Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
18 Sep 2025
44 views
VYOTE NDANI GONGA94
CHUMBANI KWETU 💚 1 naitwa zawadi,story
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
yangu inaanzia wakati nina miaka kumi na saba, siku moja wazazi wangu walinambia kuwa naolewa siku chache zijazo🥺
nijiandae dah sikuwa tayari kuolewa wakati huo lakini wazazi wakaniforce sikua na namna😔afu kibaya mtu mwenyewe anaenioa simjui🙄
zaidi tu kuna mzee anaitwa mzee jabir ndo alikuja kusema Kuna mtoto wa dada ake ndo anataka mke na yeye kaniona mimi🥺basi mimi nilikua sitaki lakini wazazi wangu hawakutaka kunielewa😂😂😂
nikamuomba rafiki angu ushauri anaitwa bety akanambia nisikatae bahati kama nikienda uko nsipomridhia mume nifanye visa mpaka niachwe💃 nikasema asante kipenzi 😘 ushauri mzuri sana
basi nikafungishwa ndoa,siku ya ndoa yenyewe mume hakuja🤪🧐 nikaolewa na mtoto wa mzee jabir kwa niaba ya uyo mume,asubuhi ya siku iliyofuata tukaondoka Mimi,mzee jabir na mama wa mume alikuja Kijijini kufata mke wa mwanae(mimi)
😂😂😂 basi wenyewe wakakaa mbele,mimi nikakaa siti ya nyuma nina mawazo hatari😭 nikapitiwa na usingizi sangapi nisiote tumefika nimekuta mume mwenyewe ni mzee😏 nilishtuka nikapiga kelele🙄mamaaaaah....!!
mama mkwe akasimamisha gari kwanza🤔una nini zawadi? wakaanza niuliza ikabidi niseme nimeota wakanipa pole, safari ikaendelea tukafika mjini usiku tukapokelewa na mdada nikaambiwa ni binamu wa mume wangu, anaitwa zuhura akanambia nimuite wifi zuu basi akanipeleka nikaoge nikamfata,
kwanza alikua mcheshi hadi raha🥰 akanipeleka chumba kimoja akanipa kanga akanambia niingie kuoga ,bafu lilikuwa ndani umo umo, nikaingia nikaoga nilivyotoka akanipa gauni maana niliambiwa nyumbani nisichukue nguo nitanunuliwa huko huko😉🥰
akanambia twende ukale sasa,akawa ananihudumia si mwajua bibi harusi tena🙃❤ basi mama mkwe akanambia kuwa bahati mbaya mume wangu amepata dharura ameenda Zanzibar ila kesho asubuhi anarudi,
nikajisemea mngejua ata sina shida nae mbwa huyo😏 nikaambiwa nikalale mule chumbani peke angu🙄kwanza nilikuwa naogopaje...!!
🙄 bonge la chumba uwiiiiih....!🙂nikakaa nawaza hivi huyo mume atakuaje kuaje🙄 usingizi ukanipitia 😔🙌
asubuhi wifi zuu akaja niamsha amka wifi ukaoge unywe chai za asubuhi wifi salama umeamkaje salama pole na uchovu wa safari nishapoa,
basi nikaamka nkaoga nikaenda sitting room nikawakuta mama mkwe na mzee jabir nikawasalimia tukawa tunakunywa chai,kidogo house gal akawa ameingia na bag ametoka nalo nje ,
mama mkwe akasema eeeh huyu ashafika,akanigeukia mimi mumeo asharudi sasa dada katoka mpokea,kidogo tunasikia anakuja anaongea na simu uwiiii uwiiiiih..!
si kwa m_bass ule🙄 nikaanza hisi moyo unaenda mbio🥺 dah....!!!! sijui ntakutana na nini nimeolewa mtu simjui😭😭😭
ENJOOOOOOY GOOD STORY
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
*ZAWADI YA RAMADH'AN* 1 - 3
SEHEMU YA...... 1 ilikuwa ni majira ya Jioni nyumbani kwa Kijana Tajiri aliefahamika kwa jina la ABDUL. Kijana ambae al...
yangu inaanzia wakati nina miaka kumi na saba, siku moja wazazi wangu walinambia kuwa naolewa siku chache zijazo🥺
nijiandae dah sikuwa tayari kuolewa wakati huo lakini wazazi wakaniforce sikua na namna😔afu kibaya mtu mwenyewe anaenioa simjui🙄
zaidi tu kuna mzee anaitwa mzee jabir ndo alikuja kusema Kuna mtoto wa dada ake ndo anataka mke na yeye kaniona mimi🥺basi mimi nilikua sitaki lakini wazazi wangu hawakutaka kunielewa😂😂😂
nikamuomba rafiki angu ushauri anaitwa bety akanambia nisikatae bahati kama nikienda uko nsipomridhia mume nifanye visa mpaka niachwe💃 nikasema asante kipenzi 😘 ushauri mzuri sana
basi nikafungishwa ndoa,siku ya ndoa yenyewe mume hakuja🤪🧐 nikaolewa na...
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/chumbani-kwetu-1-naitwa-zawadi-story
Maoni