Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

 CEO SIKIMBII TENA NITAVUMILIA*1---2 *____________________________________* SEHEMU YA 1 Kama uliwahi sikia mtu kaokota dodo chini ya mpera basi ni mimi. Naitwa Nasma Majid ni mtoto wa pekee kwa mama yangu na baba yangu licha ya kwamba tuna maisha ya kuung
Gonga94 · Stories

CEO SIKIMBII TENA NITAVUMILIA*1---2 *____________________________________* SEHEMU YA 1 Kama uliwahi sikia mtu kaokota dodo chini ya mpera basi ni mimi. Naitwa Nasma Majid ni mtoto wa pekee kwa mama yangu na baba yangu licha ya kwamba tuna maisha ya kuung

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
mpaka nikamaliza chuo kikuu pale University of Dar es salaam [UDSM], lakini licha ya kwamba nilisoma na nilikua na GPA yangu safy lakini sikuwahi kupata kazi nishasota kwenye makampuni yote lakini sikupata kazi hivyo nikawaga nimekataa tamaa…..

Sasa leo kwenye pita pita zangu nilikua natembea tu kusipo na direction mitaa ya kwetu Buguruni, kuna mtaa nilipita kulikua kimya sana lakin kwa mbal naskia minong’ono kwenye jumba moja bovuu kweli yani , nikajikuta nataka kujua kuna nini maana mimi nae ni mmbea sio poa ila ukinitizama hat uzanii nazid kusogea nasikia ‘huyu si anajifanya mbishi sana sasa tumpige risasi kwa sababu tunachotaka anajifanya hawezi kutupa tutashughulika na mtu mwingine kwenye familia yake tuliambiwa akiweza kusema akimaliza tumuue na asiposema pia tumuue kupoteza ushahidi’ nikajikuta tu nachungulia kuangalia si ndy kukuta mkaka wa watu katekwa kafungwa miguu na mikono na inavyoonekana kashapigwa sana…
maan tu kwa alivyochakaa hapana yule jambazi akatoa pistol anataka kushoot, nikajikuta Napata mzuka wa kwenda kukingaa ile risasi hata sijui ujasiri niliutoa wapi….

Baada ya kukinga ile risasi sijui wale majambazi walijua nimekuja na polisi wakaondoka haraka , nikabaki na yule mtekwaji akabaki ananikodolea mimacho tu, akajitahidi akajifungua pale alipokuwa amefungwa, ili anisaidie kuniwahisha kupata tiba, lakini hakuweza, alikuwa na hali mbaya mno, bahati nzuri walinzi wake walifika ni kama bahati tu alikuwa na kichip cha kujua alipo alikiweka kwenye kifungo cha shart yake, walifika na kutuokoa,
Yule kaka alivyofunguliwa tu japo alikuwa na maumivu lakini alijitahidi akaja nilipodondoka, akanibeba akawa ananitoa nje, ndio kumbukumbu zikawa zimekata nilianza kuona tu giza sikujua tena nini kiliendelea, nakumbuka nimekuja kuzindika nipo kwenye chumba tena nipo peke yangu ila kunavyoonekana sio hospital ni chumba cha mtu nikawa najiuliza kichwani "hichi ni chumba analala mtu au ni sehem zile wanaogiziaga wahindi" mara naskia mlango unafunguliwa anaingia yule mtekwaji akaniulza "upo sawa now?" nikaitika kwa kichwa kuonesha kwamba nipo sawa akaakaa pembeni yangu akaniambia "asante , naitwa Nasser Mohammed "huku akinipatia simu yangu "ilikua inaita sana alikuwa mama yako nimemuelekeza ulipo anakuja na baba yako wana wasi wasi sana nimewaambia upo sawa" nilitikisa tu kichwa kuuumanisha nimekubali maan hata nguvu ya kuongea sina kwa jinsi nilivyochoka na maamivu maan sio kuuona tu na kupigwa juu toka nizaliwe sijawah hata kufikiri kam ntakujaga hata kuishuhudia bastola ila hili la leo lazma ntaaliandika , kwenye diary maan sio kuuona tu na kupigwa juuu…

ITAENDELEA.....
SEHEMU YA 2
Tunaeendelea tulipoishia nilipitiwa tena na usingizi nikaja kuamshwa na yule mtekwaji yaan Nasser kueguka pembeni namuona mama na baba wamekaa , mama akanikumbatia nakuniuliza kama nipo sawa nikamjibu kwa kichwa baba ananiangalia tu maan kashindwa hata aseme nini mama ndy akaamua kumuuliza Naseer ilikuaje mpaka nikapigwa risasi Naseer ikabidi awaelezee kila kitu kilivyokua Naseer ilibidi awaelezee kila kitu na kuwaomba kwamba nibaki nae pale kwa ajili ya usalamaa wangu kwasababu wale watu hawatoacha kunifuatilia mama angu akaanza kulia na kulaumu kwanini nimejiingiza kwenye mambo yasio nihusu baba alijaribu kukataa na kumwambia kwamba mimi ni mtoto wa kike nabakije na mtoto wa kiume humu ndani…

nyumba nzima kwasababu inavyoonekana Naseer anaishi peke yake, Naseer akamtuliza baba akamuelewesha mpaka baba akaja kwenye mfumo na kukubali ,baba na Nasser walitoka nje kidogo mama akabaki na mimi hapo kuongea hata siwezi nipo nipo tu yaan….

Mama akaniambia niwe makini nipo na mtoto wa kiume nisijiachie sanaa, nikaitika kwa kichwa kumaanisha kwamba nimeelewa mama nae akatoka nikaendelea tena kulala nakuja kushtuka usiku sana naangalia pembeni namkuta Naseer kalala pembeni yangu, kajikunyata hapo nguvu za kujiinua nilikua nazo nikainuka nikamfunika shuka nikawa sina usingizi hata kidogo yaani, ikabidi tu nikae maana jeraha bado linaniuma si ndy nikaanza kukagua chumba sasa kilivyoo jamn ni bungalow bonge la chumba nikasema hivi jaman huyu analala peke ake humu haogopi hapo hata nje sipajui nichumbani tu humo maan nilifika nimezima na damu nyingi zilikua zimemwagika, hivyo lazima ningezima tu hata ingewezekana kufa ningekufa tuu, nilikaa nilikua sijui ni saa ngapi hata usingiz ukanipitia nakuja kushtuka tena asubuhi kuangalia pembeni Naseer hayupo, hata sikujali sana na wala sikuwazaa nimekaa naskia mlango unafunguliwa anaingia Nasser na mdada na kumwambia Naseer atoke nje Nasser akatoka yule mdad akanambia inabidi aniogeshee ni mwanamke mwenzangu, ila namuonea aibu hhh😆 jaman nikamwambia asijal nawez mwenyew akacheka akaniuliza "unaona aibu?"….

Nesi aliniuliza huku ananitizama kwa makin nilitabasamu tu huku natizama chini akanambia "Nasma huwezi simama mwenyew basi nikusiadie tu" hapo nikakubal japo kishingo upande akaenda akaniogesha vizur tu akaniweka kitandani huku nina taulo tu akanifunika shuka maan zile nguo nilizokua nimepigwa nazo risasi ndy nilikua nimezivaa toka muda ule hapo akatoka nje na kumuita Naseer, Nasser akaingia ndani akapewa dawa na maelekezo akaambiwa nitakaa sawa soon tu …

Zilipita wiki 2 sasa asa hivi naweza inuka nikatembea vizuri sasa sijawahi kutoka mle chumbani hata kwa bahati mbaya toka nilipoingia ,leo Nasser akaniambia nitoke nae sebleni kwasababu sasa naeza tembea bila tatizo lolote lile, nikasema sawa nikatoka nae yeye mbele mimi nyuma jaman hhhh nacheka kama mazuri kumbe kuna watu wanaishi afu kuna sisi tunaoishia😃😆😆 jaman mhhhhh nilishangaa huyu anaishi kwenye nyumba au kwenye hoteli, ila najiulizia moyoni tu tukaenda mpaka sebleni wenzetu wana dining room sisi tushazoea kula kwenye mikeka hhh😆😆 jamni aibu naona mimi, nikakaa kulikuwa kushapangwa pale kila kitu sasa nikawa nashangaa mbona sioni mtu hapa ndani ,alielewa ninachowaza akanambia, "naishi mwenyew ,wazazi wangu hawapo wapo London ndio wanapoishi hivyo huku Tanzania mimi nimewekeza biashara zangu ndio maan nipo huku" aliongea huku ananitizama kwa umakini kweli yaani nikataka kumuuliza kwa nini ile siku ulitekwa tena ulitekewa uswahilini ila moyoni nikasema niache umbea hayanihusu akaendelea kuongea "asante sana kwa ile siku maan ningekufa kama usingejitokeza" nikasema kwa chin chini "kwan mimi nisingekufa ila watu wenye hela bhan😏" akaendelea kusema "sina cha kukulipa ila ntafanya kwa uwezo wangu najua unajiuliza kwa nini nilitekwa tena mazingira ya uswahilini wale ni maadui wa baba angu kwa muda mrefu na wanamtafuta kama sindano iliopotea hivyo waliniteka ili niweze kuwaeleza baba angu yupo wapi lakin sikuweza kusema wamekua wakimuandama sana baba angu hadi kuna kipindi walimfuata huko Loss Angels, na ndio sababu baba angu kuhamia London na familia yake sasa walifuatilia na kujua kwamba huku kuna mtoto wake wakaona wakiniteka itakua njia nzuri ya kumpata na nisiposema waniue kabisa ili baba aogope na ajitokeze, lakin kabla ya kushoot ukatokea wewe hapo nashukuru sana" nikasema "sawa pole enhe nataka kwenda kwetu"….

akaniangalia akanambia "huwezi kwenda kwasababu wew hapo unafatiliwa pia ushaingia kwenye haya mambo na ukikaa bila ulinzi unaeza ukauliwa" ,wewee😱😱 niliogopa sio poa nikaamua nitulie tu maan mhh ni hatari sio kidogo huku nimeanza kutetemeka akainuka akanisogelea na kunishika mkono akanambia "usijal upo sehem salama hapa kuna heavy security hakuna wa kukupata ukiwa hapa unaeza kukaa hapa " nikasema kwa sauti ya chini na kwa taratibu mnoo "ila natka kwenda kwetu"….

akanambia "ukienda kwenu unaweza sababisha matatizo hadi kwa familia yako binafsi hata hivi nimewaamisha mkoa baba na mama yako kwa ulinzi zaidi na huko nimewajengea nyumba, wale majambazi ni watu wakubwa hawashindwi kuipata familia yako kwa muda mfupi ", nikamuuliza "kwahyo familia yangu ipo kwenye matatizo?" akanamby "usijali kwa sasa ipo salama kabisa hakuna shida", nikawa najiuliza kwahyo nitaisshi na huyu mwanume niliekutana nae kwa bahati mbaya milele?, akanitizama akaniambia "naelewa hofu yako hata hivi baba ako alinieleza kila kitu kuhusu wewe hivyoo nimekuajiri unakua personal assistance wangu." nilishtuka miaka yote natafuta kazi hata mtu wa mapokezi kweli asa hivi kila kitu connection kiutani utani tu Napata kazi akasema kazi itaanza kesho tutaondoka wote hapa nyumbani usijali…

Nikaona kwa namna nyingine nimepata ahueni na mimi nina kazi kwa sasa nitapumua kidogo akanambia natoka naenda kazini jisikie huruu ukitaka kupika, kufanya chochote we fanya tu usiwe na wasi wasi jiskie Amani akawa katoka nikabaki mwenyewe

ITAENDELEA……..

Full 1000
Whatsp 0784468229
Tangazo - Monday To Sunday
Monday To Sunday
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

CEO SIKIMBII TENA NITAVUMILIA*1---2 *____________________________________* SEHEMU YA 1 Kama uliwahi sikia mtu kaokota dodo chini ya mpera basi ni mimi. Naitwa Nasma Majid ni mtoto wa pekee kwa mama yangu na baba yangu licha ya kwamba tuna maisha ya kuung

mpaka nikamaliza chuo kikuu pale University of Dar es salaam [UDSM], lakini licha ya kwamba nilisoma na nilikua na GPA yangu safy lakini sikuwahi kupata kazi nishasota kwenye makampuni yote lakini sikupata kazi hivyo nikawaga nimekataa tamaa…..

Sasa leo kwenye pita pita zangu nilikua natembea tu kusipo na direction mitaa ya kwetu Buguruni, kuna mtaa nilipita kulikua kimya sana lakin kwa mbal naskia minong’ono kwenye jumba moja bovuu kweli yani , nikajikuta nataka kujua kuna nini maana mimi nae ni mmbea sio poa ila ukinitizama hat uzanii nazid kusogea nasikia ‘huyu si anajifanya mbishi sana sasa tumpige risasi kwa sababu...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/ceo-sikimbii-tena-nitavumilia-1-2-____________________________________-sehemu-ya-1-kama-uliwahi-siki

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi ceo-sikimbii-tena-nitavumilia
CEO SIKIMBII TENA NITAVUMILIA* *____________________________________*    SEHEMU YA   3  Nilikua nipo mwenyew nazunguka tu kwenye lile kasri maan sijui niseme ni hoteli maan ni pazuri...
CEO SIKIMBII TENA NITAVUMILIA* *____________________________________* SEHEMU YA 3 Nilikua nipo mwenyew nazunguka tu kwenye lile kasri maan sijui niseme ni hoteli maan ni pazuri...
 CEO SIKIMBII TENA NITAVUMILIA SEHEMU YA 4  Tunaendelea na tulipoishia ……….  "Kwanini hupokei simu zangu?" aliuliza yule mdada huku anazidi kumsogelea Naseer
CEO SIKIMBII TENA NITAVUMILIA SEHEMU YA 4 Tunaendelea na tulipoishia ………. "Kwanini hupokei simu zangu?" aliuliza yule mdada huku anazidi kumsogelea Naseer
 CEO SIKIMBII TENA NITAVUMILIA SEHEMU YA 5 Acha niendelee kulia tena kwa sauti kubwa😫😩😭, maan nilivyokumbatiwa kwa nguvu pale siwez
CEO SIKIMBII TENA NITAVUMILIA SEHEMU YA 5 Acha niendelee kulia tena kwa sauti kubwa😫😩😭, maan nilivyokumbatiwa kwa nguvu pale siwez
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❤️ sehemu ya 68

MY WANGU❤️ sehemu ya 68

542
MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70

MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70

476
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 45💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 45💘💘

438
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘  N0 46💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 46💘💘

353
MIMI SIKUACHI🥰 19 MPAKA 20

MIMI SIKUACHI🥰 19 MPAKA 20

166
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 47💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 47💘💘

146
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 12 na 13

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 12 na 13

89
MIMI SIKUACHI🥰 21 MPAKA 23

MIMI SIKUACHI🥰 21 MPAKA 23

86
MIMI SIKUACHI🥰 16 MPAKA 18

MIMI SIKUACHI🥰 16 MPAKA 18

85
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 10 na 11

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 10 na 11

76

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.01K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.8K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.65K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.01K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.43K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.4K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.27K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.25K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.24K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.15K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 47💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 47💘💘
@majario LIVE

Baada ya kumaliza kupeana ule utamu wa alfajir hemed alinikumbatia tena tukalala tuliamka saa tatu za asubuhi tukaingia bafuni kuoga baada ya hapo tulipata breakfast tulivyomaliza kula nilimuaga hemed nikamwambia...

MIMI SIKUACHI🥰 21 MPAKA 23 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 21 MPAKA 23
@majario LIVE

🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Sehemu ya 21 Basi mie nikaendelea na vipindi na jioni sana ndo tukaludi getoo. Basi tukiwa tunaendelea na story zetu mi na lemi. Oyaaaaa kufika saa nne jsiku mtoto...

MIMI SIKUACHI🥰 19 MPAKA 20 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 19 MPAKA 20
@majario LIVE

🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Sehemu ya 19 Daah nikasema.mwanangu iyo chupi.nimemnunulia fatuma.natka nikampelekee si unjaua bado week 3 tunaenda likizo. Lemi akaniangalia akasema mh . Aya bwana hkuna noma.mi nikaivuta ile chupi. Nikaweka chini...

MIMI SIKUACHI🥰 16 MPAKA 18 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 16 MPAKA 18
@majario LIVE

🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Sehemu ya 16 Basi nikapata kaumarufu kweli kweli pale chooni. Yani ata wadada wakawa wananishobokea sana. Naomba unifundishe nifundishe kama zote. Wadada full shobo na mimi. Ata washikaji wakawa...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘  N0 46💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 46💘💘
@majario LIVE

Moyo wangu ulianza kudata juu yaHemed🥹🥹 nilijaribu kuongea nao lakini wala haukunisikia niliuambia moyo tulia hukuhuku kwa boo tayari tushasolve tatizo lililokuwepo Acha kuhamahama😟😟 lakini moyo bado ulizidi kung'ang'ania kwa...

MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70
@majario LIVE

Basi nilipata kafuraha mno. Nikachukua pesa yangu .nikarudi darasani kuendelea na ratiba zangu. Uwiiiiii nilifurahi sana. Yani sana tu. Na prepo ilivyoisha tukarudi darasani. Mie nikampa tu yule mwanafunzi...

MIMI SIKUACHI🥰 14 MPAKA 15 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 14 MPAKA 15
@majario LIVE

🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Sehemu ya 14 Aseee mi nilimuangalia sana uyu demu. Nikamuona jau . Yani yupo very serious ananitongoza .mnajua kuna jinsi nilimdharau . Nikaona uyu demu daaah. Alivyoona namshangaa na sijamjibu...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 12 na 13 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 12 na 13
@majario LIVE

12 MPAKA 13 🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Nikasema vp mbona huniachii mkono. Akanmbia ahaa sory haji. Kisha akaachia mkono wangu. Na mda uo uo ndo lemi akawa analudi pale. Akasema ahaaa mrembo upo...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 10 na 11 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 10 na 11
@majario LIVE

10 MPAKA 11 🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Aseeeee uyu demu ni mzuri bwana. Mi. Mwenyewe nilikubali. Ila sio kwamba nilimtamani no. Mi ni mwanaime ninayejielewa sana. Wanaume tuna tamani mno. Ila unakuwa na msimamo wako...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 7 na 8 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 7 na 8
@majario LIVE

7 MPAKA 9 🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Basi bwana tukivyotoka kula sasa. Mi nikaludi ndani ila lemi akanmbia kuna mtu anakutana nae kidogo nikasema powa so nikamuacha mimi nikaludi hostel.aseeee chuo kimechangamka iki sana. Yani...

MY WANGU❤️ sehemu ya 68 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 68
@majario LIVE

Basi akashuka. Akamsalimia mama pale. Mama akamuitikia. Akaniuliza. Ushakuwa tayari. Mie nikasema ndio . Akanmbia kachukue nilivyokwambia tupakie. Nikasema sawa. Kweli nikaenda kuchukua. Vilikuwa vidogo. Kweli. Vyengine niliviona kashanunua yeye...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 45💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 45💘💘
@majario LIVE

0742133100 Babie Love Niliipokea ile simu huku nikiwa natetemeka kwa uoga..... hello daddy.... pendo what's going on 🤷‍♂️ taarifa gani hizi nazoambiwa kwani hamkumaliza tofauti zenu inatakiwa muache drama mtakuja kunitesea...

MY WANGU❤️ sehemu ya 66 na 67 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 66 na 67
@majario LIVE

Aseeee nilikuwa na maumivu kwa kila sehemu ya mwili wangu. Nilikuwa na maumivu makali mnoo. Asa mkono . Yani sikuwa sawa kabisa. Namsikia mlige akiwa ndani .anasema yani nikitoka njeee...

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 19 - 20 Post Mpya
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 19 - 20
@majario LIVE

Nilikuwa najilazimisha hata kucheka mama aliniona ila akajua labda ni uoga tuu akaniambia mwanangu usijali bhana Kila kitu kutakuwa sawa na ndoa yako itapita vizuri tu nikawa namjibu kwakichwa saw,...

MY WANGU❤️ sehemu ya 64 na 65 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 64 na 65
@majario LIVE

Basi mie nikaingia chumbani nikajilaza kitandani.nikalia mnoo .niklia aswaaa.mana mi.mwenyewe mlige nampenda.nampenda sana.na kweli nimemkosea ila hataki ata kuongea na mie ni ananifanyia hasira tu. Basi shoga yenu nikawa nalia...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest