AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 78 na 79
Basi ikawa hivyo, na ikakat mwez amani ndani hakuna kabisaa, zena ni kanuna , yani hacheki na mm kabisaa, hatuna story ata, na mala nyingi nikiludi nyumbana namkuta kashalala et na mwanae ,mda mwengine saa 2 tu kashalala ndo ilikuwa hivyo nikajua ni kwamba ananikwepa mimi, siku iyo saaa nipo kwa zena nimekaaa tu nimeboeka sana ,mgu kanunaaa ata hataki kuongea na mm, nikamtumia sms jalia niandalie chakura nakuja kula uko, jalia akanmbia sawa mume wangu karibu sana, alafu nn habari nzuri sana nahitaji kukueleza, so ukija nitakwambia mume wangu, nikasema sawa, k
nikaona ngoja leo niende kwa jalia kwanza nikaingia chumbani nikamkuta zena anacheza na mwanae nikasema.zena natoka naingia kazini mala moja, zena wala.hakunijibu ni yupo busy na mwanae ,nishaizoea hii hali mana ndo maisha yetu sasa ,
Mi nikaingia bafuni, nikapiga maji chapu nilipotoka nikavaaa kisha uyooo nikasepa zangu, alafu cha zaidi nilikuwa na nyege za kama mwez hivi, zena si kaninunia akawa ata mzigo hanipi, nikaona shida nn, mi mwanaume mwezi mzima nistombe naishije, basi bwana mi nikafika kwa jalia, na jalia akanifurahia sana si mnajua uyu demu ananipenda sana ni mm tu ndo nakuwa sinaga time nae.nikasema jalia plsssss mama naomba kabla ya yote naomba leo, mh niliona jalia kafurahi akanmbia unaomba nn millan, nikasem.haki yangu mama naomba plssss, mh alinishangaaa mna mm kila nikija huwa anataka yeye ila sasa nilibanwa mm , nikaomba tu, jalia wala hakuwa na shida akanikalibisha mpaka chumbani, ahaaa mtoto siku hii alinipa kweli kweli, alinipa mpaka akanipa tenaaa , mtoto akamaliza ufundi wakipemba woteeee, sio siri nilienjoy mnooooo yani sanaaa tu
Nilipomaliza kula mzigo sasa, jalia akanmbia mpenzi mm ni mjamzito, dooooh kazi kweli kweli, nikase.a umejigundua lini, akanmbia ni week zile ,ila nilikuacha kwnza mana niliona upo bisy na mkeo, nikasema no jalia ata ww ni mke wangu na suala kama hili ulipaswa unijuze ata kwa kunitumia sms mama, akanmbia ndo hivyo, nikamuuliza so ina mda gani iyo mimba, akanmbia ina mwezi sasa ,nikasema sawa acha waje mana nna watoto wengi mbwa mm, uyu anaekuja ni wa 8 alafu bado damu inachemka kabisaaa mamae, nikasema sawa acha ajeee tu mpenzi, basi jalia akanikumbatia, unajua tukiw tumekumbatiana gafra mlango ukasukumwa , yani huu mlango wa chumbani , nastuka zena uyu apa , alafu yupo na mama ahmed, nyieeeeee moyo wangu ulifanya paaaa, nikajikuta haraka nimetoka kwenye kumbato la jalia nikavuta shuka ,mana nilikuwa uchi na jalia nae hana ata nguoa aseeee ihii siku sitakuja kuisahau ,nilishalilka
Mama ahmed akasema aya we zena si kila siku nilikuwa nakupigia simu nakwambia kuwa mumeo kaoa na ana mwanamke anampenda sana, ayaa dada naomba ujioneeee mwenyewe , mumeo ndo uyo na yule ndo mpemba wake nazani umeona picha yao ua ndoa pale sebleni ,ayaaa nazani unaon wametoka kutombana pia kazi ni kwako, nyieeee zena sijuh ni preshaa pale paleee akanza kushika kifua uku anasema millan millan millan akawa anaenda chini, aseeeenikavuta shuka haraka nikajifunga , zena akaanguka pale pale uku akiwa anahema kwa shidaaa aseeee nilichanganikiwa kweli kweli , nikafika mpaka pale chini harkaa nikamuokota nikasema zena zena zena plssss mama zenaa, apo sasa nikaona mama ahmed haraka katoka nda nikajua kakimbia , yani kashanitengenezea bomu kisha kasepa.ila kwa uo mdaaa nilikuwa naangalia halia ya zena tu, uku natamani nimpige jalia kwann hakufunga milango na anajua ndani yupo na mumewe daaah
Nilivaa aharaka harkaa, nikambeba zena ,nikatoka nae mkuku mkuku zena ni anahema kwa shida mnoo anaita tu millan millan, nilichanganikiwa mnooo, nilivurugwa kwli kweli, nilimuweka nyuma ya gari na harkaa nikaanza kuendesha gari kuelekea hospitali, niliuwa naendesha gari kwa fujo mnooo, yani uko bala balani nilikiwasha ni mungu tu, basi tukafuka mpaka hospitali ya karibu, na haraka akapokelewa pale, akakimbizwa emergency mana hakuwa sawa kabisa, asee nilichanganikiwa, mpaka nikawa natukana madr yani nilikuwa nataka madr wote wakamshughilikia zena tu, nilichanganikiwa , nikampigia ibraa uo mdaa naongea ata sieleweki yani, ibraa akanmbia upo wapi kwani, nikamwmabia hospital.nilipo akanmbia nakija apo, nikasema powa ,basi nikaka njeee uku mke wangu ananpata huduma sasa, nilikuwa nalia pale njee kama mwanamke ,yani watu wananaishangaaa, nilijiona mm simfai zena te a , ntamuua tu uyu mwanamke.ntamuua kabisaa kabisaaa.
Nilikuwa nasimama ,mala nakaaa mala nasimama mala nakaaa, mala natembea pale ila bado sikuwa sawa, na bado dr alikuwa anaendelea nanmatibabu katika chumba ambacho yupo zena, kama dakika 20 hivi ibraa akafka pale, daaha ata kuongea siwez akiri haipo sawa kabisaaa nimechanganikiwa mnoo, ibra dada ndo akapata kazi ya kunituliza , sikuwa sawa ,nikamwambia ibraa zena anaumwa sna , anaumwa na mm ndo sababau mm ndo sababu, yani nislishavurugwa , ibraa akanitoa kwanza mpaka nje ya hospiyali, akaninulia na maji ya baridi akanipa nikanywa na mengine nikajimwagia kichwani, ndo naona kama nimepoa hivi, ibraa akanambia aya nisimulie imekuwaje kwani, aseeee mi nikamuelezea ukweli na kila kitu, akanmbia uyooo mama ahmed nitampiga makofi mm mwenyewe, yani mm mwenyewe ndo nitamfundisha adabu, ngoja tupambane kwanza na zena, nikasema powa, basi tukaludi ndani sasa, na dr ndo anatoka katika chumba alicholazwa zena, akanmbia boss we ndo umeleta mgonjwaa nikasema.yaaa ndio ni mm na ndo mume wake, akasema.sawa, presha yake.olipanda sana ,but kwa sasa anaendelea vizur na anambia anataka.kumuona millan ni nani uyo , mh nikasema.ni mm, akanmbia basi ingia ndani, nikasema.sawa
Badi mm nikaingia uku naogopa sana na naona aibua, man ni kanikuta nipo kitandani kabisa na kashaelewa kila kitu kuwa nina mke na mpemba n ndo amabe anakaa katika nyumba yangu ya viwege, aseee niliingia mpaka ndani, nikamkuta mke wangu, amelala kutandani ,dripu ya maji inashuka kwnye mwili wake basi nikamsogelea japo kwa kuogopa sana na kwa aibu, ila zena akanishika mkono, akanmbia nakupenda sana millan usiniache, aseeeee nilijikuta machozi yananitokanmm, yani nilijikuta nalia kabisaa, nilimkubatia zena nikamwmabia nisamehe mke wangu, zena akanmbia nakupenda millan siwez bila ya wewe nakupenda sana usiniache japo una mke amabaye kwenu ndo wanamtambua na kumtaka, na sio mm ,aseee nilijisikia vubayaaa nikawa nalia tu,
nikamwambia zena naomba unielewe mimi na wewe tunapendana na siwez kukuacha so mimi na wewe tutayaongea aya sawa mama, akanmbia sawa ila huniachi, nikasema.siwezi zena anaanzaje siwezi mke wangu, basi zena ndo.kidogo akatulia iala bdo machozi yalikuwa yanamtoka sana, nikawa namfuta na kumtuliza ,aseeee ilikuwa tofauti kabisa na ambavyo mm nilitegemea ,ni amenifumania ila sasa yeye ndo alikuwa anaomba nisimuache nilijisikia vibaya sana na aibu mbele yake,
basi na ibra nae akaingia pale akawa anaongea na zena, ila zena hakuwa sawa masikini, tulikaa pale hospita mpaka usiku mida ya saa 1, ndo tukaruhusiwa sasa, zena ndo anakumbuka watotot anambia mh leo shadya ajanyonya kabisa maskini, nikasema atanyonya ukifikanyumbani haukuwa sawa mke wangu zena akanmbia sawa, basi bwana tukafika nae mpaka nyumbani na ibraa alinisindikiza kabisa mpaka nyumbani, tumefika mojo kwa moja nikampeleka zena chumbani kwangu nikamlaza vizuri mke wangu,ndo nikatoka sasa kuongea na ibraa, ibraa akanmbia mi naondoka kaka kaaa na mkeo vizuri na muzungumze ,mana daah mm apa nilipo naona mpaka aibu , mana naona kabisa zena anajua mm na wewe letu moja, nikasema.naelewa kaka , nisamehe pia ,ibraa akanmbia usijali mwanagu we wangu basi kesho nitakuchek, nikasema.powa
🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni