Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

BINAMU WEEE UNGEWEZA?   SEHEMU 10
Gonga94 · Stories

BINAMU WEEE UNGEWEZA? SEHEMU 10

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


ENDELEA........
"Kama ungekuwa na Wivu na mimi usingenisaliti kwa kutembea na ndugu yangu. Ludi ofisini kwako. Hapa wafanya kazi wote wanakushangaa weww na kumbuka wewe ni nani. Hutakiwi kufanya mambo ya mihemko namna hii unashusha heshima yako"

"Nilishakwambia usinipangie cha kufanya. Mimi ni boss wako na pia ni mchumba ako"

"Mchumba?, mchumba hiyo vipi tena na wakati jana tu mbele ya wazazi ulinikana"

Sony hakutaka kuongea zaidi badala yake alinisogelea kwa ukaribu alitaka kunibusu mdomoni ila kabda ya kufanya hivyo Manka alifika eneo hilo.

Sony baada ya kumuona Manka alishtuka alidogea mbali kabisa na mimi.

"Mtoto amekumiss anataka kiss kutoka kwako"

"Tangulia ofisini"

"Ungeanza kutangulia wewe kwanza. Nice kaa mbali na baba mtoto wangu. Wewe na yeye mlishamalizana Jana"

Wala sikumjibu zaidi ya kutabasamu.

"Sony kama hutojali naomba umuondoe Manka nyumbani kwangu. Mimi na yeye hatuwezi kupika tena chungu kimoja. Najua una uwezo wa kumpangia hata leo'

"Sio kunipangia tu. Naenda kuishi nae nyumbani kwake"

"Hata hivyo ni sawa pia. Mnaweza mkaniacha sasa niendelee na kazi zangu"

Waliondoka waliniacha peke yangu, Sophia alikuja.

"Kama mimi ningekuwa wewe huyu mbwa ndugu asiye na shukurani nisingemuacha salama"

"Hata hivyo nipo sawa. Sony amechagua kubaki na Manka mbele za wazazi. Mpaka sasa hajui kama mimi ni mjamzito na sina mpango wa kumwambia. Nipo tayari kuwa single mama. Wazo la kutoa mimba halipo tena.

" Sophia nikuombe kitu kimoja "

"Yeah bila shaka kipenzi"

"Naomba usije ukamwambia Sony kuhusu mimi kuwa na ujauzito wake"

"Hilo tu wala usijali"

"Leo hii nilipata ofa ya kutolewa Dinner mbwa huyu amechana namba"

"Alafu ni kijama handsome sana na ana huruma mno. Usijali ataludi tena"

Nililudi nyumbani nilimkuta Manka amekaa Sebleni akiwa amejianda kuhama nyumbani kwngu.

"Sipo hapa kwaajili ya kulusubilia wewe. Namsubili Sony anifuaye. Naondoka nyumbani kwako nikiwa ma ushindi. Mimi sio omba omba tena wala sio mtu wa hadhi yako. Nitaushangaza ulimwengu. Binti niliyekuwa mchafu mchafu kutoka kijijini naenda kuwa mke wa CEO"

"Hongera nakutakia kila la heri. Nipo chumbani kwangu" niliongea hayo alafu nikaelekea chumbani. Sikutaka kutoka chumbani mpaka nilipohakikisha Manka ameondoka. Ni kweli Sony alimfuata 🥹.

Maisha yaliendelea ulipita mwezi mzima sikuwai kumuona Iron. Ka mimba kangu kalianza kujitokeza. Nilianza kuvaa nguo kubwa kubwa ili Sony asinigundue japo minong'ono ya chini chini ya wafanya kazi wenzangu ilikuwa mingi sana.

Sony pia aliendelea kunisumbua na bado alinihesabia mimi ni mchumba ake. Basi siku hiyo Manka alifika ofisini kwangu kama kawaida yake anapenda kunichokoa.

Alianza vijimaneno vyake. Mie nilikuwa namsikiliza tu.

"Nasikia eti wewe huyu ni mjamzito?" Nilishtuka baada ya Manka kusema hayo. Nilijiuliza kajuaje?

"Umeanza kufanya Drama ili kumludisha Sony mikononi mwako, Sony hawezi kuludia matapishi"

"Usivhokijua ni kwamba, muda wowote nikimtaka Dony nampata. Mimi ndiye mwanamke niliyeuteka moyo wake ni vile tu nimeamua kukuachia wewe. Hivi unafikiria Sony anaweza kukupenda wewe?, kwa Kipi kwanza Mimba?, Kama mimba hata mimi ninayo ndiyo aliyelwambia wala hajakudanganya. Vipi nyota, sura shape, elimu, pesa unavyo?, Au una nyota ya kuchukua mabwana za watu tu 😄😄😄😄.

" haloooo! Ebu nipishe hapa nisije nikakutapikia mie".
Bubu leo kaongea 😂😂😂👌👌👌🙌........ITAENDELEA........

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Mimi sikuachi fully stories
Mimi sikuachi fully stories
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

BINAMU WEEE UNGEWEZA? SEHEMU 10



ENDELEA........
"Kama ungekuwa na Wivu na mimi usingenisaliti kwa kutembea na ndugu yangu. Ludi ofisini kwako. Hapa wafanya kazi wote wanakushangaa weww na kumbuka wewe ni nani. Hutakiwi kufanya mambo ya mihemko namna hii unashusha heshima yako"

"Nilishakwambia usinipangie cha kufanya. Mimi ni boss wako na pia ni mchumba ako"

"Mchumba?, mchumba hiyo vipi tena na wakati jana tu mbele ya wazazi ulinikana"

Sony hakutaka kuongea zaidi badala yake alinisogelea kwa ukaribu alitaka kunibusu mdomoni ila kabda ya kufanya hivyo Manka alifika eneo hilo.

Sony baada ya kumuona Manka alishtuka alidogea mbali kabisa na mimi.

"Mtoto amekumiss anataka kiss kutoka kwako"

"Tangulia ofisini"

"Ungeanza kutangulia wewe kwanza. Nice...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/binamu-weee-ungeweza-sehemu-10

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi binamu-weee-ungeweza-sehemu
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

 *AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*   *15&16*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *15&16*

850
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17

605
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18

529
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20

424
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*

312
SHAMIRA sehemu ya 36&37

SHAMIRA sehemu ya 36&37

189
BLACK BUTTERFLY 🦋 5

BLACK BUTTERFLY 🦋 5

95
Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example

Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example

3

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.5K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.26K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.76K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.22K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.66K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.62K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.57K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.53K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.47K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.46K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 19.na 20
@majario LIVE

Nikasema zena kweli ,na wew unafeel kama vile ambavyo mm nafeel acha masihara basi, akanambia lakini millan ,mi wewe sikujuhi vizur, ndo mana nilikuwa nataka mda kwanza wa kukufahamu ,nisije...

BLACK BUTTERFLY 🦋 5 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY 🦋 5
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 ENDELEAAA “ Brayton..” Camilla alijikuta akimuita bila kutarajiaa Brayton alimsogeleaa na kumuonyeshaa zile picha vizur tu kwenye simu yakee huku akimuulizaa “ Unawezaa kuniambia hiki nini?!?” Camilla alishangaa kwa...

Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example Post Mpya
Some Bollywood families just have that star vibe, and Dimple Kapadia and her daughters are a perfect example
@majario LIVE

. Dimple became a sensation with Bobby, and the same year she married superstar Rajesh Khanna. She was only 16 when she got married and became a mom at 17...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 18
@majario LIVE

Yani ummy Alishangilia na kwambia aliimba nyimbo zote mpaka mama yake ndo alimnyamazisha, basi nikamwambia ummy aya mama yangu mzuri nimekuletea tv sasa uwe na amani sawa, akasema ndio...

CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17* Post Mpya
CEO USINIVUE MI MCHUMBA WA MTU* * *16&17*
@majario LIVE

Sikujua kam nililala pale mpaka asubuhi, tena nimelala kana kwamba pale ni nyumbani kwetu jamni nilikuja kushtuka tena baada ya kupigiwa simu, jamni si ndio naamka najikuta nipo kwenye chumba...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 16 na 17
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi nilifika home nna hasira sana, nimechukia mnoo, yote sababu nilikuwa nimemmaind sana yule demu, yani nilimuona ana linga kinoma, nikasema bwana mi namkaushia kama.vp mana wanawake...

 *AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*   *15&16* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *15&16*
@majario LIVE

Nikatulia kwanza na kumuangalia madam groly kisha nikamuuliza. "Unamaanisha nini unavyosema hauna Furaha na hii siku 7 Sijakuelewa kwakweli nakumbuka ulikuwa ukitsubilia hi siku kwa hamu sana" Madam groly akacheka sana kisha akasogea...

SHAMIRA sehemu ya 36&37 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 36&37
@majario LIVE

Wassap:0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi mwanaume akaondoka zake na mimi ndo nikashika simu sasa .nikampigia aisha kumpa mchapo.nikasema shoga nusu niachwe mwenzio.nimeomba msamaha kama chizi.aisha akasema mh tatizo hamadi...

BLACK BUTTERFLY 🦋 4 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY 🦋 4
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 Endelea Brayton akiwa kwenye gari alijaribuu kupiga simu Hospitali ili maandilizi mapema kwaajili ya mgonjwa anae kuja nae muda huu. Hospitali nayo hakufanya makosa tayari waliandaa kitanda...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 21
@majario LIVE

Nikamuuliza "we umejuana vipi na D??" "Yule D ni mdogo wake na Boss wangu, ni binamu yake kitu kama hicho, mie sijawahi hata kuwa na mazoea nae kabisaaa ila kuna issue...

Honestly, these two are such a vibe together !  Priyanka Chopra and Nick Jonas Post Mpya
Honestly, these two are such a vibe together ! Priyanka Chopra and Nick Jonas
@majario LIVE

really make you believe in modern-day love stories. Different countries, different cultures, totally different careers — but somehow it all just fits perfectly. What started with a simple conversation...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*    *SEHEMU YA KUMI NA NNE* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA NNE*
@majario LIVE

Muda huo Mwenyewe nilikua Nacheza kwa Furaha zote, lakini kitendo cha kumuona madam groly killharibu kila kitu, niliona kabisa birthday yangu inaenda kuharibika Maana huyu mama hana jema ata kidogo. "NAKUJA Alizungumza...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13*
@majario LIVE

SONGA NAYO Nikageuka na kumuangalia ma Mdogo "Ishani umeolewa Mwanangu?" Nikamuangalia na kumwambia. "Mind your business bi mkubwa Kisha Mimi na Enzo tukaondoka kwani tayall tulishabolt Bajaji na ilikuwa ikitusubilla. Msijiulize Kwanini tunatuma Bajaji wakati Enzo...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 20 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 20
@majario LIVE

Lile joto la midomo yake ilipo gusana niliisi ulimwengu wote umenyamaza nikafumba macho Kulikuwa na joto la ajabu sijawahi kulipata Mkono wake alikuwa anaupitisha taratibu kama anahesabu kila pigo la moyo wangu,...

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 19 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 19
@majario LIVE

Basi mpaka sa moja inaenda na Nusu Veda hajaja, Moyo juu juu itakuwa tu kaenda huko kwenye ma club, moyo lipu lipu muda wote kama nimemezaa kaa la moto hajabu...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest