Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

SWALI: Je, vipi Idi ikiaangukia kuwa ni siku moja na Ijumaa ? Inapasa Waislamu wasali sala zote mbili jamaa?
Gonga94 · Stories

SWALI: Je, vipi Idi ikiaangukia kuwa ni siku moja na Ijumaa ? Inapasa Waislamu wasali sala zote mbili jamaa?

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


JIBU: Hili ni swala lenye khitilafu baina ya ‘Ulamaa. Wako walioona kwamba Muislamu aswali Swalaah zote mbili; ‘Iyd na Ijumaa kwa Jamaa’ah, na wako walioona kuwa akiswali Swalaah moja baina ya mbili inamtosheleza.

Dalili zifuatazo zimetumika kuhukumu hayo mawili:

Kauli Ya Kwanza: Kuwajibika Kuswali ‘Iyd na Ijumaa kwa Jamaa’ah:

Hii kauli ya ‘Ulamaa wengi. Nao hoja yao ni:

1- Ujumla wa kauli ya Allaah (Subhaanahu wa Ta’ala):

يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا إِذَا نُودِيَ لِلصَّلَاةِ مِن يَوْمِ الْجُمُعَةِ فَاسْعَوْا إِلَىٰ ذِكْرِ اللَّـهِ وَذَرُوا الْبَيْعَ ۚ

"Enyi walioamini! Inaponadiwa kwa ajili ya Swalaah siku ya Ijumaa, kimbilieni kumdhukuru Allaah na acheni kuuza na kununua." [Al-Jumu’ah 62:9].

2- Dalili zilizotangulia kuhusiana na uwajibu wa Swalaah ya Ijumaa.

3- Na kwa sababu Swalaah zote hizo mbili ni waajib (pamoja na kuwa kuna khitilafu kuhusu uwajibu wa Swalaah ya ‘Iyd) hivyo haiwezi kuanguka (kuachwa) Swalaah mojawapo kwa sababu ya nyingineyo, kama vile Adhuhuri pamoja na ‘Iyd. Hivyo basi haianguki mojawapo.

4- Ruhusa imetolewa kutokuwajibika Swalaah ya Ijumaa kwa wanaoishi mbali ya mji kutokana na dalili ifuatayo:

Kutoka na Abu ‘Ubayd mkombolewa wa Ibn Azhar amesema: Niliswali Swalaah ya ‘Iyd pamoja na ‘Uthmaan bin ‘Affaan (Radhwiya Allaahu ‘anhu) na ilikuwa ni siku ya Ijumaa, akaswali kabla ya khutbah, kisha akakhutubia na kusema: “Enyi watu, hakika hii ni siku iliyoungana sikukuu mbili. Hivyo basi atakayependa miongoni mwa wanaoishi mbali asubiri Swalaah ya Ijumaa, na anayependa kurudi kwake ameruhusiwa” [Al-Bukhaariy]

Kauli Ya Pili: Kuanguka Swalaah Ya Ijumaa Na Kuswaliwa Adhuhuri Lakini Imaam Inapendekezwa Awepo Ili Awaswalishe Wanaotaka Kuswali Ijumaa Na Pia Wale Walioikosa Swalaah Ya ‘Iyd

Na hi ni kauli ya Wanachuoni wa Ki-Hanbali na imesimuliwa pia kuwa ni kutoka kwa ‘Umar, ‘Uthmaan, ‘Aliy, Ibn ‘Umar, Ibn ‘Abbaas na Ibn Az-Zubayr (Radhwiya Allaahu ‘anhum).

Kutokana na dalili zifuatazo, kutoka kwa ‘Atwaa ambaye amesema: “Alituswalisha Ibn Az-Zubayr mapema mchana siku ya ‘Iyd iliyokuwa pia Ijumaa. Kisha tukaenda kuswali Ijumaa lakini hakufika yeye. Akatuswalisha mmoja wetu na Ibn ‘Abbaas (Radhwiya Allaahu ‘anhumaa) alikuwa Twaaif. Aliporudi akajulishwa hayo. Akasema: “Imetimizwa Sunnah.” Ikamfikia habari Ibn Zubayr (Radhwiya Allaahu ‘anhu) akasema: Nimemuona ‘Umar Ibnul-Khattwaab (Radhwiya Allaahu ‘anhu) akifanya hivyo wakati inapoungana sikukuu mbili (‘Iyd na Ijumaa).” [Abu Daawuwd, An-Nasaaiy].

Pia kutoka kwa Abu ‘Abdir-Rahmaan As-Sulamiy ambaye amesema: “Zilikutana sikukuu mbili katika zama za ‘Aliy bin Abi Twaalib (Radhwiya Allaahu ‘anhu) akawaswalisha watu Swalaah ya ‘Iyd kisha akakhutubia katika kipando chake akasema “Enyi watu, atakayeswali ‘Iyd atakuwa ameshatimiza Ijumaa yake In Shaa Allaah.” [Na katika riwaaya nyingine] “Anayetaka kuunganisha aunganishe, na anayetaka kubakia abakie.” Akasema Sufyaan: “Inaamanisha akabakie nyumbani kwake.” [Swahiyh kutoka kwa Ibn Abi Shaybah, ‘Abdur-Razaaq na Ibnul Mundhir].

Lakini Maimaam katika miji ni bora waimamishe (waswalishe) Swalaah ya Ijumaa ili waswali wenye kupenda kuswali ambao tayari walishaswali Swalaah ya ‘Iyd na pia kwa wale ambao hawakuwahi kuswali Swalaah ya ‘Iyd.

Kutokana na ikhtilaafu hizo, rai iliyojumuishwa ni kwamba atakayeswali Swalaah ya ‘Iyd inamtosheleza Muislamu siku hiyo na hana haja tena kuswali Swalaah ya Ijumaa, bali inamtosha yeye kuswali Swalaah ya Adhuhuri makwao haswa wanaokaa mbali na mji.

Na kuna ‘Ulamaa wengine walioona kuwa yule aliyeswali ‘Iyd hana haja ya kuswali hata Adhuhuri kwani faradhi ya Ijumaa ilishaanguka kwake. Lakini, ni bora mtu kuswali Adhuhuri ikiwa hatoswali Ijumaa ili ajiepusha na utata na nafsi yake iwe tulivu kwa kutoikosa fardhi mojawapo kati ya Ijumaa na Adhuhuri, na pia kwa sababu Swalaah ya Adhuhuri kwa ambaye ameswali Swalaah ya ‘Iyd kisha ikamtosheleza na Swalaah ya Ijumaa, anapaswa kuiswali kwani hiyo ni fardhi isiyoanguka na wala hakuna Swahaba yeyote aliyeiacha kuiswali, kama tulivyoona kutoka kwa ‘Atwaa ambaye alisema: ‘Zilijumuika ‘Iyd mbili (‘Iyd na Ijumaa] katika zama za Ibn Zubayr akawaswalisha Swalaah ya ‘Iyd kisha akawaswalisha Swalaah ya Adhuhuri Rakaa nne.” [Swahiyh kutoka kwa Ibn Shaybah].

Na Allaah Anajua zaidi

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Enzi zetu
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

SWALI: Je, vipi Idi ikiaangukia kuwa ni siku moja na Ijumaa ? Inapasa Waislamu wasali sala zote mbili jamaa?



JIBU: Hili ni swala lenye khitilafu baina ya ‘Ulamaa. Wako walioona kwamba Muislamu aswali Swalaah zote mbili; ‘Iyd na Ijumaa kwa Jamaa’ah, na wako walioona kuwa akiswali Swalaah moja baina ya mbili inamtosheleza.

Dalili zifuatazo zimetumika kuhukumu hayo mawili:

Kauli Ya Kwanza: Kuwajibika Kuswali ‘Iyd na Ijumaa kwa Jamaa’ah:

Hii kauli ya ‘Ulamaa wengi. Nao hoja yao ni:

1- Ujumla wa kauli ya Allaah (Subhaanahu wa Ta’ala):

يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا إِذَا نُودِيَ لِلصَّلَاةِ مِن يَوْمِ الْجُمُعَةِ فَاسْعَوْا إِلَىٰ ذِكْرِ اللَّـهِ وَذَرُوا الْبَيْعَ ۚ

"Enyi walioamini! Inaponadiwa kwa ajili ya Swalaah siku ya Ijumaa, kimbilieni kumdhukuru Allaah na acheni kuuza na kununua." ...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/swali-je-vipi-idi-ikiaangukia-kuwa-ni-siku-moja-na-ijumaa-inapasa-waislamu-wasali-sala-zote-mbili-ja

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending <br>

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi swali-je-vipi-idi-ikiaangukia-kuwa-ni-siku-moja-na-ijumaa-inapasa-waislamu-wasali-sala-zote-mbili-ja
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 73

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 73

1.12K
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 74 na 75

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 74 na 75

935
SHAMIRA 112 na 113

SHAMIRA 112 na 113

594
SHAMIRA 114 mwisho ni 115

SHAMIRA 114 mwisho ni 115

560
LETICIA 7-----------14

LETICIA 7-----------14

224
BILLIONS OF LOVE💓💓   SEHEMU YA "9_10"💓😽

BILLIONS OF LOVE💓💓 SEHEMU YA "9_10"💓😽

180
SWALI: Je, vipi Idi ikiaangukia kuwa ni siku moja na Ijumaa ? Inapasa Waislamu wasali sala zote mbili jamaa?

SWALI: Je, vipi Idi ikiaangukia kuwa ni siku moja na Ijumaa ? Inapasa Waislamu wasali sala zote mbili jamaa?

53
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 11

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 11

47
*IN LOVE WITH YOU ZURI❣️❣️* *1-5*

*IN LOVE WITH YOU ZURI❣️❣️* *1-5*

43
wasanii waliotoa hit moja kali kisha wakapotea kimyakimya.

wasanii waliotoa hit moja kali kisha wakapotea kimyakimya.

7

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.85K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.57K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.86K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.35K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.97K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.96K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.8K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.75K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.68K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.62K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 11 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 11
@majario LIVE

🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓 Mwandishi:lissa mwalla Sikumsukuma wala,na sikujiskia ile vibaya wala,nikasema tu jmn Keanu si uniachie watu watatuona,akaniangalia akasema okay kweli watu watatuona,akasema nakutakia usikumwema,nikacheka aniaksema sawa asante nawe pia.akasemaingia ndani mm ndio nitaondoka,nikasema...

Novatus Dismas Miroshi kutua Nottingham Forest inayoshiriki Ligi Kuu Uingereza (EPL) Post Mpya
Novatus Dismas Miroshi kutua Nottingham Forest inayoshiriki Ligi Kuu Uingereza (EPL)
@majario LIVE

Nyota wa kimataifa wa Tanzania Novatus Dismas Miroshi anayekipigia katika klabu ya Göztepe S.K anahusishwa na kujiunga na klabu ya Nottingham Forest inayoshiriki Ligi Kuu Uingereza (EPL) huku kocha wa...

*IN LOVE WITH YOU ZURI❣️❣️* *1-5* Post Mpya
*IN LOVE WITH YOU ZURI❣️❣️* *1-5*
@majario LIVE

*_________________________________________* *SEHEMU YA : 01* ANZA NAYO.... Ni katika jiji la Dar es salaam katika familia moja ya kitajiri sana, tunamuona binti mrembo, mrembo sana ambaye alikuwa na macho kama gololi na umbo...

◾️FULL TIME AT ANFIELD STADIUM  Liverpool 4-0 Galatasaray  ( 4-1 Agg ) Szoboszlai ⚽️ Ekitike ⚽️ Gravenberch ⚽️ Mo Salah ⚽️ Post Mpya
◾️FULL TIME AT ANFIELD STADIUM Liverpool 4-0 Galatasaray ( 4-1 Agg ) Szoboszlai ⚽️ Ekitike ⚽️ Gravenberch ⚽️ Mo Salah ⚽️
@majario LIVE

Liverpool inatinga hatua ya robo fainali kwa ushindi wa kishindo kabisa nyumbani, ushindi ambao wali stahili kuanzia dakika ya kwanza ya mchezo mpaka mwamuzi anapuliza kipyenga cha mwisho , Liverpool...

SWALI: Je, vipi Idi ikiaangukia kuwa ni siku moja na Ijumaa ? Inapasa Waislamu wasali sala zote mbili jamaa? Post Mpya
SWALI: Je, vipi Idi ikiaangukia kuwa ni siku moja na Ijumaa ? Inapasa Waislamu wasali sala zote mbili jamaa?
@majario LIVE

JIBU: Hili ni swala lenye khitilafu baina ya ‘Ulamaa. Wako walioona kwamba Muislamu aswali Swalaah zote mbili; ‘Iyd na Ijumaa kwa Jamaa’ah, na wako walioona kuwa akiswali Swalaah moja baina...

Shirikisho la Soka la Senegal (FSF) linasema kombe na medali za AFCON 2025 'hazitaondoka nchini' na linapanga kupinga uamuzi wa CAF, Post Mpya
Shirikisho la Soka la Senegal (FSF) linasema kombe na medali za AFCON 2025 'hazitaondoka nchini' na linapanga kupinga uamuzi wa CAF,
@majario LIVE

- Viongozi wamesisitiza kuwa pambano hilo halijaisha, huku baadhi ya wachezaji wakituma ujumbe mzito mtandaoni na kauli za 'njoeni mpige picha na kombe', Senegal inaita uamuzi huo kuwa si wa haki...

STATEMENT ON THE DECISION BY THE CONFEDERATION OF AFRICAN FOOTBALL (CAF) TO WITHDRAW THE AFCON 2025 CHAMPIONSHIP FROM SENEGAL AND AWARD TO MOROCCO. Post Mpya
STATEMENT ON THE DECISION BY THE CONFEDERATION OF AFRICAN FOOTBALL (CAF) TO WITHDRAW THE AFCON 2025 CHAMPIONSHIP FROM SENEGAL AND AWARD TO MOROCCO.
@majario LIVE

March 18, 2026 In football, the Laws of the Game are clear: the referee on the pitch is the final authority on decisions made during the match. Once play is allowed...

MATUKIO YA TIMU KUSUSIA MCHEZO NA KUTOKA UWANJANI Post Mpya
MATUKIO YA TIMU KUSUSIA MCHEZO NA KUTOKA UWANJANI
@majario LIVE

Mwaka 2007 , Wachezaji wa Lille walitoka uwanjani baada ya Gigs kufunga goli kwa mpira faulo [ Alipiga haraka ] muda ambao Lille walikuwa ndio wanaweka ukuta 2013, Kelvin Prince...

SHAMIRA 114 mwisho ni 115 Post Mpya
SHAMIRA 114 mwisho ni 115
@majario LIVE

( MWISHOOO ) 🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀 🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀 SHAMIRA Sehemu ya 114 Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Aseèe nilikuwa sinanngibu kabisa nikasiki malngo unavunjwa apk mimi jilikuwa napata maumivu makari mno ya tumbo yani sama...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 74 na 75 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 74 na 75
@majario LIVE

Daaah apo na mm nilishachanganikiwa ,nikabaki nimemshika mkono zena sasa, nimemshika tu mke wangu kumtuliza, ila.wapi zena ana hasira ana lia tu, ananambia anataka twende viwege, akahakikishe uko kuna nani,...

LETICIA 7-----------14 Post Mpya
LETICIA 7-----------14
@majario LIVE

💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍 LETICIA Sehemu ya 7 na 8 Mwandishi; LISSA Basi hata hatukukaa sana wazazi wakarudi saa 3 ,na wakawa wanalalamika wamechoka walipitiliza kuoga na kulala ata chakula hawakula ,mama alisema wamekula uko walikotoka.​ Mimi...

wasanii waliotoa hit moja kali kisha wakapotea kimyakimya. Post Mpya
wasanii waliotoa hit moja kali kisha wakapotea kimyakimya.
@majario LIVE

Orodha ya wasanii waliotoa hit moja kali kisha wakapotea kimyakimya. K sal ft ferooz Mwana mkiwa Hii ngoma ilivuma sana miaka ya 2000, baadaye K sal akatoa ngoma ingine aliofanya na Mandojo...

BILLIONS OF LOVE💓💓   SEHEMU YA "9_10"💓😽 Post Mpya
BILLIONS OF LOVE💓💓 SEHEMU YA "9_10"💓😽
@majario LIVE

"BY BABIE LOVE" Chap yule jamaa akashuka kwenye gari na mzigo wake wa mboga , akashika sijui ni kisimu akakibonyeza chwaaaaaa chapuuuuuuu geti waaaaa likafunguka akaingia ndani bahati nzuri ...

SHAMIRA 112 na 113 Post Mpya
SHAMIRA 112 na 113
@majario LIVE

SHAMIRA Sehemu ya 112 Mwandishi; HURU MEDIA HAIPINGWI NI CHAGUO LA WASOMAJI ) Basi mnazni jilillala sikuweza kulala ata kidogo. Nikashika vhini ya ile lodge kulikuwa na bar .aseee ndo jimaahiza pombe...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 73 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 73
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Mwandiishi; LISSA Basi sasa mm na mke wangu tukatafuta mahari tukawa tumekaa , tukawaacha ummy na mdogo wake wanacheza, aka kadogo nikawa nimekashika mm, mke wangu akataka chipsi kuku...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest