AFANDE MILLAN๐ Sehemu ya 86 na 87
Basi mimi sasa apo nikampigia kwanza mkuu wangu kazini, mana sijaenda kazini kama siku 3 na sikuwa nimetoa sababau kabisaa, nikamuelezea kuwa nna matatizo mengi ya kimafimilia kwaiyo sipo sawa kabisaa, yani sipo sawa ata kidogo, mkuu wangu ananijua sana jinsi nilivyo muwajibikaji kwenye suala la kazi, na sinaga shida kabisa kwenye suala la kazi , boss akanmbia sikia millan pumzika nyumbani week 2, tuliza akiri ,na solve shida zako zote ndo uje kazini wala hakuna shida, nikasema.sawa boss asante sana, boss akanmbia usiwaze ,kuwa na amani na umsalimie mkeo mzuri ,nikacheka mana mkuu wangu anajua nilioa ,na anamjua zena,nikasema.sawa kisha nikakata simu, apo nikampigia mwanangu ibraa, na nikaongea nae sana juuu ya aya yanyokabiri mpaka nakuwa sina rahaa, ibra akanipa pole sana akanmbia lakini apo unatakaiwa kwenda kwa shey ili ukaongeee na mkeo, namuelewa zena hayupo sawa ndo mana kaondoka nyumbani
Nikasema ni sawa , lakini ananifikilia mm, mi na mpenda sana yeye, nimezinguana ana kila mtu kwenye familia yatu mpaka mama yangu mzazi kwa sababau yake,lakini haoni, anaondoka.jana hajalala.nyumbani ,ameenda uko kwa shoga yeka , na nawapigia simu tangu jana mpaka leo wote hwapikei simu unazani inakuwaje hiii naumia snaaa, ibraa akanmbia now nipo kazini but nakuja apo kwako jioni, tutajua tunfanyaje juu ya hili suala, aseee ibraa mimi.ni mwanangu sana na hajawahi kunichoka, anaanzaje kunichoka wakati na yeye ana yake huwa namsaidia sana, yani mm na.ibraaa ni ile rafiki na rafiki wa kindaki ndaki, tunaelewana sana na mwanangu, yani sanaa tu , nikamwambia ibraaa frsh ,mi napumzika tu hapa home ,wala.sina cha kuongea na sina pa kwenda kwanza ,ibraa akanmbia sawa
Basi nikakata simu nikawa nimejipumzikia tu pale sebleni na usingizi ukanipitia kabisaa, nikaja kustuka napigiwa sana simu, ahaa nilikuwa na usingizi mana jana yake sikuwa nimelala kbisa mawazo yalinizidia ,nikachek anayenipigia mh alikuwa ni shey , mh nikapokea ile simu nikasema.shey shey nambie mke wangu yuko wapi, shey akasema.shemu ndo.mana nimekupigia, mkeo anaondoka huu mda analudi kwao mwanza, mi nimeongea nae sna hajanielewa ,aseeeeee nilisimama mbona usingizi ukakata chapu, nikasema.unanambiaje, shey akasema shemu kweli ameelekea stand ya mbezi, mi nilizani amekuja ana hasira kisha ataludi nyumbani, nashangaaa leo ananmbia yeye analudi kwao anaenda kulelea wanae ukoo, nimeona nikueleze isije kuwa shida kwangu baadae shemeji, ahaaaaa nikasema sawa shey , sawa sawa, anaondoka na gari ya saa ngapi, akanmbia saa 12 jioni, nachek uo mda ni saa 10 jioni iyoooo
Mi nikakata ile simu ,nikaingia chumbani harkaa nikavuta funguo za gari, nikaingia kwenye gari yangu, nikaaanza kuelekea mbezi sasa, aseee zena ananivuruga kumpambania kote, anaondoka et , aseeeee apo mbezi kama nilipaa ndan ya dakika mbili nikafika, nikapark gari, kisha nikashuka na haraka nikaongia ndani ya stand, nikaaanz kuulizia magari ya mwanza yako wapi, nikaoneshwa sasa uo upande yanabark basi za mwanza, nikaaaenda kwa hii siku wala hakukuw na abiria wengi, nilimuona zena na wanae wamekaa katika bench , naona walikuwa wanaongoja gari yao sasa, mana mda ukikuwa bado, aseee nimefika pale , ummy ndo alikuwa wa kwanza kaja kuniwow, arshaina akanifatia, nikaona zena kama kastuka hivi ,naona hakutegemea ujio wangu pale
Nimefika pale nna hasira kwnza ,aseee mi nagombana na kila mtu kwa ajili yake ,et yey anataka kuondoka, mi nimefika pale wala sikutka salamu nae ,nikamwambia si umeamua kuondoka sio, zena akasema ndio niache niondoke nikafanye maisha yang,u nikasema swa nakucha uende na maisha yako, nipe wanangu, nikampokonya shadya kwanza alikuwa anamyonyesha na kwa uo mda shady alaikuwa na miezi 10, alafu nikamchukua na arshaina, nikamwambia ummyy twende, mana ummy anatembea ,zena akasema.waache watoto unawapeleka wapi niachie wananagu
Nikasema weee kelele wanao peke yako awa, hizi si ni damu zangu. Au nani alikutomba kukupa awa watoto, Sasa we nenda mwanza katombeke kwanza uko, usiende na damu zangu mm, akasema sawa beba wanao muache ummy sio mwanao, ummy akasema weee mimi uyu bana yangu, na awa wadogo zangu si et arshaina, ayaaa mtoto mwenyewe kashamkataaa mi naongea nn, nikamwambia ummy mi mwanangu, ayo masulaa mengine unayajua ww mimi hayanihusu, nikabeba wanangu ummy nikashika mkono, tukamuacha zena ameekakaaa ata haamini, tukaingia mpaka parking , nikawapakia kwenye gari, aka kadogo ndo nilimueka mbela nikamfunga na mkanda vizuri,kisha tukaanza safari ha kuridi home, nikaiwa najua kabisa zena ataludi tu, anavyowapenda wanae aondoke awaache hana jeuli iyooo
Basi nikafika home na wanangu ,alafu sasa aka kadogo ananijua vizuri so wala hakuwa msumbufua na ummy yupo tena akambeba mdogo wake, nilikuwa na stresss kisenge, yani sikuwa sawa kabisaa, nilimwambia dada awaandalie chakura watoto ni awaogeshe, kisha nikamwambia dada uyu mdogo akisha muandaa amleta chumbani kwangu, mana daahs sikuwa powa kabisa, mi nikaingia chumbani kwangu kichwa kinanaiuma saaana nikajitupa kitandani, ata sielewi maisha yangu tenaaa, mpaka nikajikuta mchozi yanatoka sasa, na mda uo uo zena ananipigia smu, ata sikumpokelea niliona ahhhaa kumbe ata yeye anaweza akondoka mda wowote hajali kabisa kuhusu mimi, mbona mm najali sana kuhusu yeye na nimepambana kwa kila kitu ili nibaki nae a yeye haoni kabisaaa , nikaacha tu kupokea simu yake, nilikua na stresss sana ,mpaka nikawaza au nimuache tu zena ,mm nilee wanangu, niliona kama ntakuwa na amani ni sawa piah, mi niliumia sana kitendo cha zena kuondoka nyumbani hali ya kuwa mm nampambani sana, mi nikamtumia.sms zena nikamwambia kama.kupambana nishapambana sana juu yako, nishagombana na kila mtu kwenye familia yangu kwa ajili yako, mpaka mama yangu mzazi kanikasilikia lakini ww huoni, unaangalia sababau zako basi fresh zena ,mi sina shidaaa, njooo uchukue taraka yako, zena ata ukitaka na wanao njoo ubebe mi ntalea hakuna shidaa, mi nilikuwa na maumivu sana kwa uo mdaa , nilipomaliza kuandika iyo sms nikajilaza tu kitandani, kichwa kinauma sanaaaaa ,
Mh mala malngo ukafungiliwa akaingia zena , kanywea mnooo yani sana, mi nilimuona nikamuuliza ndo umefata wanao sioa basi powa hakuna shida ,kachukue wanao uende, apo nashika kichwa kinauma sana, zena akanisogelea akanmbia
unaumwa kichwa kwan mbona upo hivyo?, nikasema niache unajalia nn wewe, ungekuwa unajalia ungeondoka, na ungetaka kusafiri kwenda kwenu ukoo, kamachangamoton unazopitia na mm napita tena za zaidi, ila hunifikiliii mm unajifikialia mwenyewe, achana na mm kachukue wanao uende sasa, ahaaa sawa utakiwa umechelewa gali nakupa nauli ukakate tiketi ya mda huu uondoke sasa, nenda tu mi ntataeseka na ntasahau nakwambia ,
nenda zena, si hunitaki nendaa, apo nikawa kama namsukuma ,zena akawa analia sasa, nikasema umekuja kufata wnao ndo wa muhimu kwako, ni wanao si ndio, ni wanao ndo kila kitu kwako nenda kawafate sasa , apo kchwa kinaumaaa mnooo nikakaa kwanza, nikaona zena kaenda kuniletea dawa akanipa na maji akanmbia kunywa kwanza tuongeee, kunywa plsssssss , nikamuangalia kwa hasiraaa, ila nikapokea zile dawa nikavuta na glass ya maji nikanywaa kisha sasa nikajilaza kitandani, aseeeee sikuwa sawa kabisaaaaa
๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ๐ฆ
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni