MMMH DADY NIKIKUPA UTANIOA SEHEMU YA 20* Niliposikia zawadi nikakituliza🫠🫠...jamaa alifungua mfuko wa kwanza akatoa vinguo vya ndani vizuri kweli😊😊
Mfuko mwingine ulikuwa na manukato mazuri hayooo🤩🤩 alinichukulia vitu muhimu vya kidada nguo manukato ped saa simple shoes nilifurahi sana..
Aliniambia I'm sorry jana nilikuchania nguo zako najua ulichukia naomba unisamehe zarina nilizidiwa na nilikuwa na muda mrefu sana sijakutana na mwanamke kimwili ndo maana nilishindwa kujizuia I'm sorry mamaa..
Aliniambia akiwa amenishikilia mkono nilitamani aseme kitu yani aniambie ananipenda na anataka kuwa na mimi wala hakulitamka hilo😓😓its okay Kingston nimekuelewa na nimeshakusamehe..
Asante kwa zawadi pia😔😔nilimjibu hivyo huku machozi yakitaka kunidondoka nilibebelea zawadi zangu nikakimbilia chumbani kwangu😔
Jamaa alizidi kushangaa kama nimemsamehe why niko kwenye hali ile😔😔mimi naye kichwani nawaza tu kwanini haniambii kama ananipenda😭😭
Nililia yale mazawadi nikayatupa hapo chini uuuwww kumbe muda wote Kingston yuko mlangoni ananishangaa🙈🙈nilipotupa zile zawadi na kujitupia kitandani nikashangaa ananiuliza zarina kuna shida gani mamaa talk to me🥺..
Umeniharibia usichana wangu nani atanioa😭😭😭mama yangu haezi kunielewa Kingston kwanini ulinifanyia hivo najuta kuja kufanya kazi kwenu😭😭😭
Yani nikaanza kumtupia lawama mkaka wa watu nikasahau huo usichana wenyewe ulisha koswa koswa na vinuka mkojo kibao wa kule kijijini kwetu😂😂😂
Kingston aliponiona nalia huku namtupia lawama maskini akakaa kimya badae akaanza tu kunisisitiza nimsamehe..
Yani kwanini asiniambie nisijali ye atanioa🥺🥺dah jamaa hakuniambia hivyo na siku zilizidi usonga
ule ukaribu wa kirafiki kati yangu na Kingston ukazidi kupungua my wenu nikawa nateseka na mapenzi juu ya Kingston🥹🥹🥹..
Siku moja usiku wakati tuko mezani tunakula nilipatwa na kichefu chefu cha ghafla😳😳😳
Nikawa najaribu kujizuia pale mezani nisitapike nikashindwa....ilibidi tu niinuke mbio kwenda kutapika😔😔
Watu wote walibaki wanashangaaa😳😳😳zarina una shida gani kwanini unatapika😳
Sikuwa na majibu niliwaambia tu tumbo linanivuruga sana nahisi siko sawa naomba nikalale sijisikii kula tena..
Wazazi wa Kingston walinielewa its okay lakini hilo tumbo ni mara ya pili sasa.... inabidi kesho twende ukapime tujue shida ni nini....
Wazazi waliniambia hivyo huku wakiwa wanaonekana kuhisi kitu😰😰😰...niliondoka kuelekea chumbani kwangu huku macho yangu nikiwa nimeyaelekeza kwa Kingston 🥹🥹
Nilihisi kabisa nitakuwa na mimba🥹🥹🥹sijawahi kujihisi hivi kabla na sijui itakuwa nikipatikana na mimba Kingston atasemaje?..
Niliingia chumbani kwangu kichwa kikiwa kinawaka moto nawaza mpaka nahisi kuchanganyikiwa🙌
Wakati nawaza mara nikashangaa Kingston anaingia pale chumbani😳😳😳alikuja kwa kunyata na alionekana mwenye wasiwasi mwingi sana..
Aliniangalia sana bila kuongea chilchote nami ilikuwa vivyo hivo🥹🥹nilikuwa namtizama huku machozi mengi yakinibubujika machoni..
Wakati tunatizamana kwa masikitiko ghafla ilisikika ukelele ni kama kuna mtu alikuwa anakuja kule chumbani kwangu...
Nilimuomba Kingston ajifiche asikutwe kule chumbani kwangu italeta shida..
Kweli Kingston alijibanza kwenye pazia na baada ya sekunde chache aliingia mama Kingston akiwa na dawa za tumbo pamoja na maji kwenye Glass..
Aliniuliza kama tumbo bado linaniuma nikamwambia hapana kwa sasa haliumi mama..
Mama alinigusa kwenye mapigo ya moyo yalikuwa yananienda mbio kuliko kawaida😰😰
Aliniuliza zarina una uhakika hakuna kitu chochote unachonificha?....
Nilitetemeka vibaya mno😰😰😰nilipiga jicho kule kwenye pazia alikojificha Kingston nikamuona akiwa ananionesha ishara kwamba nisiseme chochote🙏🙏
Je nini kitafuata??...
USIKOSE SEASON TWO🔥
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi

Maoni