VYOTE NDANI GONGA94
BINAMU WEWE UNGEWEZA? SEHEMU 02 ENDELEA...... "Hajambo kabisa" "Na mipango mengine si inaenda vizuri?" "Kabisa mama, tegemeeni mambo mazuri hivi karibuni" "Hata mimi naona Japo unanificha mama yako kwa jambo kubwa kama hili labda unasubili mpaka tum
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
BINAMU WEWE UNGEWEZA?
SEHEMU 02
ENDELEA......
"Hajambo kabisa"
"Na mipango mengine si inaenda vizuri?"
"Kabisa mama, tegemeeni mambo mazuri hivi karibuni"
"Hata mimi naona Japo unanificha mama yako kwa jambo kubwa kama hili labda unasubili mpaka tumbo lionekane ndo uniambie kama ni mjamzito" Mama aliongea hayo mie huyo nisiangue kicheko.
"Mama bhana umeanza mambo yako. Tangu lini nikakuficha mambo yangu na wewe ndo msiri wangu"
"Sasa mbona hili umenificha ndo maana nasema labda unasubiri tumbo likuwe"
"Ndo kwamba unamaanisha mimi huyu ni mjamzito?, mama bhana"
"Una kichaa wewe?, hujui kama una mimba au unanizuga mbwa wewe. Mtu mzima dawa popote anapokuwa mimi nimekuzaa wewe na ndo wa kwanza kuona jua unanificha mimba jinga kabisa wewe"
Nilifikiria kwa dakika chache huku nikipiga mahesabu kwenye kichwa changu.
"Inaweza kuwa kweli mbona sijaingia kwenye siku zangu karibia miezi miwili" niliongea hayo kwa sauti.
"Yaani Nice na utuuzima huo hujui hata dalili za mimba?"
"Mama nina tabia ya kupitiliza siku zangu ni ngumu kujua mapema kama nina mimba". Nilijitetee ila ni uongo mtupu.
Hata sikuamini kama ni kweli ni mjamzito. Majira ya jioni niliondoka nyumbani nilitaka nihakikishe kama kweli nina mimba. Moja kwa moja nilienda hospitali.
Nafika tu hospitali kwa mbali niliwaona Manka na Sony wanaelekea parking huku Sony akiwa amemshika Manka kwa uangalifu sana. Wivu wa mapenzi ulinikaba haswaaa! Niliendelea kuwatazama mpaka walipoondoka eneo hilo na wao wala hawakuniona.
Nilienda kuonana na doctor alinifanyia vipimo ni kweli nilikuwa mjamzito tena wa miezi miwili.
Nilifurahi sana maana ni matamanio yetu mimi na Sony kupata mtoto hasa Sony alikuwa na hamu sana ya kuitwa baba.
Niliondoka hospitali kwa mbwembwe zote. Nilijua muda huo Sony atakuwa nyumbani kwangu tu. Maana hawezi kuondoka akamuacha mgonjwa peke yake.
Nilifika nyumbani ile naingia ndani nikamkuta Manka amekaa kwemye sofa alafu miguu kainyoosha mezani. Mkononi kwake ana kipande cha rimao.
"Unaendeleaje?" Nilimuuliza kiroho safi.
"Salama" Alinijibu kwa mkato tu.
Sikutaka kumjali sana tena nina furaha zangu mwenyewe nilamuuliza kuhusu Sony.
"Ni muhimu kuliko mimi binamu yako?, Ok yupo jikoni ananiandalia supu" Sikutaka mambo yawe mengi nilielekea jikoni moja kwa moja.
Ni kweli nilimkuta Sony anaandaa supu. Nilimkumbatia nyuma ya mgongo kwa mahaba kama yote ila niliishiwa pawa kwa maneno aliyonitamkia. Wacha nilie kwanza ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ........ITAPENDEZA.........

Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi binamu-wewe-ungeweza-sehemu