Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

CHAGUO LA MOYO ❣️ 6 -- 7
Gonga94 · Stories

CHAGUO LA MOYO ❣️ 6 -- 7

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

NO 06

Niliamka na kwenda sebleni nikakuta johari haha amka naona itakuwa nimeamka mapema sana ilibidi nikae nimsubiri maana sikuwa najua vifaa vya usafi vinatoka wapi .........nilikaa mda mrefu hatimae akaamka na kunikuta nimekaa ........
"Hee wewe ulikuwa kuwanga au "
"Shikamoo da johari"
"Shika yako Kama nimali alafu siongei Mara mbili hiyo dada ukamuite daa yako huko shamba sio mm"

"Samahani nimesahau"
"Haya nifate nikupe vutu uanze usafi"

"Alinipa vifaa vya kufanyia usafi nikaanza kufanya kazi pale mda huo yeye yuko anapika .......

" Nilimaliza kazi za asubuhi mda mfupi watu wanaanza kuamka ........ Nicole ndio alikuwa wakwanza kushuka.........."mambo soni"
"Poa umeamkaje"
"Salama"....... ......
"Sinimemaliza kufanya usafi"
"Ndio "
"Haya fanya haraka basi maana tunakula pamoja "
"Haya"


"Alafu johari utampa mwenzako nguo basi maana Hana nguo"

"Nimpe nguo kwamba huko alikokuwa alikuwa anashinda uchi au kaona anakuja kiwandani "

"Sema moja unampa au haumpi nasio maneno mengi"
"Mpe wewe mm sivaliani na mtu kwanza mtu mwenyewe amekaukiana kama mgonjwa wa kisonono "

"Johar kauli gani hizo"alikuwa mama mwenye nyumba...... johari alinyea huyo

"Nifate"aliniambia Nicole ......tuliongozana Hadi chumbani kwake ........mmm humu analal mtu au malaika maana sio kwa chumba hiki

"Haya chugua nguo unayoona inakufaa hapa "alisema Nicole baada ya kufungua kabati la nguo

Mmmmh hizo nguo ni fupi balaa .......
Nilichagua lakini hazikunitosha

"Heee pole, ngoja nikaongee na mama ukanunue baadae sawaee"

"Sawa"
Tulishuka chini na kukuta watu wako mezani ....... Aloo
Hawa ni watu au majini .......niliwaza baada ya kuona waka watatu wamekaa mezani huku kila mmoja Yuko bz na sm yake......

Tulifika mezani Nicole akakaa....... Mimi nikabaki nimesimama

"VP mwanangu mbona umesimama,kaa"
Aliposema hivyo nikisogeza kiti ili nikae mda wote wale wakaka wako bz na sm zao,

"Nyie wekeni sm zenu pembeni ni mda wa chai"alisema Yule mama na wote wakaweka sm pembeni Kisha wakanigeukia alafu wakamuangalia mama yao,

"Sonia"aliniita yule mama
"Abee boss"
"Niite mama inatosha, Sasa Hawa unaowaona hapa ni wanangu,na tunaishi nao hapa wote isipokuwa huyu alievaa blue sawae "

"Na nyie big boy's huyu ni Sonia ni dada mpya atakuwa anahusika na mambo yote humu ndani isipokuwa kupika maana hiyo ni kazi ya johari , hope mtaishi nae vizur sawae"

"Nice to meet you"alisema mmoja wa wale vijana Mara Nicole akadakia............"alafu ni mhindi mwenzio".........
Aliposema hivyo nikakumbuka kuwa alisema kaka (Rahul)yake atafurahi kupata mwenzake.........so huyu ndio Rahul (niliwaza)

"Asante"

"Nimefurahi kusikia kuwa na wewe una damu ya kihindi so Nani muhindi Kati ya baba yako na mama yako"
"Baba"nilijibu mkato
"Okay vizur unamacho mazuri hongera sana"

"Mmmmmmmmmmmm Mara hii"waliguna wote tena kwa pamoja

Nilihisi aibu nikaangalia chini
"What kwani uongo "
"No sio uongo,Ila Mimi nimependa kila kitu 👌"aliongea Nicole
"Mimi nimependa pua"alisema (mkorea) lee
"Mimi lips"alisema (Wang)mchina
"Mimi sauti"(Salim) mwarabu

"Haya inatosha "aliongea mama
"Mara akaja mkaka mwingine nyie huyu alikuwa handsome kuliko wote pale alishtuka akiwa kaweka uso wambuzi blaa,alipofika wote wakaa kimya alivuta kiti na kukaa

"Berat,huyu ni Sonia mdada mpya ndio anashika nafasi ya Victoria".......mama alimwambia Yule kaka aliefika

"Okay"alijibu na kuanza kula

Mmm mbona kauzu hivi na kafika tu watu wote wamekaa kwa adabu ,.......

Berat:"thanks"...... aliongea na kuondoka. Baada ya kuondoka tu Nicole alishusha pumzi Kama vile mtu aliyekuwa amebeba mzigo mkubwa

"Uuuuuuuu"

SEHEMU YA 07


"Nyie mtu Kama Askari wa motoni yaani akija tu kunakuwa na joto"aliongea Nicole

"Afadhali amenisaidia kuwanyoosha".....mama mtu alijibu

"Amesaidia kutunyoosha?badala umuombee awe mtu was kwaida eti unafurahia, nakwambia usipoangalia atakufa single huyo maana hakuna mwanamke mwenye akili zake akaolewe na jitu Kama Hilo"........ alijibu Nicole

"Nicole acha kumuita kaka yako jitu sawa"
"🙄Okay mamy sorry"
Aliinuka na kuondoka,......basi na wengine waliinuka nikabaki Mimi Rahul na johari, Sasa mda huo Johari akaanza kujichekesha pale

"So Sonia unajua kuongea kihindi"
"Hapana kaka"
"Okay nitakufundisha Kama ukipenda"

"Namm utanifundishae"aliongea Johari
"Ili uongee na Nani? Rahul aliuliza

"Jamani sininaongea na wewe "
"Tutaongea nn Mimi nawew ?"
"Kama tunavyoongea hapa "
"Sonia byee tutaonana baadae "
"Sawa kaka baadae"

Aliinuka na kuondoka basi Johari alibaki amevimba Kama andazi lililozidi amira 😏 niliamka nikaondoka akabaki amekaa pekee yake...........

Basi mida ya jioni wote walirudi kutoka kazini

Mimi mda huo nikiwa bz na kazi zangu

"Mamboo Nia"alinisalimia Lee
"Poa shikamoo kaka"
"Wewe ukijibu poa inatosha sijawa mzee kiasi hicho"
"Sawa kaka"

Akaondoka kuelekea chumbani kwake

Walipita wang, Salim. Nao wakanisalimia na kwenda chumbani kwao

Mara Rahul alirudi na kuja mahari nilipokuwa napasi

"Hi Sonia"
"Shikamoo kaka"
"Marahabaa hujambo😁"aliitkia na kucheka,

🤔Sasa kwann anacheka au nachekesha

"Aaaa nimekuletea zawadi hope utaipenda"

Nilipokea na kumshukuru
"Asante"
"Karibu"alijibu na kuondoka
Sasa nilifungua ilikuwa ni chocolate nilitabasamu na kufungua mdomo ili Nile alikuja Johari akanikwapua na kuiweka mdomoni kwake

😳😳
"Unashangaa Nini, sinilikwambia ukae mbali na mwanaume wangu"

🙄 Mwanaume wangu miguu yangu angekuwa mwanaume wako siangekuletea mwenyewe 😏(niliwaza hivyo)

"Kama hauta sikia nitakunyoo......kabla hajamaliza kuongea alipita uso wambuzi aka Berat na ukauzu wake akatupita shwaaa

Alitupita na Kama upepo bila hata salamu ............wote tukibaki 😦😦

"Yaani huyu kauzu utafikili bluce Lee sijui hata nani ataolewa na kauzu hivyo"

Aliongea Johari na kuondoka

Mda wakula ulifika wote tulikaa mezani mda huo hamna hata anae kohowa kila mtu kainama kwenye sahani yake ,........Kama kawaida kauzu akawahi kumaliza na kuondoka yaani aliinuka tu watu wakashusha pumzi na kuonza kuongea

Mmmm🤔kwani nin huyu kaka anaogopeka hivi (nilijiuliza)

"Nicole inabidi kesho uende na Sonia kununua nguo"

"Mama nitaenda nae Mimi"alidakia Rahul
"VP hauendi kazini au"
"Nitaenda Ila nitawahi kurudi"
"Sawa"
"Mama na mm nimeishiwa nguo"aliongea Johari
"Haya na wewe utaenda"mama alimjibu
"Ataenda mwenyewe sianayajua maduka yalipo"
"Heee kwaiyo tutatoka tofaut"
"Hilo sio swali ni sentence, asanteni kwa chakula"
Alijibu na kuondoka Sasa Johari alinigeuki na kunipiga jicho hilo
Mimi nikajifanya biz kula

Tulimaliza kulamm nikaenda kuosha vyombo mda huo Johari akaja

"Kesho ukatae kuwa hautaki kwenda na Rahul"
Heee huyu dada vp

"Kwanin"
"Wee kam unataka kukaa humu ndani fanya ninachokuambia laaa sivyo utarudi polini kwenu

🥺🥺 Jamani

Nilimaliza kazi nikaenda chumbani kwangu nilifika na kujitupa kitandani Mara nikaona kikaratasi kimeandikwa (good night)sikuwa najua kusoma kilichoandikwa hivyo nikaishia kukiweka pembeni tu na kulala zangu

Asubuhi na mapema niliamka na kuanza usafi kama kawaida mara kauzu akaja nilipo na kusema.........."ufue nguo zangu na ubadilishe mashuka"

Mimi nikajifanya najua sana heshima nikamwamkia

"Shikamoo kaka" hakuitika badala yake aligeuka na kuondoka

Hivi huyu kaka anamajini au sio mtu wa kawaida ...........mara nikasikia mtu ananijibu nyuma yangu

"Hana majini ila sio mtu wa kawaida huyu"niligeuka alikuwa Nicole

"Mamboo"nilimsalimia
"Poa, yaani Kati ya mtu unaetakiwa kumuogopa na kukaa nae mbali ni Berat huyu kiumbe Hana matani wala hataki mazoea na mtu yoyote kwanza haoni ajabu kukufukuza

Maoni

You're not logged in


Tangazo - from bangi to baby fully stories 1 to 21
from bangi to baby fully stories 1 to 21
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

CHAGUO LA MOYO ❣️ 6 -- 7


NO 06

Niliamka na kwenda sebleni nikakuta johari haha amka naona itakuwa nimeamka mapema sana ilibidi nikae nimsubiri maana sikuwa najua vifaa vya usafi vinatoka wapi .........nilikaa mda mrefu hatimae akaamka na kunikuta nimekaa ........
"Hee wewe ulikuwa kuwanga au "
"Shikamoo da johari"
"Shika yako Kama nimali alafu siongei Mara mbili hiyo dada ukamuite daa yako huko shamba sio mm"

"Samahani nimesahau"
"Haya nifate nikupe vutu uanze usafi"

"Alinipa vifaa vya kufanyia usafi nikaanza kufanya kazi pale mda huo yeye yuko anapika .......

" Nilimaliza kazi za asubuhi mda mfupi watu wanaanza kuamka ........ Nicole ndio alikuwa wakwanza...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/chaguo-la-moyo-6-7

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending 🐓 Follow the ommy khan Tanzania channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VbCg0JyFsn0hCN1ByD44

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi chaguo-la-moyo
CHAGUO LA MOYO ❣️ SEHEMU YA 01--- 05
CHAGUO LA MOYO ❣️ SEHEMU YA 01--- 05
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 90 MWISHOOOO

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 90 MWISHOOOO

1.21K
BILLIONS OF LOVE💓💓   SEHEMU YA "14_15"💓

BILLIONS OF LOVE💓💓 SEHEMU YA "14_15"💓

308
NAKUPENDA BILA MIPAKA SEASON THREE 101 - 108

NAKUPENDA BILA MIPAKA SEASON THREE 101 - 108

201
NAKUPENDA BILA MIPAKA: 109 - 120 SEASON THREE

NAKUPENDA BILA MIPAKA: 109 - 120 SEASON THREE

158
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 16 -- 17

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 16 -- 17

123
CHAGUO LA MOYO ❣️ 6 -- 7

CHAGUO LA MOYO ❣️ 6 -- 7

77
mapenzi ya kweli ndani ya mchezo wa soka, Wapenzi hao ni Muhtasham na mkewe, Ihsan.

mapenzi ya kweli ndani ya mchezo wa soka, Wapenzi hao ni Muhtasham na mkewe, Ihsan.

54
Anaitwa Ramadhani Chobwedo (MBEUMO) wa Kubanika 😂 Chezaji la Kukamia Mechi Kubwa. 🙌🏼

Anaitwa Ramadhani Chobwedo (MBEUMO) wa Kubanika 😂 Chezaji la Kukamia Mechi Kubwa. 🙌🏼

7

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.99K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.68K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.9K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.63K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

3.07K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

3.02K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.87K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.85K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.73K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.7K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
NAKUPENDA BILA MIPAKA: 109 - 120 SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA: 109 - 120 SEASON THREE
@majario LIVE

109 Mwenzenu nimechambwaaa, nishanangwa siamini kama ndiyi nilifunguliwa mlango mimi, nikapelekwa mtoko mimi, na nikawa natumiwa ujumbe. Leo hii kwa ukali nafokewa macho yametoka mpaka natetemeka. Nilikuwa nimechoka sana. Sijui nini kiliendelea,...

CHAGUO LA MOYO ❣️ 6 -- 7 Post Mpya
CHAGUO LA MOYO ❣️ 6 -- 7
@majario LIVE

NO 06 Niliamka na kwenda sebleni nikakuta johari haha amka naona itakuwa nimeamka mapema sana ilibidi nikae nimsubiri maana sikuwa najua vifaa vya usafi vinatoka wapi .........nilikaa...

NAKUPENDA BILA MIPAKA SEASON THREE 101 - 108 Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA SEASON THREE 101 - 108
@majario LIVE

:101 Nimeingia tu chumbani, rafiki yangu alikuwa amejilaza akakaa ananitazama, ni kweli alionekana kama vile katoka kulia. Hakunipa nafasi hata akasema “wewe mtoto, unanukia kama kajini kakitajiri.” Nikacheka nikisema “upoje jini la...

mapenzi ya kweli ndani ya mchezo wa soka, Wapenzi hao ni Muhtasham na mkewe, Ihsan. Post Mpya
mapenzi ya kweli ndani ya mchezo wa soka, Wapenzi hao ni Muhtasham na mkewe, Ihsan.
@majario LIVE

💥Kamera zilikuwa zikiwanasa mara nyingi wakiishangilia kwa pamoja katika klabu ya Uturuki ya Fenerbahçe, na wakawa kama moja ya kielelezo cha mapenzi ya kweli ndani ya mchezo wa soka, Wapenzi...

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 16 -- 17 Post Mpya
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 16 -- 17
@majario LIVE

SEHEMU YA 16 Denis hakujibu kitu alikata simu 📱 hapo hapo nilishikwa na machungu 😔 sana nilifuta namba yake kwa hasira😡nikaanza kulia 😭 kilichokuwa kinaniumiza zaidi ni kuachwa bila kutarajiwa halafu...

Anaitwa Ramadhani Chobwedo (MBEUMO) wa Kubanika 😂 Chezaji la Kukamia Mechi Kubwa. 🙌🏼 Post Mpya
Anaitwa Ramadhani Chobwedo (MBEUMO) wa Kubanika 😂 Chezaji la Kukamia Mechi Kubwa. 🙌🏼
@majario LIVE

Binafsi bado sijaona cha kunishawishi kwa huyu mwamba tofauti na wengine wanavyompa Hype. Niliangalia mechi zote mbili walizocheza TRA United na timu za Kariakoo, kiufupi mwamba alikuwa Anajitutumua ili aone...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 90 MWISHOOOO Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 90 MWISHOOOO
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Na kama ni kweli zena kanizungukia namshukuru mana nilikuwa nishapotea sana lakini yeye ndo kaniludisha kwenye mstari, yani imetulia.sana.na ninawaza maendelea tu na familia yangu , mpaka sasa...

BILLIONS OF LOVE💓💓   SEHEMU YA "14_15"💓 Post Mpya
BILLIONS OF LOVE💓💓 SEHEMU YA "14_15"💓
@majario LIVE

( alikuja kama muuza chai kumbe ni Billionea) nikalala wee kukakucha mapema sanaaa Nikakusanya ndoo zangu zilizojaa bites huyoooo site kwangu Nikafanya usafi pale nikapanga kabati langu nikaweka mzigo nikakaa...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 88 na 89 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 88 na 89
@majario LIVE

Basi nikajikuta usingiz umenipitia kabisaa, nahisi ni ile kuchoka na mawazo sana, nikaja kustuka ni mida ya usiku hivi, kwa pembni naona wanangu , arshaina ndo wa kwanza akananza kunipandia...

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO💋  11....15 Post Mpya
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO💋 11....15
@majario LIVE

Sawa mke wangu kipenzi nashukuru kwa kunijali, Denis aliondoka hadi gari 🚙 lilivyokata kona na mimi nikaingia ndani nilibadilisha nguo nilizovaa nikaenda sokoni kununua nyama na mchele nikaja kupika chakula...

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋  Sehemu ya 15 Post Mpya
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 15
@mjukuu LIVE

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 15 (🔞) (HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO) Alex anazidi kumshindua kungwi kwa raha zake mpaka na yeye akakojoa... Alex alikaa kwa kungwi...

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋  Sehemu ya 14 Post Mpya
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 14
@mjukuu LIVE

(🔞) (HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO) Mke wangu umeenda kijijini kumpa mwanangu mimba?. ( Yani aliongea uku amemkwida mama asma...na hapo akatokea msamalia mwema akamshika...

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋  Sehemu ya 13 Post Mpya
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 13
@mjukuu LIVE

(🔞) (HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO) Siku ambayo kwakweli nilifanya mapenzi na asma kwa raha sana nilimlamba kila Kona na kiu aliitoa na yeye...

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋  Sehemu ya 12 Post Mpya
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 12
@mjukuu LIVE

(🔞) (HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO) 👉 Asma akasogea yupo tayari kuvuliwa nguo nimpe utamu, Dah yani....👇 Kidume sikutaka kuchelewa maana penzi la wizi wizi hili, Nilimvua...

😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 11 Post Mpya
😋😋KIJIJI CHA UTAMU😋😋 Sehemu ya 11
@mjukuu LIVE

(🔞) (HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO) 👉 Unajua mbwana yule mjumbe anatoa...👇 Ushilikiano kitandani utasema kijana yani uno kama lote mpaka nasema kimoyoni enzi ya...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest