Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

ALIMWOKOA SAMAKI MTU MJAMZITO KWENYE MTO BAADA YA SIKU 7, HIKI KILITOKEA... sehemu ya pili  Moyo wa Amara ulianza kupiga kwa kasi. Hakuelewa walichokuwa wakizungumza.
Gonga94 ยท Stories

ALIMWOKOA SAMAKI MTU MJAMZITO KWENYE MTO BAADA YA SIKU 7, HIKI KILITOKEA... sehemu ya pili Moyo wa Amara ulianza kupiga kwa kasi. Hakuelewa walichokuwa wakizungumza.

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Nguva mjamzito, pesa marambili, kuuza kwa mtu mkubwa. Aliwaza huku akiwa amebeba chungu kizito kichwani. Aliondoka haraka lakini akili yake ilikuwa na wasiwasi. Aliendelea kujiuliza, hivi ni kweli kuna nguva karibu na mtoto wetu? Je, ni kweli kwamba ana mimba? Ni kweli watamwuuza?

Aliposogea karibu na njiya yake ndogo iliyo kuwa inelekea nyumbani, aliamua kupita kwenye kichaka kidogo nyuma ya mitimi kubwa iliaweze kuwaepuka wawindaji. Lakini alipokuwa akitembea, alisikia sauti laini ya kilio ikitoka nyuma ya mtimu kubwa wa miyanze. Amara alisimama. Aliweka sufuria yake chini kwa upole na kusikiliza kwa makini.

Msaada, nisaidie! Aliskia sauti dhaifu. Amara aliogopa. Miguu yake ilikuwa ikitetemeka na mapigo ya moyo ya kienda kasi. Alitazama huku na huku ili kuona kama kuna mtu, lakini hakukua na mtu yoyote. Kisha tarakibu, akasogea karibu miyanze na alichokiona kilimshutua. alimwona mtu akiwa amefungwa kwenye mti mkubwa kwa kamba, Kali alikuwa mrembo mwenye nyele ndefu zilizolowa na ngozi inayongara. Macho yake alijawa na machozi na alionekana mnyonge sana na mchovu. Tumbo lilikuwa kubwa sana na ilionekana wazi kwamba alikuwa mjamzito.

Amara alitazama chini na kuona kitu ambacho kilimfanya kuganda. Baada ya kuona miguu, mwanamke huyu alikuwa na mkia mrefu wa feather na ulikuwa umefungwa kwa kamba na kumfanya ashindiwe kusonga. Amara alifungua kinywa chake lakini hakune neno lililotoka. Alikuwa akimuangalia nguvu mjamzito kwenye kichaka karibu na mto wa kijiji. Nguva akainua mkono wake kwa unyonge kuelekea kwa Amara. Machozi ya kimtoka. Tafadhali nisaidie, wataniua mimi na mtoto wangu. Nguva akaomba kwa sauti nyororo na yenye kutetemeka. Amara alirudi nyuma kwa hofu. Mwili wake ulikuwa unatetemeka na kutaka kukimbia. Lakini macho ya uzuni ya nguva yalikuwa ya namuita. Amara hakuwai kumwona nguva na aliwai kusikia hadithi kijijini kuhusu nguva wanaochukua roho za watu na jinsia walivokuwa hatari. Lakini nguva huyu mbele yake hakuonekana kuwa hatari. Alionekana mnyonge na mwenye hofu kama mwanamke aliehitaji msaada.

Amara alitazama huku nahuku haraka na hakuona mtu. Alipiga atuwa kumusogelea nguva yule mapigo ya moyo ya kienda kasi. Tafadhali nisaidie, watarudi kuni chukua, sitaki kufa. Mermaid akasema tena. Mkono aliinua kwa shida kuelekea kwa Amara. Amara akainama chini taratibu na kunong`ona. Wewe ni nguva kweli. Mermaid alitikisa kichwa machozi ya kimtoka. Ndiyo, na nina mimba. Walinikamata nilipokuja msituni usiku wa manane. Walinifunga hapa ili wanimirudie badae. Tafadhali.

Macho ya Amara yalijawa na huruma. Aliona nguva alikuwa kitetemeka na kulikuwa na michubuko mikononi mwake pale kamba ilipokuwa imefungwa. Gafla Amara alisikia sauti za wanaume wakizungumza karibu. Haraka akageuka na kuona wanasogea karibu na kichaka. Wanakuja. Mermaid alinong`ona. Hofu machoni mwake. Akili ya Amara ilichanganyikiwa. Hakujua la kufanya. Je, amsaidie nguva kutoroka? Je, amwache hapo na kukimbia?

Sauti zikawa wazi zaidi na Amara akawasikia wawindaji wakicheka na kusema tutamchukua kabla watu hawajanza kutoka. Alijua kwamba ikiwa wanakuja sasa wanaweza kumwona amesimama karibu na nguva na wanaweza kumdhuru pia. Alimtazama nguva ambaye bado alikuwa akimsihi huku akitokwa na machozi na woga. Amara haku jua kama atapata ujasiri. Akasogea karibu na kugusa kamba ili ofungwa kwenye mikono ya nguva. Mermaid alitetemeka kwa maumivu. Lakini alimtazama Amara kwa matumaini. Amara alijaribu kufungua kamba lakini ilikuwa imekaza sana.

Please, please, please, nguva akaendelea kusema kwa unyonge. Amara alisikia jasho kwenye paji la uso. Mapigo ya moyo ya kidunda kama ngoma, mikono ikisogea kwa kasi kuifungua kamba. Sauti za wawindaji sasa zilikuwa karibu sana. Hebu tuone kama tunaweza kumchukua. Mmoja wao alisema. Macho ya Amara ya limtoka kwa hofu. Chungu cha maji alichoacha chini kilikuwa bado pale. Na ingekuwa rahisi kwa wawindaji kujua kuna mtu karibu. Amara akamtazama nguva na nguva akamtazama tena.

Wakati huo Amara alijua kwamba maisha yake yangebadilika milele kwa sababu ya kile ambacho alikuwa karibu kufanya. Lakini kabla tu haja fungua fundo la mwisho nyayo za wawindaji zilisimama karibu nao na Amara akajificha haraka. Moyo wa Amara ulikuwa ukipigia kwa kasi kama ngoma. Mikono yake ilikuwa ikitetemeka na jasho lilikuwa likimtiririka mgongoni ingawa asubuhi na mapema bado kulikuwa na baridi. Nguva alikuwa akipumua kwa nguvu. Machozi ya kitiririka mashavuni mwake huku akimtazama Amara kwa woga na maumivu machoni mwake. Alijua wawindaji wanampata hivi karibu ni na anachukuliwa.
Tangazo - usiku mmoja tu alidata
usiku mmoja tu alidata
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

ALIMWOKOA SAMAKI MTU MJAMZITO KWENYE MTO BAADA YA SIKU 7, HIKI KILITOKEA... sehemu ya pili Moyo wa Amara ulianza kupiga kwa kasi. Hakuelewa walichokuwa wakizungumza.

Nguva mjamzito, pesa marambili, kuuza kwa mtu mkubwa. Aliwaza huku akiwa amebeba chungu kizito kichwani. Aliondoka haraka lakini akili yake ilikuwa na wasiwasi. Aliendelea kujiuliza, hivi ni kweli kuna nguva karibu na mtoto wetu? Je, ni kweli kwamba ana mimba? Ni kweli watamwuuza?

Aliposogea karibu na njiya yake ndogo iliyo kuwa inelekea nyumbani, aliamua kupita kwenye kichaka kidogo nyuma ya mitimi kubwa iliaweze kuwaepuka wawindaji. Lakini alipokuwa akitembea, alisikia sauti laini ya kilio ikitoka nyuma ya mtimu kubwa wa miyanze. Amara alisimama. Aliweka sufuria yake chini kwa upole na kusikiliza kwa makini.

Msaada, nisaidie! Aliskia sauti dhaifu. Amara aliogopa. Miguu yake ilikuwa...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/alimwokoa-samaki-mtu-mjamzito-kwenye-mto-baada-ya-siku-7-hiki-kilitokea-sehemu-ya-pili-moyo-wa-amara

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi alimwokoa-samaki-mtu-mjamzito-kwenye-mto-baada-ya-siku
 ALIMWOKOA SAMAKI MTU MJAMZITO KWENYE MTO BAADA YA SIKU 7, HIKI KILITOKEA... sehemu ya kwanza  Nguva akiwa amefungwa kwenye mti
ALIMWOKOA SAMAKI MTU MJAMZITO KWENYE MTO BAADA YA SIKU 7, HIKI KILITOKEA... sehemu ya kwanza Nguva akiwa amefungwa kwenye mti
ALIMWOKOA SAMAKI MTU MJAMZITO KWENYE MTO BAADA YA SIKU 7, HIKI KILITOKEA... sehemu ya tatu
ALIMWOKOA SAMAKI MTU MJAMZITO KWENYE MTO BAADA YA SIKU 7, HIKI KILITOKEA... sehemu ya tatu
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

10.14K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.27K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.48K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

2.57K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.31K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.12K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

2.11K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.04K
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya nane.  ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya nane. ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

1.96K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest