikuwa nimeacha ila.nilipunguza sana, yani sanaaaaaaa , yani nachepuka sawa ,ila kwa kutokezea sana, nilitulia na awa wake zangu wawili, ata ibraa alinambia nimechange sana , nimepunguza baazi ya tabia, ata kutumia pesa vibaya niliacha, ata kulewa sikuwa nakunywa kabisa, mana zena alikuwa hapendi kabisa ninywe, na siku nikinywa pombe, nikuludi kwa zeja nimekunywaa, aseee zena ana mind tena ataninunia kabisaa, anambiaga ye hapendi kuongea na walevi, so kuna vitu nikawa naviepuka kabisaaa , ili tu nisimkwaze mwnamke wangu, ila bado.nilikuwa nahudumia wanagu vizuri mnoo, japo mama ahmed alikuwa na mdomo sana ,ila alipunguza...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/afande-millan-70-hadi-72

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending <br>

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi afande-millan
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 34 na 35
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 34 na 35
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 36 na 37
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 36 na 37
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 44 na 45
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 44 na 45
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 40
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 40
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 28 na 29
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 28 na 29
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 50
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 50
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 62 na 63
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 62 na 63
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž 41 to 42
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž 41 to 42
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 48 na 49
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 48 na 49
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 43
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 43
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 60 & 61
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 60 & 61
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 54 na 55
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 54 na 55
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 39
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 39
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 31 na 32
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 31 na 32
*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *46&47*
*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *46&47*
*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *Sehemu ya 51 na 52*
*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *Sehemu ya 51 na 52*
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 33
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 33
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 38
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 38
* *AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *SEASON TWO*     SEHEMU YA THELATHINI
* *AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *SEASON TWO* SEHEMU YA THELATHINI
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 53
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 53
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 24 na 25
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 24 na 25
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž *season 3*  *64&65*
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž *season 3* *64&65*
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 59
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 59
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 14 na 15
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 14 na 15
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 19.na 20
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 19.na 20
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 68
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 68
*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 26&27*
*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 26&27*
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 21 na 22
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 21 na 22
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 23
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 23
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 16 na 17
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 16 na 17
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 68

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 68

1.24K
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 66 na 67

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 66 na 67

1.06K
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 69

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 69

853
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž 70 Hadi 72

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž 70 Hadi 72

456
SHAMIRA 99 na 101

SHAMIRA 99 na 101

329
SHAMIRA 94 Hadi 96

SHAMIRA 94 Hadi 96

326
SHAMIRA 102 kwa 104

SHAMIRA 102 kwa 104

295
SHAMIRA Sehemu ya 97&98

SHAMIRA Sehemu ya 97&98

237
SHAMIRA 105 na 106

SHAMIRA 105 na 106

206
NAKUPENDA BILA MIPAKA  36 - 45

NAKUPENDA BILA MIPAKA 36 - 45

187

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.8K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.53K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.85K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.34K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

2.97K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

2.95K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

2.78K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.74K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

2.68K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.61K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
KAMA ULIZALIWA BAADA YA MWAKA 1995 HAYA MAMBO YALIKUPITA: Post Mpya
KAMA ULIZALIWA BAADA YA MWAKA 1995 HAYA MAMBO YALIKUPITA:
@majario LIVE

1. Kupakwa GV kwenye kidonda 2. Kung'olewa jino kwa uzi 3. Ubwabwa kupikwa jumapili tu 4. Kidonda kuwekwa unga wa 'rangi mbili' a.k.a tetesakrin 5. Kupamba kadi na pamba sebuleni 6. Ukumbi wa sherehe kupambwa...

SHAMIRA 107 Hadi 109 Post Mpya
SHAMIRA 107 Hadi 109
@majario LIVE

Sehemu ya 107 Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Akasema acha na masuala ya mtoto bwana apa nipo mimi na wewe plsss mpenzi . Nikajikuta nacheka tu akanmbia daah ukicheka...

Jamie Carragher baada ya Senegal๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ณ kuinyangโ€™anywa(na CAF)ubingwa na kuitangaza Morocco๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ kuwa mabingwa wapya:๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ๐ŸŽ™ Post Mpya
Jamie Carragher baada ya Senegal๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ณ kuinyangโ€™anywa(na CAF)ubingwa na kuitangaza Morocco๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ kuwa mabingwa wapya:๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ๐ŸŽ™
@majario LIVE

โ€œSawa, subiri kidogoโ€ฆ kwa hiyo Senegal wanashinda fainali ya AFCON, mashabiki wanashangilia, wachezaji wanainua kombe, kila mtu anasherehekea halafu sasa wanaambiwa: 'Hapana, samahani, Morocco ndio washindi 3-0!' Unatania?" "Yaani, hii ndiyo...

 ๐Ÿ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO๐Ÿ’‹ 8,9,10 Post Mpya
๐Ÿ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO๐Ÿ’‹ 8,9,10
@majario LIVE

O8 Unamaanisha hii simu๐Ÿ“ฑni yangu ๐Ÿค” nilimuuliza , Ndio ni yako lete nisevu namba yangu baadae nataka tuongee kuhusu kazi . Sawa nashukuru ๐Ÿ™ sana kaka Denis Mungu akubarikii ulipotoa akuzidishie....

๐Ÿ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO๐Ÿ’‹ 6 na 7 Post Mpya
๐Ÿ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO๐Ÿ’‹ 6 na 7
@majario LIVE

O6 Umekuja tena ? nilimuuliza . Ndio kwani ni vibaya kuja kukujulia hali wakati wewe ni jirani yangu sasa kwanini jana ulikataa kuwa sio wewe wakati nakufahamu vizuri hadi nimeenda kumuuliza...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž 70 Hadi 72 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž 70 Hadi 72
@majario LIVE

Sehemu ya 70 Siwafichi umaraya sikuwa nimeacha ila.nilipunguza sana, yani sanaaaaaaa , yani nachepuka sawa ,ila kwa kutokezea sana, nilitulia na awa wake zangu wawili, ata ibraa alinambia nimechange...

LETICIA 1 MPAKA 6 Post Mpya
LETICIA 1 MPAKA 6
@majario LIVE

๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’ LETICIA Sehemu ya 01 Mwandishi; LISSA Kwa majina naitwa leticia sabasi, wengi wanapenda kuniita leti,kwenye familia yetu ya mzee sabasi tumezaliwa mabinti wa wawili ,mimi ni mtoto wa mwisho kuzaliwa anaanza dada...

SHAMIRA 105 na 106 Post Mpya
SHAMIRA 105 na 106
@majario LIVE

Sehemu ya 105 Mwandishi; lissa wa huru media Nakuuliza wewe hivi shamira una shida gani na uyu mtot eeh kwanini unampiga piga. Mimi mwenyewe sijawahi kumgusa ata siku moja uyu...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 69 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 69
@majario LIVE

๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ Nikasema sawa kama umemfahamu zena sasa, nimemuoa sasa na yeye ni mke wangu pia, jalia akaniangalia sana kisha akasema sawa mimi nimeshajua kuwa umemuoa uyo zena, yeye anajua kuhusu mm,...

SHAMIRA 102 kwa 104 Post Mpya
SHAMIRA 102 kwa 104
@majario LIVE

99. MPK 104 (NARUDIA KUSEMA HURU MEDIA WABABE๐Ÿ˜‚) ๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€ ๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€ SHAMIRA Sehemu ya 102 Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi walivyomaliza kula love hakuniuliza kitu ata...

JOGOO WA KIENYEJI 9 na 10 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI 9 na 10
@majario LIVE

๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“๐Ÿ“ sehemu ya 9 Mwandishi:lissa mwalla Alikua ni Ivan, sikuamin mana sura yake haikubadilika japo alikua amekua, tulitizaman huku mm nikiwa sijui nimsalimie au nimshangililie lkn huyu anajua siri yangu mm nikichofanyiwa kipindi...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 8 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 8
@majario LIVE

Mwandishi:lissa mwalla Babaaa! Niliita kwa mstuko, baba akasema tayla wee taaaay... Kabla hajamaliza niligeuka nyuma na kuanza kuondoka, kumbe DA frida alikua anatembea na babangu siku zote hizi? Baba kampangia anaishi...

BILLIONS OF LOVE๐Ÿ’“๐Ÿ’“   SEHEMU YA "7_8"๐Ÿ’“๐Ÿ˜ฝ Post Mpya
BILLIONS OF LOVE๐Ÿ’“๐Ÿ’“ SEHEMU YA "7_8"๐Ÿ’“๐Ÿ˜ฝ
@majario LIVE

"BY BABIE LOVE" Huyu kashaliwa huyu tena usiku kuchaaaa Mama Samson sasa kwa aibu akanipita bila hata kunisalimia Mara zee mapumba hili hapa linatoka likiwa alinafunga xipi yake vzr loooh ๐Ÿคฎ...

SHAMIRA 99 na 101 Post Mpya
SHAMIRA 99 na 101
@majario LIVE

Sehemu ya 99 Mwandishi; lissa wa huru media Mh shoga yenu nikawa ata sijielewi elewi .mala simu yangu ikaingia sms.nikavuata simu .nakuta sms nimetumiwa imeandikwa .asante kwa penzi tamu shamira siajajutia...

Shirikisho la Soka Afrika (CAF) wa kuwavua Senegal ubingwa wa AFCON 2025 na kuwapa Morocco, Post Mpya
Shirikisho la Soka Afrika (CAF) wa kuwavua Senegal ubingwa wa AFCON 2025 na kuwapa Morocco,
@majario LIVE

Kufuatia uamuzi wa Kamati ya Rufaa ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) wa kuwavua Senegal ubingwa wa AFCON 2025 na kuwapa Morocco, mshambuliaji wa Senegal, Sadio Manรฉ, ameonyesha kusikitishwa na...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest