Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya β Gonga94 Semajambo
Gonga94 Β· Stories
22 Mar 2026
views
VYOTE NDANI GONGA94
USIKAE KWENYE NYUMBA MOJA YA KUPANGA KWA MUDA MREFU.
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Tena ikiwezekana katika hizi nyumba za kupanga uwe na limit ya muda wa kukaa, mtu unakaa miaka na miaka kwenye hiyo nyumba mpaka unaonekana kama wewe ndiye mwenye nyumba.
Inafikia hatua mpaka unaizoea hiyo nyumba na mwenye nyumba anaamua kukukabidhi uwe msimamizi. Usifikiri hiki ni kitu kizuri kwako.
Tena ukiwa unaishi kwenye nyumba ya kupanga usiwe mwema sana kuzidi wenzako. Kama wewe ndiyo wale watu ambao kodi unalipa kwa wakati na huna usumbufu mwingine wowote basi jitafakari sana. Siku hizi wenye nyumba huchukua NYOTA za wapangaji watiifu kama wewe.
Utakuja kushangaa siku nenda rudi unapiga kazi, unakusanya hela lakini hata kiwanja hununui. Unajiuliza nini kinaendelea kumbe akili yako imefungwa na nyota yako ya utafutaji tayari imeibwa.
Hizi nyumba za kupanga wamiliki wake wana mambo mengi sana ambayo sisi hatuyajui, siyo za kuzizoea hata kidogo. Huwezi kuambiwa haya mara nyingi lakini ukipata bahati kama hivi ndiyo unaambiwa sasa.
Acha kuwa mwema sana kwenye nyumba za kupanga, utakuja kugundua kwamba yule mpangaji ambae anaonekana ndiyo msumbufu ndiyo anajiokoa na mambo mengi kuliko wewe ambae unajikuta malaika fulani hivi.
Kuwa mjanja, usizoeleke na mwenye nyumba kiasi cha kuwa comfortable sana na kusahau kwamba unatakiwa kuishi kwako.
Follow Shaurini Richard
#Maisha
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
π¨π± imebainika kwamba shati ya kocha mkuu wa Manchester City, aliyoivaa Kwenye mchezo dhidi ya Real Madrid, ina thamani ya Euro 290.
kwa makadirio ya kubadilisha fedha, Euro 290 ni takriban shilingi za tanzania (TZS) 750,000 hadi 780,000 (kulingana na ...
Hongera umepata kazi ya kulinda bwawa la samaki usiku huko mkoani Iringa karibu na bonde la mlima Kitonga. Mshahara ni shilingi milioni moja kwa usiku mmoja
. Kazi inaanza saa 4 kamili usiku hadi saa 12 alfajiri. Hakuna muda wa majaribio. Ukifika kazini unaanza kazi. Hivyo sik...
USIKAE KWENYE NYUMBA MOJA YA KUPANGA KWA MUDA MREFU.
Tena ikiwezekana katika hizi nyumba za kupanga uwe na limit ya muda wa kukaa, mtu unakaa miaka na miaka kwenye hiyo nyumba mpaka unaonekana kama wewe ndiye mwenye nyumba.
Inafikia hatua mpaka unaizoea hiyo nyumba na mwenye nyumba anaamua kukukabidhi uwe msimamizi. Usifikiri hiki ni kitu kizuri kwako.
Tena ukiwa unaishi kwenye nyumba ya kupanga usiwe mwema sana kuzidi wenzako. Kama wewe ndiyo wale watu ambao kodi unalipa kwa wakati na huna usumbufu mwingine wowote basi jitafakari sana. Siku hizi wenye nyumba huchukua NYOTA za wapangaji watiifu kama wewe.
Utakuja kushangaa siku nenda rudi unapiga kazi, unakusanya hela lakini hata kiwanja...
π Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/usikae-kwenye-nyumba-moja-ya-kupanga-kwa-muda-mrefu
Maoni