KAKA ME DADA YAKO 28
Samahani dada kuna kijana na dada mweupe
Nawaulizia vipi wamekuja hapa
Mhudumu alipomuangalia
Amebeba panga weee aliogopa
Ha hapana kaka sijawaona
Hapa
Sawa tuma alitoka nje kidogo akaangalia
Geti lilivo halina njia nyingine
Ohooo ngoja niwasubiri hapa watatoka tu
KAKA ME DADA YAKO SEHEMU YA 18
SONGA NAYOO π β₯οΈ π
............ Steering jenn &mika
Mika jamani tuwahi tutoke humu
Maana mda unaenda
Mume wangu asije akarudi
Akanikuta
Sipo .
Sawa lakini vipi mwanangu anasemaje
Jaman katumbo kameanza kuonekana kwa mbali
Mmh jamani mika
Mtoto bado yumo tumboni
Nawezaje kujua anasemaje
..ila kumbe jenn wewe nautoto unakusumbua
Hebu sogea mika aliweka sikio tumboni
..mwanangu vipi nipo baba yako Nakupenda
Wewe ndiyo damu yangu
..mikaaa jamani mda umeenda
Twende
Sawa jenn mke wangu Twende sasa
Wee mika mimi dada yako unaniita tena mke wako
Wewe hako kamdomo usinihalibie ndugu yangu
Kwa mume wangu
Mika alinishika mkono Twende jamani
Safari ilianza mdogo hadi mlangoni
Bila kujua hili wala lile
Tuwahi jamani mda umeenda kweli
Kwa nyuma nikasikia makofii
Yakisindikizwa na sauti .. waooo wapenda nao
Hao
Mmh nani huyu
Niligeuza polepole kichwa changu ili nione
Nani huyu .. Sikuamini mmmmmh mamaaaa
Mume wangu
Mkononi ameshika panga lililo
Pinda upande weee leo sasa
Heeee ety huyu ni kaka yangu
Kumbe ushenzi ni umalaya tu
Ehee huku wapi nakuuliza wewe kahaba
Hapohapo tuma akanizibua kibao
Nikaanguka chini akaninyenyua
Kumbe wewe ni kahaba jenn nilikupenda
Kumbe kahaba. Jenn niambie haya ndiyo malipo ya
Upendo wangu nakuuuliza wewe mbwa
Nikapigwa kofi nikaenda kuangukia ukuta wa geti
Nikawa naona kizungu zungu
Makosa zaidi nikaangukia tumbo
Heeee mika alitoa macho
Mwananguuuu huku akija kuniinua
Hapo chini cha kwanza alianza na tumbo mwanangu hujambo
Nilianza kulia nimeshika tumbo
Mika alimwangalia tuma wewe
Nyau . Heee unatomb*** mke wangu alafu unaniita nyau kumbe unakisililani
Alinyanyua panga akampiga ya bega mika
Damu ikaanza kutoka
Watu wakajaa kuna nini jamani
Tulia Kwanza utauwa mda huo mika anagaragara
Chini
Hali mbaya
Jamani huyu ni mke wangu nimemfumania
Na huyu fara . Tuma aliongea
Unasemaje kumbe huyu fara nikiboko wa kutomb@@
Wake zetu
Lazima tumuue watu walianza kuongea
Kwa hasira kali
Haya watu wazinzi wamezidi sana huu mtaa
Sasa huyu awe mfano na onyo kwa watu wenye tabia
Kama hii
Kaka alibebwa sikujua anapelekwa wapi
Japo nilisikia wanasema
Tumpelekeni . Mwanchira . Hapo waliongea kisukuma
Maana sehemu ya mafa
Moyo wangu uliwaka kama moto
Nilijaribu kumuomba tuma wambie wasimuuwe
Jamani ..
Tuma hakunisikiliza
Nikajikongoja
Kukimbilia mbele labda watu watanielewa
Lakini watu walisema wewe malaya hujatosha kutombwa
Sasa . Njoo kabla hajafa huyu fara mwenzio
Mtomb*ne harani hiii
TUKUTANE SEHEMU YA 29
KAMA UMEISOMA HII STORY JEE
UNAFATILIA UKIWA WAPI ...
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi

