Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

BIASHARA YA KARANGA ILINIPA MUME DAKTARI*    *SEHEMU  YA 11 MPK 13
Gonga94 Β· Stories

BIASHARA YA KARANGA ILINIPA MUME DAKTARI* *SEHEMU YA 11 MPK 13

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


Hali iligeuka kuwa nyingine kabisa, badala ya kutatua kesi kuhusu tope walijikuta wakibadilishana mate, romance yenye nguvu ya kupindukia iliibuka kati yao
Kama utani hivi lakini walianza kupunguziana nguo wakiwa sebuleni.

Dakika mbili hazikupita walijikuta wakiwa uchi.
Mguu mmoja wa Jamila ulishikiliwa kisha kazi ikaanza kufanyika.
Ilikuwa ni kama ndoto kwa mrembo huyu. Ni muda mrefu sasa umepita lakini hatimaye leo imekuwa.... hakuwa mzembe hata kidogo aliamua kuonesha kile alichojaliwa.

Sebule iligeuka uwanja wa burudani,

"Ahsante Jamila..." Chris aliongea

Jamila alionekana kutekewa hakuamini kama kaliwa sebuleni. Kuna namna alipoa ghafla.

Chris alilitambua hili alimnyanyua kisha akambeba.
Alimpeleka bafuni kwake akaanza kumuogesha

"Moyo wangu umevunjika tu ghafla, japo nimefurahia kitu tulichokuwa tunafanya wote lakini kuna namna nahisi huu ndio mwisho wetu...." Jamila aliongea ya moyoni

"Una maanisha nini kusema hivyo?...najua una hofia kuhusu Dorin lakini huyo ni Mshikaji wangu tu....kadiri siku zinavyoenda nina uhakika utaamini hiki nachokuambia" Chris aliongea

Jamila hakujua aongee nini.... alijikuta akimkumbuka Chris si kwa sababu anapenda ni kama alikuwa anabembeleza asije kutemwa

Isingekuwa rahisi kwake kulala hapa kisha amuache mdogo wake Ali.

Japo muda ulikuwa umeenda lakini Chris alimrejesha nyumbani. Na siku ya leo alivaa nguo za Chris pia.
Kuna namna aliona aibu baada ya kukutana macho na Ali.

"Sijafanya chochote kibaya kwanini unaniangalia hivyo...." Jamila alijihami

"Tisheti uliyovaa ni ya gharama sana....hicho tu ndio nilikuwa naangalia na si kingine" Ali aliongea kisha akajifunika shuka

Jamila alikaa kwa kujitupa kuonesha amechoka, siku ya leo Ali alikaanga karanga nyingi alijikuta akisikia uvivu kuzifunga

"Tangu ukutane na huyo Daktari umeanza kujiona tajiri...juzi ulifunga karanga katika kipimo kikubwa ukauza kwa mia tano. Leo nahisi utafunga mifuko mitatu tu uuze kwa elfu tano...." Ali aliongea akiwa ana mchungulia Dada yake kupitia kitundu kilichopo kwenye shuka

"Hizi mbona zina fungwa zote tena kwa ustadi mkubwa tu" Jamila aliongea yeye kama yeye ila mwili wake ulikuwa umechoka.

Aliishia kufunga karanga tatu usingizi ukapita naye.

"Sijui ni kitu gani umefanya ila inaonekana umechoka sana..." Ali aliongea pekee yake kisha akamfunika shuka Dada yake.

Alikaa chini akaanza kufunga karanga mwenyewe, zilikuwa nyingi lakini alipambana mpaka akamaliza.

"Huyu mtu kafanya kazi gani leo!" Ali alijiuliza kwa mara nyingine tena baada ya Jamila kuachia mashuzi ya kichovu.

Upande wa Chris alijikunyata kwenye blanket lake. Kila alipo kumbuka namna Jamila alivyokuwa anampandisha juu ya mawingu kwa kutumia kiuno chake alichanganyikiwa. Alijikuta akitamani show irudiwe tena.

Kulivyo pambazuka asubuhi alipigiwa simu ya dharula. Alikuwa radhi kwenda kazini bila kuoga lakini si kumuacha mgonjwa aendelee kuchungulia tundu la kifo.
Hakuwa na habari kuhusu Jamila, alipita gengeni kwake akiwa katika kasi ya 4G.

"Bila shaka kuna dharula kazini kwake...." Jamila alijisemea kisha akaifuta lipstick aliyokuwa ameipaka mdomoni mwake kwa lengo la Chris kuiona.

Kazi iliyokuwa mbele ya Chris ilikuwa ngumu.
Uhakika wa mgonjwa anayeenda kumfanyia upasuaji kuishi ulikuwa ni mdogo sana.

"Kwanini umekuwa na uoga ghafla.... Chris naye mfahamu Mimi hajawahi kuwa na uoga wowote linapokuja swala la kufanya operation yoyote ile, hakikisha unaokoa maisha ya huyo Mtoto..." Dorin aliongea kisha akaondoka

Chris alijishika mikono yake, hakuamini kabisa kama siku ya leo anatetemeka.
Kabla ya kuingia kwenye chumba cha operation alipanda gari lake akaenda gengeni kwa Jamila.

Jamila akiwa ana kusanya virago vyake asepe baada ya karanga kuisha ana shangaa baada ya kuliona gari la Chris

Chris alimfungulia mlango wa gari kumaanisha anataka wafanye mazungumzo.

Jamila alishangaa baada ya kuona Mwanaume huyu ana tetemeka mikono.
Japo si mjuzi sana wa mambo lakini alielewa mtu huyu ana kabiliwa na operation ngumu.
Alimkumbatia kwa hisia zote

"Kama utafanya vibaya nitaamini uwepo wangu maishani mwako ni mkosi.... naomba ujitahidi ufanye vizuri" Jamila aliongea kwa sauti ya kunong'ona iliyopenya vyema kabisa masikioni mwa Chris

*SEHEMU YA KUMI NA MBILI*

"Sawa nitajitahidi kufanya vizuri zaidi" Chris aliongea kisha akaondoa gari baada ya kipenzi cha moyo wake kushuka

Jamila aliishia kukodoa macho, hakuamini kama Chris anaweza kuja kwake kutiwa nguvu kabla ya kuingia kwenye chumba cha upasuaji

"Sijui hata ni maneno gani nimemuambia lakini naamini yalikuwa na nguvu..." Jamila aliongea kisha akaanza safari ya kuelekea nyumbani

Chris akiwa katika chumba cha Operation aliwekeza akili yake katika kichwa cha mtoto mdogo aliyekuwa na uvimbe.
Maneno ya Jamila yalizidi kujirudia kichwani mwake pale alipohisi kukata tamaa.

Alitumia saa moja kukamilisha hii kazi, kijasho kilimtoka na hata hakuelewa shida ni nini.
Wakati anatoka kwenye chumba cha Operation alikutana na Dorin

"Usiniambie ulikuwa unanisubiria..." Chris aliuliza huku akipokea maji anayopatiwa

"Nisingeweza kufuata ratiba zangu bila kujua hatima yako.... muonekano wa macho yako unatosha kuniambia umefanya vizuri" Dorin aliongea

"Ni mapema sana kujipongeza, acha nisubirie masaa mawili yapite...." Chris aliongea

Dorin alikubaliana naye, kwa pamoja walikaa katika benchi wakawa wanapiga stori huku wakisubiria masaa mawili yapite.

Upande wa Jamila alihitaji kujua kama Chris kafanya vizuri.
Aliingia bafuni akaoga baada ya kumaliza alitafuta nguo aliyoamini itamtoa vizuri kuliko zote.

"Vipi unaenda kwenye harusi....." Ali alimuuliza Dada yake

"Naenda hospitali kuonana na Chris, nafarijika kusikia nimependeza kama naenda harusini" Jamila aliongea

"Kila mtu utakayepishana naye atakushangaa si kwa sababu umetisha sana lakini watajiuliza unaenda kwenye harusi ya nani muda huu. Ingawa Mimi si mwanamitindo lakini naweza kusema sehemu unayoenda haiendani na hizo nguo" Ali aliongea kisha akaendelea kuchonga kinyago chake

"Kwahiyo nivae nguo gani...." Jamila aliuliza

"Vaa tu kawaida....hata hayo mapambo uliyoweka usoni mwako yafute. Hospitali ni sehemu yenye huzuni kwa asilimja kubwa. Utaonekana kichaa endapo utakuwa katika muonekano wa kula ubwabwa" Ali aliongea

Jamila alizingatia ushauri, alirudi ndani akabadili nguo zake.
Ali aliachia tabasamu kwa mavazi aliyovaa Dada yake kwa mara ya pili.

"Safari njema, umeonekana kama wa kishua hivi..."

Jamila alishtuka kwa sifa aliyopatiwa, alimuachia mdogo wake shilingi 2000 kisha akaendelea na safari yake.

Anafika hospitali akiwa hajui anaanzia wapi kumpata Chris. Anajilaumu ndani ya moyo wake kwanini hana namba za Chris mpaka sasa..... alianza kupita huku na kule akiamini ataonekana machoni kwa Chris.

Bahati nzuri au mbaya Dorin alikuwa wa kwanza kumuona. Hakutaku Chris amuone binti huyu

"Tumekaa sana hapa hadi nasikia kuchoka....twende ofisini kwangu. Tuna kama nusu saa ya kusubiria majibu ya Operation iliyofanyika" Dorin aliongea

Chris hakuwa na shaka, kwa pamoja waliongozana.
Jamila anafanikiwa kumuona Chris akiwa Dorin, kwa namna walivyokuwa wanatembea kwa kushikana mikono aligundua wawili hawa wanaelewana vizuri.

Hakuona sababu ya kuwaingilia aliondoka.

Baada ya Dorin kufika ofisini kwake alijitia ana dharula, lengo lake lilikuwa ni kuzungumza na Mlinzi wa getini na si kingine

"Hii ni hospitali kubwa nitafurahi kama utaweka mipaka kuhusu watu wanaoingia na kutoka. Endapo mtu hatakuwa na sababu maalumu inayomleta hapa naomba asiingie, huu ujumbe hauishii tu kwako nitawafikishia Walinzi wote" Dorin aliongea kisha akaondoka, mbali na kuwa Daktari bingwa wa mifupa ni Mjukuu wa Mmiliki wa hii hospitali.

Operation ya Chris ilienda vizuri, alijikuta akimbusu Dorin kwenye paji la uso sababu ya furaha.

Dorin alitekewa kabisa, hakutarajia kama Mwanaume huyu anaweza kumbusu.

Upande wa Jamila alirudi nyumbani akiwa hajielewi kama ana furaha au huzuni

"Mbwa mie ni kitu gani kilinipeleka hospitali...." Jamila alijisemea huku akiingia ndani. Kitu alichokutana nacho kilishtua moyo wake kupita kiasi

Itaendelea πŸ’₯

*SEHEMU YA KUMI NA TATU*

Ali alikuwa amelala chini huku damu zikimtoka masikioni, puani na mdomoni.

"Aliiiiiiiiiii!...." Jamila alipiga kelele za hofu zikiambatana na uoga.
Kitu kilichomtisha zaidi ni pale mdogo wake alipokuwa kimya...yaani pamoja na kuitwa kwa sauti ya juu hakuonesha kushtuka.

Jamila si mtu wa nguvu lakini leo aliweza kumuweka mdogo wake mgongoni kisha akamkimbiza hospitali.

Anakutana na Chris uso kwa uso katika geti la hospitali
"Ali hataki kuamka....." Jamila aliongea huku machozi yakimporomoka

Chris hakutaka kupanic badala yake alimchukua Ali.
Moyo wake uliumia baada ya kugundua mtoto huyu kapoteza maisha.
Bila hata kufanya vipimo aligundua ugonjwa wa moyo ndio umemuangamiza.

Alikusanya ujasiri wa kumkabili Jamila, hakuna changamoto ngumu wanayo kutana nayo Madaktari kama kutoa taarifa kuhusu kifo

"Kitu gani kinaendelea...." Jamila alimuuliza Chris baada ya kutoka wodini

"Pole, inaonekana amepoteza uhai saa moja lililopita. Alikuwa ana sumbuliwa na ugonjwa wa moyo.... sina uhakika kama ulikuwa unalijua hili" Chris aliongea

Jamila alijikuta akitetemeka, kila alipotaka kuongea ilishindikana, amekaa na mdogo wake kwa muda mrefu lakini hakuwa kugundua kama ana hili tatizo. Alijitupa kifuani kwa Chris akaanza kulia

Chris anaumia zaidi baada ya kugundua sauti imetoweka kinywani mwa Jamila,

Anaingia jukumu la kumsaidia Jamila kwa kila kitu, msiba wa Ali aliubeba kana kwamba ni mdogo wake.

"Usiwe na hofu, utaweza kuongea tena pindi moyo wako utakapo kubaliana na hiki kilichotokea.... siwezi kukuacha ukae hapa pekee yako, naomba uhamie nyumbani kwangu" Chris aliongea akiwa amekaa kochi moja na Jamila

Akili ya Jamila haikuwa ikifanya kazi vizuri, aliishia tu kudondosha chozi.

Kuna namna Dorin hakufurahishwa na muonekano wa Jamila. Alihisi ni kama anavunga hivi ili apate huruma ya Chris. Hakuamini kama sauti imemuondoka

"Ni sahihi uende naye kwako lakini kabla ya hapo ningefurahi kama ungetupisha kwanza sisi wote ni wa kike tuna jinsi yetu ya kufarijiana" Dorin aliongea

Chris hakuwa na shaka alimpisha, Dorin alimshika mkono Jamila aliyekuwa na huzuni kupita kiasi

"Inaonekana kuna namna unajilaumu, nina uhakika moyo wako unakuambia kama si kupoteza muda kuja hospitali kumtafuta Chris basi ungeweza kuokoa uhai wa mdogo wako, namhurumia Chris kwa sababu kuanzia sasa anaenda kubeba majukumu ambayo yapo nje ya uwezo wake, sina uhakika kama familia yake watafurahishwa na uamuzi wake" Dorin aliongea kisha akamkumbatia Jamila, ni wazi kabisa kuna kitu alitaka kumnong'oneza na si kumfariji

Japo Jamila hakuwa akiweza kuongea lakini ufahamu wake ulikuwa vizuri.
Aliya fungua masikio yake kwa umakini mkubwa kusikia ni kitu gani anataka kuambiwa

"Unatakiwa kuvunga kama Chris hayupo maishani mwako.....kumbebesha mizigo isiyomhusu hakika najisikia vibaya. Kuliko uambatane naye kwake itapendeza kama utajifunza kuishi mwenyewe hapa bila kujali upo katika wakati gani" Dorin aliongea

Jamila anaachia tabasamu baada ya kuielewa maana ya Dorin. Akili yake ilikuwa imechoka, tofauti na kutamani kuwa pekee yake hakuna kitu kingine alichokuwa ana tamani.

Chris anakuja akiwa kashika kopo la maji, macho yake na ya Jamila yaligongana. Kila mmoja alivunga kama hawaja tazamana.

"Nadhani anahitaji kuwa pekee yake, hiki ndicho kitu pekee alichoniambia....tumpe muda wa kuwa pekee yake, hii itamsaidia kuweza kuongea kwa haraka" Dorin aliongea kwa ushawishi wa hali ya juu

Chris alionekana kuwa muelewa katika hili, walimuacha Jamila pekee yake.
Lakini kulivyo pambazuka asubuhi, Chris alirudi kumjulia hali anashtuka baada ya kukutana na kufuli.

Alijaribu kuuliza kwa majirani zake, habari alizopatiwa zilivunja moyo wake.... kitu kilichomshtua zaidi ni baada ya kuona kisimu cha Jamila dirishani, ni kama kilikuwa kimesahaulika hivi lakini baada ya kukinyanyua kwa chini yake kulikuwa na karatasi

"Naomba usinitafute na wala usiwe na hofu kuhusu Mimi" Ujumbe ulisomeka

Chris alijishikilia kwenye ukuta tofauti na hapo angedondoka chini

JE NINI KITAENDELEAAA!
FULL 1000
SIMULIZI HI IMEKAMILIKA MPK MWISHO KABISA
BEI NI 1000 TU
WAHI WHATSAPP 0755090082

Maoni

You're not logged in


Tangazo - MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
Tunao Wapenda ndio wanao tuua baba
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

BIASHARA YA KARANGA ILINIPA MUME DAKTARI* *SEHEMU YA 11 MPK 13



Hali iligeuka kuwa nyingine kabisa, badala ya kutatua kesi kuhusu tope walijikuta wakibadilishana mate, romance yenye nguvu ya kupindukia iliibuka kati yao
Kama utani hivi lakini walianza kupunguziana nguo wakiwa sebuleni.

Dakika mbili hazikupita walijikuta wakiwa uchi.
Mguu mmoja wa Jamila ulishikiliwa kisha kazi ikaanza kufanyika.
Ilikuwa ni kama ndoto kwa mrembo huyu. Ni muda mrefu sasa umepita lakini hatimaye leo imekuwa.... hakuwa mzembe hata kidogo aliamua kuonesha kile alichojaliwa.

Sebule iligeuka uwanja wa burudani,

"Ahsante Jamila..." Chris aliongea

Jamila alionekana kutekewa hakuamini kama kaliwa sebuleni. Kuna namna alipoa ghafla.

Chris alilitambua hili alimnyanyua kisha akambeba.
Alimpeleka bafuni kwake akaanza kumuogesha

"Moyo wangu umevunjika tu ghafla, japo nimefurahia kitu tulichokuwa...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/biashara-ya-karanga-ilinipa-mume-daktari-sehemu-ya-11-mpk-13

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi biashara-ya-karanga-ilinipa-mume-daktari-sehemu-ya
BIASHARA YA KARANGA ILINIPA MUME DAKTARI*    SEHEMU YA 18 NA 19*
BIASHARA YA KARANGA ILINIPA MUME DAKTARI* SEHEMU YA 18 NA 19*
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

 AAAAAASH BOSS ENZOO*    *14&15*

AAAAAASH BOSS ENZOO* *14&15*

678
AAAAASH BOSS ENZO* *16&17*

AAAAASH BOSS ENZO* *16&17*

492
AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE*

AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE*

321
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 15

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 15

236
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 14

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 14

214
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 17

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 17

205
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 12

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * Chapter 12

175
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 18

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 18

148
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

105
WEWE NI WANGU    SEHEMU YA 19

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 19

105

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.3K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.04K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.72K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.14K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.54K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.43K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.36K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.34K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.28K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

2.2K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE* Post Mpya
REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE*
@majario LIVE

cathe alisogea mpaka walipo hapo alishindwa hata kusalimia kiukweli alichanganyikiwa sana hakujua nini hatma ya maisha yake, ""kaa hapo" alisema baba cathe, nae cathe akaketi kwenye kiti ""baba yako amekuja kukuchukua cathe...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 10. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 10.
@majario LIVE

Kipande cha 10 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Basi jioni sana taratibu nikaludi zangu home.. mnazani iyo simu niliiiacha kwa adrian wala sio kweli mimi simu wala sikuiacha. Nikaludi nayo...

NILILETEWA MFANYAKAZI KUTOKA KIJIJINI 1--2 Post Mpya
NILILETEWA MFANYAKAZI KUTOKA KIJIJINI 1--2
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO SASA....... Ndugu zangu, dada zangu mama zangu na watu wangu kwa ujumla kwanza kabisa nianze na funzo hasa hasa kwa hawa wanawake wanaopenda sana wadada wa kazi Jamni...

WEWE NI WANGU    SEHEMU YA 19 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 19
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Muda ulienda na sikupata wasaa wa kuzungumza na mama maana alikuwa hataki kusikia chochote kutoka kwangu, so niliona nimsubiri dada yeye ndie anaweza kuwa msaaada wangu Hatiame muda wa dada...

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 18 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 18
@majario LIVE

Kwa mahesabu yangu ya haraka haraka mwezi August aweza kuitwa baba πŸ₯°πŸ˜† yaaah hakuna kitu kitamu kama kuitwa baba walah hii feeling wanaijua wale ambao wanatamani kuwa na watoto Basi ndio...

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜   SEHEMU YA 9 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 9
@majario LIVE

Nikamuona D anatoka kwenye geti nikamwambia Boda tuondoke Boda akatimka hata hajui naenda wapi, sikuwa tena hata na mood ya kwenda kazini . Nikanyoosha mpaka kwa Tinner, alishangaa kuniona asubuhi asubuhi...

AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE* Post Mpya
AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE*
@majario LIVE

Nilishtuka na moyo wangu uliumia sana Kana kwamba msumari wenye moto uligongewa kifuani mwangu Sikutaka kuleta drama yoyote, nikajikaza na kumuangalia Enzo kwa utulivu sana na kumuuliza. "Lakini ulisema Kuwa Utazungumza na mama...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 9  Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 9
@majario LIVE

kipande cha 9 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Nikasema ww kama.nani ebu niache uko we vp. Akanmbia sasa umekuja kufata nni chumbani kwangu au ndo umeniletea hii pesa alokupa mwanaume wako...

SHAMIRA 8   MPK  12 Post Mpya
SHAMIRA 8 MPK 12
@majario LIVE

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ sehemu ya 8 Mwandishi; lissa wa huru media Sikuwa na habar na kushangaa kwake mm nilikuwa na mkatikia sio powa. watu wanashangalia sio powa nikaona yule kaka kajitoa chapu, kabaki ananishangaaaa yule...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 7 na 8. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 7 na 8.
@majario LIVE

7 MPAKA 8 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Basi mie iyo jioni ndo nilikuwa wa kwanza kulejea home. Mana nilikuta baraka wala hajaludi. Nikaenda kubadili fomu za shule. Kisha nikatoka kumsaidia...

SASA. NAKUPENDA One to sex Post Mpya
SASA. NAKUPENDA One to sex
@majario LIVE

MPYA MPYA ( 1 MPK 6 ) 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi lissa wa huru media Sehemu ya 1 na 2 Mwandishi; lissa wa huru media Hellow...

SHAMIRA 1 mpk 7. Post Mpya
SHAMIRA 1 mpk 7.
@majario LIVE

MPYA MPYA πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ Mwandishi; lissa wa huru media sehemu ya 01 "Nakwambiaje unajikuta mtoto wa mjini , mm ww sikuogopi wanakuogopa hao hao ,yani bwana angu unichukulie...

Shahnaz Lalarukh Khan, born in 1960, is Shah Rukh Khan’s elder sister and one of the most important people in his life. She’s about six years older than him and lives with SRK and his family at their beautiful Mumbai home, Mannat Post Mpya
Shahnaz Lalarukh Khan, born in 1960, is Shah Rukh Khan’s elder sister and one of the most important people in his life. She’s about six years older than him and lives with SRK and his family at their beautiful Mumbai home, Mannat
@majario LIVE

. After their father passed away in 1981 and later their mother in 1991, Shahnaz was deeply affected. Their father’s sudden death hit her especially hard and she went through severe...

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 17 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 17
@majario LIVE

SONGA NAYO.......... Baada ya mimi kupoteza fahamu, haraka Jose alikimbia na kwenda kumuita doctor na matibabu yalianza mara moja, upande wa Lizy alikuwa hatulii kabisa yani kila muda anachungulia ndani ya...

AAAAASH BOSS ENZO* *16&17* Post Mpya
AAAAASH BOSS ENZO* *16&17*
@majario LIVE

SONGA NAYO... Moyo wangu ulishtuka sana baada ya kumuona. Enzo akilia kwa uchungu wa hali ya juu, Walahi niliogopa mno na nikibaki nikimtuliza Ingawa nilikuwa Nina butwaa ya hali ya juu. "Usiku Mwema...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest