*SINGLE MOTHER* 1 MPAKA 3 sehemu ya 1
πͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺ
Kwa majina naitwa sangania jafari ally. Ila wengi wamezoea kuniita NIA. Mimi ni mtoto wa pili kuzaliwa katika familia ya watoto 2. Ila sasa nimejikuta nimebaki mwenyewe .baada ya kaka yangu kipenzi kufariki. So nikabaki kuwa mwenyewe sasa. YANI kama nimezaliwa wa pekee.Ila mimi sikuwahi kubahatika kumuona baba yangu kabisa. Nililelewa na mama tu. Mama hakuwahi kunambia chochote kumuhusu baba. Ila ndugu zake mama walikuwa wanasema baba alimkimbia mama. Mimi na marehemu kaka tukiwa wadogo sana. So mimi mama pekeee ndo alonilea na kunipambani mno katika makuzi yangu. Mpaka nakua.na mpaka najitambua na kuwa msichana sasa na kwa kipindi chote iko tulikuwa tunaishi kilimanjaro. Na ndo nilizaliwa uko na kukulia uko. Na mimi ni mpale.Kiukweli mimi sikuwa na akiri za shule kabisa. Kwanza ata la 7 sikufanikiwa kumaliza. Niliishia darasa la 5. Nikakataa masomo apo. Na sio kwamba mama alishindwa kuniendeleza . Hapana ila msomaji hakuna. Nilikataa shule .mama akanichapa mpaka akaniacha tu. Mana sikuwa nataka kusoma kabisa mimi.
Mimi bwana nilipofikia umli mkubwa wa miaka 25 tu. Niliona kukaa kilimanjaro tena mimi sielewi. Nilimuaga mama na akanielewa tu. Na nilienda dar kutafuta maisha sasa. Na uku dar bwana nikakutana na shoga yangu kipenzi anaitwa maria. Yani uyu alikuwa ndo rafiki yangu sana. Na yeye aliwahi kuja dar kutafuta maisha na ndo ambaye alinishawishi na mimi tuje kufanya kazi dar. Siwezi kumtegemea mama kila siku na maisha ni magumu .mana wanaume wenyewe hawasomeki kabisaaa. Na kweli mana uko nyumbani wanaume walikuwa wananizungua tu na cha maana hakuna kabisaaa.mala leo nipo na yule. Kesho yushaachana na kuwa na yule yani fujo tupu.
Basi nikaingia dar na mam akaniruhusu na akanielewa kuwa nakuja Dar kutafuta maisha . So hakusumbua sana. Na nilipofika Dar nikaanza kuishi na shoga yangu sasa maeneo ya ubungo external ndo alipanga pale. Maria bwana alikuwa ni baamedi kweny club moja ipo sinza. Ni kubwa sana .ila apa sitaitaja jina. So na mimi niliingia apo. Na baada ya miezi kazaa nikazoea kazi kabisa. Na hiyo ndo kazi iliyokuwa inanilisha na kunivesha na kumtunza mama yangu. Mana kwa uo mda mama alikuwa analalamika miguu inamsumbua sana .so ata kazi ndogo ndogo za kufanya za kumpa mahitaji ya msingi. Hakuwa anaweza tena. Ikabidi sasa mimi ndo nipambane.nimjue mama kwa kila kitu. Na kazi ndo ilikua hii ya baamedi. Kwa pale ilikuwa unalipa sana . Mana pale walikuwa wanakuja watu wenye vipesa pesa vyao. So keep changes za kutosha. Ndo zinaendesha maisha. Mana kamshahara chenyewe ni kadogo kweli kweli.
Na kikubwa zaidi .mh ni kudanga. Wala sifichi yani madanga ndo yanatupa pesa sana. Na nilishazoea na nilikuwa naona kawaida tu. Na ndo maisha yangu bwana.Siku iyo bwana. Ilikuwa ni jioni ndo nilikuwa najiandaa sasa nikiwa na maria kuingia kazini. Tukiwa tunajiandaa simu yangu ikaitaa bwana. Nikavuta simu .nikacheka mh nakuta james. Nikatabasamu kwanza. Mana uyu james ni danga langu permanent kabisa. Tena akija hataki mwanamke yoyote zaidi yangu. Sio mwanaume wa kuluka luka kabisaaa. Basi nikavuta simu nikapokea . Nikasema hallow J .akanmbia powa nia. Vipi ushaingia job. Au leo sio zamu yako kuingia night. Jikasema hapana ndo najiandaa kuingia. J akasema sikia usisahau kuvaa shanga kiunoni mwako.nakuja kwa ajili yako. Nikacheka sana. Yani uyu anapenda mambo ya uswahili uyu. Et nikimpa show bila ya kuvaa shanga hajisikii kama ana pewa na demu. Ana hisi yupo na mwanaume mwenzie ananmbiaga .ila wanaume bwana wanatofautina. Danga lengine ukimvalia shanga anakwambia wewe mswahili mi sipendi aya mambo. Ndo maboss sasa tunafanyaje. Basi tunaenda nao wanavyotaka.Nikasema powa J wala usijali .navaa kwa ajili yako..eeh nambia nizivae nyingi au chache. J aksema vaa kama zote. Nikacheka sana . Uyu bwana ana jishaua uyu. Nikasema powa J ngoja najiandaa tutakutana kazini basi. Akanmbia powa powa
Basi na kweli sikuwa nimevaa shanga ata. Ila kwa ajili ya mteja nikaludi kwenye kabati.nikawa naangalia sasa nivae zipi.nikamlizishe mteja wangu. Maria akwa anacheka mana wakati naongea na J niliweka loud. So nilisikia maongezi yetu. Basi Maria akasema yani james ukimuona alivyo wa kusure sasa na mambo yake tofauti. Looh mtu msomi ila anapenda uswahili.nikasema shoga aya mambo hayana usomi.mi naona ni inatokana na hoby ya mtu tu. Maria akasema hizo shanga kuzitumia anaweza ama anazipenda tu. Nikacheka nikasema we mi sitoi sili za mtaje wangu. Maria akasema na yule mkaka akija pale hataki mtu yoyote zaidi yako. Yani sie wengine anatuona kama mavi vile looh. Na kile kigali chake anatulusha rohoo mbwa yule. Nikajikuta nacheka sana. Mana maneno ya maria bwana.
Basi tukajiandaa haraka haraka. Nikavuta na pochi yangu. Na maria teali alishajiandaa. Tukuachukua boda mpaka sinza. Tukaingia kazini. Hizi kazi zina changmoto mno ila tushazoe wenyewe. Mteja kukushika matako kawaida. Mteja kukutukna na hujamfanya chochote kawaida. Sababu tunafanya kazi na walevi. Kwaiyo wakishalewa inakuwa ni purukushani.ila wenyewe tumeshazoea na wala hatuoni tatizo wala shida kabisa. Basi tukaanza kazi mda kama wa usiku saa 1. Hii club ina wateja mno. Yani apo ni full fujoo. Na iligawanyika kuna uku chini ndo club .alafu kwa juu uko. Ni watu wanapoa. Yani ambao hawapendi mziki wa kucheza. Ila kote ni pilika pilika tu. walevi wana shida sanaaa.ila ndo wateja wetu sasa. Hatuna cha kufanyaa. Tunavumilia tu
πͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺ
SINGLE MOTHER
sehemu ya 2
Basi nikawa busy na kazi kweli kweli. Na shida nnazipata saan. Mana nilikuwa nna kitako cha mchongo kidogoo . Alafu mm sikuwa mzuri sana wa sula. Ila ni mweupe mno. Ya ni mweupe kweli kweli. Si mnajuaga wanawake weupe unavyotubebaga ata kama.una kuwa wa kawaida. Unaonekana pisi kweli kumbe hakuna chochote. Na sula zetu za baba hiziπ€£π€£π€£π€£π€£ππ»ππ»ππ»ππ»ππ». Basi nikawa busy kweli mpka saa 4 .ndo namuona J anaingia sasa. Kawaka sana.oyaa uyu mkaka mzuri bwna . Yani bonge la handsome. Alafu sasa anajua kuvaa. Uyu mbwa anavaa vizuri mno. Ila sasa ni mume wa mtu . Naelewa vizuri na kanambia mwenyewe. Na anapenda sana kunisimulia issue zake na mkewe. Ni watu ambao wana migogoro ya mala kwa mala. Na mimi ndo nakuwaga kama kitulizo chake. Na mimi naangaliaga pesa. Masuala ya mume wa mtu. Ama mke wa mtu mimi hayanihusu. Mimi naangakia mfuko basi.nikiwa na james. Asubuh mpaka tunaachana mimi mkononi sikosi laki 2. Laki 3
Basi alivyoingia akapanda juu. Najua haziwezagi fujo za uku chini. Basi nilipomuona sikutaka maongezi.nikamvutia bia zake anazozipenda.nikampelekea juu. Nilipofika nikaainama kumuwekea vinywaji vyake mezani. Akachukua mkono wake akaleta juu ya kiuno changu. Akaanza kunipapasa .nikajua ana hakikisha nimevaa hizo shanga.nikajikuta nacheka tu. Na yeye akaningalia akatabasamu. Oyaaa kaka mzuri uyu. Mnajua maana ya mzuri.yani asingekuwa kaoa. Ata ningeenda kumloga uko atulie na mimi. Ila ndo niahachelewa na mkristo na si mnajua ndo zao awa. Mwanaume anaona mala moja na mke mmoja na kinawatenganisha kifo. Dohhhπ₯Ή
Basi akanmbia nimefurahi kukuona mchumba. Nikacheka nikasema nimefurahi kukuona piah. Akanmbia niwekee bia zangu. Naongea na manager wako tunasepa nataka nikapumzike na wewe mapema sana. Nikasema sawa baby. Basi nikamuekea bia zake mezani. Nikamuacha juu anakunywaa. Mie nikashuka chini kuendelea na mambo yangu. Najua akishamaliza kunywa ndo anaongea na manager. Anampa pesa ananichukua tunasepa. Na mpunga mpunga anao. Anafanya kazi sehemu nzuri tu selikalini. Basi nikawa busy na kazi za uku chini. Basi nikiwa busy nikahisi kun mtu kanishika mgingo kama ananistua. Nikageuka. Nikakuta ni mkaka mmoja smart tu. Kavaa suti fresh. Akanmbia mambo. Nikasema powa vp. Akanmbia fresh . Sikia dada kuna mtu anakuhitaji yupo nje ya club . Mh nikamuuliza nani .na kwa nn awe nje ya club .naomba aingie ndani ya club kama anataka kuongea na mimi. Nipo busy siwez kutoka nje mm. Nipo busy na kazi zangu. Akasema sikia. Uhitaji pesa kwani dada?. Ni kwamba kuna mshikaji yupo nje anahitaji mwanamke wa kupumzika nae usiku wa leo.mimi ndo nikaona nije apa. Nikaona wewe ni mkari na nikupe hili deal. Mana jamaa Ana milion 2. Nyie moyo wangu ukafanya paaaaaaah. Milioni 2.
Nikamuuliza we kaka unaongea serious au unanitania mimi.sitaki masihara kabisa kwenye masuala ya pesa .nimekuja dar kutafuta maisha na nipo seriuos na pesa. Issue za kijinga sitaki. Yule kaka akasema sikia nipo serious. Ni mshikaji wangu anaitwa alex. Sio mtanzania anatokea kenya. Anakujaga Tanzania kwa ajili ya issue za biashara tu. Ni ana pesa mno. Niamini mimi mrembo. Ametaka mtu wa kuspend nae usiku wa leo tu. Kesho anasepa kenya hautajutia . Mh nikawaza chapu suala la pesa shoga yenu lilinivuruga. Nikasema yupo wapi uyo kaka.alanambia nje yuko parking. Nikasema sawa twende.
Sikuaga ata kwa manager mimi. Nilimpanga maria tu. Tena kwa juu juu. Akanmbia wewe si J amekuja kwa ajili yako. Nikasema naelewa ila mimi.natafuta pesa apa .yeye akinipa pesa kubwa laki 3. Uko nimeambiwa kuna milion 2.asa mimi nitakaa kumngoja yeye. Ebu ngoja kwanza nikachukue pesa. Maria akasema sikia nenda ntakulinda kwa manager. Ila ukiludi asubuh unipoze. Nikasema usikonde shoga yangu nenepa kabisaa. Basi mimi nikajichomoa chapu. Nikiwa nimeongozana na yule kaka tukatoka mpaka njeee. . Kuna gari moja matata sana ilipaki nje . Yule kaka aknmbia ingia kwa gari. Akanidirect niingie nyuma. Kweli mimi nikafungua malngo nikingia ndani ya gari nyum .kwanza gari inanukia kweli kweli. Alafu sasa kwa pembeni nikakuta kuna mwanume amekaa pembeni . Alikuwa amevaa pensi nyeusi. Na t shirt jeupe. Kawaka sana.ila sasa uyu bab ni mweusi jamani. Alafu ni wale wanaume warefu kweli kweli. Yani uyu baba ni mrefu. Nilipomunagalia wala sio mbaya ile mweusi bwanaaa. Ila sasa anaonekana pesa ipo . Ananukia kweli kweli . Alafu kakaaa kitajiri sanaaaa. Ananukia kinoma . Apo mkononi ana saa kali sio powaa.kanyoa vizuri anawaka kweli kweli. Yani uyu kaka mimi wala sikupata shida kujua kama pesa ipo. Na pesa anayo bwanaa. Yule kaka akanmbia hi . Naitwa Alex. Naweza kukujua wewe. Mh mnakijua kiswahili cha kenya ndo cha uyu baba. Apo kuna kingereza ndni yake alikiongea kwanza. mwali wenu sikuopoa ata kimoja.nilielewa apo tuπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»
πͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺπͺ
SINGLE MOTHER
sehemu ya 3
Basi nikamuangalia nikasema naitwa Nia. Akanmbia okey nia. Yani baada ya apo. Akakaa zake kimya . Akawa busy na PC yake. Yani hakuniongelesha tena. Apo yule kaka alonifta ndano club. Ambae nilisikia jina lake uyu alex akimwita kama corlini. Ndo nikagundua yule dereva anaitwa corlin. Nae akawa anaendesha gari tu. Basi kukapoa kila mtu akawa kimya. Yule dereva akaendesha mpaka KILIMANJARO HOTEL. akasema boss Alex tumeshafika. Alex akasema sawa. Kisha akakunja PC yake. Kisha akaniamulu mimi kushuka kwa ishara na yeye akashuka. Kisha akazunguka upnde niloshuka mimi akaja akanishika mkono.kisha akawa anaongea na corlin kwa kingereza na kiswahili kichache sana. Sikuopoa jamani. Kusoma mali. Yani nilielewa tu ni kama walikuwa wanagana. Kisha yule corlin akaingia ndani ya gari nikaona anaondoka sasa. Kisha Alex akanishika mimi mpaka Room sasa.
Alipofika akaongea mambo mengi na mimi. Nikabaki namungalia tu. Naona alinijua kuwa simuelewi. Nikaona anatabasamu. Kisha akanambia najua kiswahili kwa uchache sana. Kwani ufahamu kingereza kabisa. Mjinga nn alinisomesha yeye ama.nikasema sijuh yani sijuh ata kidogo. Jitahidi tu kuongea kiswahili. Akanmbia basi sawa. Tukaoge .nikasema sawa. Wala sikujivunga mimi nimekuja kutafuta pesa uku. Na wala sina utotot mimi. Nikasaula nguo zangu. Nikamsogelea na bwana wa kuitwa alex. Nikamvua nguo zote. Asee watu wamejaaliwa uwiii. Alafu si mnawajua wanaume walefu wanavyojaliwaga . Basi uyu kaka kazidi uwii. Bonge la shedede linganing'inia. Nikatangulia mbele mwanaume akaja nyuma . Nikaingia nae mpaka bafuni. Na mwanaume wala hakulinga akanivuta akainisogeza kwenye shower. Tukaaanza kumwagikiwa na maji. Akanikumbatia mno . Nikawa amsugua na yeye annisugua. Hivi mnajua uyu baba ni mrefu uwiii. Sijuh namuishia kifuaniπ€£π€£π€£π€£π€£ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»
Basi baada ya kumaliza kuoga. Tukatoka mpka rooh. Uku yeye akiwa kajifunga taulo kwa chini. Na mimi nikajifunga taulo juu ya maziwa kushuka chini. Basi Alex. Akavuta simu akaagiza chakuraa. Woow kikaja chakura very classic. Alafu yeye wala hakula sana. Na mimi nikaona jau. Ata sikula.sana.nikaona apa sijafata kula.ebu nipige kazi mimi mambo mengine yatafata tuu . Basi mwanaume akataka mchezo sasa. Mimi bwana sheria zangu.mwanaume hanitombi bila ya kinga.yani lazima avae kinga ndo mambo mengine yataendelea. Nikavuta pochi yangu .nikamvalisha kondom. Kisha sasa ndo nikaanza kumpa huduma .oyaaaaa hii machine ya kazi. Kaka shughuri anaiweza. Alafu sasa anajua kila kitu. Anajua kumuandaa mwanamke .anajua kumkula mwanamke. Yani baada ya mimi kutoa huduma ndo nikawa napewa huduma sasaπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»
Qseeee mwanaume alinikamata kweli kweli. Alinitembezea machine mpaka nilichanganikiwa .nilikojoa mpaka nikakojoa tena. Alafu sasa yeye hakukojoa ata bao mojaa. Apo kaanza kunisugua kuanzia saa 6 usiku mpka saa 8 ananisugua tu na hajakojoa. Asee ikabidi nimstopishe kwanza .nikamuuliza wewe kwanini hukojoi maasaa mawili. Unanifanya tu. Si ntachoka au umetumia dawa? Akatikisa kichwa kusema hapana.ila shida ni hiii condom apa sitakojoa ata mpaka kesho. Doooh asa namuaminije vipi uyu. Kama ana maradhi jeeee. Nikamuuliza uanniamini mimi. Mana mimi sikuamini wewe. Alex akasema niamini sina shida mimi. Ila hivi sijisiki chochote kabisa. Na siyakojoa kabisa apa. Ntakuongeza pesa basi. Baada ya miliona 2. Ntakupa miliona 3. Naomba nisitumie hii condom. Nyie kusikia hivyo akiri ikahama kabisaaa. Nikasema sawa .nikamchomoa kondomu. Aseeee akaingiza sasa. Akanisugua kama Dakika 5 tu wazungu hao. Mzigo wote akaumwagia ndani. Utamu wake sasa sitaki kuwaambiaaaaaπ€£π€£π€£π€£π€£π€£ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ».
Itaendeleeeeeeeee kesho mdaaa kama huuu. Oyaa uhuu mzigo ni motroooooπ₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi






