AFANDE MILLAN๐ Sehemu ya 81 na 82 enjoy Sunday
Mwandiishi; LISSA
Basi bwana sasa siku iyo nakumbuka nilikuwa kwa jalia , nikamuuliza jalia mbona huna tumbo alafu mimba si itakuwa na miezi 2 , akanmbia mh naona sina tumbo kubwa tu mm ,ila inanaisumbua sana, yani sina ata rahaaa, nakuwa natapika sana we uwezi kuona si upo busy na mkeo, nikasema hapana bwana sio kweli, ata ww nakujalia pia jalia, akanmbia kwaiyo zena amekubali aya matala, nikasema.ndio amekubali japo sijajua moyoni mwake ,akanmbia sawa kama amekubali, basi tupangie zamu naomba usiwe unazidi sasa kwenda kwake sana , ata mm nakuhitaji zaidi sababu ya hali yangu, nikase.a sawa ntafanya hivyooo, basi bwana nikalala kwa jalia hii siku, na asubuh niliamkia kazini , na nilipitoka kazini nikaludi kwa zena
Ila.zena wala hakunichangamkia.sana , yani unongeaa ila hana mda na mm ata, ni busy na mwanae, mana kina ummy walishaenda shule, nikasema now hauna mpango na mm.zena kabisaa, akatabasamu kisha akasema wala utakiwa umeelewa vibaya tu.mi.nakuona ww ni mume wamgu, ni hofu yako tu, nikasema sawa jqpo mi najua now hunipendi sana wla nn zena akatabasimu tu , kuanzia apo sasa nikaanza matala ya siku 3 , tatu , yani siku 3 kwa zena, na siku tatu kwa jalia, ila nikiwa kwa zena ndo.amani inajaaa, nakuwa na rahaa, nikienda kwa jalia bado namuwaza zena, nilikuwa nahisi kabisa nampitisha zena kwenye kifungo kizito ila sikuwa na jinsi.na nashikuru wala zena hakunidai taraka.ni alikuwa anavumilia hivyo hivyo, ila sasa zena akapunguza mapenzi sana na mimi
Nakumbuka iyo.siku sasa nipo kazini, mama yangu mzazi.akanaipigia simu nikapokea ile simu kisha nikasema hallow mama.habari, mama.akanmbia sikia.nipo nyumbani kwako , nikamuuliza kwangu wap mama kwa jalia ama,, mama akanmbia ndio nipo.apa, nikasema.sasa mama mbona umekuja bila ya kunambia kwani kuna shida mama.akanmbia kwani kuja kwa mwanangi natakiwa kutoa taarifa kumbe, nikasema.sawa basi mama.mm nakuja, daah apo nkumbuka.hii siku ilikuwa natakiwa kulala kwa zena na ndo ilikuwa zemu yake na nilimmis sana, ila kwa kua mama kafikia kwa jalia, nikamtumia sms zena.kuwa mama kaja yupo kwa jalia naenda kumuona, naweza nisiludi ,zena akanmbia sawa msalimie mama, nikasema.sawa
Kisha mimi.nikaendelea na kazi zangu ,na jioni sana ndo.nikaenda kwa jalia sasa, dooh ile nafika tu mama.yangu hakutaka ata salamu yangu akakiwasha kweli kweli , mama.akanmbia naomba unipeleke kwa uyo maraya wako unayemuita mkeo, nani kakwambia uoe matala ,uyo zena anamjua nani kwenye ukoo wetu sisi, nimesema hatumtaki, nyieee mi.nilimkata jicho kali jalia ,mana nilijua yeye ndo.kamueleza mama kuhusu mm na zena na sijub kamuelezaje mpaka mama kapnik hivi na hataki ata kunisikiliza, mama akanambia nakwambia usinichanganye nakwambia tena nampigia simu sasa hivi kaka yako , apo mm sijaongea lolote, eeh mama kavuta simu akampigia kaka, na broo akapokea ile simu, mma akaanza kuongea kwa hasira na kuanza kumjaza maneno kaka, kuwa mm nimeoa na uyo maraya niliyemuoa ndo anaipelekesha sana ,nakuwa ata simuheshimu jalia, nikienda uko kwa manamke nilomuuoa nakaa ata weeek 3, na ata mwez siludi kwa jlaia,.yani mama aliongea kweli kweli,.mi nikajua yote aya ni jalia ndo kamueleza maam, ila.wala.sikupanik
Sijuh kaka alimwambia nn mama, ila mama akasem.sawa tutaonana kesho, kisha mama akanmbia nataka.ukamuache uyo mwanamke.simtaki.nimesema.nilishamkataa mda kabla hujamuoaa kuwa simtak na wala sikukwambia uje kuoa matala mm,nataki ubaki na jalia tu, unanielewa ww mpumbavu, nikasema mama ngoja nikwmbia tu ukweli,kwa sasa mama mimi.kumuacha zena siwezi, jalia akasema mama.si nimekuambia mwanao anampenda sana zena atakuwa kamroga sio bule ,mana anampenda kama kachanganikiwa.mama yangu akanifata et akanzaa kunipiga mangumi ya ovyo ya mwilini , mi sikumtoa nilimuacha akanipiga ngumi za mgongoni sana ,na akanikwaratua na makucha yake, akanmbia utamuacha uyo zema,siondoki pemba mpaka muachane na uyo mhinga ,kama watoto nipe mie, niende mao pmbaa ntaenda kuwalea vizur ila.tulia na mkeo.jalia nae pia ana mimba yako, kwann hnataka khmpa presha,na kwa mamabo hnagimfanyia uyu binti , familia yake ikijua sie itatuonaje nakuuliza
Mi kwa hasira nikasimama.nikaanza kutoka njee, aseee mama.akawa ananitukana ,akanmbia nakwmabiaje we si jeuri mm ndo kibuli mm sikutaka .kukaa kabisa pale, mana mama alikuwa ana hasira sana asa tnaongea nn, nikawa na stress sana nilikuwa sielewi kabisa yani kama mwanaume niamue nn, ila kumuacha zena mi siwez kwanza ntakufa mwenyewe sababau nampenda sana, basi mi nikaludi zangu kwa zena tu, basi nimefika kwa zena nipo hoi. Nna alamu uku usoni ni mama kanikwangua na kucha zake ,mimi mama yangu akichukia hashindwi kukupiga na chochote cha. mbele yakez yani ananbadilika roho kweli kweli akichukia sabbu ya hasira
SEHEMU YA YA 82
Basi zena.aliponiona akaniuliza shida nin na mbona hivu au njmegombana na jalia au imekuaje mume wangu, nikasema zena naomba hniache leo mumeo nipumzika kichwa kinaniuma sana sawa, zena akanmbia sawa mume wangu hakuna shkda, bsi nikajilaza kitandani nanikapitiwa na kausingizi , ila mda wa kuka ndo zena akja kuniamsha ila sikula ata, nilimwambia nimeshiba hivyo aniache nipumzike tu , zena alinishangaa ila nilimwambia aniche kwanza nipumzike, basi akaniacha ye akaenda kula na wanae, ila bado aliludi na chakura chumbani, akitaka nile nilimwambia siwez kabisa naiche tu, basi zena akaniacha sasa, basi usiku wa saa 6 mama akaanza kunipigia simu nikawa sipokei , yani sipokei amam anpiga tena,alipiga kama mala 7, skkupokea simu yake ata moja, mana nilijua nikipokea kutakucha apa , so nikakausha tu, zena akawa naniuliza mbona ni mama na hupokei ,nikasema achana naye mle wangu nikipata mda kesho naenda kuingea nae, mh zena et akanuna sijuh alikuwa anahisi ni demu wangu nimesave mama , alafu sitaki kupokea mbele yake ata sielew, kumbe mwenzue nakimbia kisanga
Heee akaanza kunipigia kaka sasa, mi nikkausha vile vile, kaka nae alinipigia mnoo nahisi mama alishamwamuelezea sijuh kuwa sipokei simu zake, acheni.kabisaaa, daah mpaka.nikaziama simu mm mananiliona usumbufu alafu wanapiga simu usiku, ila sasa sikulala uhu usiku.ni.mawazo yalinizonga san, mi.nilishapanga kumueleza tu mama, kuwa mm kumuacha zena siwez na.jalia siwez kumuacha mana ana mimba so niwe nao wote tu. Mi nyajitahidi.kwenye uadilifu, ila mama.yangu sasa hataki kuelewa, yeye anamtaka.mpemba mwenzake tu basi, basi sijuh ata ta usingizi umenipata saa ngapi nikalala kabisaa nikaja kustuka asubuh na baada ya pilika pilika za akina ummy wakiwa wanandaliwa wanaenda shule, ndo na mm nikastuka, nikaanza kujiandaa sasa niwahi kazini, basi nikiwa najiandaa zena akaja , akanisogelea kisha akaanza kunifunga vifungo, akanmbia vp umemkaje leo nikasema niko powa vp akina ummy washaondoka, zena akanmbia hapana wanakungoja ww, ummu anataka sijuh ela mi ata simuelew, nikacheka kisha nikatika sasa kuongea na wanangu
Basi.wanangu wote wawili wakanisalimia apo arshaina a nae kashatimieza miakam2 na miez 3 , na anaenda shule vizur, wala hasumbui, basi wakanielezea pale sihuh wanata nini uko shule, inatakiwa pesa elfu 2, si unajua watoto nikawa nikaw naongea nao pale mawili matatu jifurahidaha nao, sasa nikiwa naonge na wanangu, faftaa malango wa kuingilia sebleni ukawa unagongwa kwa nguvu mnoo, mh nikashangaaaa nani.sasa anagonga hvi, nikawaweka watoto kwenyesofa mana niliwapakata nikaenda kuufungua mlango kle nafungua namuona maa.kaja na brooo na akaja na jalia, oyaaaa nimestuka mama akasema aya namtaka.uyo maraya wako nioneshe yuko,wpi uyo maraya wako, mi.nikabki.kushangaa mana mama kaingia tu kaanza makelele daah๐ช๐ช๐ช๐ช๐ช๐ช๐ช๐ช๐ช๐ช๐ช๐๐๐๐๐๐
๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni