SHAMIRA 105 na 106
Sehemu ya 105
Mwandishi; lissa wa huru media
Nakuuliza wewe hivi shamira una shida gani na uyu mtot eeh kwanini unampiga piga. Mimi mwenyewe sijawahi kumgusa ata siku moja uyu mtoto wewe ni nani unampiga .nikasema daniel uyu no mtoto wa kike lazima nimfundishe vizur au unazani utakaa nae mda wote hapana. Na ndo mana najialibu kumuweka sawa. Akanambia wewe mjinga wewe mpumbavu sana una roho mbaya sana wewe huwezk kunilelea mwanangu na sifikilii kuwa na plan zoozte za maisha na wewe . sababu humpendii mtoto wangu
Nikamuuliza kwaiyo wewe ndo una uchungu sana na uyu mtoto kuliko mie niliyeumwa uchungu wake siku nzima na sikujifungua kawaida nikafanyiwa operesheni kumtoa si ndio. Mh nilijikuta nimeropoka mana mimi nilishachukia alafu nilikuwa na hasira mno.
Daniel akasema uanongea nini wewe maraya ulimzaa saa ngapi nakuuliza ulimzaa sa ngapi unaniletea mimi uchizi au unazani unavyonipa kuma yako ndo mimi ntapagawa sana na nitasahau kusimama kama baba kwa mtoto wangu nakuuliza wewe.mimi nikabaki kimya aksema sikia kachukue taka taka zako sepa sikutaki kwenye nyumba yangu. Akatoa pesa akahesabua kisha akanitupia akanambia chukua pesa sepa na sio apa tu nisikuone kwenye ofisi yangu yoyote ata pale super markett nisikuone mpumbavu wewe. Daa niliumia sana yani .ina maana haoni umihimu wangu ama vp .au ndo alonambia love mimi nikainama nikaokota zile pesa zote alizozitupa kisha nikampa mkononi .nikasema sina shida na pesa zako asante.kisha nikaingia ndani nikakusanya kila kitu changu
Nikatoka zangu .nikatok mpka nje nikachukua boda kisha uyo nikasepa zangu nyumbani kwangu nilipopanga. Nilikuwa naumia sana ni mtoto wangu lakini sina haki ya kuamua lolote juu yake.sina haki ya kumsema wala kumkanya mtoto . Yani majanga matupu na bado hathamini mapenzi yangu . Ahaaa niliumia sna na moyo ulukuwa unaniuma sana. Nikaona mbona mimi siishi maisha ya furaha yani tangu nakua ni shida tu mpka sasa
Maswahibu kama yote mala uku mala kule yani daah kazi ipo. Basi niliwaza sana mpka nikajilalia zangu .nikaja kustuma usika sana nilikuwa na njaa nikaenda kuoga kisha nikaenda kuangalia chipsi nikapata .nikanunua na soda nikaja kushishia sikutaka kushika simu nikalala tena kutuliza akiri yangu.
Asubuha na mapema simu yangh inaita anayenipigia ni dada love . Nikaona acha nimpokelee tu. Nikampokealea kisha nikamsalimia .akaitilkia akasema sasa mbona nakupigia jana hushiki kabisa simu yako. Au mpka mimi nipo katika kesi yako.nikasema wala hamna madame.ila jana nilichoka kwaiyo sikutaka pilika pilika mdo mana skupokea simu yoyote ile.wala sio yako tu
Akasrma sasa mbona umeondoka haraka haraka jmani.wala hukunipigia kunishirikisha kwa nini.nikasema love ebu acha nipumzike kwanza nimechoka kusemwa semwa na kaka yako ameongea maneno makari sana mimi sijayapend na sitaki kuludi uko kiukweli yani.akasema jamani pole sana kipenzi basi ludi nyumbani broo amesema alikuwa na hasira tu umemchapa mtot.nikase love mimi hapna siwez kuendeshwa na mtoto mdogo. Tafuteni mfanyakazi mwengine mimi sitaki. Akasema mh ni hili hili au una lengine. Nikasema wala sina lengine ila sitaki kazi kwenu.kisha nikakata simu
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
SHAMIRA
Sehemu ya 106
Wassap; 0755090082
Mwandishi; lissa wa huru media
Basi nikawa nimetulia kwangu kama week hivi nawaza nafanyaje fanyaje na aya maisha mana nilikuwa na kama milinon 1 na laki 6 .niliona inanitosha kabisa ila dodoma mimi sijapazoea .ata sijuh naanzia wapi na naishia wapi. Nikiwa nawaza love akanipigia simu nikapokea .akasema we shamira unajua kulea watoto walllha. Hivi unajua gift kabadilika sana amekuwa mtoto mzuri mno. Ana adabu. Anaongea vizuri tena kwa heshima. Yani mpaka tunamshangaa.nikacheka tu.nikasema sawa mungu amuongezeee azidi kuwa mtoto mzuri. Akasema sawa basi uwe unakuja kumuona huwa anakuulizia ujue.nikacheka nikasema si kanisemelea kwa baba yake kuwa mimi namchapa ama
Akasema ni mtoto anasahau.yani kashasahau kama yeye ndo kasababusha wewe umeondoka nyumbani anakuulizaia sasa. Nikasema sawa nitakuja kumuona siku akanambia sawa hamna shida. Basi nikawa busy na mambo yangu sikuwa na time kabisa na mtu. Siku hiyo sasa nipo zangu home busy na fua .mh si namuona love na kaka yake daniel et wamekuja kwangu majira ya asubuh hivi nikajua ni love mana ndo anapajua kwangu.
Mi wala sikuchukia nikawakakibisha mpak ndani . Walikalibua mpka ndani kwangu. ila sikuwa na kiti ata. Nikawatandikia mkeka ndani. Basi wakaka mtu na dada yake kisha mie nikaenda kuwanunulia soda nikawapa danieli akapokea ila hakunywa Kaiwka pembeni tu mimi nikawakalibisha vizur
.
Basi love akasema shamira bwana uludi basi nyumbani bwana uje kuendelea na shughuri zako. Nikasema hapana mimi sihitaji kuludi nimeshapata kazi. Sehemu nyengine. Daniel akadakia ni kazi ama umepata bwna anakupa pesa si ndio.khaa et mbele ya dada yake anambia ayo maneno mie nikabaki komya.love akasema sasa broo mbon unaongea hivyo tena. Akasema sasa amepata wapi kazi kama sio kwa mabwana zake . Nikabaki zangu kimya.love akasema kaka unakosea ebu usiwe hivyo basi mimi naondoka plsss naomba uongee na shamira vizuri na mmalize shida zenu basi. Daniele aksema sawa.basi love akaniaga na akaondoka nikabaki mimi na dani .
Basi akasogea mpka nilipokaa akanambia sikia shamira samahanii ile siku niliongea maneno mabaya nilikuwa na hasiria tu ila sio kwamba nilitaka kusema yale maneno sitalulidia.nikasema sswa nimekusamehe na yameisha ila kwako sitaki nataka kuwa busy na maisha yangu. Akasems.sikia maisha yako ni mimi shamira kwa hizi siku nilizokaa mbali na wewe ningekua nakupemda sana nakuoenda plsss ludi plss mama .nikasema sitki unanipenda upendo upi au wa kunitumia nakutoa nyege zako .sasa sitaki na usinilazimishe sitaki kuludi kwako. Akawa anningalia kwa huruma kama mtu kweli vile. Akanisogelea zaidi aksema nambie nikupe nini basi mama yngu uamini kama nakuhitaji mwenzio.nikasema nioe ndo ntajua kama kweli unanipenda mimi na unanihitaji .
Akaniangalia sana akasema sawa nakuoa mama yangu ila twende nyumbani basi kwanza.ukakae kule apa hapna mimi sikuamini ukiwa huku. Nikasema kwani unanaona mimi ni mwanamke wa mambo mengi. Akanisogelea akanibusi kwemye shavu kisha akanambia shamira nakupenda sana kuliko chochote latika hii dunia.nikasema kuliko gift mh nikaona kacheka si anajua anavyompenda mwanae
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni