Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

⚠️ ONYO: Hadithi hii ina maudhui ya watu wazima (18+). Tafadhali soma kwa tahadhari ikiwa wewe ni mtu mzima tu.  ZAWADI Sehemu ya 9
Gonga94 · Stories

⚠️ ONYO: Hadithi hii ina maudhui ya watu wazima (18+). Tafadhali soma kwa tahadhari ikiwa wewe ni mtu mzima tu. ZAWADI Sehemu ya 9

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


Nilichanganyikiwa—ameniibia? Yeye ana nguo nzuri, mbona anachukua zangu? Nikampigia, nikasema, “Neema, nguo zangu ziko wapi?” Akasema, “Una nguo wewe?” Nikasema, “Neema, sio utani, nimeoga, nataka kuvaa!” Akasema, “Magwanda yako nimeyachukua, tulia, nakuja.” Nikasema, “Unamaanisha nini?” Akasema, “Tulia, nakuja sasa!” Akakata simu. Nilishangaa, lakini nikatulia. Baada ya nusu saa, alirudi na begi la nguo. Akasema, “Hizi ndizo nguo, chukua.” Nikasema, “Nguo gani hizi? Zangu ziko wapi?” Akasema, “Zile nimewagawia watu, hizi nimenunua, za mtumba, bei nafuu, zitakufaa.” Akanivua kitenge, nikabaki uchi, nikasema, “Neema, nini sasa?” Akasema, “Shoga, umeumbika! Hata mimi ninakutamani!” Nikasema, “Toka, niache!”
Akasema, “Tuliambiwa nini unyagoni kuhusu vichaka?” Nikacheka. Akasema, “Vuzi lako, shoga, kama unataka kufuga ngedere, sio msitu huu!” Nilicheka, akasema, “Chukua hii mashine.” Alinipa Gillette ya kunyolea. Nikasema, “Inatumiwaje?” Akanisukumia kitandani, akavuta kitenge, akaanza kuninyoa, akisema, “Unaoga juu tu, unayasahau huku chini? Msitu umefunga, utakosa harufu!” Nikacheka, akasema, “Jitahidi uwe safi, ulitia aibu hospitali!” Alininyoa vizuri, akapaka makwapani, akasema, “Twende bafuni.” Nikaokota vuzi, kweli nilikuwa na msitu mnene! Nikaenda chooni kuzitupa.
Akasema, “Nakukumbusha ya unyago, umesahau. Marufuku kuosha chini na sabuni, safisha kwa kidole cha kucha fupi, sugua uvungu wa mapaja, usiwe na weusi, usichafue pindo za chupi. Siku zingine usivae chupi, acha upepo.” Nilicheka, lakini nilielewa. Akanifundisha kusugua masikio, shingo, uso, mwili mzima, hadi “mstari wa ikweta.” Akasema, “Oga mara mbili kwa siku, piga mswaki kila ukila au unapolala.” Nikaoga vizuri, tukarudi chumbani. Akanipa deodorant ya makwapa na sprei ya kunukia, nikapaka. Akasema, “Vaa hizi shanga mbili kiunoni, sio marufuku kukaa wazi, shoga!” Nikasema, “Sawa.” Akasema, “Vaa hizi nguo, wewe sio mzee, binti wa Mtwara!”
Nikacheka, nikasema, “Umezipata wapi?” Akasema, “Mimi nina mbaba, nimemudu, ananipenda, anataka kumuacha mkewe. Wazazi wetu walitutupa tukafanyiwa unyama, sasa ni zamu yetu kulipiza. Hatuwezi bila pesa. Baba Zawadi anakupenda kama mtoto, lakini unaweza kuwa zaidi. Mteke kimapenzi, atakupa dunia!” Nikasema, “Kweli?” Akasema, “Binadamu wametufanyia unyama, sasa tumudu maisha yako na uzuri wako!” Nikajiangalia kwenye kioo, akasema, “Unaona? Unaweza kulinganisha na yule mchaga? Jitazame ulivyo, mtoto wa Mtwara mbichi! Mpe Baba Zawadi penzi, utanishukuru.”
Nilivua gauni jipya, nimenenepa, nina nyama, nilipendeza. Nikasema, “Neema, unafikiri atanipenda?” Akasema, “Mwanaume gani asiyekupenda? Labda akuogope kwa uzuri wako.” Nikakubali, akasema, “Simu yangu iko wazi, nipigie kwa ushauri, sawa?” Nikasema, “Sawa.” Akasema, “Anza kumtega leo, vaa gauni linalonukia, utaona!” Tuliongea mengi, akanifundisha, nikakubali kufanya hivyo kwa ushawishi wake. Neema aliaga karibu saa tisa, nikamsindikiza hadi getini, nikiwa na gauni jipya.
Masai aliniita, akasema, “Mbona umependeza hivi? Kama dada wa TV!” Nikacheka, nikasema, “Masai, acha uongo, niko kawaida.” Akasema, “Ukiendelea hivyo, nitashindwa kuwa baba, nitakutaka!” Nikasema, “Mzee, niache!” Akasema, “Msee? Nimekuwa msee kwa kukuangalia, Zawadi! Njoo ndani tuongee.” Nikasema, “Acha, naenda kupika, baba atarudi.” Akanishika mkono, akasema, “Njoo, nikuoneshe bakora yangu!” Nikampiga mkono, akaniachia, nikakimbia. Akasema, “Zawadi, unakimbia, visuli vya nyuma vinatikisika kama pundamilia!” Nikacheka, nikasema, “Unazeeka vibaya, niache!”
Nikaenda ndani, nikampigia Neema, tukapiga story za Masai. Akasema, “Kumbuka lengo lako sio mlinzi, ni bosi wake!” Nikasema, “Sawa.” Nikapika samaki wa kukaanga, wali, kachumbari, na mboga za majani—anazipenda, na kuna mama analeta nyumbani. Nikaandaa sebule, nikamsubiri baba. Saa moja usiku, hajaja. Saa mbili, bado. Saa tatu, nikaona nimpigie. Akapokea akiwa kwenye kelele, akasema, “Nakuja,” akakata. Nikahuzunika, nikamtumia ujumbe Neema, “Mbona hajarudi? Nimepika!” Akasema, “Kuwa mvumilivu, msindikize sebuleni.” Nikalala sebuleni, nikapitiwa na usingizi.
Niliamshwa na Baba Zawadi, akasema, “Mbona umelala hapa?” Nikasimama, nikasema, “Nilikukusubiri.” Akasema, “Ungelala, mbu wanakung’ata kwa nini? Siku nyingine usinisubiri.” Nikasema, “Sawa.” Akasema, “Lala ndani, naenda kulala.” Nikasema, “Sawa.” Alienda juu, nikampigia Neema, nikasema, “Hajaniangalia hata kidogo!” Akasema, “Kesho wahi kuamka, vaa kanga iliyoloa, uwe umenuna.” Nikasema, “Ninune nini?” Akasema, “Ajue hukupenda kurudi marehemu.” Nikasema, “Sawa.”
Asubuhi, niliamka mapema, nikaoga, nikapika supu. Nilivaa kanga iliyoloa, niko busy jikoni. Baba aliamka saa tatu, akakuta supu mezani. Aliniita, sikuitika. Akanifata jikoni, niko na lubega, mgongo wazi. Nilihisi yupo nyuma, lakini hakusema nini. Nikadondosha kijiko kwa makusudi, nikainama kuokiokota, nikaona sandal zake. Nikajifanya sijaona, akakohoa. Nikastuka, nikageuka, akasema, “Hujambo?” Nikasema, “Sijambo, shikamoo.” Akasema, “Marahaba. Nimekuita, mbona hujaitika?” Nikasema, “Samahani, sikusikia.” Nikamuangalia kwa umakini.
Akasema, “Sawa, tule ulichoandaa.” Nikasema, “Asante, nimeshakula.” Akasema, “Hicho umefunika ni nini?” Nikasema, “Chakula nilichokuandalia jana, hukula.” Akasema, “Ndiyo maana umenuna? Nisamehe, nilikunywa sana, sitorudia.” Nikamuangalia, nikampita nikitikisa, nikaingia mlangoni. Alinitazama, akanishika mkono, akasema, “Zawadi, baba amekosa, unatakiwa umsamehe. Si rahisi baba kusema amekosa.” Nikamtazama machoni, akastuka, akaniangalia kama ananiona leo. Nikakwepesha macho, akasema, “Niangalie.” Nikamuangalia, akasema, “Nisamehe, sitochelewa tena, sawa, mama?” Nikasema, “Sawa.” Akasema, “Naomba tule wote sasa.” Nikasema, “Sawa.”
Nilipanda juu, nikampigia Neema, nikampa mchapo. Akasema, “Kazana kumtega, mfanyie vituko hadi adate!” Nikasema, “Sawa.” Nilivaa sketi na blauzi ndogo ndogo za Neema, nikaenda mezani, nikavuta kiti. Nikadondosha kijiko kwa makusudi, nikainama, shanga zikionekana. Baba aliniangalia, akatoa macho, nikanyanyuka, nikakaa. Hakusema nini, akakohoa, akajifanya hanitazami usoni. Akaanza kuniuliza mambo, kisha akasema, “Umewahi kuogelea?” Nikasema, “Sijawahi.” Akasema, “Jiandae, tutoke tuende, sawa?” Nikasema, “Sawa.”
Tulikula, nikapanga vyombo. Akiwa sebuleni, nikaskia mlango ukigongwa, akafungua. Nikaangalia—nilikutana uso kwa uso na Mama Zawadi na mabegi! Itaendelea

Maoni

You're not logged in


Tangazo - For this week only
For this week only
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

⚠️ ONYO: Hadithi hii ina maudhui ya watu wazima (18+). Tafadhali soma kwa tahadhari ikiwa wewe ni mtu mzima tu. ZAWADI Sehemu ya 9



Nilichanganyikiwa—ameniibia? Yeye ana nguo nzuri, mbona anachukua zangu? Nikampigia, nikasema, “Neema, nguo zangu ziko wapi?” Akasema, “Una nguo wewe?” Nikasema, “Neema, sio utani, nimeoga, nataka kuvaa!” Akasema, “Magwanda yako nimeyachukua, tulia, nakuja.” Nikasema, “Unamaanisha nini?” Akasema, “Tulia, nakuja sasa!” Akakata simu. Nilishangaa, lakini nikatulia. Baada ya nusu saa, alirudi na begi la nguo. Akasema, “Hizi ndizo nguo, chukua.” Nikasema, “Nguo gani hizi? Zangu ziko wapi?” Akasema, “Zile nimewagawia watu, hizi nimenunua, za mtumba, bei nafuu, zitakufaa.” Akanivua kitenge, nikabaki uchi, nikasema, “Neema, nini sasa?” Akasema, “Shoga, umeumbika! Hata mimi ninakutamani!” Nikasema, “Toka, niache!”
Akasema, “Tuliambiwa nini unyagoni kuhusu vichaka?” Nikacheka. Akasema,...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/onyo-hadithi-hii-ina-maudhui-ya-watu-wazima-18-tafadhali-soma-kwa-tahadhari-ikiwa-wewe-ni-mtu-mzima-

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi onyo-hadithi-hii-ina-maudhui-ya-watu-wazima
🔞 Onyo: Hadithi hii ina maudhui ya watu wazima. Inafaa kwa wasomaji waliotimiza umri wa miaka 18 Zawadi Sehemu ya 3
🔞 Onyo: Hadithi hii ina maudhui ya watu wazima. Inafaa kwa wasomaji waliotimiza umri wa miaka 18 Zawadi Sehemu ya 3
⚠️ ONYO: Hadithi hii ina maudhui ya watu wazima. Inafaa kwa wasomaji walio na umri wa miaka 18 na kuendelea. Tafadhali soma kwa tahadhari. ⚠️ Post hi inafaa kwa page...
⚠️ ONYO: Hadithi hii ina maudhui ya watu wazima. Inafaa kwa wasomaji walio na umri wa miaka 18 na kuendelea. Tafadhali soma kwa tahadhari. ⚠️ Post hi inafaa kwa page...
🔞 Onyo: Hadithi hii ina maudhui ya watu wazima, vurugu za kifamilia, na hisia nzito. Inafaa kwa wasomaji waliotimia miaka 18+. Tafadhali soma kwa tahadhari. 🔞 Hadithi ya Watu Wazima...
🔞 Onyo: Hadithi hii ina maudhui ya watu wazima, vurugu za kifamilia, na hisia nzito. Inafaa kwa wasomaji waliotimia miaka 18+. Tafadhali soma kwa tahadhari. 🔞 Hadithi ya Watu Wazima...
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

1.03K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

727
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma

MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma

657
MIMI SIKUACHI🥰  SEHEMU YA 56...57

MIMI SIKUACHI🥰 SEHEMU YA 56...57

507
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘  N0 66...67💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 66...67💘💘

501
AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 68...69💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 68...69💘💘

420
MIMI SIKUACHI🥰  SEHEMU YA 58

MIMI SIKUACHI🥰 SEHEMU YA 58

316
REALLY LOVE* Chapter 19

REALLY LOVE* Chapter 19

251
MY CRAZY BOSS 06

MY CRAZY BOSS 06

113
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 6

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 6

91

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.2K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.93K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.69K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.1K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.48K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.42K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.32K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.31K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.26K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.18K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
MIMI SIKUACHI🥰  SEHEMU YA 58 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 SEHEMU YA 58
@majario LIVE

🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Wakati nawaza pale akaja yule muuzaji na baadhi ya sampo ya vitu vya kike vya gharama kweli dah mfukoni pesa ya kufosi na uhakika wa kupokelewa zawadi sina ila fresh...

*ZAWADI YA RAMADH'AN* 1 - 3 Post Mpya
*ZAWADI YA RAMADH'AN* 1 - 3
@majario LIVE

SEHEMU YA...... 1 ilikuwa ni majira ya Jioni nyumbani kwa Kijana Tajiri aliefahamika kwa jina la ABDUL. Kijana ambae alijaaliwa kuwa msomi na kuweza Kupata kazi Nzuri. Hali ile ilimpelekea kuishi nyumba moja...

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 7 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 7
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Hatimae mda wa vipindi ulianza na siku hii nilikuwa na kipindi cha asubuhi kwa kidato cha tatu nilikuwa natakiwa kwenda kuwafundisha geography Basi nikaelekea darasani, kufika humo nakuta wanafunzi hawatulii...

MY WANGU❤️ sehemu ya 108 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 108
@majario LIVE

Mh na mimi nikaanza kulia. Aseeee hakukuwa na kuoga tena. Mana niliona mlige . Anazidi kulia na ata simuelewi tena..ikabidi mimi ndo nijikaze sasa. Nikafunga bomba. Nikachukua taulo...

AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 68...69💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 68...69💘💘
@majario LIVE

Ni nani jina la huyo mwanamke aliyejifungua?! Nilimuuliza eve aliniambia jina lake ni lia Stanley.... lia lia lia...... kwanini huachi ndoa yangu ikawa na amani nikufanyie nini ewe mwanamke ili...

What’s a German food you could eat every day and never get tired of? English Post Mpya
What’s a German food you could eat every day and never get tired of? English
@majario LIVE

If I had to choose one German food I could eat every day and never get tired of, it would be Brötchen—those small, crusty bread rolls that are everywhere in...

MIAKA 7 ya Ndoa Mke wangu ana ujauzito mwingine ambao si wangu! Post Mpya
MIAKA 7 ya Ndoa Mke wangu ana ujauzito mwingine ambao si wangu!
@majario LIVE

Mimi ni kijana wa miaka 36, nimeoa na ndoa yangu ina miaka 7 sasa, binafsi sijabahatika kupata mtoto. Kama kawaida huko mwanzoni nilijua kuwa matatizo ni ya mke wangu, akawa...

When Saif Ali Khan married Amrita Singh in 1991, it honestly felt like Bollywood didn’t see it coming. A 12-year age gap Post Mpya
When Saif Ali Khan married Amrita Singh in 1991, it honestly felt like Bollywood didn’t see it coming. A 12-year age gap
@majario LIVE

, totally different career phases, and zero interest in pleasing society—it was bold for that time. There was no big media circus, no flashy wedding photos splashed everywhere. Just a...

Sad news from the film fraternity 💔  Veteran actress Pravina Deshpande has passed away at the age of 60 Post Mpya
Sad news from the film fraternity 💔 Veteran actress Pravina Deshpande has passed away at the age of 60
@majario LIVE

. She was known for her performances in films like Ready, Jalebi, and Taskaree, leaving behind memorable moments on screen. An artist gone, but her work will continue to live on 🎬✨ May...

Boost Earnings from Your DE Traffic & Grab Your Bonus! Image #1 Post Mpya
Boost Earnings from Your DE Traffic & Grab Your Bonus! Image #1
@majario LIVE

This week, all eyes are on Germany! Why? Because you can earn a 10% bonus when you increase your Germany earnings by 25% or more compared to the previous week. What...

MY CRAZY BOSS 06 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 06
@majario LIVE

Majira ya saa saba yalifika ambapo mimi na boss tuliongozana wote hadi kwenye kikao Kama ilivyodesturi boss wangu yupo smart kweli kweli, watu wote wanamwogopa na kumuheshimu hana masihars kabisa kwenye...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘  N0 66...67💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 66...67💘💘
@majario LIVE

Mmmhhhh namba ni ya nani hii😪😪 yani saizi huyu mwanaume simuachi hata kitokee kitu gani🌚🌚 yani nasemaje nitampenda yeye na hao mademu zake sina muda wa kuanza kutafuta mahusiano mapya...

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 6 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 6
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Nikashangaa amepiga magoti chini akafungua chupa ya maji akamaliza akjimiminia mdomoni, mimi kwangu yalikuwa mageni kabisa sijawahi kuona mtu anakunywa maji kwa staili hiyo Basi alipomaliza kunywa maji akarudi kukaa...

MIMI SIKUACHI🥰  SEHEMU YA 56...57 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 SEHEMU YA 56...57
@majario LIVE

🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Basi mwanaume nikawa nawaza tu haka katoto haka katakuja kupenda pesa kinoma na wivu kama wote😂😂😂kanasukuma wenzie kabisa hakataki wasogelee simu ila nilitokea kukapenda sana maana nakenyewe kalikuwa active sana...

MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma
@majario LIVE

Nyieeeee nilinuka.na deraa tu ndani nilivaa chupi tu nilitoka peku peku. Dooh rahul ana balaa et alienda na wenzie kucheza kwenye bara bara kubwa jamni. Nilichanganikiwa mm. Nafika mpaka pale...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest