Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
15 Nov 2025
239 views
VYOTE NDANI GONGA94
*LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII* Chapter 10 Tuliachana na lecturer yeye alielekeaa officine na mimi nilielekeaa class
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
ila nilisimamishwa na jina baya sana ambalo sikulitegemea kulisikiaa kwa muda huoo" wew ms***e kwahyo umeamua kupita na lecturer baada ya kuona mpenzi wangu hawezi kuwa na wewe sio?, au unaonajee labdaa?, mdada mchafu wewe huoni haya na ninahisi itakuwa umemtongoza wewe. peke yako na hakuna kingine wewe mwanamke hovyoo kabisaa, kwamba kila mkaka mzuri lazima upite nae wewe kama nani yani mhh nambiee wewe ukiwa kama nani yaani wewe mjinga si nipo naongea na wewe ama hunisikiii au ndio dharau mdada wa kiarabuu?" Sikuwa nimegeuka ila nilijuaa ni Shurey ndio anaongea hayo maneno niligeuka nikamtizama nikatikisa kichwa nikaondoka zangu mbele napo nakutana na Hafsa jamni nilichoka mimi uwiisa kwanza akaniwaaha kofii afu akaanza kuongeea kwa kashfa kweli huyuu mdada na jinsi alivyokuwa na mdomo mchafu, yaani maneno yake utasema hakuwahi kuwa rafiki anguu ilaa binadamu mhhh hapana nimeinua mikono tu
"Hivi wew msichana kwahyo ukaonaa haitoshi kutembeaa na mwanaume wa Shurey ukaamua kutembeea na mwanaume ambae hana muda na wewe sio?, wewe mhh yule ni mwanaume wangu sawa eeh? tena narudiaa nisije kukuona unakaaa unamuwaziaa aisee nitaakuumiza kwakweli maan hii kwangu itakuwa kisasi kisichopoteaa maan wewe akili zako naziona kama vile zimechanganyikiwaa Fulani hivii wewe mjinga?, huchoki kwani kudhalilishwa kuitwa malaya huchoki etty unapenda kuitwa hivyoo sio?" nilimtizama likanijia wazo Hata la kujitetea kwa uongoo labda utasaidia "lakini mimi sikulala nae, junior hivyoo mbona mnapenda kunitafsiri mimi kwa macho naumiaa nina moyo na mimi" nilijitetea mimi Asmy Kay wa watu Fatha alikujaa akipiga makofi afu Sam akanifuata akaanza kuniambiaa
"Kwahyo unatuona sisi watoto hatujui eeh, jana ulivyoondoka pale ukumbini baada ya kuambiwa ukweli na Lecturer nae aliondokaa mkapoteaa hiyoo imekaaje na tunakujua wewe ni maji mara moja tena yawezekana wewe ndio ulimfuata ?" Nilimsikiliza nilipata uchungu etty maji mara moja daaah roho yangu iliniuma sana kwakweli ila sina jinsi kwenye hili jamani nilijikaza nisilie mbele yaoo akadakia Fatha "Na haujalala kwenu inavyoonekana maaan Mama yako alipiga na aliuliza kam utalala kwangu mimi nikasema sawa tu, sikutaka kumwambia mama yako ukweli wako na hukuja kulala kwangu na hukuenda kwenu ulilala wapi mdada? aliniuliza Fatha kisha akaendelea kusema "mh hivi kwa hizo akili zako madam unahisi kwamba huyoo uliolala nae atakuwa mwanaume wako wa mwisho hhh ndio kwanza unaanza hata wa tatu kutoka mwishoo hajafika, na utaishiaa kutumika tu na kubwaga kama mzazi wako jamani huyu mwanamke mhhh hapana, mbona mna nyota chafu sana kwenu nyiee mhhh hivi mpo sawa kweli hhhhh alisema fatha huku wote wakicheka kwa dharau nilishidwa kujizuia kabisaa yaani maan haya yaliniuma kuliko yote kabisaa yaani maan haya yaliniuma kuliko yaliyowahi kuniuma dah! Yaani kwenye mar yangu anaingizwa hadi Mama yangu hii ilini
sana, sikutaka kujibu maan mimi sio mwingi
maneno maana hata ningejibu hawa w
wanne wangenizidi utashi wa mar
nikakimbiaa kama kawaida kwenda kuliaa
sehemu yangu ya kulilia ni sehemu ya garden
Upande wa class lecturer alikuwa amenita sana hakuniona, na hakuuliza chochote al pakunipata baada ya kipindi alikuja sehe nilipo, nikashangaa tu nimeshikwa be kuinuaa uso namkuta ni lecturer Khalid nili kuliaa maan yeye ndie sababu ya m kutukanwa zaidi leo hata kam ingekuwa yeye. Ningetukanwa ila yeye pia kafanya ni kutukanwa vilivyoo nilizidi kuliaa.....
Itaendelea.
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70
Basi nilipata kafuraha mno. Nikachukua pesa yangu .nikarudi darasani kuendelea na ratiba zangu. Uwiiiiii nilifurahi sana...
*LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII* Chapter 10 Tuliachana na lecturer yeye alielekeaa officine na mimi nilielekeaa class
ila nilisimamishwa na jina baya sana ambalo sikulitegemea kulisikiaa kwa muda huoo" wew ms***e kwahyo umeamua kupita na lecturer baada ya kuona mpenzi wangu hawezi kuwa na wewe sio?, au unaonajee labdaa?, mdada mchafu wewe huoni haya na ninahisi itakuwa umemtongoza wewe. peke yako na hakuna kingine wewe mwanamke hovyoo kabisaa, kwamba kila mkaka mzuri lazima upite nae wewe kama nani yani mhh nambiee wewe ukiwa kama nani yaani wewe mjinga si nipo naongea na wewe ama hunisikiii au ndio dharau mdada wa kiarabuu?" Sikuwa nimegeuka ila nilijuaa ni Shurey ndio anaongea hayo maneno niligeuka nikamtizama nikatikisa kichwa nikaondoka...
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/lecturer-nikikupa-hutoninanii-chapter-10-tuliachana-na-lecturer-yeye-alielekeaa-officine-na-mimi-nil