AFANDE MILLAN๐ Sehemu ya 85
๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ
๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ
Aseeee mi nikatulia pale sebleni, et amam akaenda kuchukua nguo zake akasema naenda pemba ushasahau kuwa mm nimekuzaa ww kabisa , na ndo mana huna adabu kabisa, mi nikanyamaza kimya wala sikuongea, basi mama uyiooo akaondoka zake, naona aliongozana na jalia , basi mm nikabaki pale sebeleni nimekaa daah niliona nna nuksi man matukio yamenizonga sana niliona kichwa kimekuwa kizoto sana na kinahitaji kupumzika, hivyo nikajeigesha tu apa apa kwa huu mchana ,na jooni sana ndo nikatoka sasa nikafunga milango ya nyumba yangu, na nikapanga gari yangu nikaanzaa safari.ya kuelekea pugu kwa zena sas,
Basi nikadrive mpaka kwangi nikiwa nipo hoi, yani nimechoka mno, na uku nyumbani najua nna kibarua na zena ,nna kibria kizto cha kumbembeleza mwanamke wangu juu ya alicho mfanyia mama, mana mama mpaka alimpiga zena ,basi nimefika nikapiga honi akaja kunifungulia dada, kisha nikaingia ndani sasa, naona nyumba imepoa sana, sisikiii ata kelele za watoto nikamuuliza dada, kuwa kwani dada yako katoka mbona kimy, yule dada akasema ndio ameondoka leo ule mda ulivyotoka ww tu kabeba nguo zake zote na za watoto kaondkka nao, oooooh jamani mbona zena na yeye anatak kuniua
Aseeeee nikajikuta ata nguvu za kusimama sina ,nikakaa kitako kwemye sofa, nikavuta simu nikampigia zena daah yani nampigia simu inaita fresh ila hapokei simu zangu, nikampigia tena na tena zena hakupokesimu, yangu, mi.chapu nikampigia shey mana najua hana pa kwenda zaidi ya kwa shoga yake shey kwa apa dar, na shey akapokea nikasema.shey mambo, shey akasem powa nambie shem, nikasema.mke wangu yupo kwako?, shey akasema yaa alikuja leo nimemuacha anyumnbani kalala mana mm nimeingia job sa hizi , vp mmekosana nn. Mana wala hajanieleza lolite ila hayuko sawa kabisa, nikasema nakuja kwako, zena akasema mh mi.now shemeji sikia kule kwa zamani mimi kwa sasa nakaa kivule, kwa zamani nkmehama pale
Nikasema.sawa mpigie mke wangu mwambie aludi nyumbani na wtoro.ama anitumie location nimfate mana mm hanipokelei simu , ila shey wala hakunijibu akanikatia tu simu, na nilipoanza kumpigia na yeye et nikawa simpati., nikajua uwenda aliwasiliana na zena ,alafu zena akamwambia asipokee simu zangu ,daaah nikaanza kumtumia.smsm shey za vitisho,nilimwambia shey mm uyo ni mke wangu wa ndoa, sasa wewe endelea kukaaa na mke wa mtu bila lizaa ya mumewe, namtaka mke wangu, shey wala hakunijibu na bado hakuwa anapokea simu kabisaaa, na bado nikaendelea kumpigia mke wngu ,nae akawa hapokei, aseeee nilichoka sana hiii siku akili na moyo, mana ilikuwa ni siku moja ila ilikuwa na mtuko mingi sana ,nimezinguana na mama yangu mzazi, nimeacha mke. Nimezinguana na kaka yangu, yani aseeeee acheni kabisaa, bado zena nae kasepa home, nilikuwa nimechoka sana ,nilipanda chumbani kupumzika kwanza nilihisis zena ana hasira ndo mana kaenda kwa shoga yake, nitamfata kesho asubuh na tutaongea tu, basi nikaingia ndani kwangu nikajitupa kitandani ata kula sikula wala sikuoga, kiukweli sikulala hii siku ni mawazo yaliniandama sana , nilikuwa nawaza tu, wal sikupata usingizi ila mwili wangu ulichoka sana
Asubub na mapema nikiamka kwa kujikokota , nikaenda msalani nikapiga maji ya baridi kwanza ,kisha nikatoka sebleni, nikaenda dining nikanywa chai ya moto tu, kusha sasa nikampigia shey bado hakuwa anapokea, asa nafikaje kwa shey na sipajui uko anapokaaaa sasa , aseee naangalia simu brooo ananipigia ,mi nikapokea kaka akanmbia we mjinga sana ,yani ww unaacha mke mzuri kwa ajili ya uyo zena ,kisha unamfokea mamaa na unamfukuza mama kwa ajili ya mwanamke , millan umerogwa ww, nikasema kaka mm sijamfukuza mama, ni ametaka kuondoka mwnyewe, alafu kaka mimi sijawahi kukuingilia katika mamuzi yako ata siku moja ,basi naomba heshimu na yangu, kaka akasema.asee we dogo, ahaaa mi wla sikutka kumsikiliza kaka nikakata simu, doooh naona na baba ananipigia , sikupikea kiukweli, mala naona ndugu zangu wengine pia wananaipigia, et kina shangazi , nikajua mama kashafika pemba na kashawajaza watu maneno so sikutaka kushika simu ya yoyote
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni