Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ Gonga94 Semajambo
Gonga94 ยท Stories
20 Mar 2026
views
VYOTE NDANI GONGA94
MATUKIO YA TIMU KUSUSIA MCHEZO NA KUTOKA UWANJANI
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Mwaka 2007 , Wachezaji wa Lille walitoka uwanjani baada ya Gigs kufunga goli kwa mpira faulo [ Alipiga haraka ] muda ambao Lille walikuwa ndio wanaweka ukuta
2013, Kelvin Prince Boateng aliwaongoza AC Milan kutoka uwanjani baada ya kufanyiwa ubaguzi wako rangi
2020 , Wachezaji wa PSG na Basaksehir walitoka uwanjani baada ya mwamuzi msaidizi kumfanyia ubaguzi wa rangi kocha
2024 , Fenerbahce waliingiza timu ya vijana U-19 uwanjani kucheza mechi ya Ligi dhidi ya Galatasaray hii ni baada ya ombi lao la mechi kuahirishwa kukataliwa
2025 , Senegal walitoa timu uwanjani kupinga penati waliyopewa Morocco kwenye Fainali ya AFCON
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
Mwamuzi wa mchezo wa Esparance dhidi ya Al Ahly,Issa Sy ๐ธ๐ณ
Mara baada ya filimbi ya mwisho akatoa kadi yake nyekundu,anataka kumuona mtu amfuate kuhoji maamuzi yake. Kuna afisa m...
Tangazo - CEO usinivue mi nimchumba wa mtu mwanzo wa simulizi Hadi Mwisho wa simulizi
CEO usinivue mi nimchumba wa mtu mwanzo wa simulizi Hadi Mwisho wa simulizi
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA
MATUKIO YA TIMU KUSUSIA MCHEZO NA KUTOKA UWANJANI
Mwaka 2007 , Wachezaji wa Lille walitoka uwanjani baada ya Gigs kufunga goli kwa mpira faulo [ Alipiga haraka ] muda ambao Lille walikuwa ndio wanaweka ukuta
2013, Kelvin Prince Boateng aliwaongoza AC Milan kutoka uwanjani baada ya kufanyiwa ubaguzi wako rangi
2020 , Wachezaji wa PSG na Basaksehir walitoka uwanjani baada ya mwamuzi msaidizi kumfanyia ubaguzi wa rangi kocha
2024 , Fenerbahce waliingiza timu ya vijana U-19 uwanjani kucheza mechi ya Ligi dhidi ya Galatasaray hii ni baada ya ombi lao la mechi kuahirishwa kukataliwa
2025 , Senegal walitoa timu uwanjani kupinga penati waliyopewa Morocco kwenye Fainali ya AFCON
๐ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/matukio-ya-timu-kususia-mchezo-na-kutoka-uwanjani
Maoni