Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

TAMU HIYO BALAAAAH  sehemu ya Sita  Nilijiuliza maswali mengi hadi pale hali ya usingizi ilipo nijia nikalala pale pale kwenye sofa
Gonga94 ยท Stories

TAMU HIYO BALAAAAH sehemu ya Sita Nilijiuliza maswali mengi hadi pale hali ya usingizi ilipo nijia nikalala pale pale kwenye sofa

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Asubuhi mama aliniita mum
niliita bee mama amka mwanangu kumekucha niliamka na kumsalimia mama

baada ya kumsalimia mama mama aliniuliza umelala sebreni mwanangu

ndio mama nilikuwa na angalia tv
usingizi ukanipitia

haya mwanangu umeamkaje ???

Aliniuliza mama kwa sauti ya upole kabasia ilinichukua dakika kama moja hivi kumjibu mama ukalimu wake uliniacha na tabasamu tu nika mjibu

mimi niko salama kabisa mama yangu

haya tufanye usafi binti yangu tulianza kufanya usafi pale na baada ya kumaliza kufanya usafi tulipika chai na mama alienda kuoga na mimi pia nilienda kuoga na kukaa kunywa chai

Mum mwanangu unayaonaje mazingira ya morogoro

mama nime yapenda sana huku hakuna baridi kama makambako muda wote ni joto tu huku kuoga kila wakati mama

ha ha ha ha ha ha! (tulicheka sana na mama yangu kipenzi)

Mum wadogo zako wanakuja leo nafikili itakuwa saa sita hivi

wao mama twende tuka wapokee chai tufunike kwanza twende tuka wapokee tuje tunywe wote mama

hapana mwanangu
muda bado mwanangu sawa

sawa mama
mama muda wote yuko natabasamu yani ni mcheshi sana alafu anaonekana ndio roho yake yani moyo wangu umejaa na amani sana kwa siku chache sana nimefanikiwa kumzoea mama kana kwamba nimemjua labda miaka kumi nyuma nyie kuna watu wana roho nzuri sana
Duniani hapa hadi raha

Tulimaliza kunywa chai mama alisinzia kidogo kwenye sofa mimi nilikuwa na angalia Azam two marudio ya season huku muda wote nikiangalia saa

Mama alipandisha miguu kwenye sofa ili apunguze kidogo usingizi vizuri,
usingizi ulikuwa mzito sana kwa mama macho yake yalikuwa mazito sana na uchovu mwingi,
nikawa na mwangalia mama usoni alivyo lala (nikatabasamu tu kwa roho yake nzuri)

baada muda mlefu kupita simu ya mama ilikuwa inaita mlio wa Alarm mama aliamka pale kwenye sofa

Mum haya twende muda unakaribia twende mwanangu ngoja nivae kijola

Sawa mama mimi nilikuwa tayali nisha vaa muda sana

tulika nnje na kuita bajaji bajaji njoo bajaji ilikuja na tuka panda safari Msamvu stend
haikupita dakika nyingi tayali tulikuwa tumefika Msamvu Mnara wa saa

Mpo ndani haya tokeni sisi tupo hapa mnara wa saa sawa (mama aliongea na simu)

Muda huo huo nilikuwa na shangaa shangaa nika sikia wao mama niligeuza macho na kuwa ona wadogo zangu wawili na mkaka mmoja

Shangazi yangu (oooh frank leo umeniweza shangazi yako)

ndio shangazi yangu sijakuambia kama nakuja (Mum hawa ndio ndugu zako wawili huyu ni mtoto wa kaka yangu anaitwa frank dj wetu ha ha ha haaa)

Nilimtizama usoni macho yetu yalikutana akaniambia Hi Mum
Itaendelea
Tangazo - usiku mmoja tu alidata
usiku mmoja tu alidata
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

TAMU HIYO BALAAAAH sehemu ya Sita Nilijiuliza maswali mengi hadi pale hali ya usingizi ilipo nijia nikalala pale pale kwenye sofa

Asubuhi mama aliniita mum
niliita bee mama amka mwanangu kumekucha niliamka na kumsalimia mama

baada ya kumsalimia mama mama aliniuliza umelala sebreni mwanangu

ndio mama nilikuwa na angalia tv
usingizi ukanipitia

haya mwanangu umeamkaje ???

Aliniuliza mama kwa sauti ya upole kabasia ilinichukua dakika kama moja hivi kumjibu mama ukalimu wake uliniacha na tabasamu tu nika mjibu

mimi niko salama kabisa mama yangu

haya tufanye usafi binti yangu tulianza kufanya usafi pale na baada ya kumaliza kufanya usafi tulipika chai na mama alienda kuoga na mimi pia nilienda kuoga na kukaa kunywa chai

Mum mwanangu unayaonaje mazingira ya morogoro

mama nime yapenda...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/tamu-hiyo-balaaaah-sehemu-ya-sita-nilijiuliza-maswali-mengi-hadi-pale-hali-ya-usingizi-ilipo-nijia-n

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi tamu-hiyo-balaaaah-sehemu-ya-sita-nilijiuliza-maswali-mengi-hadi-pale-hali-ya-usingizi-ilipo-nijia-n
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

10.14K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.27K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.48K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

2.57K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.31K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.12K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

2.11K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.04K
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya nane.  ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya nane. ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

1.96K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest