Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya β Gonga94 Semajambo
Gonga94 Β· Stories
27 Jan 2026
47 views
VYOTE NDANI GONGA94
Stephen Azizi Ki na Thembinkos Lorch wametoa somo kwa wachezaji kwamba soka ni Karia ya muda mfupi ukipata fulsa itumie mapema.
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Nyota Hawa wawili wameondoka Wydad Casablanca na kufuata pesa nyingi zaidi kule Al Ittihad ya Libya.
Lorch na Azizi Ki walikuwa wachezaji muhimu ndani ya kikosi Cha Wydad Casablanca kwa sababu msimu huu wamechangia mabao 12 tangu msimu uanze kwa ujumla.
Al Ittihad waliweka pesa ndefu mezani hakuna mchezaji ambaye angekataa wakiahidi kutoa milion 150+ kwa mwezi kama mshahara kitu ambacho wachezaji Hawa wameona ni bora wachukue pesa .
Hata hivyo Wydad Athletic Club - WAC hawana roho mbaya wanajua soka ni Karia ya muda mfupi licha ya kuwa wachezaji muhimu kikosini wamewaacha waondoke.
Al Ittihad Tripoli wameonyesha jeuri ya fedha sokoni kwa kuibomoa Wydad Casablanca.
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
*LECTURER NIKIKUPA HUTONINANII* *1-5* *SEHEMU YA KWANZA* "Hivi unajua Asmy kwamba kila mtu hapa anajua kam umelala na Sam?" Alisema rafiki yangu Hafsa alikuwa akinambia mimi hapa
Naitwa Asmy Kay ukinitizama ni kama shombe shombe flani hivii kwasababu ya rangi yangu na nywele zangu pia, tumezaliwa ...
*KOMANDO NIOE NTAKUWEZA TU* *1-5* *__________________________________________* *SEHEMU YA KWANZA* "Weee Maa yaani kila mtu ameamka kuchota maji ni wewe unajifungia ndani tu kwamba utaoga na kufulia mate yako"
"Jamani mimi bado nna usingizi, nichotee bhasi undugu wangu" "Wewe ushanigeuza mimi kikaragos chako au umenioa kila sik...
CEO SIKIMBII TENA NITAVUMILIA*1---2 *____________________________________* SEHEMU YA 1 Kama uliwahi sikia mtu kaokota dodo chini ya mpera basi ni mimi. Naitwa Nasma Majid ni mtoto wa pekee kwa mama yangu na baba yangu licha ya kwamba tuna maisha ya kuung
mpaka nikamaliza chuo kikuu pale University of Dar es salaam [UDSM], lakini licha ya kwamba nilisoma na nilikua na GPA ...
Penzi La Siri Na Mke Wa Tajiri Aliniomba mimi nikatoe ushahidi mahakamani kwamba zile mali ni zangu harafu nikizikomboa tutagawana... Inaendelea... Sehemu Ya 20
Nikamwambia kwa sasa itakuwa ni vigumu lakini nitafikiria, Sakina akawa ameniomba sana siku hiyo ya mimi kutoa ushahidi...
Stephen Azizi Ki na Thembinkos Lorch wametoa somo kwa wachezaji kwamba soka ni Karia ya muda mfupi ukipata fulsa itumie mapema.
Nyota Hawa wawili wameondoka Wydad Casablanca na kufuata pesa nyingi zaidi kule Al Ittihad ya Libya.
Lorch na Azizi Ki walikuwa wachezaji muhimu ndani ya kikosi Cha Wydad Casablanca kwa sababu msimu huu wamechangia mabao 12 tangu msimu uanze kwa ujumla.
Al Ittihad waliweka pesa ndefu mezani hakuna mchezaji ambaye angekataa wakiahidi kutoa milion 150+ kwa mwezi kama mshahara kitu ambacho wachezaji Hawa wameona ni bora wachukue pesa .
Hata hivyo Wydad Athletic Club - WAC hawana roho mbaya wanajua soka ni Karia ya muda mfupi licha ya kuwa wachezaji muhimu kikosini wamewaacha waondoke.
Al Ittihad Tripoli wameonyesha jeuri ya fedha sokoni kwa kuibomoa...
π Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/stephen-azizi-ki-na-thembinkos-lorch-wametoa-somo-kwa-wachezaji-kwamba-soka-ni-karia-ya-muda-mfupi-u