AFANDE MILLAN๐ Sehemu ya 73
Mwandiishi; LISSA
Basi sasa mm na mke wangu tukatafuta mahari tukawa tumekaa , tukawaacha ummy na mdogo wake wanacheza, aka kadogo nikawa nimekashika mm, mke wangu akataka chipsi kuku nikamuagizia akawa anakula uku tunaongeaa, asees nilistuka sana nilipomuona mama ahmed maeneo yale, tena akiwa mwenyewe wala hakuwa na mtoto kisha akawa anakujia upande wetu, doooh nikajua uyu atakuja kunihalibia sasa hivi, alivyofika sasa, mama ahmed akasema loooh we baba kumbe leo umekuja apa na awala yako, we mwanaume utalizika lini mbona hujui kukituliza ww, umeoa mwanamle mzuri yule wa kipemba, dada akinuna kama anacheka kumbe una mwanamke wa njee na umemzalisha watoto doooh , huna aibu wewe ,sijuh lini utaacha umaraya baba ahmed, nyieee apo zena alikuwa anakula akaacha kula kwanza , akasema ni nn unaongela binti mbona sikuelwi, mwanamke gani wa kipemba aliyeolewa na mume wangu?
Zena akasema mumeo umeolewa shogaaa ? , umeolewa lini dada, anakujua nani kuwa umeolewa mama mkwe wako anakujua wewe , sikiliza nikwamvia shoga yangu wala usipate shida , uyu bwana ana mkewe yupo kwake, kwani we kwake hupajuo si unapajua nilishawahi kuja kile kipindi nikakukuta una mimbaa, daaah na ukazaa ukabeba na mimba nyengine kweli kuna wanawake duniani hawana akili, kwaiyo sie tuliyezaa nae mtoto mmoja uyu bwana ikatuona sie hatuna akiri we ndo unazo nyingi ukaamua kumzalia doble doble , pole sana shogaa uyo bwana ni mmaraya puuh
Aseee mi sikuweza kuvumilia tena maneno ya mama ahmed, Niliinuka kwa hasira, nikamwambia mama ahmedd tuko sasa hivi mpumbavu mkubwa ww, nitakuja kukua nakwambia ,why unapenda sana kuniingilia sna, kwani we demu vp,kwan kuzaa na wewe imekuwa shida ama, mbona unapenda kunitia nuksi mpumbavu ww, mama ahmed akasema nuksi unajitia mwenyewe kwa kutokutilia na mwanmke mmoja, mtu umeoa mkeo mzuri wa kipembana bado unaangaika looh dume zima limalaya ata aibu halioni , pyeees, nikampa mtoto zena , japo hakuwa tayali kampokea, ila nikampa kilazima, kisha nikamfata mama ahmed kwa hasira , nikamdaka nilimpiga mangumi ya uso ya nguvu ya chapu chapu yale, yani uyu demu ana mdomo alafu nguvu hana kabisaaa, akipigwa kidogo kelele kibao, ila mdomo ahaaaa, mama ahmed ni kiboko, huwez kushindana nae kwa kuongea ata siku moja.
Nikataka kumpiga zaidi, zena kanmbia millan muache uyo mwanamke muache uyo ni mzazi mwenzako sasa unampiga nn ebu muache, apo mama ahmed alikuwa yupo chini, akawa analia uku anasema et jamani mwambie uyu ,anataka kuniua kisa kukwambia ukweli kuwa kaoa mpemba mwenzie kamueka pale kwakw viwege ndo imekuwa shidaa , dah yani ndo anazidi kunihalibia msenge uyu, nikampiga ngumi nyengine za hasira mana mm binafsi nikishachukia kuongea sana siwez kabisaaa yani. Kuongea siwez mm, wakaja walinzi wa pale ndo wakanishika sasa ,wkanmbia ahaa brother acha bwana, acha kabisaaaa, unapigaje mwanamke hivi, apo sasa mama ahmad akasimama kisha akasema sawa umenipiga ila nimekwambia ukweli, mimi sijali kupigwa ila namuoonea huruma uyu mwannamke mwenzangu, unamdanganya na wakati wewe una mkeo mpembana unampenda sana ,nyieeeeee achenni hii siku nilivurugwaaa, zena alibaki kimyaa wala hakuongea kitu kabisa maskini ndo kwanza aliwashika wanae vizuri, nilijisikia vibaya na aibu mbele ya zenaana sijuh namuelezeaje juu aya mambo doooh, mama ahmed akajizoa zoa uku anaondoka, akawa anasema yani we dada kwa uyo mwanaume utajutia tuulize ss, umevamia usiyoyajua pole sana nakwambia , daaah
Zena akanmbia naombe nipeleke nyumbani na watoto wakapumzike ,nikasema sawa mke wangu, dooh yani ata jioni hatukufika pale mambo yakavurugika na kila kitu kikaishia pale , basi nikawapandisha kwenye gari na tukaludi mpaka pugu sasa kwetu, ila kwenye gari zena hakuongea kabisa alibaki kimya na tulivyofika kwetu pugu , zena akawa kanuna mnoo ata haongei na mm, nikaona kawapeleka watoto chumbani kwao mana awa wawili walipata usingizi ila aka kadogo shadya alikuwa macho ndo akaingia nae chimbani kwetu sasa, na mm.nikamfaa ndani, tumefika ndani zena akaweka mtoto kitandani kisha na yeye akakaa ,na mm nikamfata mke wangu, nikamwambia zena wangu nisikilize, naomba nisikilize mke wangu, akanmba nakusikiliza nn millan, millan kuna kitu unanidanganya, uyu mama ahmed ni mala ya pili namsikia una mwanamke umemuoa mpemba , kwanin unanaifanyia hivi
Nikasema hapana ni uongo mke wangi sijaoa kabisaa, zena akasema unanaiona mm mjinga sio, unananiona mm.mpumbavu baba shadya nataka kujua ukwli.uyo mpemba ni nani nambie nakwambia, nikasema.mke.wangi ebu nisikilize, usikwe unapemde kumuamini na kumsikiliza mama ahmed yule ni mchafuzi wa mambo yupo hivyo, ni mjinga tu,nisamehe mke wangu, nisamehe sana mama yangu, mi namjua ni muongo yule,zena akanmbia sio kweli hawezi kuwa muongo kila kisu, na kama ni muingo kwa nn ulichukia vile na ukampiga kwa hasira, naona kabisa millan mimi.ndo unanajifanya mjnga, nambieeee una mwanamke mpemba si ndio unananicheat na uyo mwanamke.si ndio, nikasema.hapana mke eangu sio.kweli, zena akanmbia sawa akanyanyuka akanambia twende kwako.kule kwa zamanai, nataka kujua pale anaishia nani, twende sasa , apo anaongea uku anamnyanyua shadya, nikaona doooh tukiemda kule alafu amkute jalia sindo atapigia mstali
Nikasema nisikilize vasi mpenzi mi kule si nimekueleza nimepanganisha mama , plsssss ebu basi nielewa tutaenda kumsumbua mpangaji tu , daah kwani anaelewa sasa, zena ashakuwa na hasira ni anaongea mpaka machozi yanamtoka, ananambia hapana nataka kwenda kumuona uyo mpangaji, yule mama ahamed ameneileza ukweli, na akanmbia ukweli mm kila.siku nakwambia nataka.kuongea na mama yako, unanilusha lusha tu ,simjuh ndugu yako yoyote mpaka leo, kwani uongo namjua nani mm kwenu?, ata leo ukianguka apa, mm napeleka wapi wanao, nikasema si unamjua ibraa lakini mke wangu , zena akasema ibraa ni ndugi yako ni ndugu yako yule wa damu, si ni rafiki yako, eeeeeeh nataka kwenda kule viwege nikaone anayekaaa kule ni nani na nataka unambia kuhusu uyo mwanamke mpemba , njkaona leo leo kazi ipo leo๐ ๐ ๐ ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni