Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
23 Jan 2026
6 views
VYOTE NDANI GONGA94
Elon Musk tajiri namba moja duniani alipokuwa kwenye mkutano wa World Economic Forum (WEF) mjini Davos
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
tarehe 22 Januari 2026, amezungumza kwa ucheshi kuhusu suala la viumbe wa nje (aliens).
Katika mazungumzo yake na Larry Fink (Mkurugenzi Mtendaji wa BlackRock),
Musk alisema hivi "Mara nyingi huulizwa: 'Je, kuna aliens miongoni mwetu?' Ninasema, mimi ni mmoja wao, lakini hawaniamini. Kama kuna mtu yeyote atakayejua kama kuna aliens miongoni mwetu, ni mimi."
Aliongeza kuwa kwa kuwa SpaceX ina satelaiti zaidi ya 9,000 (Starlink) katika obiti ya chini ya Dunia, na hawajawahi kulazimika kuepuka "chombo chochote cha kigeni" (alien spacecraft), hivyo hakuna ushahidi wa maisha ya nje karibu na sisi.
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
NINI KITATOKEA ENDAPO FAR RABAT ATAFUNGWA NA YANGA ATASHINDA MCHEZO WA MWISHO? MAANA YAKE WATALINGANA ALAMA
. Kwa mujibu wa kanuni za CAF yafuatayo yatatazamwa kwa hatua. 1- Aliyekusanya alama nyingi kutoka kwa mwenzake walipoku...
Mwandishi aliuliza je neno mshangazi maana yake nini, Kajala akajibu mshangazi ni mwanamke mwenye umbo kuuubwa, Wolper akisema mshangazi ni mwanamke mwenye umri
mkubwa kama sisi hapa yani kama mimi, Kajala, Auntyezekiel na Irene Uwoya Irene Uwoya akasema hapana sisi sio mishangaz...
Elon Musk tajiri namba moja duniani alipokuwa kwenye mkutano wa World Economic Forum (WEF) mjini Davos
tarehe 22 Januari 2026, amezungumza kwa ucheshi kuhusu suala la viumbe wa nje (aliens).
Katika mazungumzo yake na Larry Fink (Mkurugenzi Mtendaji wa BlackRock),
Musk alisema hivi "Mara nyingi huulizwa: 'Je, kuna aliens miongoni mwetu?' Ninasema, mimi ni mmoja wao, lakini hawaniamini. Kama kuna mtu yeyote atakayejua kama kuna aliens miongoni mwetu, ni mimi."
Aliongeza kuwa kwa kuwa SpaceX ina satelaiti zaidi ya 9,000 (Starlink) katika obiti ya chini ya Dunia, na hawajawahi kulazimika kuepuka "chombo chochote cha kigeni" (alien spacecraft), hivyo hakuna ushahidi wa maisha ya nje karibu na sisi.
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/elon-musk-tajiri-namba-moja-duniani-alipokuwa-kwenye-mkutano-wa-world-economic-forum-wef-mjini-davos