Hadithi hii ina maudhui ya watu wazima. Inafaa kwa walio na umri wa miaka 18 na kuendelea. Tafadhali soma kwa uangalifu na kwa hiari yako. ZAWADI Sehemu ya 11
Nilipata woga, nikakaa pale. Tulianza kula kuku, chips, kaa wa baharini, na vitu vingine ambavyo sikuvijua. Beatus alikuwa busy nami, akiniwekea nyama kwenye sahani. Scott alikuwa anavuta sigara, akiangalia tu. Tulimaliza, tukarudi majini. Nilipenda kuogelea, kwani tukiwa wadogo tuliogelea mtoni. Jioni ikafika, baridi ikazidi, tukaenda kuoga, tukavaa, tukarudi kukaa. Scott alikuwa amenuna, huku Beatus akinijali kila kitu. Tulikula chakula cha usiku, kisha saa sita tukaondoka. Beatus alichukua namba yangu, akasema atanipigia, amependa kampuni yangu. Sikusita, kwani Scott alionekana hana muda nami.
Tuliondoka na Scott kwa gari lake, wnikaogopa. magari yao. Scott alikuwa kimya hadi nyumbani, nikaogopa. Tulifika, Masai akafungua geti. Scott akauliza kama kuna jipya, Masai akasema hakuna. Akaipaki gari, akasema, “Shuka.” Nikashuka, nikaingia ndani, akasema, “Funga mlango.” Nikasema, “Sawa.” Akapanda juu, mimi nikafunga milango. Nikiwa naandisha, nikichat na Neema—hana usingizi, anapenda umbea—simu ikaita. Nikapokea, “Hellow?” Alikuwa Beatus, akasema, “Save namba yangu.” Nikasema, “Ahaa, kumbe Beatus.” Akasema, “Mmefika salama?” Nikasema, “Ndiyo.” Nikiingia chumbani, akasema, “Lini nakuona, mtoto mzuri?” Nikasema, “Sijui.” Akasema, “Kesho ni Jumapili, inakuwaje?” Kabla sijajibu, mlango ukafunguliwa, Scott akiwa amekasirika sana, akachukua simu, akaikata.
Niliogopa, akasema, “Una matatizo gani? Una nyege, si ndiyo?” Nikasema, “Asubuhi ulikuwa unaniambia nini? Au sio wewe?” Nikaona haya, nikaangalia chini. Akasema, “Si nakuuliza, Zawadi? Ulitaka nini kwangu? Na sasa unafanya nini na rafiki yangu?” Nikamuangalia—kumbe Beatus ni rafiki yake? Simu ikaita tena, Scott akapokea, akasema, “Beatus, jiheshimu!” Sijui Beatus alimjibu nini, akakata. Akanisogelea, akawa karibu sana, akashika kidevu changu, akanyanyua uso wangu—yeye ni mrefu. Alinipiga busu la mdomo, rahabu ikanipanda, nikafumba macho, nikamuachia mdomo. Alininyonya vizuri, akanisogeza kitandani, akanilaza, akaja juu yangu.
Akaacha kuninyonya, akasema, “Ulimaanisha ulichosema asubuhi?” Nikasema, “Ndiyo.” Akasema, “Na Beatus je?” Nikasema, “Nilimpa namba tu kwa sababu ni rafiki yako.” Akasema, “Sitaki uwe karibu na mwanaume yeyote tena, sawa?” Nikasema, “Sawa.” Akaendelea kunivua nguo, nikabaki mtupu, naye akatoa zake. Sikuona jambo geni—nilishaona mchunga ng’ombe akimudu Neema—lakini uume wa Scott ulikuwa tofauti, umefunikwa na nyama. Nikakumbuka maneno ya Neema ya unyago, nikajiapiza kufanya yote. Scott alifanya taratibu, nikashindwa kufanya mbwembwe kama nilivyopanga. Alimaliza, akasema, “Sitaki mwanaume mwingine akuguse. Kuanzia leo, wewe ni mke wa Scott, sawa?” Nikasema, “Sawa.”
Tulilala hadi asubuhi, hakunigusa tena. Asubuhi ya Jumapili, niliamka mapema kama kawaida, nilitaka kutoka kitandani, akazuia, akasema, “Lala, unawahi wapi?” Nikasema, “Nataka kufanya usafi.” Akasema, “Tulia, bado nakutaka kitandani.” Nikaona aibu, nikawaza, “Nimefanya nini?” Akasema, “Nambie, unajisikiaje?” Nikasema, “Safi.” Akasema, “Huna maumivu huku?” Akanigusa sehemu za siri, nikaona aibu. Alirudia kumudu, nikafurahia. Tulishinda ndani, usiku tukala nje, kwani alitaka kuangalia mpira.
Wiki ilipita, watoto wake wakafunga shule, akawachukua, wakarudi nyumbani. Walikuwa wakorofi sana, kila niwafanyie wanaona kama nawakera. Nilipata wakati mgumu. Tabia hii ilianza waliporudi, ikijengwa na mama yao aliyekuwa na roho mbaya nami. Walinituma kama mtumwa, ingawa baba yao aliwakataza akiwa nyumbani. Mapenzi yangu na Scott yalikuwa ya siri, hataki watoto wajue. Usiku, nilienda chumbani kwake, tukafanya yetu, nikarudi kwangu. Watoto walilia, wakiwataka mama yao. Lulu alikuwa darasa la nne, Zawadi Mdogo darasa la pili. Nikawaambia kitu, hawakutaka, walilia tu, wakiwataka mama yao. Baba yao akirudi, walilia, wakiwataka mama yao. Nilikuwa kama kero.
Usiku mmoja, nikiwa na Scott, nikasema, “Inakuwaje kuhusu watoto? Wanamtaka mama yao.” Akasema, “Walie, watanyamaza, simtaki hapa.” Nikasema, “Wapeleke kwa mama yao wakae kidogo.” Akasema, “Hapana, najua mazingira yake, sitaki waende, watapata roho mbaya kama yeye.” Nikasema, “Utafanyaje?” Akasema, “Nitajua, waache walie.” Nikasema, “Sawa.” Siku tano zikapita, watoto wanagoma hata kula, wanalia tu. Nikamwambia Neema, akasema, “Huyo mwanamke anawafundisha ili arudi. Usimuachie nyumba!” Nikasema, “Lakini watoto wanache, yeye mwezi mzima hapa.” Akasema, “Wachimbe mkwara. Waache, yeye ataamua.”
Siku iliyofuata, niliomba pesa, nikaenda kununua nguo. Scott alinitumikia sana, hakuna nilichoomba akakataa. Nilianza kusuka nywele, kujiremba, nikapendeza. Nilienda duka la nguo za mtumba kama Neema alivyoniagiza. Nikamkuta mkaka anayeitwa Keanu, nikamwambia nataka nguo nzuri. Akasema, “Usijali, umepata.” Akanitolea nguo, nikapima, nikazichukua kwa msaada wake. Alisema, “Zote zinakupendeza kwa sababu una damu ya nguo, na umeumbika. Hata uvae gunia, unapendeza!” Nikacheka, nikasema, “Unanisifia ili ninunue!” Akasema, “Sio hivyo.” Nikachukua nguo nyingi, nikalipia.
Akanisalimia, akasema, “Jina lako nani?” Nikasema, “Zawadi.” Akasema, “Unaweza nipa namba yako nikutumie nguo nzuri zikija?” Nikasema, “Sina simu ya hivyo.” Akasema, “Msichana mrembo kama wewe akose simu?” Nikasema, “Sina mahitaji nayo.” Akacheka, akasema, “Ningekuwa na mwanamke kama wewe, ningekupa kila kitu.” Nikacheka, nikasema, “Nachelewa, chukua namba.” Akachukua, nikasave yake, nikaondoka. Alinipa jeans na top kama zawadi. Nilifurahi, nikarudi nyumbani. Masai hakuwapo getini, nikaingia moja kwa moja.
Nikaingia sebuleni, nikaiita, “Lulu! Lulu!” Nilitaka kuwasalimia. Lulu hakujibu, lakini nikaskia, “Unashida gani na mwanangu?” Alikuwa mama yao, ametoka jikoni na Lulu, amevaa kanga na jezi, kama amefika kitambo na kupika… Itaendelea
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni