Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MPISHI ANA UTAMU WAKE SEHEMU YA 17 – 18
Gonga94 · Stories

MPISHI ANA UTAMU WAKE SEHEMU YA 17 – 18

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Ni ajabu kwani niliangaza huku na kule nikiwa na lengo la kuona nini kilichonivuta
Ila macho yangu hayakufanikiwa kuninasa kabisa.
Nilifanikiwa kuliona ua nililoliona siku ya kwanza nilipoingia ikulu humu, nikaishia kulitazama na kurejea chumbani kwangu.

Ajabu sikumkuta tena mfalme Jampioni ndani ya himaya yangu, hivyo nilifahamu yupo na mkewe wananyanduana usiku huu.

Sijui ni hisia gani nizipatazo ndani ya moyo wangu, sidhani kama ni wivu Amara mimi siwezi kuwa na wivu hata kidogo hasa kwa mwanaume nisiyempenda.

Ni kama nilikuwa nikijifariji tu, ni wazi sikuhitaji mfalme aondoke upande wangu, mara zote nilihitaji awe upande wangu ilihali si halali yangu.

Upande wa nyumbani anaonekana baba akiwa kwenye chumba chake cha maabara akiwa ameshikilia kile kifaa.

Kuna baadhi ya kemikali na mambo aliyokuwa akiyafanya juu ya kile kifaa.

Basi upande wangu huku nikajikuta naumia tu ni kama vile nakaribia kukata roho kama navutwa ama laah.

" Bado tu mume wangu, sitakuelewa kama Amara wangu hatarudi ndani ya wiki hii " alisikika mama Amara akizungumza.

" Nipe mida mke wangu nakubali nimetengeneza kifaa na kukihifadhi kizembe hadi kimemdhuru mwanangu ila si wa kulaumiwa peke yangu. Una makosa pia katika hili " alizungumza baba huku akimuangalia mkewe.

Basi namna mama hapendi kulaumiwa akaanza kuangua kilio.

Baba akaingia jukumu la kumbembeleza mama akaachana na kile kifaa. Hapo kidogo moyo wangu ukatulia ile hali ya kuvutwa ikakata kabisa.

Ikapita miezi na wiki zikawa zinazidi kwenda kasi....

Siku moja nikiwa jikoni naandaa supu kwaajili ya mfalme, nikaanza kuhisi kichefuchefu wacha nikimbilie nnje kutapika.

Sikutaka kuamini kama Amara mimi mpenda nyama leo hii naikinai ama ni mazingira mapya ? " Nilijikuta nikijiuliza.

Sikutaka kupiteza muda, siku hio sikuonja nyama wala radha ya pishi langu.

Nilipohakiki limeiva nilitenga kweye vibakuli kisha nikaelekea chumbani kwa mfalme.

Sikuona haja ya kugonga hodi kwa namna nilivyomzoea, ukizingatia mechi za kuchosha viungo anazonipatia sikuwa na wasiwasi.

Kama nilivyotegemea hakushangaa kuniona zaidi alinifurahia, nilimtengea na kukaa kando yake nikisubiri maoni ya nilichokiandaa.

Ajabu nikaanza kuhisi kichefuchefu kila alipopandisha kijiko cha supu mdomoni mwake.

" Aaaaasssssh " alisikika mfalme akilalamika pale nilipotapikia chakula chake.

" Una shida gani mama angu ? " Aliuliza mfalme.

Basi nikashuka chini kuomba rehema, namna alivoniwekea uso wa serious mazoea yakakata ghafla hapo nikaanza kuomba msamaha mbele zake.

Naweza sema upendo ama laah, mwanaume huyu hajui kununa eeeeh ?

Alikuja kuninyanyua na kuniketisha kando yake.
Haikuchukua muda kamanda kauzu alifika na mganga mkuu wa ikulu basi nikaanza kupimwa.

" Hongera mbinti una ujauzito wa miezi mitano " alizungunza mtabiri huyo huku akitabasamu.

" Ni mimi au mfalme ? " Nikauliza ni wazi nilikuwa nimevurugwa.

Nilizidi kwenda viral pale nilipogundua mfalme anakenua meno yake.

Wacha nianze kupiga kelele na kumrushia mito mfalme.
Mganga mkuu hakuweza kuhimili fujo hizo hivyo aliondoka.

" Shida nini mama ?, naenda kuitwa baba ni utukufu huu hakika " alizungumza mfalme huku akirukaruka kwa furaha.

Nilipoona ananikwaza nilimtoa nnje, japo ni chumba chake ila alikuwa mpole mie ndo nkawa mtawala 😀.

Taarifa za mimba zilipomfikia malkia Dorcas hakuonekana kushangaa ni wazi alilitambua.

Malkia waita alionesha fujo na jazba punde aliposikia habari hizo.
Hivyo akafunga safari moja kwa moja hadi kwenye chumba cha mfalme.

Nini kitajiri ?.

Endelea kufuatilia
SEHEMU YA 19 - 20
" Nitaitoa mimba ya huyo kimada sitakubali aniondoe kwenye jimbo langu kilaini namna hii " alizungumza malkia waita huku akizidi kuchanja mbuga.

" Si ajabu eeeh uliyoyasikia ?, sitegemei kusikia umefanya fujo kwa huyo kimada wa ikulu, kwanza asikusumbue mke ni mke tu na kimada atabaki kuwa kimada daima, japo sheria ipo wazi malkia asipozaa ndabi ya mika 10 anavuliwa cheo chake ila usijali nitaipindua sheria hio kwajili yako, sitafanya hivyo bure..... ila kwa sasa rudi chumbani kwako " alizungumza malkia Dorcas.

" Queen Dorcas ni mtu wa ajabu sana inaonekana, hajulikani ana akili za namna ipi kwani mara nyingi huingilia mbinu za malkia waita na kumzuia kufanya uhalifu ".

" Nitamuua kimada huyu endapo nitamkamata " alizungumza malkia waita huku akirudi kwa hasira chumbani kwake miguu yake akiipiga piga chini.

Siku zilienda tumbo langu likiwa linazidi kuwa kubwa.....

Kumbukumbu zangu za maisha yangu ya zamani familia na kilakitu zikaanza kunirejea nikiwa huko.


Hatimae mimba ikafikisha miezi tisa sasa.

Nikiwa juu ya kifua cha mfalme nikideka baada ya sita kwa sita nilishangaa nikitikwa na maji maji sehemu nyeti yakiambatana na maumivu.

Wacha nipige ukunga wa hatari.
Haikukuchua muda mganga mkuu alifika mahala pale kama mjuavyo kauli ya mfalme ni sheria ndivyo ilivyokuwa kule.

Basi shughuli ya kunifungulisha ikaanza wale wanawake walioingia leba ama wanaume walioshuhudia mtoto akizaliwa mnanielewa vema hakika.

Upande wa nyumbani anaonekana baba angu akiwa maabara sambamba na mama yangu.

" Lazima nipate matokeo mazuri siku ya leo nimehangaika kwa muda sasa " alisikika baba akizungumza huku mama akiwa anamuangalia kwa macho yaliyokata tamaa kabisa.

Shughuli ya kunizalisha iliendelea huku nikisikia maumivu ya hali ya juu.

" Sukuma sukuma " sauti za wakunga zilisikika zikinitaka nisukume mtoto atoke.

Japo nilijitahidi kwa hatia za mwanzo ila nikaonesha kuzidiwa na kuishiwa na nguvu.

Sifahamu nini kilijiri, kufumba na kufumbua nilijikuta kwenye dunia na mahala nilipopazoea sana.

Hapakuwa pageni kwangu, ni pa simenti si pa mbao na panavutia sana si pengine bali nyumbani kwetu.

Palibadilika kiasi tu.

Nilijikuta nikitabasamu pale nilipotazama pembeni na kumkuta mama yangu na baba yangu wakinutazama ni kama walikuwa wakinisubiri kwa hamu sana.

" Mama, baba !! " niliita. Basi wakanisogelea na kunikunbatia kwa upendo.

Maswali ya wapi ulikuwa nini kilijiri na niliishije hayakuisha siku hio.

Niwambieni tu, manake kwanza nicheke😀, niliwajibu na kuwahadithia yote isipokuwa yale ya minyanduano ni aibu kwa kweli.

Naina kuna jambo nimesahau kuwaambia na ni hili ;

Kule buana sijui korea au wapi nilifanikiwa kujifungua mtoto mzuri wa kiume na mwenyw afya.

Kutokana na mvutano na mambo ya kitaalamu ya baba, mwili wangu ulibaki kule na roho yangu ikaja huku, hivyo kule ilijulikana nimefariki japo mtoto alitoka salama.

Mfalme Jampio haishi kunikumbuka utamu wake wa bei ya jioni.
Kila akiniwaza haachi kunena " ama kweli nilimpata mpishi mwenye utamu wake ".

Upande wa malkia waita ilikuwa ahueni kwake pale nilipofariki ni wazi alikuwa akinichukia kupitiliza.

Malkia Dorcas aliiingia jukumu la kumtunza mjukuu wake aliyepewa jina ATASA 😀 kwa kuhofia huwenda waita atamdhuru kwa chuki zake.

Tukiachana na hayo hivi sasa nipo home japo ni muda mchache ila nimepata bwana wa maana kaelewa show na anataka kunioa mie, ni kama niliondoka na baraka za kule.

Yote kwa yote acha ibaki kuwa historia tu ila sitakuja kusahau yale niliyoyapitia, ama kweli sayansi ipo na Mungu yupo tusidharau hivi vitu.

THE END BY JJL STORIES 🥰.

Maoni

You're not logged in


Tangazo - SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
Wimbo wenye ubunifu imechanga kiarabu kiswahili na amapiano wimbo wa kushukuru kwa maisha na upendo Sasa sikiliza na ku download hapa gonga94.com
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MPISHI ANA UTAMU WAKE SEHEMU YA 17 – 18

Ni ajabu kwani niliangaza huku na kule nikiwa na lengo la kuona nini kilichonivuta
Ila macho yangu hayakufanikiwa kuninasa kabisa.
Nilifanikiwa kuliona ua nililoliona siku ya kwanza nilipoingia ikulu humu, nikaishia kulitazama na kurejea chumbani kwangu.

Ajabu sikumkuta tena mfalme Jampioni ndani ya himaya yangu, hivyo nilifahamu yupo na mkewe wananyanduana usiku huu.

Sijui ni hisia gani nizipatazo ndani ya moyo wangu, sidhani kama ni wivu Amara mimi siwezi kuwa na wivu hata kidogo hasa kwa mwanaume nisiyempenda.

Ni kama nilikuwa nikijifariji tu, ni wazi sikuhitaji mfalme aondoke upande wangu, mara zote nilihitaji awe upande wangu ilihali si halali yangu.

Upande wa nyumbani anaonekana baba akiwa...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mpishi-ana-utamu-wake-sehemu-ya-17-18

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mpishi-ana-utamu-wake-sehemu-ya
MPISHI ANA UTAMU WAKE  SEHEMU YA 16
MPISHI ANA UTAMU WAKE SEHEMU YA 16
MPISHI ANA UTAMU WAKE SEHEMU YA 15
MPISHI ANA UTAMU WAKE SEHEMU YA 15
MPISHI ANA UTAMU WAKE SEHEMU YA 11
MPISHI ANA UTAMU WAKE SEHEMU YA 11
MPISHI ANA UTAMU WAKE SEHEMU YA 12
MPISHI ANA UTAMU WAKE SEHEMU YA 12
MPISHI ANA UTAMU WAKE  SEHEMU YA 6
MPISHI ANA UTAMU WAKE SEHEMU YA 6
MPISHI ANA UTAMU WAKE SEHEMU YA 7
MPISHI ANA UTAMU WAKE SEHEMU YA 7
MPISHI ANA UTAMU WAKE  SEHEMU YA 8
MPISHI ANA UTAMU WAKE SEHEMU YA 8
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35

951
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11

213
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26  na 27.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26 na 27.

199
MIRANDA (Binti Yangu)     SEHEMU YA 9

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 9

193
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28

192
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10

185
MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

143
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

140
ACHA NIKUPENDE ❤️1

ACHA NIKUPENDE ❤️1

122
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6

81

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.6K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.34K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.78K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.27K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.83K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.72K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.66K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.59K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.59K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.54K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Asubuh sasa . Mama aliniamsha niajiandae anataka kunitoa out. Basi nikajiandaaa nikatoka zangu sebleni. Nakutana na mzeee alinikata jicho hilo. Nikaona aibu jana si kasikia...

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13
@majario LIVE

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 12 SONGA NAYO....... Basi safari ilikuwa ndefu kidogo, kwa mara ya kwanza toka nifike Oman hii siku ndio niliigia supermarket bwana, hiviii kumbe waarabu wana pesa hivi na...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nimefika home nimenuna kweli kweli.nikaona yule adrian kama alikuwa anataka kunitia nuksi tu. Mtu kashanikaa mbele ya wazazi . Na yeye ndo kasababisha ata...

Happy International Women’s Day from: Senator Koboko’s Wife, OSATO and Lady Jasmine Post Mpya
Happy International Women’s Day from: Senator Koboko’s Wife, OSATO and Lady Jasmine
@majario LIVE

If you are Proud to be a woman: Share this post Meanwhile who is waiting for PART 5 of OSATO the Pure Water Seller? If you missed any part, Iink...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11
@majario LIVE

SONGA NAYO... Pale nje tulibaki wawili tu mimi na madam hao wengine waliingia ndani. Madam aliponiita nilimuangalia tu bila kumuitikia, huyu mama nikimuona nahisi kichefuchefu kabisa "Mira achana na hizi nguo, kesho...

ACHA NIKUPENDE ❤️1 Post Mpya
ACHA NIKUPENDE ❤️1
@majario LIVE

MTUNZI uhuru media " Pink ujue hapa Ni mjini na maisha ni magumu Sana pesa zinapatikana kwa shida hivyo unatakiwa kujiongeza sio Ila siku Mimi ni nikeshe...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Muda ulienda majira ya saa nane nilitoka nje kwa lengo la kuanua nguo za mtoto, lakini nilipofika nilikuta nguo zote ambazo nilifua na kuanika zikiwa chini Tena zilionekana kabisa kuna...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kesho yake jioni sana ndo baraka alianza kujiandaa mana alikuwa anaondoka na basi la usiku. Nilijisikia unyongea sana. Ila alinambia nivumilie mana ni miezi...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35
@majario LIVE

Basi demu akaondoka zake na hasira zake, na mimi nikaludi zangu ndani, kisha sasa nikampigia mama ahmed, na kweli akapokea skmu , nikasema hivi we mwanmke unanizoea sanaaa, ...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26  na 27. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26 na 27.
@majario LIVE

🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Asa mimi ni nani nimnyimeee weeeee sio kweli. Nikamsogelea kisha nikamuangalia kwa jicho la kulegea sana. Akatabasamu kisha akanivuta zaidi. Akanipa mdomo. Tukaanza kukisss taratibu....

MIRANDA (Binti Yangu)     SEHEMU YA 9 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 9
@majario LIVE

SONGA NAYO.... Kisha kwa ujasiri mkubwa nikazungumza. "Madam kwanza nasema asante kwa kuniamini lakini pia kwa kunijali nikuambie kitu siwezi kuolewa na kijana wako ile hali mimi ni mfanyakazi wako, sina thamani...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6
@majario LIVE

ENDELEA....... "Jitahidi uwe na utu kuna maisha baada ya haya, kuna kupanda na kushuka. Kuishi na watu vizuri ni hadhina pia binti yangu. Nakupenda sana na najivunia wewe ila ubinafsi wako...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 33 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 33
@majario LIVE

Basi zena akawa nataka kuingia ndani ,mama ahamd akasema we zena sijuh ndo nani tulia nikupashe shoga angu, apa bwana hakuna, kama umebeba mimba ukazani una bwana hapa hakuna....

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 31 na 32 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 31 na 32
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Khaaaaa mi nikamtumia sms, nikamwambia mm sipo nyumbani, naomba uondoke apoo, mambo yasiwe mengi, akaniuliza upo wapi saa 6 hii, nikamwambia nipo kazini akanmbia kazini ndo hupokei simu? Upo...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL.   SEHEMU YA 15 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 15
@majario LIVE

. 🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Iris alipoingia ofisini, Mr. Marvel alikunja uso. Alijua Iris si mtu mzuri baada ya kile alichomfanyia Noela, lakini hakutaka kuonyesha kwamba anamjua vizuri. Akaamua kuwa mtulivu na kusubiri kusikia shida...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest