Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—” SEHEMU YA 16 Maisha ya kutoka kwenye kiyoyozi mpaka kwenye feni ya kawaida
Gonga94 Β· Stories

π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—” SEHEMU YA 16 Maisha ya kutoka kwenye kiyoyozi mpaka kwenye feni ya kawaida

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
hayakua mabaya sana kwetu kwani tulikua tumetokea maisha ya shida na dhiki nyingi, upendo wetu ulizidi kustawi tu, nilimzidishia upendo mume wangu, sikulalamika wala kunung'unika hata kidogo, kwakua moyo wangu ulimpenda yeye na sio fedha zake.

Ni tofauti na watu wengine ambao wanaweza kumpenda mtu kwa sababu fulani labda pesa au uzuri sana upo wakati ile sababu ikiondoka upendo wao hufa kabisa, kwahiyo ni vyema kumpenda mtu pasipo kuwa na sababu ili hata mambo yaweje bado upendo wenu uendelee kuwa ngazi, miezi miwili ya mwanzo, mume wangu alikua anajituma sana, si mchana wala usiku alikua akitumia muda mwingi sana kuwa barabarani, pia alikua ananisikiliza tuliamua asilimia ishirini ya kile tulichokua tunakipata tulikua tunaweka akiba ndani ya hiyo miezi miwili tulikua na laki tano ndani ya akiba, pia Mungu alitujalia tulishika mimba nikawa mjamzito.

Mume wangu alifurahi sana, maisha yetu yalikua ni sisi wenyewe tu hatukua na marafiki wa zamani wala marafiki wapya, siku moja nilipokea taarifa kwamba mume wangu yupo hospitalini, nilihofia nikaenda hospitalini kweli nilimkuta mume wangu hakua ameumia sana ni mshtuko na michubuko midogo tu, nilipomuuliza nini tatizo alinijibu akiwa analia kwamba amepoteza pikipiki aliyokua anaitegemea kama sehemu ya kumwingizia kipato kwani majambazi walimpokonya pikipiki yake wakati akiwa amepeleka abiria sehemu fulani, mume wangu alikua analia sana nami nilimtia moyo sana ili aendelee kuwa imara, nilitoka kwenda kumpikia chakula, nikiwa njiani nilikua naongea na Mungu wangu kwanini yote yanatokea kwenye maisha yetu, niliumia na kulia sana, nilimwomba Mungu iwe mara ya mwisho sitaki kuumia tena, sitaki matatizo yaendelee kwenye maisha yetu tena.

Nilifanya maombi hayo kwa imani kubwa niliamini Mungu ananisikia, nilipika ndizi nyama na kumpelekea hospitalini nilichukua laki tatu kwenye ile akiba yetu na kulipia matibabu ya mume wangu, tuliruhusiwa kurudi zetu nyumbani, baada ya siku mbili alikua yupo kamili, alinipa mawazo ambayo aliamini yatatusaidia kutoka kwenye hali ngumu ya kiuchumi ili tuweze kulipa kodi na kuendesha maisha yetu, aliniuliza kazi gani naweza kuifanya kati ya kutembeza mboga mboga za majani au kuchoma vitafunwa vya chai.

Nilimjibu kazi ya kutembea ingekua ngumu sana kwangu kuifanya ila kazi ya kuuza vitafunwa kama mihogo sijui vitumbua hiyo ningeiweza kuifanya kwani kwenye mambo ya mapishi nipo vizuri sana, Mume wangu alifurahi na kunipongeza sana, alinambia nichukue laki moja nifanye manunuzi ya vitu vya kufanyia mapishi mimi nilikubali kabisa kufanya hivyo.

Tulitoka pamoja na kwenda sokoni, tulinunua kalai la kupikia vitumbua pia tulinunua vitu vya kwenda kusaga ili tupate kutengenezea vitumbua bila kusahau mafuta ya kula, tulikubaliana siku mpya itakapoingia bhasi nitaanza kazi yangu ya kuuza vitumbua kwenye eneo fulani ambalo lilikua limechangamka kidogo, mume wangu nae alisema yuko kamili ataingia sokoni kubeba mizigo kama kuli, ila maisha kwetu yalionesha ugumu na sisi tulikua tayari kupambana nayo bila kinyongo bila woga tuliamini kwenye mtoa ridhiki kwamba upo wakati atatufanikisha tena haijalishi itachukua muda gani ila lazima tutafanikiwa tu.

Itaendelea.....
Tangazo - Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha

Mwanangu Mungu ndio anae jua
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—” SEHEMU YA 16 Maisha ya kutoka kwenye kiyoyozi mpaka kwenye feni ya kawaida

hayakua mabaya sana kwetu kwani tulikua tumetokea maisha ya shida na dhiki nyingi, upendo wetu ulizidi kustawi tu, nilimzidishia upendo mume wangu, sikulalamika wala kunung'unika hata kidogo, kwakua moyo wangu ulimpenda yeye na sio fedha zake.

Ni tofauti na watu wengine ambao wanaweza kumpenda mtu kwa sababu fulani labda pesa au uzuri sana upo wakati ile sababu ikiondoka upendo wao hufa kabisa, kwahiyo ni vyema kumpenda mtu pasipo kuwa na sababu ili hata mambo yaweje bado upendo wenu uendelee kuwa ngazi, miezi miwili ya mwanzo, mume wangu alikua anajituma sana, si mchana wala usiku alikua akitumia muda mwingi sana kuwa...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/tatizo-kubwa-inaniogopesha-sehemu-ya-16-maisha-ya-kutoka-kwenye-kiyoyozi-mpaka-kwenye-feni-ya-kawaid

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi tatizo-kubwa-inaniogopesha-sehemu-ya
π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—” SEHEMU YA 6 Akanishika kiuno vizuri akanibeba mpaka kitandani akaniweka

π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—”   SEHEMU YA 7 "Niko zanzibar Cuzo, nakula maisha kidogo" "Mmmh weee Diana

π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—” SEHEMU YA 13 Alinivuta na kunikalisha chini walinifunga kamba konani na kuniziba mdomo w

π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—” SEHEMU YA 9 "Binti amegundulika ni mjamzito kwa mila na desturi za ukoo wetu itakua vigumu

π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—” SEHEMU YA 8 "Vipi kuna nini mbona umepoteza furaha gafla, uso wako umelikimbiza tabasamu

π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—”  SEHEMU YA 17 - 18 Asubuhi na mapema tulipeana cha asubuhi cha kuagana

π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—” SEHEMU YA 15 "Hapana hapana usifanye hivyo mlinzi nakuomba usimwage

π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—”   SEHEMU YA 14 "Mke wangu nimepoteza migodi yangu yote, mke wangu tumefirisika sisi aaaaaaah aaaaaah"

 π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—”   SEHEMU YA 10 Mchungaji alimnyamazisha mwanamke huyo asiendelee kulia kwani kulia isingeweza

π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—” SEHEMU YA 11 "Sikatai huyu alikua dada wa kazi nyumbani kwetu tena kwa miaka

π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—” SEHEMU YA 12 "Poleni sana ujauzito uliokua tumboni mwa Brigita umeharibika, naomba mjipe nguvu

Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

10.11K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.25K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.48K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

2.56K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.3K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.11K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.11K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.03K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

1.99K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

1.95K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest