LETICIA 1 MPAKA 6
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
LETICIA
Sehemu ya 01
Mwandishi; LISSA
Kwa majina naitwa leticia sabasi, wengi wanapenda kuniita leti,kwenye familia yetu ya mzee sabasi tumezaliwa mabinti wa wawili ,mimi ni mtoto wa mwisho kuzaliwa anaanza dada angu sakina ,nafwata mimi shoga enu,mimi bwana ni mzaliwa wa arusha wilaya ya karatu ,nimezaliwa kijiji kinaitwa rhotia,mimi bwana ni muiraqw ,na kilugha nakchapa vizur tu yaani kama maji tu ,kama mnavyojua kabila letu tulivyobalikiwa urembo na rangi wairaqw wengi weupe na ni wazuri,sio wanaume wala wanawake wote ni wazuri ,kwaiyo shoga enu mimi ni mzuri nimebalikiwa suraaa,tako na rangi mweupe mwili mzima ,Mimi ni mzuri natamani kungekuwa na sehemu ya voice niwaelezee vizuri ๐คฃ.sema basi tu
Namshukuru mungu mimi wazazi wangu wote ni wazima wa afya kabisa, na Baba angu mimi ni mwenyekiti wa kijiji, na mama angu yeye ni mama tu wa nyumbani hana shughuri yoyote,labda kilimo na penyewe halimi sana maana baba anasimamia kila kitu anawekaga vibarua mara nyingi.
Dada angu sakina yeye yupo tu nyumbani, hana kazi baba alimtafutia kibarua chakuuza duka la watu,ila ilimshinda dada angu mimi ni mvivu, duka kufunguliwa saa 1 na nusu ,yeye anaamka saa 4 ๐คฃ๐. Basi kazi ikamshinda akaja nae kujirundika kwa mzee sabasi ,basi mama yangu dada akimchokoza kidogo tu utasikia jitu zima ovyo unakula ugali wangu bure na chooni unaenda bure,dada angu wala hajali wala nini ,ila baba anampenda sana dada angu kuliko mimi mama akimsema kidogo tu ,utasikia baba anasema we mama sakina ebu muache mtoto unamsema izo ela unatafuta wewe au๐คฃ๐คฃ๐.
Watabishana apo adi basi ,mimi napedwa sana na mama last born wake ,ila baba ile kawaida kwasababu ni binti yake tu .
Mimi bwana kipindi icho nilikuwa na miaka 16 na nilikuwa mwanafunzi nasoma secondary form 2, Ndio nilikuwa nimeingia form 2 sio mda ,Namshukuru mungu mimi darasani nilikuwa kichwa mno , mitihani ikija sipati chini ya 80 kwenda juu na masomo yenye napata 80 labda history, kiswahili ayo labda na ata darasa la saba nilipasua mno nilipata wastani wa A, kwaiyo akili nazo mama alikuwa anasema nimerithi kwake ๐คฃ๐คฃ. Nikifauru tu akiona matokeo au mitihani anasema akili zangu hizi n ni umetithi kwangu nishukuru sana mimi ,maan baba yako angeoa mwanamke mwengine sijui kama ungekuwa unafaulu hivi๐คฃ. Ila nyie mama angu nae anapendaga tusifa yoooh.darasn niingie mimi ila akili ziwe zake khaah.
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
LETICIA
Sehemu ya 2 _3
Bsi kuna siku nilikuwa nimetoka shule na shoga angu salome, tukiwa njiani kuna katoto kaka niita ,nikasimama akanipa barua akanambia ametumwa ,nikamwambia aah asante, kisha akaondoka, salome akasema bwana ako uyo polela ,nikasema itakuwa maana sina mwengine ngoja tuone ,salome akasema daaah yani shoga angu ulivyokuwa mzuri alafu unaenda kutoka na polela mnuka mkojo puuuuuh siwezi yaani uzuri wa bure umeshidwa kuutumia bora ungemkubalia jamal muuza duka ,nikasema bwana salome shida moyo nampenda sana polela wangu awo wengine ata siwataki mimi polela ananitosha ,salome akacheka akasema loooh uyo polela ananini cha ajabu hogo ndio linakupagawisha au ,nikacheka nikasema wala moyo tu salome siku ukipenda utaelewa ,salome akacheka akasema hee kuingiliwa kwa moyo ๐๐.nikasema wew si bado hujapata tulizo la moyo subiri. Salome akasema ata nikipata mungu unipage tulizo la kueleweka sio kama lako . Mimi nikacheka tu , apo tulikuwa tunamuongelea polela, shuleni wanamuitaga polela jina la ukoo. washazoea ila yeye anaitwa samson, uyu bwana ni kipenzi changu nampenda uyu kaka mwee dunia ya saba.
Ukituona ata hatuendani polela yeye yupo yupo tu, mimi ni mzuri alafu msafi ,ila polela wangu sasa kwao wanamaisha ya kati ,kwaiyo alikuwa yupo yupo tu. Ukumuangalia na akili za darasani hana yaani alikuwa yupo yup ila mimi shoga enu yaani nilikuwa nampenda kwisha kazi ata siambiliki ,
Basi tukapiga story pale na salome adi nikafika nyumbani, Na salome kwao ni mbali kwaiyo alikuwa anavuka kwetu ndio anaenda kwao. Mimi nikafika nyumban tukaagana kisha yeye akaendelea na safari ya kwenda kwao . Nikaingia ndani nikamkuta dada yupo zake seblen anaangalia movie . Kaweka na nne kabisa yaani aya ndio maisha anayoyapenda dada angu . Akaage tu hajigusi kwa chochote . Nikamsalimia akaitikia kisha mimi nikaingia chumbani kuvua nguo za shule . Nilipofika chumbani nikavua nguo za shule kisha nikavaa za nyumban. Nilipomaliza ndio nikatoka sasa chumbani. Njaa ilikuwa inaniuma hatari nikapitiliza tu jikoni.Nyie ety nafika jikoni nakuta dada hajapika na ameshinda nyumban siku nzima nilichukia hatari . Si mmajua ile umerudi nyumban alafu unakuta chakula amna ata jiko alijawashwa maumivu yake yanavyokuwa . Nikaenda sebleni nimevimba kweli kweli . Nikasema dada mimi njaa inaniuma chakula . Dada akasema heeh yaani nilisahau kabisa jamani hamna chochote uko jikoni . Nikamuangalia uku machozi yananilenga
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
LETICIA
Sehemu ya 4
.Dada sakina akasema pole bwana si upike chapu chapu tu jiko la kuni halicheleweshi mbona kinaiva sasa hivi .ata sikumjibu mimi maana namjua huyu akiwa nyumban hajigusi . Na dada yangu kupika ndio hapendi kabisa yaani anaweza lala na njaa akiwa peke yake yeye na jiko mbali mbali . Bas shoga nikarudi jikoni na mahasira yangu . Nikaanza kuangaika kukoka moto. Yaani apo nakoka moto uku namtukana dada sakina kimoyo moyo.
Basi moto ulipokolea nikabandika kaugali chapu. Nilipomaliza nikaanza kukaanga dagaa uzuri zilikuwepo ndani maana ananunuaga kisado zanakaa ndani . Nikaandaa na kachumbali yangu pale . Kisha Nilipomaliza nikapakua ka ugali kangu na mboga nikaenda sebleni kukaa . Dada sabina sasa aliponiona et umebakiza ugali jikoni maana njaa imeanza kuniuma apa . Nikabaki kimya tu namshangaa . Akasema we leti si nakuuliza weww chakula umebakiza . Nikasema si uende jikoni unaulizia apa sebleni. Akaniangalia akasema kwaiyo ndio umejinunisha ulipopika umepungukiwa nini . Ata sikumjibu akainuka akaenda jikoni kuchukua chakula . Basi shoga enu nikala pale nilipomaliza nikaenda kuosha tuvyombo nilivyotumia kisha nikaingia zangu chumbani . Nafika chumbani ndio nikakumbuka kibarua cha shemeji yenu polela . Nikachukua sket ya shule nikakitoa kwenye mfuko wa sket. Kisha nikakifungua nikakuta ameandika . Kipenzi nimekumiss naomba leo tuonane kwenye mwembe wa shamba la mzee saidi.apo ilikuwa saa 11 .doooh nikaona nimechelewa ila ngoja nikamuone kama nitamkuta maana ata mimi nilimiss mno tu . Basi nikajiandaa vizuri nikabeba na kitenge kabisa lolote linaweza kutokea๐คฃ๐คฃ.
Basi nikaenda kumuaga dada nikasema dada mimi naenda kwakina salome kuna daftari nimelisahau kwao . Dada akasema wewe leti kwakina salome kulivyo mbali vile utarudi saa ngapi ,nikasema amna dada sasa daftari ni muhimu kesho asubuhi tunakusanya ,dada akasema mmh basi nenda uwahi kurudi uje uand3 chakula cha jioni . Nikasema sawa nawahi ,basi shoga enu nikaondoka apo nishabeba na daftari langu moja ili nikiulizwa nioneshe ilo daftari, basi nikaenda adi kwenye shamba la mzee said apo ni kipinfi cha mahindi kwaiyo kuna mahindi malefu tu ukiingia huonekani , na mimi ndio nikaingia umo nikawa namchek mchumba ,nikamkuta mchumba ndio anaondoka ,nikamwita akasimama kisha na mimi nikamsogelea, nikasema mbona unaondoak sasa ,akasema daah umeniweka leo leti tangu sa 10 nipo apa nakusubili mwenzngu ndio unafika saizi saa 12 ,nikasema samahani nilichelewa kufungua ile karatasi nilifikia kupika ,akaniangalia akasema kwasababu nilikumiss sana nikaona nikusubiri ila usingenikuta ,nikamkumbatia nikasema nimekumiss pia mchumba
Akanmbia nakupenda sana leti ,nikasema nakupenda pia, apo tulikuwa tumekumbatiana ,
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
LETICIA
Sehemu YA 5 na 6
Polela akaingiza mkono kwenye shart langu akaw ananipapasa mgongoni, mmi nikawa nasikia raha na mkono yake migumu ,si mnajua mikono ya jembe ilivyo mwenzenu mimi wala sio bikra, ni mzinzi mzoefu ,uyu polela tuna mwaka mmoja sasa tangu form 1 ,saizi ndio tunaingia mwaka wa pili ,na bikra alinitoa yeye mwenyewe tena apa apa kwenye mahindi ya shamba la mzee saidi ,ndio nilitolewa bikra uyu bwana ela ya gest hana, na kwao familia kubwa vyumba vichache , mda wote wapo nyumban, kwaiyo ndio tunakutaniaga uku tu ,alinipapasa akaamia kwenye maziwa akawa anayachezea mno ,na mimi nikapeleka mkono kwenye hogo la polela a amefungasha walai,yani zigo zigo๐๐. Basi tulichezeana baada ya mda mfupi shughuri ikaanza nikatandika kile.kitenge nilichokuja nacho ndio tukafanyia mambo yetu apo . Nilienjoy mno tu ya uy polela kuniwezea tu ananiwezea ni anachua kucheza na mwili wangu ,kabalikiwa hogo na anajua kulitumia .
Bas tulifanyana adi saa 1 inaeleke saa mbili ndio nikamwambia polela aniache, naye ndio akatoka juu yangu ,akasema asante sana kipenzi changu. Nikasema asante pia polela wangu. Polela akatabasamu. Basi nikamwambia ngoj mimi niende nimechelewa nitakuta wakina mama wamerudi , polela akasema sawa mchumba ngoja nikusindikize kwanza,basi nikajiandaa pale nikakung"uta ka kitenge kangu maana ilikuwa ishashika vumnia kisha tukaanza kuondoka. Na alinindikiza adi karibia na nyumbani ndio akaniacha niende mwenyewe, basi nikaondoka adi nyumbani nafiak pale uzuri nilikuta mama na baba hawajarudi ,dada sabina alinambia wameenda kwenye kikao ofisi ya kata watachelewa kurudi. Basi nilipofika nikamkuta dada yupo jikoni anapika , nikamuuliza wakina baba wamerudi , akanamb hapana hawajarudi, nikasema aaah sawa akasema afadhali umerudi upike apa. Nikasema dada. Mimi nimechoka(yaaani mtu nitobwee uko tena kwenye mahindi apo yananiwasha mwili alafu nifikie jikoni aweeeh ,)dada sakina akasema let utapika utake usitake ,nikasema kiache atapika mama akirudi, kisha nikaingia zangu ndani, nikaenda kuvua nguo kisha nikaenda kuoga. Dada alipoona nimekaza akaanza kupika mwenyewe, na mimi nilipotoka kuoga ,nikasema kumbe kupika unaweza. Akasema ebu kwenda uko ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐๐๐คฃ๐๐. Usikose muendelezo kwa 1000 TU no ya malipo 0750411324 SUBIRA SEFU mtandao voda au mpesa kwa jina lingine njoo na muamala wako uhudumiwe hatupoi hatuboi
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni