Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

BINAMU WEE UNGEWEZA?   SEHEMU 14
Gonga94 ยท Stories

BINAMU WEE UNGEWEZA? SEHEMU 14

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


ENDELEA.......
" Mmmmh!" Manka aliguna baada ya fungua mlango. Hawakumjali wsliingia ndani wote.

Sony baada ya kuwaona wazazi wake alishtuka kidogo.

"Mmefuata nini nyumbani kwangu?" Manka aliwauliza kwa makasiriko baada yabkugundua mtu waliyeongozana nae ni mtumishi wa MUNGU.

"Manka hawa ni wazazi wangu kwanini unawauliza swali kama hilo?" Sony aliongea kwa unyonge.

"Na wewe mbwa kelele mimi siongei na mbwa naongea na mwenye mbwa"

"Ndo huyo kijana wenu?"

Mchungaji aliuliza.

"Ndo yeye baba, tunaomba umsaidie kijana wetu"

"Ni kweli ukimuangalia t hata kwa macho ha kawaida unagundua kuwa hayupo sawa"

"Jamani kuweni wastaarabu majumbani kwa watu, kwanini mnachukua sheria mkononi tu bila ridhaa ya wenyewe" Mama Manka aliongea hayo.

"Vipi kama huyu mwanangu angekuwa mwanao ungefurahia kumuona na hali hiyo. Mchungaji hapa hatujaja kwaajili ya maneno tumekuja kwaajili ya neno la MUNGU na maombi. Naomba tuanze maombi"

Mama sony aliyasema wote kwa pamoja walianza kuomba. Sony alipandwa na mapepo. Maombi yaliendelea mpaka Sony alitulia ishara mapepo yamemuachia. Akili yake ililudi sasa.

Manka na mama yake muda huo walikuwa washakimbilia chumbani.

Baada ya maombi wote kwa pamoja walimshukuru MUNGU.

"Sony aliwaomba msamaha wazazi wake, na wao walimsamehe.

"Vipi msimamo wako kwa sasa kuhusu Manka"

"Kwanza yupo wap?"

"Nadhani wapo chumbani"

"Hakuna ndoa tena na kama mtoto ni wangu basi nitamtunza. Mama ni ujinga wwngu mwenyewe na tamaa ndio zimesababisha kuachana na Nice mwanamke aliyenipenda.

Sidhani kama anaweza kukubali kuludiana na mimi tena na hata hivyo nasikia yupo nje ya nchi. Nimemuuliza sana Nice na sikujali maumivu yale na yote ni kwaajili ya Manka........

Inabidi umuombe msamaha msafishiane nia maana kuna leo na kesho. Mimi ninaenda MUNGU awabariki sana" mchungaji aliaga akaondoka.

Manka na mama yake waliitaa sebleni. Aibu pyuuuuu! Sura zimewashuka kama tumbili.

"Mnaweza kuniambia kwanini mliniloga. Ili niwe zezeta?"

"Hapana baba" mama Manka aliongea.

"Baba. Nani baba ako?. Kuanzia sasa sihitaji kuwaona nyumbani kwangu. Yaani usiku hui huu muondoke.

" lakini Sony kumbuka kuwa nina mimba yako"

"Ondokeni bhana au mpaka niwashikie bastora?"

"Vipi hukusu hii mimba?"

"Fanya utakavyo lakini usije ukajitokeza tena kwenye maisha yangu"

"Kama mimba ni yako kubali kulea mtoto. Si busara kumsusia mtoto asiye na hatia" Baba Sony aliomgea..........ITAENDELEA..........

Maoni

You're not logged in


Tangazo - For this week only
For this week only
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

BINAMU WEE UNGEWEZA? SEHEMU 14



ENDELEA.......
" Mmmmh!" Manka aliguna baada ya fungua mlango. Hawakumjali wsliingia ndani wote.

Sony baada ya kuwaona wazazi wake alishtuka kidogo.

"Mmefuata nini nyumbani kwangu?" Manka aliwauliza kwa makasiriko baada yabkugundua mtu waliyeongozana nae ni mtumishi wa MUNGU.

"Manka hawa ni wazazi wangu kwanini unawauliza swali kama hilo?" Sony aliongea kwa unyonge.

"Na wewe mbwa kelele mimi siongei na mbwa naongea na mwenye mbwa"

"Ndo huyo kijana wenu?"

Mchungaji aliuliza.

"Ndo yeye baba, tunaomba umsaidie kijana wetu"

"Ni kweli ukimuangalia t hata kwa macho ha kawaida unagundua kuwa hayupo sawa"

"Jamani kuweni wastaarabu majumbani kwa watu, kwanini mnachukua sheria mkononi tu bila ridhaa ya wenyewe" Mama Manka aliongea...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/binamu-wee-ungeweza-sehemu-14

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi binamu-wee-ungeweza-sehemu
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13*

934
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*    *SEHEMU YA KUMI NA NNE*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA NNE*

759
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 20

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 20

624
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 21

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 21

592
SHAMIRA sehemu ya 36&37

SHAMIRA sehemu ya 36&37

133
BLACK BUTTERFLY ๐Ÿฆ‹ 4

BLACK BUTTERFLY ๐Ÿฆ‹ 4

84
Honestly, these two are such a vibe together !  Priyanka Chopra and Nick Jonas

Honestly, these two are such a vibe together ! Priyanka Chopra and Nick Jonas

4

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.48K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.25K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.76K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.22K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.61K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

2.59K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

2.5K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

2.49K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.46K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.45K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
SHAMIRA sehemu ya 36&37 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 36&37
@majario LIVE

Wassap:0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi mwanaume akaondoka zake na mimi ndo nikashika simu sasa .nikampigia aisha kumpa mchapo.nikasema shoga nusu niachwe mwenzio.nimeomba msamaha kama chizi.aisha akasema mh tatizo hamadi...

BLACK BUTTERFLY ๐Ÿฆ‹ 4 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY ๐Ÿฆ‹ 4
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 Endelea Brayton akiwa kwenye gari alijaribuu kupiga simu Hospitali ili maandilizi mapema kwaajili ya mgonjwa anae kuja nae muda huu. Hospitali nayo hakufanya makosa tayari waliandaa kitanda...

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 21 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 21
@majario LIVE

Nikamuuliza "we umejuana vipi na D??" "Yule D ni mdogo wake na Boss wangu, ni binamu yake kitu kama hicho, mie sijawahi hata kuwa na mazoea nae kabisaaa ila kuna issue...

Honestly, these two are such a vibe together !  Priyanka Chopra and Nick Jonas Post Mpya
Honestly, these two are such a vibe together ! Priyanka Chopra and Nick Jonas
@majario LIVE

really make you believe in modern-day love stories. Different countries, different cultures, totally different careers โ€” but somehow it all just fits perfectly. What started with a simple conversation...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO*    *SEHEMU YA KUMI NA NNE* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *SEHEMU YA KUMI NA NNE*
@majario LIVE

Muda huo Mwenyewe nilikua Nacheza kwa Furaha zote, lakini kitendo cha kumuona madam groly killharibu kila kitu, niliona kabisa birthday yangu inaenda kuharibika Maana huyu mama hana jema ata kidogo. "NAKUJA Alizungumza...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *SEASON TWO* *12&13*
@majario LIVE

SONGA NAYO Nikageuka na kumuangalia ma Mdogo "Ishani umeolewa Mwanangu?" Nikamuangalia na kumwambia. "Mind your business bi mkubwa Kisha Mimi na Enzo tukaondoka kwani tayall tulishabolt Bajaji na ilikuwa ikitusubilla. Msijiulize Kwanini tunatuma Bajaji wakati Enzo...

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 20 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 20
@majario LIVE

Lile joto la midomo yake ilipo gusana niliisi ulimwengu wote umenyamaza nikafumba macho Kulikuwa na joto la ajabu sijawahi kulipata Mkono wake alikuwa anaupitisha taratibu kama anahesabu kila pigo la moyo wangu,...

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 19 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 19
@majario LIVE

Basi mpaka sa moja inaenda na Nusu Veda hajaja, Moyo juu juu itakuwa tu kaenda huko kwenye ma club, moyo lipu lipu muda wote kama nimemezaa kaa la moto hajabu...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 14 na 15 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 14 na 15
@majario LIVE

Basi nilipomaliza kuongea na ibraaa nikakata simu, nikaendelea kudrive kuelekea nyumbani kwangu sasa, na nilipofika nikampigia j kawa na furaha sana , anafurahia kwenda shule kesho, nikasema muache afurahi...

FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜   SEHEMU YA 18 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY ๐Ÿ’ž๐Ÿ’˜ SEHEMU YA 18
@majario LIVE

Mama akanambia kuwa Veda alikuwa na huyo mke wake walifunga ndoa kabisaa kanisani, wakati huo Veda alikuwa anafanya kazi kwenye kampuni ya mturuki alikuwa kama dereva anamuendesha ile kampuni ilifirisiwa...

BLACK BUTTERFLY ๐Ÿฆ‹ 3 Post Mpya
BLACK BUTTERFLY ๐Ÿฆ‹ 3
@majario LIVE

By Babie Love Tsap 0742133100 Endelea Asubuh Hiyo Mariana aliwahi kazini kama kawaida yakee na kuanza kusikia kile kilichotokea jana maana kila mmoja alizungumzia lakee โ€œ Mariana unaitwa na madam Camilla...

Such a lovely throwback ! This pic of Raj Kapoor, Randhir Kapoor and Rishi Kapoor celebrating Holi together is pure nostalgia Post Mpya
Such a lovely throwback ! This pic of Raj Kapoor, Randhir Kapoor and Rishi Kapoor celebrating Holi together is pure nostalgia
@majario LIVE

. You can literally feel the fun and madness of a proper Bollywood Holi. All three covered in colours, smiling, enjoying the moment like one big happy family. Raj Kapoor, the...

Hongera umepata kazi ya kulinda bwawa la samaki usiku huko mkoani Iringa karibu na bonde la mlima Kitonga. Mshahara ni shilingi milioni moja kwa usiku mmoja Post Mpya
Hongera umepata kazi ya kulinda bwawa la samaki usiku huko mkoani Iringa karibu na bonde la mlima Kitonga. Mshahara ni shilingi milioni moja kwa usiku mmoja
@majario LIVE

. Kazi inaanza saa 4 kamili usiku hadi saa 12 alfajiri. Hakuna muda wa majaribio. Ukifika kazini unaanza kazi. Hivyo sikiliza masharti haya kwa makini ili uweze kufika asubuhi. Sharti...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 13 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 13
@majario LIVE

Basi nikaingia ndani, dohh nilipashangaa, yani uyu dada hakuwa na chochote cha maana cha ndani zaidi ya godoro tu, amabalo nalo wala halikuwa linalizisha kabisa,mabegi ya nguo, na ndoo za...

Zayed Khan has always been a total family man at heart. Heโ€™s married to his high school sweetheart, Malaika Parekh Post Mpya
Zayed Khan has always been a total family man at heart. Heโ€™s married to his high school sweetheart, Malaika Parekh
@majario LIVE

. They met as teenagers at Kodaikanal International School, became close friends, and eventually fell in love. After years of being together, they got married on November 20, 2005. Itโ€™s...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest