Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

ALIMWOKOA SAMAKI MTU MJAMZITO KWENYE MTO BAADA YA SIKU 7, HIKI KILITOKEA... sehemu ya tatu
Gonga94 · Stories

ALIMWOKOA SAMAKI MTU MJAMZITO KWENYE MTO BAADA YA SIKU 7, HIKI KILITOKEA... sehemu ya tatu

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


Amara alifumba macho kwa muda na kunong`ona moyoni mwake Mungu. Tafadhali tusaidie. Wasitupate hapa. Wawindaji walipokaribia kugeka nyuma ya mti wa mianzi, wawindaji mmoja ambaye alikuwa akitembe nyuma ya wengine, gafla alipiga kelele kwa nguvu, swala. Wawindaji wengine walisimama mara moja na wakageuka haraka. Iko wapi? Iko wapi? Walipiga kelele. Huko, pale, akikimbia kuelekea upande mwingine, muindaji alisema, akionyesha bunduki yake kwenye vichaka. Wawindaji walimsahau nguva huyo kwa muda, wakanza kukimbia kuelekea sehemu ambayo swala alisemekana kuwa. Huku wakinyanyua bunduki zao hewani tayari kupiga risasi. Viatu vyao vilitoa sauti kubwa kwenye majani makavu. Huku wakikimbia kuelekea upande wa swala, wakipiga kelele na kuitana.

Macho ya Amara ya limtoka kwa mshangao. Aliona hii kama nafasi yake peke. Alitoka haraka kutoka kwenye mificho yake na kurudi mbio kwa nguva. Tafadhali, tuende sasa kabla hawajarudi. Amara alimnong`oneza nguva. Mikono yake ikienda kwa kasi kuifungua ile kamba. Vidole vyake vilikuwa vikitetemeka huku akivuta fundo kali. Kamba ilikuwa ngumu na yenye nguvu na ili umiza vidole vyake lakini hakuacha. Nguva alikuwa akigugumia kwa maumivu lakini alimtazama Amara kwa matumaini macho ni pake.

Asante, asante. Nguva alinong`ona kwa unyonge. Amara hatimaya kafungua fundo wa mwisho na kamba ikaanguka chini. Mikono ya nguva ilianguka kando yake na akaegemea mti akiwa dhaifu sana asiweze kusimama vizuri. Amara alitazama huku na huku haraka. Bado aliweza kusikia sauti za wawindaji, lakini sasa walikuwa karibu na mto, wakipiga kelele na kuhitana huku wakimtafuta swala. Alijua lazima aondoke mara moja, au ange rudi na kumkuta nguva hayupo.

Meumeid alijaribu kusimama, lakini akaanguka nyuma, mkia wake wa feathers ukisuguwa kwenye majani makavu. Tafadhali, nisaidie. Alinong`onga. Amara akainama chini, akazungusha mikono yake kwenye kionjo cha nguva na kujaribu kumuinuwa. Nguva alikuwa mzito na Amara hakuwa na nguvu za kutosha, lakini alijaribu kadri awezaavyo. Aliweka mkono wa nguva juu ya bega lake na nguva akamuegemea sana Amara, uvimbe wa mtoto wake ukifanya iwe vigumu kwake kusogea kwa urahisi. Amara akapiga hatuwa mbele. Kisha nyingine, miguu yake ikitetemeka kwa uzito. Walitembea pole pole, hatuwa kwa hatuwa, wakijaribu kuepuka majani makavu ambayo yalifanya kelele chini ya miguu yao.

Nguva alikuwa akihema kwa maumivu, akipumua sana na kushika tumbo lake. Ah! Ah! Nguva aliugua kwa upole. Amara alimtazama kwa huruma. Hakujua wangechukua muda gani kufika kwenye kibanda chake, lakini hakuweza kumuacha nguva. Kila dakika tano, Amara alilazimika kusimama na kupumzika. Alikuwa akiinama chini, akimruhusu nguva kukaa chini kwa muda huku akijifuta jasho usoni mwake. Chungu chake chamaji cha udungo kilikuwa bado pale, lakini hakuweza kukibeba sasa. Aliacha nyuma, akilenga kumpeleka nguva salama.


Jua la asubuhi lilikuwa linaanza kuchomoza na ndege walikuwa wakiimba kwa sauti zaidi sasa. Kanga ya Amara ilikuwa imeloa jasho na mgongo wake ulikuwa unauma, lakini aliendelea kusonga mbele. Nguva alikuwa akilia kwa upole. Uso wake umepauka na mikono yake ikiwa imeshika tumbo lake kubwa. Tafadhali, usiniache. Sitaki kufa. Aliendelea kunong'ona. Sitakuacha. Amara alisema ingawaje mwili wake ulikuwa umechoka na miguu yake ilikuwa ikitetemeka.

Walipita kwenye vinjia vidogo vidogo vya vichakani wakikwepa sehemu ambazo watu wange waona. Amara aliogopa kwamba ikiwa wanakijiji wange muona nguva, wanaweza kuwaita wawindaji au kumletea shida. Walisimama kupumzika tena chini ya mwembe na Amara akamtazama nguva. Uko sawa? Aliuliza kwa upole. Baada ya muda, Amara kakusanya nguvu zake na kumuinuwa nguva tena. Waliendelea kusonga, kupumzika na kusonga hadi hatimae wakakifikia kibanda kidogo cha udongo cha Amara kilichokuwa pembezoni mwa kijiji.

Amara akasukuma mlango wake uangalifu na kuchungulia ndani. Watoto wake wawili walikuwa bado wamelala fofofo kwenye mkeka. Alikuwa na furaha kwamba bado walikuwa wamelala kwa hiyo hawata muona nguva bado. Amara akamsaidia nguva kuingia. Nguva aliuguwa kwa maumivu, mikono yake juu ya tumbo lake, mkia wake umelazwa kwa unyonge kwenye mkeka. Amara alimtazama kwa wasiwasi. Aliona mwili wa nguva umevimba sehemu na alama nyekundu pale kamba ilipo fungwa.

Nitapeleka maji ya moto. Amara alisema kwa upole. Haraka haraka alitoka nje, akachukua maji na kuayweka kwenye moto mdogo uliokuwa jikoni kwake. Maji alipopata joto, akayamimina kwenye bakuli ndogo na akayaingiza ndani. Akachovyesha kitambaki safi, akakikamuwa na kukiweka taratibu kwenye mikono na mabega ya nguva yaliovimba. Nguvu ali inama kwa maumivu, lakini baada ya muda akashusha pumzi laini. Amara akaendelea kusuguwa mwili wa nguvu akifuta jasho na kumkandamiza kwa nguvu nguva mgongoni kwake.

Asante. Asante. Nguvu aliendelea kunong'ona huku machozi ya kimlengalenga. Amara alihisi huruma moyoni mwake na pia alihisi hofu. Hakujua nini kingefuata na hakujua kwanini nguva alikuwa nchikavu, mjamzito na kukamatwa na wawindaji. Chumba kilikuwa kimya ispokuwa miungurumo midogo ya nguva. Amara alitazama tumbo kubwa la nguva na kujiuliza, kuna mtoto aina gani ndani yake? Atakuwa samaki au wanadamu? Hakujua lakini alijua kwamba hangeweza kumuacha nguva huyo. Nguva akafumbua macho yake kwa unyonge na kumtazama Amara. Naitwa nene, alisemakwa upole. Amara alishangaa. Nene? Hilo ni jina zuri. Jina langu ni Amara. Nene alitabasamu ka unyonge, lakini macho yake bado yalikuwa yamejaa machozi. Asante Amara, sita sahau hili, alinong`ona. Amara akatikisa kichwa kwa upole, akishikilia mkono wa nene kwa upole.

Mara wakasikia sauti za nyayo nje ya kibanda hiki, na macho ya Amara yalitoka kwa woga. Haraka akatazama mlango, kisha akamtazama nene. Nene alimtamama Amara kwa woga machoni pake, akishikilia tumbo kubwa huku wakijikunjusha mkia wake wa fedha juu yake. Ghafla mlango ulifunguliwa kwa sauti kubwa. Amara akakimbia haraka na kusukuma mlango mbele huku wakitumia mwili wake kumzuiya mtu aliye kuwa nje asione ndani ya kibanda hiki.

Kuna nani huko? Bwana unafungua mlango wangu hivyo? Amara aliuliza huku akihema sana jasho likimtoka usoni kwake. Aliyesimama mlangoni alikuwa mama njideka, mmbeya wakijiji. Kila mtu kijijini hapo alimjua kuwa ni mmbeya wakijiji. Anaependa kuingiza puwa yake kwenye biashara za watu wengine. Alikuwa ameshika kionochake kwa mkono mmoja na mkono wake mwingine ulikuwa juu ya mlango huku wakijaribu kusuka kwa upana zaidi na kunyosha shingo yake kutazama ndani ya kibanda cha Amara. Amara alizuiya mtazamo wake kama ukuta.

Ah! Ah! Amara, unatabia ya ajabu. Mama njideka alisema. Je, unaficha kitu? Au kuna mwana ume humo ndani? Macho ya Amara yalimtoka kwa mshituko. Mwana ume katika kibanda changu? Mama njideka, ni maongezi gani hayo ya asubuhi na mapema? Lakini mama njideka hakuwa tayari kuondoka. Akausogelea uso wake kwa ukaribu zaidi. Macho yake akiwa makali mithili ya mwewe akitafuta kifaranga.

Nimekuja kuazima chungu chako tu. Mama njideka alisema huku akikunja mikono kifuwani. Amara alishtuka. Ghafla akakumbuka chungu cha maji alikiacha porini alipokuwa akimuokoa nguva. Alijua hawezi kukichukua chungu kwa sababu wa windaji wanaweza kumtafuta mwenye nyumba na wakigundua kuwa yeye ndie alie mchukua nguva ingeleta shida kubwa. Amara alimeza mate kwa nguvu na kulazimisha tabasamu dogo.

Ah, mama njideka, nakitumia chungu sasa, siwezi kukitua tafadhali. Mama njideka akaziinua nyusizake juu na kuzomea. Wewe, kutumia chungu? Unatumia kwanini sasa? Unaficha kitu Amara? Nasikia harufu yake. Alisema akiinama kwa ukaribu, macho yake akiwa na mashaka. Moyo wa Amara ulikuwa ukidunda kwa hofu. Aliibuka na mlango kwa nguvu zaidi. Akaziba kila nafasi ambayo mama njideka angeweza kutumia kuona ndani.
Tangazo - For this week only
For this week only
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

ALIMWOKOA SAMAKI MTU MJAMZITO KWENYE MTO BAADA YA SIKU 7, HIKI KILITOKEA... sehemu ya tatu



Amara alifumba macho kwa muda na kunong`ona moyoni mwake Mungu. Tafadhali tusaidie. Wasitupate hapa. Wawindaji walipokaribia kugeka nyuma ya mti wa mianzi, wawindaji mmoja ambaye alikuwa akitembe nyuma ya wengine, gafla alipiga kelele kwa nguvu, swala. Wawindaji wengine walisimama mara moja na wakageuka haraka. Iko wapi? Iko wapi? Walipiga kelele. Huko, pale, akikimbia kuelekea upande mwingine, muindaji alisema, akionyesha bunduki yake kwenye vichaka. Wawindaji walimsahau nguva huyo kwa muda, wakanza kukimbia kuelekea sehemu ambayo swala alisemekana kuwa. Huku wakinyanyua bunduki zao hewani tayari kupiga risasi. Viatu vyao vilitoa sauti kubwa kwenye majani makavu. Huku wakikimbia kuelekea upande wa swala, wakipiga...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/alimwokoa-samaki-mtu-mjamzito-kwenye-mto-baada-ya-siku-7-hiki-kilitokea-sehemu-ya-tatu

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi alimwokoa-samaki-mtu-mjamzito-kwenye-mto-baada-ya-siku
 ALIMWOKOA SAMAKI MTU MJAMZITO KWENYE MTO BAADA YA SIKU 7, HIKI KILITOKEA... sehemu ya kwanza  Nguva akiwa amefungwa kwenye mti
ALIMWOKOA SAMAKI MTU MJAMZITO KWENYE MTO BAADA YA SIKU 7, HIKI KILITOKEA... sehemu ya kwanza Nguva akiwa amefungwa kwenye mti
ALIMWOKOA SAMAKI MTU MJAMZITO KWENYE MTO BAADA YA SIKU 7, HIKI KILITOKEA... sehemu ya pili  Moyo wa Amara ulianza kupiga kwa kasi. Hakuelewa walichokuwa wakizungumza.
ALIMWOKOA SAMAKI MTU MJAMZITO KWENYE MTO BAADA YA SIKU 7, HIKI KILITOKEA... sehemu ya pili Moyo wa Amara ulianza kupiga kwa kasi. Hakuelewa walichokuwa wakizungumza.
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83

MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83

590
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85

MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85

487
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘

472
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33

321
*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34*

*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34*

218
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5

86
REAL LOVE  *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

REAL LOVE *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

73

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.1K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.84K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.67K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.05K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.45K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.41K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.29K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.29K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.25K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.16K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
REAL LOVE  *SEHEMU YA KUMI NA MOJA* Post Mpya
REAL LOVE *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*
@majario LIVE

walipomuona seven ikabidi mzee fahad azungumze nae kuhusu swala la wao kuondoka **"lakini mzee wangu mbona bado hali ya fahima sio nzuri?" alisema seven usijari kwakuwa ametaka mwenyewe basi haina shida kikubwa...

*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34* Post Mpya
*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34*
@majario LIVE

*SEASON TWO* LISSA WA HURU MEDIA * Basi uyu demu mimi na yeye ndo tukaachna hapa. Nilimwambia ukweli sikutaka kuwa na michepuko tena. Mke wngu kwanza ananitosha sana. Yani anafit kwa kila kitu....

MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
@majario LIVE

Basi bwana nikaingia ndani ya gari ya mlige . Daaaah uko njiani ni anaona kama hatufiki . Mala kanishika ziwa . Mala kanishika kiuno kabinya mhh yani acha ...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘
@majario LIVE

Tulivyotoka pale sitting kuelekea chumbani nilianza kumbembeleza nice asinzie kwani anataka sasa😆😆 my wangu si akaanza kulia na kuita daddy daddy I want my daddy ikawa kero😳😳 ilinibidi nimuweke mgongoni...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Kila alipokua akipita mtaani kwao utasikia watu wakimuita tipwa tipwa huku wakimtania, lakini yeye hajali hata kidogo. Karidhika na mwili wake, hana mda wa kuhifadhi maneno ya watu...

MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83
@majario LIVE

Zayd akanmbia mbona unalia mama. Aseeee mda huu ilikuwa ni kama saa 5 ya usiku. Na mlige anapiga simu . Yani simu yangu sikuwa nimeweka sauti . Yani nimeweka mwanga...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33
@majario LIVE

Bas baada ya princess kukata simu nikamsogelea mke wangu nikamwambia si umeona kipenzi changu. We niamini tu na kuwa muelewa . Mimi nimekosea ilaa sasa hivi sitaki tena kuwa na...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32
@majario LIVE

Fatuma akanmbia kumbe ndo unayonifanyia aya. Unazani nilikuwa sina habri zako . Unazani sijuh najua sana . Kuwa apa chuo una mwanamke mjinga ww. Daah nikamwambia plsss mke wangu...

MY WANGU❤️ sehemu ya 81 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 81
@majario LIVE

Whattsap; 0786796363 Mwandishi; HABIBA MAAMOJA Basi maisha yakawa yanenda hivyo. Na zayd akawa nanaitafuta kila siku. Alivyokuwa kenya. Siku iyo usiku hivi .nipo ndani kwangu . Nilikuwa napanga nguo zangi mana nilikiwa...

MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80
@majario LIVE

Zayd akasema ni mimi. Naona unaniangalia sana wala haujanifananisha ndo mm zayd tulisoma wote singida . Na mala ya mwisho tulipewa suspension na mwenzangu ukahama shule. Mh nikasema ahaa...

MY WANGU❤️ sehemu ya 78 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 78
@majario LIVE

Basi bibi mie nikaanza kujiandaa kwa ajili ya club. Na nguo nnazo kama zote. Kuna mda mlige ananinuliaga mpkaa nguo za ajabu . Ila nivae tu nikiwa na...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘  N0 51...52💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 51...52💘💘
@majario LIVE

Uwe na usiku mwema mke wangu mimi nitakwenda kulala kwenye chumba changu kingine natumaini hili jambo litabakia kuwa la siri kati yetu sisi wawili..... natumaini hautamwambia mtu yeyote yule Acha...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 30 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 30
@majario LIVE

Akanmbia mi nitakuazima pesa milion 10 . Uanze nayo. Ununue mashine zote.na ukalipie fremu apa maeneo ya chuo utapata wateja wengi. Mh nikaona uyu demu ana roho nzuri ety anamfikilia...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 1 - - - - - 5 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 MWANZO......... Wale wa kuzima Hisia washa akili mje hapa. Mwenzenu huku kawasha vyote kama mjukuu majuto😄😄😄. Hivi wahenga nao wanatuchukuliaje kusema kwamba akili ni nywele 😀😀😀. Asubuhi majira ya saa...

NILIVYOOLEWA NA SHEMEJI YANGU 1 - - - - - 5 Post Mpya
NILIVYOOLEWA NA SHEMEJI YANGU 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO.... Call me Paaye, oooh Paaye hata sijui hili jina lina maana gani na siijui wazazi wangu walilipatia kwa mkorea yupi maana kwa hili jina saluti kwao Aaah Paaye...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest