NILIKUTANA NA BINTI YANGU ALIEKUFA MIAKA MIWILI ILIOPITA SOKONI AKIUZA MAJI Episode 1
Siku moja nikitokea kwenye sherehe ya harusi mji wa mbali nikiwa njiani kurudi nyumbani nilimuona Pamela na tulipoangaliana alikimbia na kupotea,
Jambo ambalo lilinishtua sana nakawa nimechanganyikiwa na maswali ambayo hayana majibu. Niliamua kwenda kwa rafiki yangu anisaidie mawazo,
Hujambo my friend Angela, sijambi rafiki karibu kiti, nimekuja unisaidie mawazo, ehee wazo lipe mwenzsngu?
Nimemuona Pamela mwanangu aliekufa miaka miwili iliopita kwa mecho yangu mawili akiuza maji kwa street,
Angela alicheka, Vivian una uhakika ni Pamela uliona akiuza maji?? yes tena alikua na nguo aliyokua nayo alipoaga haspitalini,
Angela pia akashtuka na kupigwa na butwaa,
Nilipomuona macho zikakutana nikaona machozi ndani ya macho yake, na akakimbia, niliweka nduru nikamuita nikimfata lakina akapotelea,
Angela, hii sasa ni mtihani mkubwa, kitendawili kugumu kutegua, likini isiwe vile nunavyo waza ooh,
Unawaza nini Angela? Nikamuuliza,
Akasema,, mume wako, huenda alihusika na kifo cha Pamela,
Baada ya kuskua hayo maneno niliingia kwa mawazo nikaanza kumbuka yaliotendeka miaka mbili iliopita,
FLASHBACK
Miaka miwili iliopita ilikua siku ya jumaine asubui, nilikua naharaka kwajili ya kwenda kazini, nilipofika inje nilimsikia Pamela akiitana akisema
Mammy mammy tumbo inaniuma, kabla nigeuke kumuangalia Donald alitokea na kunizuia, akasama wewe nenda tu usichelewa kazini mimi nitampeleka hospitalini,
Hapo nikaondoka kwenda kazini bila kujia hio ndio ilikua mara ya mwisho kuona Pamela
Jioni nikiwa kazini nilipokea simu ya mume wangu, akaita beb, lakini sauti yake ilikua ya unyonge coz namjua, na hapo nikajua kuna shida,
Niliingiwa na uoga na wasiwasi,
Akasema she didn't meke it,
Donald who a you taking about? I hope it's not Pamela my dotter you're talking about,
ITAENDELEA...... Ommy khan tanzania
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni